Jihadi na ugaidi (sehemu ya pili)

  Рет қаралды 19,185

islamicftz

islamicftz

Күн бұрын

WEBSITE: islamicftz.org ||
FACEBOOK PAGE: islamicftz ||
FACEBOOK PROFILE: islamicftz ||
KZbin: / tvimaan ||
Changia Radio na Tv imaan ili ilete nuru nyumbani kwako......
KUCHAGIA TV IMAAN
T-SHILLING ACCOUNT
Beneficiary: TELEVISION IMAAN
Currency: TANZANIAN SHILLINGS
Banker: AMANA BANK (T) LTD
Bank account No.: 0011100016601
Branch: TANDAMTI BRANCH
City: DAR ES SALAAM
Country: TANZANIA
DONATION THROUGH MOBILE PHONE
M-Pesa (Vodafone): +255 767 627284
Tigo-Pesa (Tigo) : +255 713 627284
Z-Pesa (Zantel) : +255 778 627284
AIRTEL: +255
USD ACCOUNT
Beneficiary: TELEVISION IMAAN
Currency: US DOLLARS
Bank account No: 0011100016602
Banker: AMANA BANK (T) LTD
Branch: TANDAMTI BRANCH
City: DAR ES SALAAM
Country: TANZANIA
Correspondence Bank: STANDARD CHARTED BANK
Swift Code: SCBL4533
Account no: 3582026777001
Country: USA/NEW YORK

Пікірлер: 81
@ibrahimmussaali2986
@ibrahimmussaali2986 4 жыл бұрын
Tatizo masheikh hamtufundishi jihadi kwasababu hamuna tauhidi woga tu waserekali
@mohdsaidy7428
@mohdsaidy7428 5 жыл бұрын
Mskin sheikh Hujui unach kifanya ilo jina la ugaidi ni makafiri nd wanao waita ikhwa wa Somalia na nch zingine Mbona unawasapoti ww nimnafik Kama unaijua jihad mbona hutuambii tukatimiza Ibada kubwa
@HarunaKhenry
@HarunaKhenry 2 ай бұрын
Waislam wakweli allah atuongoze ila uyu sheikh hafay na mungu atamuangamiz apa dunian na akher kuwaping mujahideen
@abdulomar9776
@abdulomar9776 2 жыл бұрын
Mzee ushazeeka .kaa ufanye ibada nyingine. Hujui unachosema
@abuumansur9007
@abuumansur9007 5 жыл бұрын
Hadith swahyh MTUME S-A-W- asema atakayekufa na hajakwenda kupigana jihad na wala asiiambie nafsi yake
@jumamadaraka4091
@jumamadaraka4091 3 жыл бұрын
Atakufa kifo Cha jahiliya,(ukafiri)
@jamilajiwan9890
@jamilajiwan9890 2 жыл бұрын
Kweli kbsa
@jamilajiwan9890
@jamilajiwan9890 2 жыл бұрын
Shekh assalam Aleykum akhy naomba unitajie iyo khadeeth
@mohdsaidy7428
@mohdsaidy7428 5 жыл бұрын
Sheikh tubia kabla hujafa Kimbe unailmu kubwa lkn hufuat unaongea tu jihad IP Somalia na tutaend
@jumamadaraka4091
@jumamadaraka4091 3 жыл бұрын
Allah akbar
@amesjames5956
@amesjames5956 6 ай бұрын
Tufundishe hiyo njia ambayo ni nzuri tuache hiyo mbaya
@SadikiJuba-zm9zv
@SadikiJuba-zm9zv 4 ай бұрын
Kwli kama hiko ya sawa atuambie
@abuumansur9007
@abuumansur9007 5 жыл бұрын
Hadith swahyh MTUME S-A-W- asema atakayekufa na hajakwenda kupigana jihad na wala asiiambie nafsi yake kwenda kupigana jihad katika njia ya ALLAH huyo atakufa akiwa ni mnafiq- swahihi muslim
@allynahoda2951
@allynahoda2951 Жыл бұрын
Mashekhe ubwabwa hawa ww ni mmunafiq xomalia nijihad nainxha Allah uixlamu utaximm gaidi niww
@ibrahimmussaali2986
@ibrahimmussaali2986 4 жыл бұрын
Somali kuna jihadi ya kweli hakuma gaidi kama somalia unawapinga wale uamsho sheikh muombe msaamehe mungu wako utachomwà je wanayo yatenda wamajekani ni sawa
@ibrahimmussaali5179
@ibrahimmussaali5179 4 жыл бұрын
Gaidi ni nani we bwege ?mi najua neno hili huitwa waislam wanao sema ukweli kwaiyo unaunga mkono kua wenzio kua magaidi
@iddytimbwa8134
@iddytimbwa8134 3 жыл бұрын
Je lraki wanauliwa pakareo jitambue
@abuumansur9007
@abuumansur9007 5 жыл бұрын
Hii ni hadith swahyh MTUME S-A-W asema jihad itaendelea mpaka cku ya kiama kwa maana jihad haitosimama mpaka cku ya kiama
@abdulomar9776
@abdulomar9776 2 жыл бұрын
Kasome hadith vizuri.wachakutumia kichwa chako
@kamilojuraibb2688
@kamilojuraibb2688 4 жыл бұрын
Nataman nimkate kichwa uyu dah
@jumamadaraka4091
@jumamadaraka4091 3 жыл бұрын
Hata mm ikwaah
@Mapyatv
@Mapyatv 6 ай бұрын
Mshashiba ugar nyinyi nyamazen
@abuumansur9007
@abuumansur9007 5 жыл бұрын
Hii miredio na ma TV yanayojinasibisha na uislam hii ndio maadui wakubwa WA uislam nia yao wataka uislam umalizwe na waislam waonewe na makafir mpaka cku ya kiama
@ibrahimmussaali2986
@ibrahimmussaali2986 4 жыл бұрын
Mbona izo jihami nyengine hamtufundishi
@Rastamuslim
@Rastamuslim 3 жыл бұрын
Watufundishe izo nyingine kisha wakose rizk subutu waache waimbe tarabu wapate rizk awa ndio wanafik wenyewe mzeee aya zote zipo za kuwapiga makafir tena zipo waz wanaziruka
@ibrahimmussaali2986
@ibrahimmussaali2986 4 жыл бұрын
Wewe ongea lakini vyombo vya habari ndo vinaeneze upuuzi kama wako
@feyzungu633
@feyzungu633 2 жыл бұрын
Bas makafri watakuruzuku mshahara na gari Kali kabsa Yani ww sheh unampiga Vita mungu macho makavu kweupe
@moodyman7588
@moodyman7588 5 жыл бұрын
Asalama aleykum je imbapo nnchi ya wengi wao waislam na serekali inasema siruhusa kuadhiniwa más miskitini je si jihad iyo, na polisi wakristo wanaingia miskitini na kuuwa waslamu na kuchafua más skiti je sijihad?
@nassibnassib5691
@nassibnassib5691 2 жыл бұрын
Na pia kama mtu haukickii kutetea dini ya Allah bas usiwazuie wenye kutaka kuitetea. Ili usije ingia kwenye hukumu ya aya moja wapo kt ya aya za hiyo surat tawba.
@nyembo788
@nyembo788 2 жыл бұрын
tufundishen jihad ya kweli ni ipi
@khamisshaban4703
@khamisshaban4703 2 жыл бұрын
kwel nimekumbuk manen ya xheh ya aboud yakuw akuna redio ya kiislam Wala tv ya kiislam kwel maxheena
@abuumansur9007
@abuumansur9007 5 жыл бұрын
Jihad ni fardh ww umekula pesa za makafir unaongea. Pumba tupu
@jumamadaraka4091
@jumamadaraka4091 3 жыл бұрын
@Prosperous nguruwe mkubwa ww
@jumamadaraka4091
@jumamadaraka4091 3 жыл бұрын
@Prosperous tutakuja kuawatawala siku moja nguruwe nyie
@Atheneon
@Atheneon 3 жыл бұрын
@@jumamadaraka4091 Mjinga wewe kuenda hakuna kitu utafanya pumpavu wewe
@Atheneon
@Atheneon 3 жыл бұрын
@@jumamadaraka4091 Unapigania utawala unapenda sana uongozi
@mzongekibwana838
@mzongekibwana838 3 жыл бұрын
Laaanatulhah...mashekhe wachumia tumbo waogopao kifo... kama mtume alipigana vita ww nani mzee unaetudanganya kwa maneno madogo kama hayo..
@mohdsaidy7428
@mohdsaidy7428 5 жыл бұрын
Kimbe unajua kua jihad ipo lkn huiweki wazi basi tupangie izo nyezo sisi tupo tayari tupe hayo mashart ili tuwe mujahidiin we sheikh pia una makosa na upo kimaslahi tu mbona huwabii hao makafiri
@hamisbakari1093
@hamisbakari1093 3 жыл бұрын
Safi kaka tupo tayali
@jamilajiwan9890
@jamilajiwan9890 2 жыл бұрын
Broo tupo tayari kwa jihaad
@Binfuad
@Binfuad 4 жыл бұрын
Wewe shekhe kasome tena au tafuta jembe ukalimee unaongea pumba tupuu
@ramadhanimandoa4058
@ramadhanimandoa4058 5 жыл бұрын
Chengaaa
@abdulomar9776
@abdulomar9776 2 жыл бұрын
Hyu Mzee ni kibaraka tu
@abuumansur9007
@abuumansur9007 5 жыл бұрын
Ma tv ya mayahud na we sheikh ni kafir murtadin
@Binfuad
@Binfuad 4 жыл бұрын
Jinga sana hili shehee huyu ni mnafikii
@nassirlugunda1544
@nassirlugunda1544 3 жыл бұрын
this post haina hata zero score to be posted in the Islamic channel like TV iiman mtu kashiba maharage yake ankaa anaropoka upuuzi na TIF media wanaipost utasema hakuna wasomi pale be serous TIF media this is religion sio mchezo
@rishedyhamad9562
@rishedyhamad9562 3 жыл бұрын
MI NILIFIKIRI HUYU NI SHEKH MWENYE ELIMU KUBWA KUMBE NAE NI WALEWALEEEE/HAYA KACHOMWE VIZURI NI WENZIO
@Rastamuslim
@Rastamuslim 3 жыл бұрын
Swali jee kwani mtumee haja uwa makafir makund kwa makundi uyu sheee anashangaa nini au ni uhaba wa elim
@Binfuad
@Binfuad 5 жыл бұрын
Wewe ni mnafiki tu kasome tena
@sameerabdallah2112
@sameerabdallah2112 2 жыл бұрын
Huyu mpumbavu wa wapi!
@innocentfedelika1301
@innocentfedelika1301 5 жыл бұрын
Ila wewe ulieweka hii clip alafu unaremba sauti inajirudia haifai haya za mungu hazirembwi
@hudimsello3645
@hudimsello3645 3 жыл бұрын
Hawa ndio wanawamaliza waislam na waumini laana ya Allaha iwejuu ya wanaozuilianjia.
@stmokiwa6103
@stmokiwa6103 5 жыл бұрын
Huyu nae ndio walewaleee,,
@AliOmar-dv1rm
@AliOmar-dv1rm 5 жыл бұрын
Haha kweli... Anyone whoever it is anyone who opposes jihad ends up becoming a munafiq ... And if he opposes out of lack of knowledge then that's abit understandable u can explain it to him but if he opposes and he's a a3leem a sheikh, then he ends up becoming a true munafiq and If he inisist then he must be dealt with seriousness.... Kama huyo Fala ati asema jihad lazima kuwe na sababu, sijui amesoma wapi na koti lake Hilo kama la iblisi ama ashapewa pesa na ma kuffar labdaaa..... Sababu si iko wazi wazi clear ......kuna kufr on the land of Allah and so long as there is kufr our quran and our beloved leader of mujaheedin rasul Allah s.a.w commands us to fight kufr.... Sasa huyu munafiq anasema nn ???? They really make me angry with their big bellys eating money of the kuffar so that they change the Deen of Allaah... Uff !!! We will fight nifaaq and kufr..... And we are coming in sha Allah.......
@ramadhanjuma5338
@ramadhanjuma5338 5 жыл бұрын
Duuuu umu ogopi Allah atakufa uwo gopi pia uja jua maana ya ugaidi maana ya ugaidi maana yake ni tishio hivyo uwislaam ume tangaza Dora yani una majeshi na una sheelia na ukumu hivyo uwislam ni tishio kwa makafili na washilikina na wanafki kama ww unae zungu mza kwa hiyo uwislaam ni ugaidi yani ni tishio kwa hao wasio taka uwislam basi ngoja hukumu yako from Allah
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 5 жыл бұрын
Mnafiq atachomwa moto mkali kuliko kafiri
@nassibnassib5691
@nassibnassib5691 2 жыл бұрын
Shekh kama shurut za jihad c uzitaje watu wazijue na wazuate. Mbona unang'ang'ania shurut bila ya kuelewesha watu kuwa ni zipi!. Unasema jihadi bado, twambie mi lini itafika? Au madhira wanayowspata waisla hauyaoni!? Aya unasoma na kutafsiri vizuri kisha maelezo yako unapindisha maana kamili, je huoni? Kumbukeni Mungu yupo na moto upo.
@makaramaonlinetv
@makaramaonlinetv 3 жыл бұрын
KATIKA WANAFIQ NA WEWE UMO, SOMALIA KUNA JIHAD NA HILO HALIPINGIKI, NYIE ENDELEEN KUIPENDA DUNIA,
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 жыл бұрын
huyu hana uhakika ansikiliza tu halaf anatengeneza madaaa
@feyzungu633
@feyzungu633 2 жыл бұрын
Siyo kafir lakin ww ni mnafki nimtu mbaya Sana katika uislam
@shebyabdallah5854
@shebyabdallah5854 3 жыл бұрын
Mpumbavu
@jumamadaraka4091
@jumamadaraka4091 3 жыл бұрын
Hakika huyu no mnafiki..Kwanza hana elimu yoyote punda hiyo.anaridhisha makafiri badala ya kumridhisha ALLAH..huyu anafaaa kukatwa kichwa.anapoteza ummma na kukatisha tamaa waislamu wasitetee dini yao..murtad wewe
@abuumansur9007
@abuumansur9007 5 жыл бұрын
Sheikh kilemile we ni mnafiq na ujue jihad ni ibada tukufu sana na ujue bila ya jhad hakuna uislam kwa sababu jihad ndio suluhisho ya matatizo ya waislamu
@mohamedykataarashidy4406
@mohamedykataarashidy4406 4 жыл бұрын
Unapotosha umma Shekhe haswa sisi mabalobalo
@mohamedykataarashidy4406
@mohamedykataarashidy4406 4 жыл бұрын
Sisi tutashiliki tupo tayali kufa kwenye ugaidi
@abuumansur9007
@abuumansur9007 5 жыл бұрын
Mnafiq ww subir waje hao boko haramu na alshababu wakukate Kichwa chako mnafiq we we
@Rastamuslim
@Rastamuslim 3 жыл бұрын
Al qisas aku wewe hanith mkubwa waislam awaui tuu pasi kuonewa wakionewa ndio walipiza kisas kwa kafir yoyote yule awe tanzania au awe marekan haijalishi wewe mzeee skia usituhanith
@AliOmar-dv1rm
@AliOmar-dv1rm 5 жыл бұрын
Sheikh am sorry but you are very wrong
@abuumansur9007
@abuumansur9007 5 жыл бұрын
Anzisha yako jihad kwa kuwa jihad ni faradhi tupigane chini yako mnafiq mkubwa we na mko wengi wanafiq wengine wanafiq wanaojiita salafiya jadida kiongoz wao mnafiq qasimu mafuta na HUSEN sembe kina humeid WA Mombasa hawa ni wanafiq wakubwa na darsa zao yanapinga jihad waziwazi kabisa wako pamoja na mayahu na wakristo kupinga jihadi na msipotubia mtachomwa jahanamu nyie maulamaa usui
@shabansaid8131
@shabansaid8131 5 жыл бұрын
Acha umakuruhu.
@daudirahim9218
@daudirahim9218 4 жыл бұрын
Jihad ipo na itaendelea
@daudirahim9218
@daudirahim9218 4 жыл бұрын
Wako wengi wanafiki
@abuumansur9007
@abuumansur9007 5 жыл бұрын
Hadith swahyh MTUME S-A-W- asema atakayekufa na hajakwenda kupigana jihad na wala asiiambie nafsi yake
@mohamedykataarashidy4406
@mohamedykataarashidy4406 4 жыл бұрын
Waludishie pesa zao tubia kwa Allah uku ukihofu siku ya mwisho
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Жыл бұрын
Basi nendeni Somalia mukapigane kama ndiyo jihad
@abuumansur9007
@abuumansur9007 5 жыл бұрын
Jihad ni fardh ww umekula pesa za makafir unaongea. Pumba tupu
KATIKA NASAHA ZAO (2022). | NASAHA ZA UKH. SABRINA IBRAHIM TWAHA.
1:33
IBNQAASIMLUKANDAH ONLINE TV
Рет қаралды 149
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 30 МЛН
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,7 МЛН
SHEIKH ABOUD ROGO: MADA HISTORIA YA MTUME NA JIHAD
55:59
ROGO JR
Рет қаралды 17 М.
Sheikh Hamza Mansoor - Uislam sio Ugaidi {Islam is not a Terrorism}
31:19
Mahaasin Tv Official Channel
Рет қаралды 21 М.
HUYU NDIO ADUI KHATARI WA UISLAM BY Sheikh Ilunga Kapungu
18:25
Sheikh Yusuf Diwan
Рет қаралды 36 М.
Sheikh Hassan Ahmed - Kisa cha vijana watatu
5:55
Thamaratul Jannah Tv
Рет қаралды 294
ASILIMIA KUMI NDIO HUONGOZA JAMII | UST. ILUNGA H. KAPUNGU
36:01
Sheikh Naasor BACHU - KWENYE UZITO KUNA WEPESI
36:17
shining noor
Рет қаралды 683 М.
MWISHO WA DUNIA UMEFIKA KIAMA KIPO KONA //SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:02:00
arkas online tv
Рет қаралды 136 М.