USICHOFAHAMU KUHUSU MARCO WA ZABRON SINGERS | MDOGO WAKE AWEKA WAZI KILA KITU

  Рет қаралды 365,612

Gold TV

Gold TV

Күн бұрын

Пікірлер: 548
@LiberataMunyiva
@LiberataMunyiva 3 ай бұрын
Oh Mungu amjalie hukumu ya huruma...alimuimbia Mungu kwa sauti nzuri na tabasamu wakati wote...familia yake Mungu awatulize...na Mkewe, Mungu tu ndiye tulizo bora....i really loved his singing and beautiful voice full of happiness....May he always sing to God with the Angels and Saints....be blessed
@roselineajema3847
@roselineajema3847 3 ай бұрын
Poleni sana ndugu zetu , Mungu awafariji katika hii hali ngumu, Rambirambi zetu kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪 RIP Marco
@lydiahmoraa9207
@lydiahmoraa9207 3 ай бұрын
Moyo wangu umejawa na huzuni kwa kumpoteza Marco 😭😭😭💔💔 mwimbaji wa kundi la Zabron singers ambacho napenda nyimbo zao sana😭😭💔💔poleni sana wenzetu watanzania kutoka Kenya🇰🇪
@kiptanuimelly7404
@kiptanuimelly7404 3 ай бұрын
Poleni sana..rambirambi zangu kutoka kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@GaudanceYasinta
@GaudanceYasinta 3 ай бұрын
Poleni sana wanafamilia mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Vita umeipiga imani umeilinda na mwendo umeumaliza. Pumzika kwa amani maico joseph🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@margaretkambura4396
@margaretkambura4396 3 ай бұрын
Familia,marafiki,na zabron singers,poleni sana Kwa kuachwa na mpendwa wetu marco.personal I can't imagine I will never hear his wonderful voice.😭😭may he dance with angles and saints amen.pamoja Kwa maombi
@evierlinechepngeno
@evierlinechepngeno 3 ай бұрын
Poleni sana kwa familia na watanzania wote from Kenya 🇰🇪
@DeborahGerald-w1c
@DeborahGerald-w1c 3 ай бұрын
Ahsante
@swahibumasumula5355
@swahibumasumula5355 3 ай бұрын
Asantee
@PatriciaSidi-c4w
@PatriciaSidi-c4w 3 ай бұрын
Poleni sana familia kwa kupoteza Mtumishi wa bwana,Mungu ilaze Roho yake mahali pema peponi, Mtoto wako Mungu, Alale usingizi wa heri.
@IreneMaina-o1m
@IreneMaina-o1m 3 ай бұрын
Poleni Sana waombolezaji
@bananapeel02-02
@bananapeel02-02 3 ай бұрын
Zablon Singers Mwenyezi. Mungu awapanguze machozi. Pole sana. Mungu alimpenda sana. ❤
@JenevyMokua
@JenevyMokua 3 ай бұрын
From Kenya, poleni sana zabron singers na WA Tanzania wote mungu awapanguze machozi,,,rest in peace Marco
@kemboiengineerdennis3729
@kemboiengineerdennis3729 3 ай бұрын
Kutoka Kenya ,rambi rambi zangu kwa Falimia ya Zabron na wana TZ wote,poleni saana ,mwenyezi mungu awafariji 😭 😭 😭 😭
@RaheliMalongo
@RaheliMalongo 3 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭
@isaacmaomba
@isaacmaomba 3 ай бұрын
AHSANTE SANA kwa upendo kenya 🇰🇪 🙏💔💔 shukrani sana😢😭😭
@KalebuKashindye
@KalebuKashindye 3 ай бұрын
Pole jaman kwa kuondokewa na mpendwa wenu
@beatricerotich8490
@beatricerotich8490 3 ай бұрын
Kutoka kenya poleni sana wapendewa may God comfort you 🙏
@RashidKawawa-c1j
@RashidKawawa-c1j 3 ай бұрын
😢😢😢
@RebecaKikoti
@RebecaKikoti 3 ай бұрын
Daaah! Familia Mungu awatie nguvu na moyo wa ushujaa poleeni sanaaa daah..inauma sanaa,,Mungu amtunze mahali pema peponi MARCO
@NellyJepkirui-m8l
@NellyJepkirui-m8l 3 ай бұрын
Poleni sana Acha mwenyezi mungu awape faraja🇰🇪🇰🇪
@patricianjeri1403
@patricianjeri1403 3 ай бұрын
Poleni zabron mwenyezi Mungu alikamilisha kazi yenye ailiazisha na ndungu Marco jipeni moyo anahudumu ubamji wake mbinguni na malaika.
@MonicaSixtus
@MonicaSixtus 3 ай бұрын
Poleni sana wana zabron singers mungu wa mbinguni awe faraja kwenu,mrs marco pamoja na familia nzima kwenye kipindi kigumu hiki
@faithwambui5378
@faithwambui5378 3 ай бұрын
Lala salama Marco..Mungu alikupenda zaidi..Mungu naawalinde bibi na watoto wako🙏🙏
@JaneNdungu-r4f
@JaneNdungu-r4f 3 ай бұрын
I watch Zablon singers every night m he was my favorite Iam a music teacher n i love their arrangement.
@alicemumbi7585
@alicemumbi7585 3 ай бұрын
Heartfelt condolences to entire family and Tanzania Nation at large May his soul rest in eternal peace 🙏 🙏🙏 From Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 with love .
@IrineChepkoech-j6t
@IrineChepkoech-j6t 2 ай бұрын
Kutoka. Kenya,rambi rambi zangu kwa familia ya kina Marco TZ ,,, it's Soo hard to believe but poleni sana
@LillianKamusa
@LillianKamusa 3 ай бұрын
Zabron singers Mungu awape nguvu .Mungu ako na sababu itengende hivo.Mungu arehemu familia.kenya tunaomboleza mapoja
@fainmoraa4579
@fainmoraa4579 3 ай бұрын
Inauma sana 😢marafiki zetu wa Zabron singers Mungu awafariji ..tumejawa na machozi kwa kuwa nyinyi ni marafiki wetu kwa saaana (1 Thessalonians 4:14, Revelation 21:4) . Kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪pokea pole zetu ...Mungu awafariji
@ModesterRuhumbika
@ModesterRuhumbika 3 ай бұрын
Lala salama Marco.. tutaikumbuka sauti yako kaka, Mungu awape faraja ndugu, jamaa na marafiki, poleni sana kwaya yetu pendwa Mungu awape faraja🙏🙏
@MariaKyuzu
@MariaKyuzu 3 ай бұрын
Poleni sana wapendwa wa Mungu poleni wote kwa ujumla familia pamoja na jamaaa na marafiki Mungu awe faraja kwenu wote kaka Marco tulikupenda lkn Mungu kakupenda zaidi pumzika kwa Amani kaka
@GregoryIkiao
@GregoryIkiao 3 ай бұрын
Jameni kifo😭😭😭Siku moja wewe kifo utafa Yesu arudipo. Poleni Zablon singers. Bwana awafute machozi😭😭😭. Tunawapenda❤❤.
@ALBERTGWARO-s2q
@ALBERTGWARO-s2q 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@nancyarisa5495
@nancyarisa5495 3 ай бұрын
Kama waadventista hili ni pengo kubwa sana.... Kwa familia ya Marco ...heri wanaolala kutoka sasa wakiwa waaminifu maana watafufuliwa siku ya mwisho. Mwenyezi Mungu awafariji na awajaze na neema na nguvu wakati huu mgumu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@raymsanii
@raymsanii 3 ай бұрын
Kwani ni wa SDA?
@ماريماريا-ب2د
@ماريماريا-ب2د 3 ай бұрын
Poleni sna marafi na family yke na mungu awape nguvu Imani Hakika bila mungu atuwezi kitu chochote n Pauline mghoi from Kenya taveta 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪poleni sna Wana family n marafiki wote
@NtaweAndre
@NtaweAndre 3 ай бұрын
poleni kbx na tushukuru Mungu kwa kira jambo ,bado tumaini lipo tutaonana tena uko ngambo yaani rahani mwa Bwana
@edisontheonest
@edisontheonest 3 ай бұрын
Pole sana kwa familia ya zabron .Mungu ampumzishe kwa aman
@EstherMogire-u9i
@EstherMogire-u9i 3 ай бұрын
Pole sana kwa familia na watanzania wote from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@emilinechitalasita6077
@emilinechitalasita6077 3 ай бұрын
Mungu akawe faraja kwa familia Poleni Sana Zabron Singers Mungu atawaongoza kwa Kila Jambo Ameen
@JusterJeremia
@JusterJeremia 3 ай бұрын
Uyu kaka ni mtulivu sana, ubarikiwe🙏
@annasimiyu1051
@annasimiyu1051 3 ай бұрын
Polen sana from kenya nawatanzania wote mungu amtie nguvu
@LeahMngogwe
@LeahMngogwe 3 ай бұрын
Mungu akawatie nguvu familia ya mpendwa wetu Marco Joseph Poleni sana 😭😭😭
@berthamsema
@berthamsema 3 ай бұрын
Kutoka marecan poleni sana kwa familia nzima na team nzima mungu awe faraja kwenu pia kamkewake nawa toto walio achwa mungu awafariji kweli
@janekanini5331
@janekanini5331 3 ай бұрын
Poleni sana ndugu zetu watanzania... Marco go well brother
@ماريماريا-ب2د
@ماريماريا-ب2د 3 ай бұрын
Rip in peace marco zabron 😢😢😢😢😢😢😢 tulikupenda lakini mungu alikupenda zaidi yte n mapenzi ya mungu 😢😢😢😢😢😢😢😢😢umetuachia pengo kubwa sna zabron tutakukumbuka sna 😢😢😢😢😢😢😢utakuwa katika miyoyo yetu daima
@marywaen2002
@marywaen2002 3 ай бұрын
From kenya rabirabi zangu sifikie familia ya mwenda zake marco.Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi🙏
@PharidaNabwile
@PharidaNabwile 3 ай бұрын
Poleni sana wanazabron's kwa kumpoteza mpendwa tulimpenda lkn Mungu akampenda zaidi
@OrbitMicrofinace
@OrbitMicrofinace 3 ай бұрын
Jamaniiii😂😂😂😂😂 pole sana adi siamini dah nimeumia so pouw mungu akulaze mahalii pema
@EdnahShikuku
@EdnahShikuku 3 ай бұрын
Poleni Sana ndungu zangu ,familia ya Zablon Mungu awape faraja wakati huu mgumu.rabirabi zangu.
@rosengula8356
@rosengula8356 3 ай бұрын
Poleni sana. Mwezetu apumzike kwa amani. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@winnyakoth6194
@winnyakoth6194 3 ай бұрын
Poleni sana familia ya Marco and zabron singers.mungu awatulize
@joanshitawa8035
@joanshitawa8035 3 ай бұрын
Pole sana kw huu msiba.Mungu awafariji.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@NeemaOdoyo-vs5ky
@NeemaOdoyo-vs5ky 3 ай бұрын
Poleni sana ndugu woote na familia yoote ya zabron sing'ers.. inaumaaa
@SophiaPeter-v1d
@SophiaPeter-v1d 3 ай бұрын
Poleni sana , mungu uwatie nguvu na uvumilivu kwa kumpoteza kipenzi chenu
@BeatriceG-c3t
@BeatriceG-c3t 3 ай бұрын
Poleni watanzania na familia ya marehemu... Mungu awape faraja moyoni mwenu from kenya
@NaomiEmmanuel-y8r
@NaomiEmmanuel-y8r 3 ай бұрын
Ee Mungu uliyetuumba nawewe ndiye unaetuita kwako asante kwa maisha ya uhai wa mwimbaji Maico zabron Mungu mpe faraja daima mke na watoto kama ulivonipa faraja mm.
@PhaniceMalowa
@PhaniceMalowa 3 ай бұрын
Poleni sana watanzania sisi kama wakenya Nyinyi ni jirani zetu aki tunawapo pole sna Kwa familia na makanisa zote za Tanzania akika huu mzimba siio rahisi mungu awafariji jamani tumeusinikka sana
@Emmyayo-z9s
@Emmyayo-z9s 3 ай бұрын
Daaaah polen cn,Mungu ailaze mahali pema pepon
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 3 ай бұрын
Polen Sana wana Singers MUNGU amlaze mahali pema pepon brother Marco Zabron Ameen
@TeodasiaAmos
@TeodasiaAmos 3 ай бұрын
Polen Wana kwaya wa zabron singers kwa kumpoteza ndugu yetu Marco zabron
@jacklineakinyi8134
@jacklineakinyi8134 3 ай бұрын
From kenya poleni sana. Mungu hawape nguvu. Amen
@yembachungu9580
@yembachungu9580 3 ай бұрын
Poleniii saaaanaa.....mungu awape wepesiiii
@KatanaFranco
@KatanaFranco 3 ай бұрын
My GOD give u comfort zabronsingers,keep heart my dear friends, ,,,🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jenniferlicko4736
@jenniferlicko4736 3 ай бұрын
Poleni Sana ndugu watanzania Kwa msiba mzito poleni Sana from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿
@kokenye9003
@kokenye9003 3 ай бұрын
Kutoka kenya tunawapa pole za zetu kwa family na wana Tanzania wote na pia team zabron tunawaombea mungu awafariji sana 💔😭🙏🙏🙏🙏
@youngunique8092
@youngunique8092 3 ай бұрын
May God blessing to all especially Zabron Team🎉
@LucyGabriel-z2p
@LucyGabriel-z2p 3 ай бұрын
Pole sana wanafamili mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu
@razeenkenya
@razeenkenya 3 ай бұрын
Poleni from Kenya mungu hawape amani kwa roho zenu
@germainebindu1097
@germainebindu1097 3 ай бұрын
Poleni familia Mungu tu njo awe Faraja kwenu. Huzuni ni nyingi Kabisa tunakulia ndugu yetu . Pumzika kwa Amani
@margaretkambura4396
@margaretkambura4396 3 ай бұрын
Following from italian.inauma sana.😭😭. consolation to the family, friends , relatives and zabron singers fraternity.
@PATRICKMUTUKU-r5o
@PATRICKMUTUKU-r5o 3 ай бұрын
Faraja ya mwenyezi Mungu iwatoshe familia yote kwa jumla poleni sana ,from 🇰🇪
@nalekelemo
@nalekelemo 3 ай бұрын
My condolences from kenya to the family naombea mungu awape nguvu zaidi
@SalomeSospeter
@SalomeSospeter 3 ай бұрын
Pole sana mke wa Marco mungu akutie nguvu katka kipindi hiki kigimu
@JohnKemboi-r4r
@JohnKemboi-r4r 3 ай бұрын
Poleni sana watanzania nausinika sana kemboi from Kenya
@SamuelManasse
@SamuelManasse 3 ай бұрын
Poleni sana kwa Familia ya zabroni mungu amuraze maharipema nipo Zambia 🇿🇲 imenigusakwakweri
@annetManyonge-gw7rh
@annetManyonge-gw7rh 3 ай бұрын
Jambo hili ngumu kwa zablon singers na familia twasema poleni sana kutoka kenya mungu awatie nguvu
@Roseokongo355
@Roseokongo355 3 ай бұрын
Take heart Zabron's singers though inauma sana, let's give thanks to God for all that has happened, RIP brother Marco Joseph,God take control over this family in Jesus name 🙏🙏🙏...
@beatricetibahinduka
@beatricetibahinduka 3 ай бұрын
R.I.P Marco mke na watoto wako Mungu awape ujasir wa kuhimili maumivu haya
@hellenmaiyo2516
@hellenmaiyo2516 3 ай бұрын
Poleni sana jamii ya zabron singers, Mungu awape faraja zake.
@mamalaozphilemonmtawali.8467
@mamalaozphilemonmtawali.8467 3 ай бұрын
Pole kwa familia jamn! ameacha mke mdgo na watto wadgo Mungu mfariji hyu mke jamn🇰🇪.
@نورةالشهراني-د2ن
@نورةالشهراني-د2ن 2 ай бұрын
Poleni sana ndugu zangu rambi rambi kutoka kenya mombasa
@MartinWanjala-k5b
@MartinWanjala-k5b 3 ай бұрын
Poleni sana ndugu zetu wataNzania kwakumpoteza Muimbaji mashuhuri Macko poleni sana
@janetkitonga4748
@janetkitonga4748 3 ай бұрын
Poleni Sana wapendwa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Sisi tunawapenda sana
@Faithchepkoech-en1tl
@Faithchepkoech-en1tl 3 ай бұрын
Poleni Sana rambirambi zangu kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@rosekenya9401
@rosekenya9401 3 ай бұрын
Kutoka Kenya, Rose poleni sana Wana zabron , Mungu awape nguvu wakati huu mgumu
@MacdonaldOtieno-h8j
@MacdonaldOtieno-h8j 3 ай бұрын
Maisha ya mwanadamu nikama ua la waridi;huota, kuvumbua,kisha kunawiri na kung'aa...mwishowe hunyauka ,kufa nakuoza kurudi mavumbini,mungu ailaze roho yake Marco joseph zabron mahala pema peponi 😢😢😢😢😢
@AMBUBIWILLIS
@AMBUBIWILLIS 3 ай бұрын
Amen
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 3 ай бұрын
Tena mie niongeze kuwa ni kama kivuli,asubuhi utakiona magharibi na jioni mashariki,kisha usiku hakipo tenaa,tungeliyajua haya wanadamu tusingefanyiana baya lolote.Mungu nisaidie ktk siku hizi chache nilizobakiza maana natoweka kama kivuli
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 3 ай бұрын
Inauma so mchezo😭😭😭😭🙏
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 3 ай бұрын
@@MerlinaKubadesha sana sana ndugu
@rosemaryondoro4285
@rosemaryondoro4285 3 ай бұрын
Poleni sana familia
@ZuwenaStaphod-nr7hy
@ZuwenaStaphod-nr7hy 2 ай бұрын
Poleni ndugu ,,
@bensychepngetich5789
@bensychepngetich5789 3 ай бұрын
😭😭😭😭😭 tuko pamona katika maombolezi ,Mungu amlaze mahali Pema ,we shall really miss his voice and charming face
@victoriamalemba8853
@victoriamalemba8853 3 ай бұрын
Pole zangu Kwa familia na WA Tanzania wote .Rip Marco wa zabron😭😭😭
@edouardnduwimana2401
@edouardnduwimana2401 3 ай бұрын
1 Wathesalonike 4 13 Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini. 14 Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. R.I.P ndugu MARCO.
@Roseline-ld8ed
@Roseline-ld8ed 3 ай бұрын
Poleni sana Mungu awafariji 😭😭
@zamani124
@zamani124 3 ай бұрын
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 ni pengo kubwa sana tumepatwaa baada ya kumpotezaaa ndg,kaka yetu aliyekua muimbaji wa zabron singers from KAHAMA nakumbuka wimbo wake napatwa majonzi sana bwana ametwaa na bwana ametoa jina lake lihimidiwe
@erickmbilinyi2802
@erickmbilinyi2802 3 ай бұрын
Jamani mungu awape wepesi Apumzike Kwa Amani tulimpenda Lakini mungu kampenda zaidi AMINA
@janekisanga6474
@janekisanga6474 3 ай бұрын
Namuomba Mungu aendelee kuwsfariji familia ya Zabron Singers
@MercyMusimbi-oq9cr
@MercyMusimbi-oq9cr 3 ай бұрын
Zablon singers,mungu awapanguze machozi na pia amfariji na ampe mkewe na watoto nguvu wakati huu wa machonzi
@ram.digital
@ram.digital 3 ай бұрын
Safari ni yetu sote umetangulia sisi tupo nyuma yako Mungu akuhifadhi mahala pemaa Peponi tutakukumbuka daima daaaaaah nenda baba
@ElizabethWasike-r3b
@ElizabethWasike-r3b 3 ай бұрын
Poleni sn ndugu kw familia 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@thomasmwale3820
@thomasmwale3820 3 ай бұрын
Poleni sana mungu awatete ktk kipindi hiki kigumu.
@margaretkiambuthi5535
@margaretkiambuthi5535 3 ай бұрын
Poleni Sana mungu awape nguvu njirani wetu kutoka 🇰🇪
@TumainsongelaTumainsongelaelia
@TumainsongelaTumainsongelaelia 3 ай бұрын
Mungu amlaze mahali pema tulimpenda san.lakn Mungu kampenda sana amen😢😢😢😢😢😢😢😢
@LydiaKarioki
@LydiaKarioki 3 ай бұрын
Rabi rabi zangu kutoka Kenya 🇰🇪 poleni zabron singers pamoja na tz nzima
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 3 ай бұрын
Mungu akulinde huko uendako na akuweke mahali pema ,hakika kila binadamu ataonja umauti na kulidi mavumbini tuombe 2 huwezi jua kesho yako ipoje pole sana zabron na familia yako hakika mtumaini mungu 2 hakika anaweza yote🙏🙏🙏🙏😭
@sylvia3999
@sylvia3999 3 ай бұрын
From Saudi Arabia ,poleni sana kwa familia ,ila inauma sana, Aki kifo ulitoka wapi 😭😭😭😭
@berthakalori195
@berthakalori195 3 ай бұрын
Ndug zangu zablon polen Sana jamani nimeumia Sana betha kaloli kutoka geita apumuzike kwaaman amina
@wivinemuderwa1874
@wivinemuderwa1874 3 ай бұрын
Pole sana kwa family nzima,pia la ki kriston Tanzania na muke wake na zabroni kwaya .mimi muimbaji kutoka 🇨🇩 yana uma sana 😢😢😢😢
@AnnaMundia-d3o
@AnnaMundia-d3o 3 ай бұрын
Kupoteza ni uchungu .kumwambia mtu pole ni rahisi lakini ikikufika ni uchungu usio elezeka ..ila hii ni mbegu safi Mungu ameweza kuvuna ..Mungu awafute machozi ndugu zetu..wana zablon singers msirudi nyuma kazeni mwendo Marco anejiunga na malaika kumsifu Mungu..
@jacklinewabomba4119
@jacklinewabomba4119 3 ай бұрын
Natuma rambi rambi zangu Kwa familia ya mwenda zake mungu awapanguze machozi na awatie nguvu wakati huu mgumu, poleni sana watanzania Kwa ujumla 🇰🇪
@EuniceKombo-cd7te
@EuniceKombo-cd7te 3 ай бұрын
Pole Sana family yote na Jamii na Wana Tanzania kutoka Kenya🇰🇪😭😭
@HjfhfhDhhhd
@HjfhfhDhhhd 3 ай бұрын
From Kenya but currently in saudia Africa my deepest condolences to his family, friends, zabron singers and the itire community. Mungu awatie nguvu nyakati hizi za machozi.
@user-yu4lf3uh8d
@user-yu4lf3uh8d 3 ай бұрын
Toka Bukavu Congo DR natoka pole sana Kwa jamaa ya zabron Mungu awatiye nguvu 😢😢
@gracebuhatwa6359
@gracebuhatwa6359 3 ай бұрын
Poleni familia.pole mke na watoto wake.jamani inauma.mungu awape nguvu na faraja
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39
Увеличили моцареллу для @Lorenzo.bagnati
00:48
Кушать Хочу
Рет қаралды 8 МЛН
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 87 МЛН
Becky Vivian Ooko 2001 - 2024 || Funeral Procession || Rongo - Kanyimach
43:24
Grandmax Studio Production
Рет қаралды 68 М.
MAMA HUYU AWATOA WATU MACHOZI KWENYE IBADA: BISHOP ELIBARIKI SUMBE
15:54
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 1,3 МЛН
UMATI MKUBWA - MAZISHI YA MARCO J BUKURU WA ZABRON SINGERS -FULL VIDEO
16:23
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39