No video

ISHINDE TABIA YA KUGHAIRISHA MAMBO SEHEMU YA PILI

  Рет қаралды 67,016

Harris Kapiga

Harris Kapiga

Күн бұрын

Hii ni sehemu ya pili ya mada isemayo ISHINDE TABIA YA KUGHAIRISHA MAMBO kupitia kipindi cha TERMINAL ya CLOUDS FM. Terminal husikika kila jumamosi kuanzia saa 9 hadi 11 jioni ikiongozwa na HARRIS KAPIGA pamoja na LILIAN MWASHA.

Пікірлер: 98
@mrongasteven7166
@mrongasteven7166 3 жыл бұрын
Shukrani sana Mr Nanauka Kwa masomo yako unayofundisha ,vitabu vyako navipataje?
@brhchannel6618
@brhchannel6618 6 жыл бұрын
Nice indeed brother Joel Nanauka nakuelewa Sana.
@ZarinaZuberi
@ZarinaZuberi Жыл бұрын
Thanks brother hakika umenifumbua macho
@assamwakasanga3570
@assamwakasanga3570 6 жыл бұрын
Asantee San kak Joel Arthur nanauka kuna Vitu navipata vinanipa hamasa ya Kufanya Vitu zaidi na zaidi Mungu akubariki San
@radiahassan323
@radiahassan323 5 жыл бұрын
Hali ya kughairisha mambo inanitesa sana
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 6 жыл бұрын
Thank bro Joel, unazidi kutupa maarifa ktk maisha.
@sarahchuma1008
@sarahchuma1008 5 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu ili uone matunda ya mbegu nzuri unayoyapanda ndani yetu,Amen.
@bakmert2605
@bakmert2605 4 жыл бұрын
Kaka May God bless you Nanauka your so much Amazing..
@alikhamis4980
@alikhamis4980 3 жыл бұрын
Thank bro somo zur sna
@stevenjuliuschambua7487
@stevenjuliuschambua7487 6 жыл бұрын
I'm blessed brother Kapiga also very helped to my life from now....
@hashimmagoma6929
@hashimmagoma6929 5 жыл бұрын
Nakushukuru sana kwa speech zako kwani unanipa elimu ni zaidi ya kukaa darasani ,but now I learn through You tube.
@maishatzmartin5468
@maishatzmartin5468 4 жыл бұрын
Kiujumla unani bariki sana kk god bless you my brother
@Mukrim_007
@Mukrim_007 Ай бұрын
From now tabia ya kuhairisha nmeshachana nayo💯💯
@calvinsilverson373
@calvinsilverson373 6 жыл бұрын
Kwakweliiii nilipitwa hili somo lakini nimepata lecture ya maana! Thank you Harris Kapiga. Mlete huyo jamaa tena
@elishapascal8205
@elishapascal8205 5 жыл бұрын
Mda mwingi nilikuwa natumia kucheza bao nime elewa namba zangu Ni hizo nataka kupata kitabu .0745895422
@fredrickkisaka5244
@fredrickkisaka5244 5 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Kaka somo nzuri sana
@backtoschool8142
@backtoschool8142 4 жыл бұрын
Kaka upo vizuri mungu akubaliki kwan gave me be strong
@lianegulayi4739
@lianegulayi4739 6 жыл бұрын
Hili ni janga la dunia..My God help us..your blessing bro..Asante sana
@amosmahona433
@amosmahona433 3 жыл бұрын
SoMo zuri Sana asanteh sana*Harris kapiga*
@lambdatz2450
@lambdatz2450 4 жыл бұрын
Ubarikiwe
@saidbaiya9524
@saidbaiya9524 5 жыл бұрын
Thanks brother Hicho kitabu na mimi nakihitaji nitakipataje
@malalezengo4405
@malalezengo4405 6 жыл бұрын
daah kweli tabia ni kazi sana kuigeuza mfano ulishga zoea kuzurura leo uwe bize kushinda kazini
@lucasmadeni3413
@lucasmadeni3413 5 жыл бұрын
Nimeipenda sana hiyo interview
@omaryshafii50
@omaryshafii50 5 жыл бұрын
Hata kama ni mada ya muda mrefu lkn inazungumzia maisha endelevu hii ni tofauti kabisa hii ni elimu hata kama ndo leo unafungua inakukuwa mpya ukizingatia itakusaidia miaka 100 na ukitaka kuelewa vizur unatakiwa usikilize mara kwa mara ni somo zuri ahsante
@mateosiwale1897
@mateosiwale1897 4 жыл бұрын
Duuu !!!! Uko vizuri Sana kwa ushauli wako..
@sholeshop2469
@sholeshop2469 2 жыл бұрын
Nimeelewa aise hyo kanuni poa sana
@masoudkamoleka3039
@masoudkamoleka3039 5 жыл бұрын
Unagusa Uhalisia wa Maisha ya wengi. Asante sana.
@shebyklevarsheby5199
@shebyklevarsheby5199 5 жыл бұрын
Kaka mungu akupe maisha malefu mimi ni mmoja kati ya watu hao ila nimepona
@johnluhwa8342
@johnluhwa8342 6 жыл бұрын
Asante brother unaelezea vtu kwa ufanisi,kiukweli tunakuelewa sana
@graywolfgang9607
@graywolfgang9607 5 жыл бұрын
Umenifungua sana brother asatesana
@farajahrogath2506
@farajahrogath2506 6 жыл бұрын
Mm mwana chuo cotc Mtwara nashukuru sana kaka
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 5 жыл бұрын
haha kapinga bwana ati shindwaaaaaa, hongereni kwa kazi nzuri
@anandungulu8256
@anandungulu8256 5 жыл бұрын
Asante,Mimi Nina tabia hiyo ya kuanza kitu na hakifiki mwisho naomba msaada wako Wa kunielimisha.
@rehemakawamda629
@rehemakawamda629 4 жыл бұрын
Mimi nina tabia hiyo ya kuanza kitu nahakifiki mwisho naomba msaada wako wa kunielimisha kaka
@gwasaonlinetv8763
@gwasaonlinetv8763 4 жыл бұрын
Nice
@malikmdoye1807
@malikmdoye1807 6 жыл бұрын
nashukuru sana kaka nimependa somo lako nice
@cathelinemichael7325
@cathelinemichael7325 4 жыл бұрын
its true.i promise to change.am back because of this habit.may God bless you.
@welkasimoni3133
@welkasimoni3133 4 жыл бұрын
For real you help me a lot brother.Be blessed.
@fettyhance5387
@fettyhance5387 5 жыл бұрын
Mungu akubariki kaka yangu umenifundisha kitu
@philomenamakonge227
@philomenamakonge227 3 жыл бұрын
No 2 inanihusu
@jamesmsigwa6691
@jamesmsigwa6691 5 жыл бұрын
Kweli Mim Ni Mmojawapo Wa Kughailisha Mambo
@nyanzalakaporo4219
@nyanzalakaporo4219 6 жыл бұрын
Haaaaaaaa , mzeee wa kuombwa hekima tuu, kweli sitaki tena kuairisha mambo. i moving forward my Brothers
@ericjonstz3120
@ericjonstz3120 4 жыл бұрын
Asante Joe pia Harrison kwa kutujuza mema
@mussasaimon2012
@mussasaimon2012 5 жыл бұрын
Asante kaka nimejifunza kitu
@primordial10
@primordial10 6 жыл бұрын
dah philosophy ndo tiba yakifikraa. .big up nanauka
@ndegeboy3439
@ndegeboy3439 4 жыл бұрын
God bless you nanauka
@hamdanimohammed5220
@hamdanimohammed5220 4 жыл бұрын
Habariyako kaka nawezaje kupata kitabu chako kama nipo nnje
@professorjoma2364
@professorjoma2364 6 жыл бұрын
Asante sana
@kissmwalabu2452
@kissmwalabu2452 4 жыл бұрын
shukran sana
@mwanatz5980
@mwanatz5980 4 жыл бұрын
Kweli kabisa asante sana.
@amosirutibu1242
@amosirutibu1242 4 жыл бұрын
Dah thanks 🙏🙏🙏
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 3 жыл бұрын
True...
@backtoschool8142
@backtoschool8142 4 жыл бұрын
That is good things. Bro
@stelladaud9788
@stelladaud9788 4 жыл бұрын
Thanks u brother 👏
@zakariamohamed5543
@zakariamohamed5543 5 жыл бұрын
Bro hongera sana nimependa mafunzo yako.
@basilifrank
@basilifrank 6 жыл бұрын
Thanks so much brother Joel nanauka
@georginakabanga1762
@georginakabanga1762 5 жыл бұрын
Asante sana kaka Joel tunabarikiwa sana kupitia ww Mungu akuzidishie zaidi na zaidi Amina
@mussasaimon2012
@mussasaimon2012 5 жыл бұрын
Nimekuelewa sana kaka
@dausonkagumbu9378
@dausonkagumbu9378 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@nyanzalakaporo4219
@nyanzalakaporo4219 6 жыл бұрын
Thanks Brothers for good Lecture..
@ashurasalum8135
@ashurasalum8135 4 жыл бұрын
Keep it up broo
@johnylwambaga6056
@johnylwambaga6056 4 жыл бұрын
I believe in Africans kuna mtu alinitumia link hakika nasema abarikiwe bro noba nmejifunza maisha
@unclemafu2907
@unclemafu2907 5 жыл бұрын
Big up sana
@malalezengo4405
@malalezengo4405 6 жыл бұрын
hingera sana sana daah
@dorcasnharanga6796
@dorcasnharanga6796 3 жыл бұрын
Muuunganiko sahihi huu
@ramadhanijuma3988
@ramadhanijuma3988 6 жыл бұрын
thank you my brother
@linuswandiba9714
@linuswandiba9714 6 жыл бұрын
Ramadhani Juma y8uuyyyyùhhh0
@joachimlema3299
@joachimlema3299 5 жыл бұрын
Nataka kujifunza zaidi
@aishaomar4318
@aishaomar4318 5 жыл бұрын
Nakupenda.Nanauka😍😙⚘
@georgelucas8581
@georgelucas8581 4 жыл бұрын
2015 hii da 2020 leo tupo
@rehemamario1727
@rehemamario1727 6 жыл бұрын
Umenikosha jamani.. .nimejifunza jambo kubwa mnooo
@ezzy21bryxon4
@ezzy21bryxon4 5 жыл бұрын
Umenipata kaka na Mimi nimekupata
@emanuelrazalomychannel3020
@emanuelrazalomychannel3020 4 жыл бұрын
Hicho kitabu kitengeneze kwenye mfumo wa soft wear
@munahhaji474
@munahhaji474 6 жыл бұрын
Hicho kitabu nakitaka nakipataje
@yoramdogezah8000
@yoramdogezah8000 5 жыл бұрын
True!
@danielayoub3117
@danielayoub3117 3 жыл бұрын
Naweza pata hicho kitabu?
@pelesjackson2551
@pelesjackson2551 6 жыл бұрын
Vizuri sana kaka, ila nahitaji kitabu chako Nipo Kigoma nakipataje?
@hawamtambwa402
@hawamtambwa402 4 жыл бұрын
Napataje hiko kitabu
@asiajuma5784
@asiajuma5784 6 жыл бұрын
Jaman hvy vitabu vyake vinapatikana wapi?
@lusekelongondo7133
@lusekelongondo7133 4 жыл бұрын
Ok
@hamismalimi1529
@hamismalimi1529 4 жыл бұрын
Kitabu kipo sehemu gani nikanunue
@jofreyiposso9184
@jofreyiposso9184 5 жыл бұрын
Asante kwa ushauri
@mariambanney4450
@mariambanney4450 4 жыл бұрын
Jofrey Iposso umeoa jaman
@Fatima-ls3uw
@Fatima-ls3uw 6 жыл бұрын
mafunzo mazuri kweli
@issafahad3953
@issafahad3953 5 жыл бұрын
Brother naomba namba yako Unishauli zaidi
@karennimrod1527
@karennimrod1527 6 жыл бұрын
Hcho kitabu kinapatkana wapi?????? Naomba nijue please
@thuwaibamuhsizube6367
@thuwaibamuhsizube6367 4 жыл бұрын
samahani icho kitabu kipo Tanzania nzimaa nakihitaji nipo zanz
@alikhamis4980
@alikhamis4980 3 жыл бұрын
Ndio kipo tz mzma
@stephahObimo
@stephahObimo 4 жыл бұрын
SAMAHANI KAKA NAHITAJI HICHO KITABU AU NAOMBA NAMBA YA NANAUKA SANA
@emmanuelyusuph9057
@emmanuelyusuph9057 5 жыл бұрын
kaka Harris mlete Joel tena
@jacobyende7831
@jacobyende7831 6 жыл бұрын
Wekeni kipindi cha Tar 2/12/2017
@abuumudrik7285
@abuumudrik7285 5 жыл бұрын
vitabu vinapatikana wp pemba apa
@mashaurikilawa145
@mashaurikilawa145 6 жыл бұрын
kaka hongeraa lkn naomba maelekezo y jinsi navyo weza kupata kitabu hcho npo kigambon DSM ,0763574764
@elizabethmkumbo2022
@elizabethmkumbo2022 5 жыл бұрын
Nahitaji hicho kitabu nakipataje
@boazlaiton6808
@boazlaiton6808 5 жыл бұрын
naomba WhatsApp number
@geshonndezi7168
@geshonndezi7168 6 жыл бұрын
naona kabisa kupona 0752101675
ISHINDE TABIA YA KUGHAIRISHA MAMBO SEHEMU YA KWANZA
27:22
Harris Kapiga
Рет қаралды 14 М.
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 30 МЛН
الذرة أنقذت حياتي🌽😱
00:27
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 20 МЛН
Ishi Katika Uwezo Wako Wa Kipekee Sehemu Ya Kwanza
17:27
Joel Nanauka
Рет қаралды 105 М.
WATANZANIA WENGI HAWANA UTARATIBU WA KUJIWEKEA AKIBA
34:21
CHUMBA CHA HABARI CLOUDS MEDIA GROUP
Рет қаралды 3
KAZI ZIPO AJIRA HAKUNA - HARRIS KAPIGA
9:37
Harris Kapiga
Рет қаралды 390
UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA
1:11:22
Joel Nanauka
Рет қаралды 189 М.
Watu Unaopaswa Kukutana Nao Kwenye Mwanzo Mpya (Day 2) - Pastor Joel Nanauka
1:38:36
Total Healing Ministries
Рет қаралды 22 М.