ISRAEL imeteketeza zaidi ya Misikiti 1,000 ya Gaza tangu vita na Hamas vianze

  Рет қаралды 8,374

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 269
@halamascat2816
@halamascat2816 10 күн бұрын
Subhanallllah😢😢😢😢
@lavieestbelle3263
@lavieestbelle3263 15 күн бұрын
mwenyezi mungu awape subra wapalestina😢
@halamascat2816
@halamascat2816 10 күн бұрын
Mungu. Atawalipa. Inshallllah
@Leila9773-l4c
@Leila9773-l4c 13 күн бұрын
Mwenyezi Mungu wala.hajawasahau ila.ipo siku hao wababe watamjua Mungu ni nani kwao .Mungu akupeni subra ndugu zetu na ushindi piya uwe wenu wapalestina japo inaonekana ni vigumu
@AbdurahimIsaac
@AbdurahimIsaac 15 күн бұрын
Mwenyezi Mungu Allah Subhaana wata' ala, atalipia wapelestina kwa hayo wanafanyiwa ni mayaundi
@pastorzakariatv1786
@pastorzakariatv1786 15 күн бұрын
Siyo Mungu wa islael kawalipa hamas juu ya kile walicho kifanya oct 7?.
@emmadora7848
@emmadora7848 14 күн бұрын
Hata waisrael wana Mungu wao pia ,nae atawalipia
@AmusedCatfish-hd8wo
@AmusedCatfish-hd8wo 14 күн бұрын
​@@pastorzakariatv1786Mfano wa oct7 n mfano w September 11 twin towers n namna y makafiri makristo n mayahudi kutafuta uhalali wa kudhulumu WAISLAMU n Hilo t lait yanayofanyika Kwa waislamu ingekua n kw makristo au mayahudi Duniani sijui n jina gani mngetupatia
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 12 күн бұрын
Tyr kashalipa maaan lile kanisa kubwa lao Los Angeles limeungua
@emmadora7848
@emmadora7848 12 күн бұрын
@@RitbayRitbay 🤣🤣🤣🤣 mnafurahisha nyie ,Sasa kabisa si wanjenga tu chap ,je vipi hali za watu huko Gaza ? Tuacheni kumuweka Mungu kila mahali ,hata misikiti ilibomoka kipindi cha tetemeko Uturuki je walikuwa wanalipwa ?
@ShadyAbdallah-vu7iu
@ShadyAbdallah-vu7iu 15 күн бұрын
Subhanalla 😭 😭 yarabi Linda uma wako
@ISSACKNTACHO-u3y
@ISSACKNTACHO-u3y 15 күн бұрын
Safi kabisa,,,taarifa hyo iko njema,,hyo mingien ambayo bad inanafuu bora imaliziwe
@adamnasibu5931
@adamnasibu5931 15 күн бұрын
Umefaidika nini sasa😂
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 15 күн бұрын
Upo sawa
@ISSACKNTACHO-u3y
@ISSACKNTACHO-u3y 15 күн бұрын
@@OnesmoEphrata Kwan ww umepata hasara gan?
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 14 күн бұрын
😂😂 baada ya kuvunjwa misikiti umepata hela nyingi kumbe au melipwa au unaendelea na umasikini wenu na ukoo wako huko kijijini mm nilizani ulipata utajiri kumbe njaa kali
@kakore_jr
@kakore_jr 14 күн бұрын
V@@adamnasibu5931wewe unaumia na NN 🤣🤣vunja kabisa
@YusufDaudi-v5f
@YusufDaudi-v5f 15 күн бұрын
Siku Yao Iko karibu inshallah
@hopechidera
@hopechidera 15 күн бұрын
Waliwachokozeaga nini? Unapo chokoza nyuki jiandae kwa madhara ya kuumwa...
@ImaniTinda-h6x
@ImaniTinda-h6x 15 күн бұрын
Siku gani ndg😂😂😂😂😂😂
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 15 күн бұрын
@@YusufDaudi-v5f siku gani wewe 😅😅😅😅
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 15 күн бұрын
​@@hopechideraikiwa huna ujuwalo basi ni heri uwe msoma comment hupungukiwi kitu Israel hawakuchokozwa wao ndio waanzilishi wa vita ila Hamas ni watu wa kudai uhuru hawataki kutawaliwa alafu nahisi wewe ni mgeni wa @SNS ndio maana hii comment bado unayo ebu tafuta fuse ya SNS ili uelimike uache kuongea upuuzi naenda kwa mjinga mwenzako hapo chini
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 15 күн бұрын
​@@ImaniTinda-h6xunajichekesha kama sijuw nn Falao pale Misri alijiita Mungu yeye na watu waliamini je siku yake haikufika? Tena hakuangamia pekeyake na Jeshi lake sasa wewe jidanganye muone huyo Mpolandi Netanyahu ni Mungu kuwa siku yake haitofika
@SaluSaidi-f2j
@SaluSaidi-f2j 14 күн бұрын
Kila munacho kifanya nyinyi makafiri bc mungu atalipa hili hapa hap duniani mujuee ilo
@LeandreCelestin
@LeandreCelestin 13 күн бұрын
Safi kabisa wa Israeli endeleeni kuwapiga hao ma shetani adi watoke chapa kabisa 😂😂😂😂
@DevZone1089
@DevZone1089 15 күн бұрын
"wa annal masajida lillahi" M/Mungu atalipa kwa wakati wake kwa walio boboa misikiti yake...
@MohammedSalamata
@MohammedSalamata 15 күн бұрын
Ina lillah wainahillah rajhuun
@JeremiahJustine-b3o
@JeremiahJustine-b3o 15 күн бұрын
Wamefanya vizuri Sana,waliwauwa watanzania wenzetu ugaidi sio kitu kizuri
@MohammedSalamata
@MohammedSalamata 15 күн бұрын
Ww ni mbwaaa
@reej5715
@reej5715 15 күн бұрын
mpuuzi mmoja ww
@FrankAugustino-g2s
@FrankAugustino-g2s 15 күн бұрын
Acha ujinga ww kwaiyo ww unapenda ugaidi kenge ww,wao si walianza 7 oct au​@@MohammedSalamata
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ 15 күн бұрын
Ujitambui
@hassanmlawa-o6s
@hassanmlawa-o6s 15 күн бұрын
Mtumwa wa sheitwan ww
@tobaonlinetv2348
@tobaonlinetv2348 15 күн бұрын
Innallillah wainaillah rajiuon
@daudrobertmatonange9636
@daudrobertmatonange9636 13 күн бұрын
Haaa! Hadi makanisa wanashindwa hata kumuogopa mungu wa Israel
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 15 күн бұрын
Ikienderea hiviiiiiii ghazaaa itabaki history 😢😢😢 Mr netanyauu stop this war😮
@veeJesus
@veeJesus 15 күн бұрын
Bibi was chilling in his promised land. Walimchokoza wenyewe
@emmadora7848
@emmadora7848 15 күн бұрын
Pande zote zinatakiwa kuacha ,ukisema bibi aache halafu wengine wamrushie kombora haitaisha hii
@ZulaykhaJuma-q9k
@ZulaykhaJuma-q9k 14 күн бұрын
huyu @vee kweli ni veve kweli kweli,!! yaaan haujui kama myahudi ndani ya mwaka 1945 mayahudi ALLAAH awalaani walisaidiwa na nchi za ulaya kuwaua wapalestina na wakakaa kimabavu hapo islael, sasa kwa akili zako hizo ulonazo nakuuliza, "mf mtu anakuua wewe na anaifukuza familia yako kwako afu anakaa yy kama kwake kwa mfano tu je ww utaridhiaa?"
@ZulaykhaJuma-q9k
@ZulaykhaJuma-q9k 14 күн бұрын
huyu @vee kweli ni veve kweli kweli,!! yaaan haujui kama myahudi ndani ya mwaka 1945 mayahudi ALLAAH awalaani walisaidiwa na nchi za ulaya kuwaua wapalestina na wakakaa kimabavu hapo islael, sasa kwa akili zako hizo ulonazo nakuuliza, "mf mtu anakuua wewe na anaifukuza familia yako kwako afu anakaa yy kama kwake kwa mfano tu je ww utaridhiaa?"
@m.e.ssofttech2806
@m.e.ssofttech2806 13 күн бұрын
@@ZulaykhaJuma-q9k Ni historia ndio inaonesha Israel, gaza na west bank ni maeneo ya wayahudi. Ni maeneo ya Babu zao kwanini uwanyime eneo lao. Wapalestina kwao Lebanon, Syria na Jordan warudi kwao.
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 14 күн бұрын
Walichikoza wenyewe hawawezi kuishinda Israel hata siku moja
@daslamonline4665
@daslamonline4665 14 күн бұрын
Majibu tayari huko Los Angeles kama hivyo tu mungu anajibu ,,natanyau mwenyewe yupo clinic ya mshipa wa ngili
@AlpheusCharisma
@AlpheusCharisma 15 күн бұрын
Gaza wanampenda na kufurahia kutangaza vifo,ndo maana hawarudishi mateka ya Israel. Keep it up Israel piga hao wasilamu mashetani Mbwa wale mizoga
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 15 күн бұрын
Mungu hadhihakiwi....utavuna ulichopanda kwa maneno yako
@Bahati47
@Bahati47 14 күн бұрын
Wa Israel wamerudusha mateka ya Palestine?
@abuuabuu274
@abuuabuu274 15 күн бұрын
Alikuwepo firauni alkua ananguvu na jeshi lake lkn aliondoka hta israel mwisho wao utafika hyo ni ahadi imeandikwa
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 13 күн бұрын
Wanaume hai
@DeeJuma-dj1tb
@DeeJuma-dj1tb 15 күн бұрын
Subhanallah ladhwiim
@m.e.ssofttech2806
@m.e.ssofttech2806 15 күн бұрын
Mbarikiwe Israel kwa kupunguza makelele, maana duu makelele tupu. Halafu mnasema bar wanapiga kelele, kwani muda wenu wa ibada si mnaufahamu hadi mtumie Spika kubwa jamani.
@jumamaulid3577
@jumamaulid3577 15 күн бұрын
Kwan nyie na ss nan anapga kelele kweny ibada?
@m.e.ssofttech2806
@m.e.ssofttech2806 15 күн бұрын
@jumamaulid3577 Ni nyinyi mnapiga kelele kwa megaphone kabla ya kuswali, wakati wa kuswali na mawaidha. Kama muda wa kuswali mnaufahamu msipige kelele kwa megaphone wengine wanaona KERO. Ndio maana Israel imevunja misikiti 1000 huko gaza
@gibsonelizeus998
@gibsonelizeus998 14 күн бұрын
Tukumbuke biblia Amosi 1 7 lakini nitapeleka moto juu ya ukuta wa Gaza, nao utayateketeza majumba yake. 8 Nami nitamkatilia mbali mwenyeji katika Ashdodi; na yeye aishikaye fimbo ya enzi katika Ashkeloni; nami nitaugeuza mkono wangu uwe juu ya Ekroni; na mabaki ya Wafilisti wataangamia, asema Bwana MUNGU.
@africanQueeny-u7o
@africanQueeny-u7o 15 күн бұрын
Safi sana Israel 😅😅😅 ikiwezekana mtafute Mungu wao sehem alipo
@pabloLOOKMAN-m4j
@pabloLOOKMAN-m4j 15 күн бұрын
ulaaniwe subiri tunaingia kipindi cha majanga kila mtu atavuna alichopanda
@DouglasMassop
@DouglasMassop 15 күн бұрын
Nenda Los Angeles ndo utaelewa uwezo wa mungu. Watu wako wanateketea kule. Mmarekani ndo anasapoti israel. Mnapiga uku na nyinyi mnaunguzwa na moto. ALLAH anajibu
@muhammadmbaraka4515
@muhammadmbaraka4515 15 күн бұрын
Nilijua tu wajinga kama nyie hamkosekani kwenye comment.. *ALLAH akuongoze huenda hujui unachokifanya*
@AbdoulYousouf-c3g
@AbdoulYousouf-c3g 15 күн бұрын
Yuko Los Angeles nendeni😂😂😂
@YussufMohd-fc1dj
@YussufMohd-fc1dj 15 күн бұрын
mhh mungu siyo wa kutafuta kilakona yupo ndo maana kaumba mbingu na ridhi waislm popote ni halali kwa ibada isipokua sehmu isiyo tohara bc
@MikelSitoe
@MikelSitoe 15 күн бұрын
Hakuna Wana sheria Dunia hii wote hao wezi 😂😂😂😂
@rashidimussa471
@rashidimussa471 15 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@BahatiPoulo-li4ih
@BahatiPoulo-li4ih 15 күн бұрын
Israeli piga sana hao magaidi, mungu wao awasaidie tuone
@muhammadmrmj6228
@muhammadmrmj6228 15 күн бұрын
Akitusaidia je utaacha ukafairi?
@hassanmlawa-o6s
@hassanmlawa-o6s 15 күн бұрын
Kwan makanisa hayajabomolewa? Sasa ww nenda Israel alafu kamsifu bwana wako Yesu kama utabaki salama
@wadantz123
@wadantz123 15 күн бұрын
Hee kumbe Kila mtu kaumbwa na mungu wake 😂😂😂😂nilikuwa cjui
@LutfiaRashid
@LutfiaRashid 15 күн бұрын
Gaidi huyo malaya alokuzaa
@jasintherjovinary6213
@jasintherjovinary6213 15 күн бұрын
Kafiri na wewe. Na.mbona mnakimbilia nchi zetu. Mmejaa ulaya na Marekani mnayoichukia. Wengine wanaoana na kakana dada ili waletane Marekani. Kafiri wewe mwenyewe.​@@muhammadmrmj6228
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw 15 күн бұрын
Safi sana waendelee kuvunja hata huu wa alaqsa wavunje hii misikiti ni vichaka vya ibilisi
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 15 күн бұрын
Bangi hazikukuacha salama.
@hanifa9153
@hanifa9153 15 күн бұрын
Shetani wew na alokuzaa nyote nashetani unanuka dhambi moto utakutosha👹👹
@MasterTulo
@MasterTulo 15 күн бұрын
Kweli kabisa
@muhammadhariz1100
@muhammadhariz1100 15 күн бұрын
Laana ya Allah kwa makafiri
@hopechidera
@hopechidera 15 күн бұрын
​@@muhammadhariz1100laana ya Mungu kwa wanafki...
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 14 күн бұрын
Tunasubiri balaaa litakalowapata wa israel marekani sasa wanapata cha moto
@ZakayoDionisi
@ZakayoDionisi 15 күн бұрын
Kama magaidi wamejificha humo unafanyaje
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 15 күн бұрын
Ahadi lazima itimie ya waisrael kufanya ufisadi kwnye mgongo wa aridhi.
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 15 күн бұрын
@@hamadsheni8997 Ufisadi gani wewe 😅😅🤣😂
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 15 күн бұрын
@zebedayokatamaduni9676 wewe unajua ufisadi.nikuiba hela. Wayahudi wa bongo bna.
@pabloLOOKMAN-m4j
@pabloLOOKMAN-m4j 15 күн бұрын
​@@zebedayokatamaduni9676 makafiri hamjajaliwa nuru ya mwenyzi mungu tumeshaingia katika nyakati ngumu Anyway kila mtu atavuna alichopanda unaposkia ufisad unadhani ni kuiba hela
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 15 күн бұрын
@@hamadsheni8997 Bado hamjasema.
@jonasmrema8550
@jonasmrema8550 15 күн бұрын
Tulia ewe gaidi​@@hamadsheni8997
@ZakayoDionisi
@ZakayoDionisi 15 күн бұрын
Muyahudi hajabagua mpaka makanisa
@CadiaOnesmo
@CadiaOnesmo 15 күн бұрын
Vita Haina macho acha makasiliko
@daudrobertmatonange9636
@daudrobertmatonange9636 13 күн бұрын
Ila makanisa wangefanya wawezavyo wangeyakwepa makanisa jaman hadi makanisa Mungu awarehem ndugu zetu wa yahudi Bado tunawapenda
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 15 күн бұрын
Mali na vilivyomo nivya baba yao wanasema hawaambiwi.
@omondiowino7875
@omondiowino7875 15 күн бұрын
Bendera ya Israel na izidi kupaa juu...🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱
@ImaniTinda-h6x
@ImaniTinda-h6x 15 күн бұрын
Ameeeen
@hassanmlawa-o6s
@hassanmlawa-o6s 15 күн бұрын
Nenda kamtaje Yesu nchin Israel kama utabaki salama
@omondiowino7875
@omondiowino7875 15 күн бұрын
@hassanmlawa-o6s hizi propaganda za kijinga bado hamjachoka kuzitumia..mara ooh ukimtaja Yesu Israel unapigwa..mara ooh unatemewa mate... wakati kuna wayahudi kibao ambao ni Orthodox Christians...pale Jerusalem kuna Kanisa lipo pale au unadhani ni pambo ... wakati mnakula kichapo mnakuja kutafuta huruma za Wakristo ili tuwaunge mkono wakati mtume wenyu aliwaambia kuwa adui wenu mkubwa ni wayahudi na Wakristo
@ImaniTinda-h6x
@ImaniTinda-h6x 15 күн бұрын
@@hassanmlawa-o6s Toka zako watu tunakusali pale kwenye ukuta wa machoz na hawafanyi chochote. Wakristo wapo wengi tu usifikir kila muisrael anampinga YESU KRISTO, ila nyie waislam hawawataki ata kuwaskia ndo maana wanataka wabomooe dome of the rock wajenge hekalu, hata adhana hairuhusiw Israel
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 15 күн бұрын
@@omondiowino7875 Israel 🇮🇱🇹🇿🇺🇸💞💐💪💖💖💖
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 15 күн бұрын
Sema na makanisa maana wale hawaamini katika imani kama hizi za kwetu hata wakirsto na makanisa vimeteketezwa sana ila tu misikiti ndio mingi zaidi
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 15 күн бұрын
@@AFRICA_D669 Ukificha magaidi msikitini maana yake tayari msikiti ama kanisa vinakua target ya kijeshi
@mndemeofficialtv5031
@mndemeofficialtv5031 15 күн бұрын
Mndeme16- SIKU SI NYINGI MASHAMBULIZI YATAWA PATA IZRAEL.. WATAJUTA
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 15 күн бұрын
Uongo😂😂😂
@YohanaJoshua-h2j
@YohanaJoshua-h2j 15 күн бұрын
Ulaaniwe na umeshalaaniwa
@SbOm-b7k
@SbOm-b7k 15 күн бұрын
Lengo lake nikupoteza historia yake ghaza, lkn haipotei sababu vitabu na maandiko yap
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 15 күн бұрын
Wanaficha magaidi kwenye nyumba za ibada. Kazi iendelee
@aleyidukury8333
@aleyidukury8333 15 күн бұрын
We nimkund.. pumbavu zako shetan ww
@sonnyr1899
@sonnyr1899 15 күн бұрын
Na wewe siku yako iko Mzekigogo
@ramagwama
@ramagwama 15 күн бұрын
Akil nusu kijiko hupelkea kupayuka Maneno kama Aya.
@EriyaRichard
@EriyaRichard 15 күн бұрын
Mbona usemi makanisa yame bomolewa pia huko apa wametaja misikiti lakini Kuna makanisa yame pomolewa
@pabloLOOKMAN-m4j
@pabloLOOKMAN-m4j 15 күн бұрын
Kinachowakuta wapelestina hata makafiri kitawakuta ni swala na muda
@raismalingumutz8473
@raismalingumutz8473 15 күн бұрын
Hivi warabu mkeo wapi pigeni nyukilia makafiri wasilamu muko wapi mbona mpo kimia tu
@HajiKabacalaf-kv7fd
@HajiKabacalaf-kv7fd 15 күн бұрын
Alii masubi. Israel walilaniwa so hawana ubinadamu
@OctavianiRongino
@OctavianiRongino 15 күн бұрын
Waafrika kaziyao nikuongelea ni mambo ya dini chaneli ii uenda nitawi la iran
@Anthonyzombie-d2s
@Anthonyzombie-d2s 15 күн бұрын
Vini hiy misikit inafuga majini
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 13 күн бұрын
Hata wamalize miskiti yote huko bado uislam hauta yumba wanajisumbua tu uyahuud ni kabila sio dini na wala wasizani kua watasabanisha vita kat ya waislam na wakristo kamwe wakristo na waislam sisi tupotimamu
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 15 күн бұрын
Awa jamaaaa... Luna vintu vingi sana munatipa taarifa tofauti sana.... Misikiti Gaza haifiki ata elfu moja unless Kama munasema kila nyumba kule Gaza ni misikiti. Iyo information niyaowongo.... Iyi ni Vita, na iyi si Vita ya open war.... Hamasi ilikoseya sana.
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 15 күн бұрын
Mwisho waoumefika Israeli tuliyenii
@annasolomon9855
@annasolomon9855 15 күн бұрын
😅😅😅😅 unaota ndoto za mchana ukiwa umekaa kwenye kochi 😊😊
@PetertadeiPeter
@PetertadeiPeter 13 күн бұрын
Nauliza hawa hamasi kwanini wanaganda na hawa mateka huenda vita vitaisha
@AlpheusCharisma
@AlpheusCharisma 15 күн бұрын
Afadhali hiyo misikiti vunjeni yote maana ndovituo vya magaidi. Waslamu nimagaidi tu. Keep it up Israel piga hao wasilamu magaidi hadiwaombe pooh maana niwajinga sana wameomba Vita wenyewe kisha waanza kulialia ujinga pumbavu zenu
@YussufMohd-fc1dj
@YussufMohd-fc1dj 15 күн бұрын
We pweza kweli subiru sku mauti yakufikie utajua km mskiti ni kituo cha ugaidi utatamanj kurudi duniani kwa sekunde moja 2 ufute kauli yako
@AlpheusCharisma
@AlpheusCharisma 15 күн бұрын
@YussufMohd-fc1dj walienda wenyewe kumchokoza Israel wakaua na kuteka. Keep it up Israel piga hao wasilamu magaidi
@AlpheusCharisma
@AlpheusCharisma 15 күн бұрын
@YussufMohd-fc1dj waombe msamaha na warudishe mateka au waendelee kufatu, Mbwa watakula mizoga
@fatumahamisi-m1e
@fatumahamisi-m1e 15 күн бұрын
​@@AlpheusCharismaDunia ni ya mwenyewe Allah hivyo wafanye watakavyofanya hakuna mmiliki wa hii dunia kila kiumbe kitarudi kwa muumba.
@Ryannkae
@Ryannkae 15 күн бұрын
@@fatumahamisi-m1e ajasema kwa umbaya no wengi wanechoka kunakuta mtu unaye mteteya ajali anavyo shauriwa kwani kurudisha watu wa Israel na kuhendekeya kuuwawa kipi kinzuri
@RonnieBertin
@RonnieBertin 15 күн бұрын
Wapalestina wamejitekenye wenyewe sasa wanacheka wenyewe
@FelixMurishi
@FelixMurishi 15 күн бұрын
Majini yawasaidie ,nyie ndugu zenu majini siyawasaidi enyi makafili wa kiislam😊😊
@RonnieBertin
@RonnieBertin 15 күн бұрын
Next time wataacha kuficha bunduki mabomu makombola kwenye misikiti
@pastorzakariatv1786
@pastorzakariatv1786 15 күн бұрын
Mimi nilisema hamas wanauwa watu wao makusudi WANATAKA WATU WAO WAFE WANGAPI NDIPO WAWAACHIE MATEKA MI NA FIKILI KAMA NETANYAHU KUWA MWIZI ANATAKIWA KUPIGWA TU MPAKA AONYESHE MWENYEWE ALIVYOIBA SIKU WAKIWARUDISHA MATEKA WATAGUNDUA KUNA WATUO WAO WENGI WAMEPOTEA AMBAO HAWAWEZI KUWARUDISHA
@mussaabobakar7537
@mussaabobakar7537 13 күн бұрын
NA bado unaambiwa wapo sawa tu wanacho fanya
@shammhagama2527
@shammhagama2527 15 күн бұрын
Duuh
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 15 күн бұрын
Halafu nisiugane na Irani mimi Sunni namuunga mkono irani kuliko saidiya au mmasri woote wabovu
@LutfiaRashid
@LutfiaRashid 15 күн бұрын
Uzuri kwa muslim msikiti upo moyoni mwake ibada ni popote tu ,tukikosa maji tunatumia mchanga sijui wanalijua hilo
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 15 күн бұрын
@@LutfiaRashid Sawa lakini waambie ndugu zako katika iman waaache kutumia nyumba za ibada kama ngome za kijeshi
@LutfiaRashid
@LutfiaRashid 15 күн бұрын
@@MzeeKigogo_ kwahyo waje kwako?
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 15 күн бұрын
@@LutfiaRashid kwangu wapi?
@DeoKimbe-gt4op
@DeoKimbe-gt4op 15 күн бұрын
Wanao dhulumiwa watoto na wa mama marekani hawaki amani kuiba mafuta tuu
@JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq
@JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq 15 күн бұрын
Mmmmh hapa sina comment
@StarMerinyo
@StarMerinyo 14 күн бұрын
Wewe mtangazaji bwana sasa kama kila kitu kimeharibika sasa ulitegemea misikiti ibaki,wewe acha udini vita ni vita havichagui wapi pabaki
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 15 күн бұрын
Kwenye agano la kale waisraeli walikuwa wanaambiwa wateketeze, madhabahu zote za miungu, na maashera! Wenye D 3wataelewa! SHALOM ISRAEL 🇮🇱 ❤
@ZulaykhaJuma-q9k
@ZulaykhaJuma-q9k 14 күн бұрын
silimu utasalimika acha ukafiri
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 14 күн бұрын
@ZulaykhaJuma-q9k utasalimika vip wakati mtume wenu enyewe aliulizwa akawa ana jibu yeye mwenyewe ajui aendako! Lakini Yesu ni njia na kweli na uzima, ukimwamini utaokoka
@ZulaykhaJuma-q9k
@ZulaykhaJuma-q9k 14 күн бұрын
bas tusubir ni muda mchache tu ukweli utauona live, ila nakupa onyo,, "usife ila umekufa upo ndani ya uislamu"
@halamascat2816
@halamascat2816 10 күн бұрын
🤲🤲🤎☝️❤️🇵🇸🇵🇸
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 15 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@barakambembela7274
@barakambembela7274 15 күн бұрын
Waliyataka wamelipwa sawa na vitendo vyaooo wakarudie Tena waone
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 15 күн бұрын
Bomoa takatak hz zinafuga majina
@LASINO7
@LASINO7 15 күн бұрын
Piga hao kima
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 15 күн бұрын
Hua waislam wanasema kua watasoma DUA, je wataanza lini?
@LutfiaRashid
@LutfiaRashid 15 күн бұрын
Mbn tushasoma na tunasoma kuendelea kwani Moto haujaona?
@adiaygo8546
@adiaygo8546 15 күн бұрын
Mungu yupo wapi?
@hassanmlawa-o6s
@hassanmlawa-o6s 15 күн бұрын
Mungu hawai Wala achelewi ww omba uzima tu
@RajabuHamis-o5e
@RajabuHamis-o5e 15 күн бұрын
Hayupo ndugu
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 15 күн бұрын
@@adiaygo8546 yule mungu wa kiarabu amekula kona ameacha wafuasi wake wanakula kisago cha mbwa mwizi
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 15 күн бұрын
Taifa teule 😂😂
@Uesilamsiodiniyakweli
@Uesilamsiodiniyakweli 15 күн бұрын
Kusitisha mapigano wakati mateka awajarudi😳😳 unaumwa wewe
@m.e.ssofttech2806
@m.e.ssofttech2806 15 күн бұрын
Tunawaomba Israel mchukue eneo lenu la gaza na West Bank, msiogope kama putini kuchukuwa cremlin
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 13 күн бұрын
Na hata dodoma pia ni eneolao walipewa na mungu watachukua tu jodan tayari yemen pia ni yao wameshaanza kuichukua hao dunia hii ni maliyao sema emee
@m.e.ssofttech2806
@m.e.ssofttech2806 13 күн бұрын
@mustafamsati9599 Dodoma na Tanzania sio maeneo yao. Wayahudi maeneo yao ni Palestina. Ni urithi kutoka kwa Babu zao
@EriyaRichard
@EriyaRichard 15 күн бұрын
na makanisa wame bomoa sasa cjui wakristo wakae wapi yenyewe yame bomolewa mengi2 😂
@emmadora7848
@emmadora7848 14 күн бұрын
Vita haina macho mkuu
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 15 күн бұрын
Hafu Kun wajinga hp tz walsem et eny majesh twenden tukapgane palestin
@SADICKITHOMAS
@SADICKITHOMAS 15 күн бұрын
Na Israel madanguro yao ya ushoga ni mangapi yalosambaratishwa na wahouth iran na hizbollah admin
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 15 күн бұрын
Pole sadiki najua umeumia Kwa ilivyo kufikia
@veeJesus
@veeJesus 15 күн бұрын
Israel na ushoga wapi na wapi. Unafkiri Israel ni ulaya au marekan 😢😢
@emmadora7848
@emmadora7848 14 күн бұрын
Hizo zote ni hasira ,pole
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 15 күн бұрын
Israel 🇮🇱 piga kabisa Magaidi wote uwaaaa Shenzi kabisa Magaidi wote Hamas Hezbollah
@muhammadmrmj6228
@muhammadmrmj6228 15 күн бұрын
Mshenzi wa kwanza ni wewe wapili Israel watatu Ibilisi
@qwerqasd8597
@qwerqasd8597 15 күн бұрын
Lana ya Allah iwe juu yako na hao makafiri wenzako
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 15 күн бұрын
@muhammadmrmj6228 Yaani magaidi wote duniani wanapigwa nyundo tu, piga kabisa Magaidi wote uwaaa uwaaaaaa, Shenzi Iran imeleta uislamu wa Shia fundisho lao kuchukia watu wengine duniani wayahudi na wakristo Sasa mtapigwa vibaya sana kama ngoma Magaidi wote. Kama na wewe umo shauri yako Israel 🇮🇱 piga kabisa Hamas Hezbollah
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 15 күн бұрын
@qwerqasd8597 Kafiri ndiyo wewe sasa mpinga amani duniani, Kafiruna mkubwa kuliko wote duniani, unaunga mkono magaidi Hamas Hezbollah Iran Huth wewe ni mtu gani wewe
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 15 күн бұрын
@@qwerqasd8597 Iran imewaletea uislamu wa kipumbavu Shia ni kujitoa muhanga kujilipua kumeza mabomu pumbafu
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
Yote unayopaswa kufahamu kuhusu ndege za kivita!
28:51
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 10 М.
Islam, kirken og Israel - Einar Gelius
52:59
Med Israel for fred
Рет қаралды 5 М.