Israel yabaini dhahabu za mamilioni ya dola na pesa taslimu zilizokuwa zimefichwa chini ya hospitali

  Рет қаралды 8,256

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 210
@rehemahamza-l5u
@rehemahamza-l5u 3 сағат бұрын
Siku yenu itafikatu na nyinyi mtafanyiwa hivyo hivyo mtapiga kelele hakuna atakae wasaidia wakati wa mungu ndo wakati sa hihi😊
@frednassary7210
@frednassary7210 3 сағат бұрын
Mkipiga nyie sawa, nyie mkipigwa aaah😅
@LucyNgowi-r2o
@LucyNgowi-r2o 3 сағат бұрын
Ulishawahi kusikia taifa lenye nguvu hii ndio maana halisi kuna siri juu ya taifa hili la izrael😂😂😂😂
@JoalAlma-ci1hi
@JoalAlma-ci1hi 3 сағат бұрын
Unajua we ni mpumabavu saan wewe yani israel haikuwa na shida na awa ezbolah sasa kiliwawasha nni mbwa koko awa kuwachokoza wanaume wanasababisha wenzio wasio kuwa na atia wanatumia mahospital kuficha mambo yao acha wafe nguruwe kabisa hao
@annasolomon9855
@annasolomon9855 3 сағат бұрын
Toa huruma zako hapa.. 😅😅
@ShukulaniMsyaliha
@ShukulaniMsyaliha 3 сағат бұрын
Yani wakipinga wao sawa ila wakipigwa wao kelele kama zote.mmi sipendi wanavwouwouwan ila sisi mashabiki ndio tatizo Yani tunakuwa mashabiki wa vita? Kweli tumefika pambaya sana.badara ya kuombea tunashabikia😊
@JumaaKarisa-j3z
@JumaaKarisa-j3z Сағат бұрын
Niwarongo jeshi la Israel wanajaribu kupanga habari zitakazo halalisha mashambulizi ya makazi ya umma kamavile hospital, kambi za wakimbizi mashule nakadhalika, lakini inshallah kwauwezo wake Allah mwisho wao ukokaribu,.....!
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 2 сағат бұрын
Wao washangae pesa ilo nitaifa japo nipropaganda ya kuuwa laiya tumejua.
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 2 сағат бұрын
Pesa za watu hizo, huo si wizi wakimaskini kweli waarabu wana mali zinawatoa roho mayahudi, simumwambie mungu wenu awape hela nyie si taifa la mungu mbona hajawapa hata mkaa mmoja wamawe, makuma nyie
@Jurbeg
@Jurbeg Сағат бұрын
Hivi matajiri namba moja Duniani niwaislam sio 🤔
@AbelCharles-co6qb
@AbelCharles-co6qb Сағат бұрын
😂sasa unamtukana nani
@ayoublupande3007
@ayoublupande3007 Сағат бұрын
​@@JurbegWe hujui Hilo au siyo hahaha 😂 au umeingia kwenye mfumo wa wazungu wenye pesa za propaganda na kuiba Africa waarab wanapesa na ndo maana unaona Mayahud na washirika wake wanavyo wahangaisha Kila kukicha elimika ndug yng
@Jurbeg
@Jurbeg Сағат бұрын
@@ayoublupande3007 tunagawana majukumu wee kibaraka chamuarabu mimi wazungu sio
@FrenkMushi-i7f
@FrenkMushi-i7f Сағат бұрын
Acha ujinga wee ndo unatakiwa uelimike warabu Awana lolote njaaa tupu
@hamadsobo304
@hamadsobo304 2 сағат бұрын
Juzi tu mulijadili Mkoba ya mke wa kiongozi wa hamasi leo mumeiba pesa za mwenyewe kumbe nyinyi waizraili ni masikini na choyo munacho cha maendeleo wa wezenu.
@hanifa9153
@hanifa9153 2 сағат бұрын
Kabisa wana choyo hakna wanachopigania zaidi ya dhulma wanataka kjilimbikizia mali za wenzao laanatullah ucku na mchana
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 3 сағат бұрын
nyiye ni wezi mnapigana au mnaenda kuiba
@SarhaSaid
@SarhaSaid 3 сағат бұрын
Wanaenda kuiba kwani hukuona palestina walivyo iba
@annasolomon9855
@annasolomon9855 3 сағат бұрын
​@@SarhaSaid😅😅😅😅 . Mkome..
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 сағат бұрын
Hawa wakioigwa wanaongea sn Ila wakipiga kelele nyingi ​@@SarhaSaid
@raydanfrenk
@raydanfrenk 40 минут бұрын
😂😂😂 Chukua kila kitu Israel nguvu moja
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 2 сағат бұрын
Iyo kazi yao kuiba kuna police mmoja anajifaharisha kavaa shingoni chenille aloiba kwa wapaestina ao ni wezi sio cho ni wezi
@RaphaelJickson-g1u
@RaphaelJickson-g1u 3 сағат бұрын
Waongo tu hao
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 сағат бұрын
WAPEWE award ya uongo hawo MASHOGA 😢😢😢😢😢😢
@annasolomon9855
@annasolomon9855 3 сағат бұрын
Pole.. dhahabu na mamilioni ya fedha zimeshachukuliwa.. utawaambia Nini ..
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 сағат бұрын
@@annasolomon9855 hiyo ni njia ya kuiba ARDHI WANAJULIKANA MASHOGA wa taifa teule 🤩🤩🤩🤩🤩
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 2 сағат бұрын
Uyo unayemwita shoga anampiga mwanaume ambaye sio shoga asa ww kwa akili yako kati ya mwanaume shoga na ambaye sio shoga nan kwanaume apo😂😂😂😂atakayempiga mwenzake. Sababu shoga hana akili wala nguvu ya kupigana anapigwa kila mda😂😂😂
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 сағат бұрын
@@tekashisixtynin9threewithd727 ANAPIGA WATOTO NA WANAWAKE 🤧🤧🤧🤧🤧🤧PAMOJA NA WAGALATIA WA TEC HUKO SASA WAGALA TUWAOMBEE TU KILA SIKU WAZAYUNI
@papamukulu1045
@papamukulu1045 48 минут бұрын
Mtoto wa nyoka ni nyoka ​@@OmmyJames-xn7ji
@raymrash
@raymrash 3 сағат бұрын
Piga hao magaidi waliyataka wenyewe
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 28 минут бұрын
Majalbazi wezi WA dhahabu south africa
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf Сағат бұрын
Gaza part 2
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe 3 сағат бұрын
Ni waongo wanataka kuivunja hio hospital
@ommymehmed8880
@ommymehmed8880 3 сағат бұрын
Hao ni waongo tena waongo waongo wakubwa...
@songamberetv2219
@songamberetv2219 3 сағат бұрын
Hauwezi kusema ite ni uongo hezebollah wana pesa nyingi na ndo zinawasaidia kulipa mishahara vyakula na vitu vingine so ukisema eti uongo unamanisha kwamba wanakula nyasi wanapigana kwa mawe wanatibiwa kwa majivu na vyitu vingine
@ommymehmed8880
@ommymehmed8880 3 сағат бұрын
@@songamberetv2219 Ndugu yangu ,ukiambiwa na ww jiambie...Kitu ikiitwa mali nyingi ujue nn maana yake... Hamas kwenye hayo mahandaki ndimo wanaendesha harakati zao ila sio sehemu ya kuhifadhi vitu vyao muhimu sana... Pili Hamas wenyewe wanajua kwamba kuna baadhi ya maeneo ndani ya hayo mahandaki yatafikiwa na maadui ... Hivyo basi wao sio wajinga wala wapumbavu kama tunavyofikiria sisi huku,kuwa wanaweza kufikiwa kiuwepesi mahali ambapo wameweka nyara zao au vitu vyao muhimu vya kuendeshea harakat zao .... Tatu kama hoja ni kuyafikia mahandaki basi wangelishawapata mateka wao .. Hao israel ni waongo wanafiki wakubwa ....waoneshe sasa izo mali walizozikuta ili tuwaamin .
@leonardjohnson2058
@leonardjohnson2058 3 сағат бұрын
Bado hamjasema
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 2 сағат бұрын
M nikajua tayari wamesha zikamata kumbe bado! Ss siwame wapa taarifa ili zihamishwe😊
@mudighurayra
@mudighurayra 3 сағат бұрын
Proper ganda zao tushazijua wala hatushughuliki
@annasolomon9855
@annasolomon9855 3 сағат бұрын
Maneno ya wakosaji na kushindwa , zile kelele ooh Israel haiwezi Hezbollah 😂 ooh vita vya ardhin Israel haiwezi.. ndo hao wanabisha hodi Hadi kwenye handaki zao.. na hakuna watu wanaroho ngumu kama Wayahudi.. wapo tayari wabaki 2 katika vita.. 🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱💪💪
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 сағат бұрын
Ss nn kinawauma km ni propaganda😂😂 si make kimya tuone basi propaganda itakuwaje
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 сағат бұрын
​@@annasolomon9855umeona eeh 😂🇮🇱💪hawajui tuko kwenye maombi ya kukausha mpk huo uchumi unaowapa kichwa Asante Yesu
@FrenkMushi-i7f
@FrenkMushi-i7f Сағат бұрын
Taifaaa la MUNGU
@mudighurayra
@mudighurayra 14 минут бұрын
@annasolomon9855 hahhaa inaonesha hujui kua kila siku skuiz Israel wanazika tu kimya kimya na watu kulia
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v Сағат бұрын
Pesa za majini
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 3 сағат бұрын
Hiyo ndio kazi yao kuuwa watu kwa kuiba Mali za watu hao ndio wazungu
@omondiowino7875
@omondiowino7875 3 сағат бұрын
Kama niya Yao ingekuwa kuiba hawangetangaza
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 сағат бұрын
Zimefumwa dhahabu na mabilion ya fedha.. Iko hivi huyu Mungu hugeuza ubaya wa adui kuwa mema kwa mja wake.. hayo mabilion na dhahabu usikute yalichangwa na nchi kadhaa mpaka Putin yupo humo Ili kumwangamiza muisraeli.. lakini Neema ilioje kumbe Wanamchangia myahudi Patamu hapo😅😅😅😅 .. Mungu wa Israel Asante ❤❤❤
@rogersiddy
@rogersiddy 2 сағат бұрын
Unahisi umecomment point?yaan mtu akute hela alafu autangaze mwenyewe uko sahihi kweli?
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu Сағат бұрын
@@omondiowino7875 watuoneshe sasa tuone
@ce-08
@ce-08 2 сағат бұрын
Kweli Vita haichagui silaha
@AllySibila
@AllySibila Сағат бұрын
Sasa mnataka waweke Bank muwafilisi
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 3 сағат бұрын
HUO NI WIZI SIO ZAO, WAACHANE NAZO. WATU WANATETEA NCHI YAO LEO WAMEKUWA MAGAIDI
@raymrash
@raymrash 3 сағат бұрын
Waliwachokoza wenyewe 😂😂😂
@robertokasike4824
@robertokasike4824 Сағат бұрын
Mmeanza wizi rudisheni pesa za watu na dhahabu zao
@TeddyDickson-w5p
@TeddyDickson-w5p 2 сағат бұрын
Sawa kwani zao ?
@habarinamichezo6427
@habarinamichezo6427 2 сағат бұрын
Ndugu zangu wote was proud to be poleni Sana aisee mwana kuli find ndio mwna kuliget tofauti ni silaha za Israel zote zinafikia target while za hesbolla nyingi zinaishia njiani iwe propaganda iwe nini mkubali mihemko inawaponza angali wenzenu wanakuja kiakili ikumbukwe sehemu yoyote inapopigwa Bomu kuna warning hutolewa ndio maana mnapata video zinazoonyesha specific target
@DuuSaid
@DuuSaid 2 сағат бұрын
Pesa zizao wenyewe..propaganda za kivita haziwasaidii kutia sumu kwawatu pesa zao wenyewe simaskini ..sma pia Kama wametengeza wamarekani izo dola
@paschalcharles3617
@paschalcharles3617 Сағат бұрын
Kitu ambacho HUJUI ni kwamba Israel wanapigwa sana hasa upande wa ARDHINI tangu walipovuka mpaka kuingia ndani ya Lebanon kusini wamevuka maili 1 PEKEE na tangu wakati ule hawajaweza kuvunja ngome za Hezbollah na Israel inaripoti vifo na majeruhi wengi kila siku
@Bahati47
@Bahati47 Сағат бұрын
Huna akili hata za kuongilia chooni walio waletea ukristo nao Wana support Palestine hii ni kwa sababu wamejua ukweli umebaki wewe tu mzayuni wa buza
@Bahati47
@Bahati47 Сағат бұрын
Huyu sindio yule there's least Hawa jamaa wakitaka kupiga sehem wanaanza kutunga story za uongo ili wakipiga waonekane Wana haki yakupiga hiyo sehem
@AsiaHamis-b4o
@AsiaHamis-b4o 2 сағат бұрын
Katika watu walio pendelewa katika hii Dunia ni waarabu,,wamejaliwa mali za asili na mali hizo zimekua ni adhabu kwao tamaa za watu zimefanya waarabu waishi kwa hivo walivo wakati mwingine kutaftiwa sababu ili mabeberu wachukue rasli mali kirahis,, Africa pia tumepewa tofauti yetu na waarabu sisi tunakubali kuonewa mwarabu hakubali kuonewa huwezi kuchukua raslimali ya mwarabu kirahis kama ilivo Africa na ndio unaona mataifa mengi ya kiarabu yapo vitani na wamagharibi
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf Сағат бұрын
Hawa waarabu hawamwezi mwisrael..ni hawo tu kila kukicha
@Fardadihd
@Fardadihd 3 сағат бұрын
Maongo ayoo
@annasolomon9855
@annasolomon9855 3 сағат бұрын
Zimefumwa dhahabu na mabilion .. ni Halali Yao.. hapo ukute zimechanhwa mpaka na Urusi imetoa Ili kuiwezesha Hezbollah.. See Mungu Asante kwa kuwapa watoto wako Bure.. 😂 Mungu mkubwa mnajichanga fedha zote hizo Ili mtumie kwa mauaji ya Israel lakini Mungu mkuu kaenda kuwa tunuku kirahis 😅😅😅
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 сағат бұрын
Na badoooo mtajua hamjui
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 2 сағат бұрын
Nabado hamjasema
@Zuhuranadadoita
@Zuhuranadadoita 3 сағат бұрын
Yana roho mbaya
@annasolomon9855
@annasolomon9855 3 сағат бұрын
Hana muda na mtu usipomwita😅😅 ukimwita atakuja kukusikiliza na kuuliza unasemaje, huyo ndo myahudi...😅😅
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh 2 сағат бұрын
Haya sasa aibu ya UN
@aminaali792
@aminaali792 3 сағат бұрын
Hai ni waongi wanaleta propaganda ili waonekana kuripua kwenye hospitals ni sawa kwao,na mnona hawasemi wanajeshi wao wanaouliwa na Hasbullah 🙄🤬
@star_wizard2792
@star_wizard2792 Сағат бұрын
Jifunze kuandika vizuri ndo uje u comment manake hueleweki umeandika nini, 😢😢
@godcompeter9844
@godcompeter9844 41 минут бұрын
Shida amtaki kwenda Shule mnakimbilia Madrasa ona sasa aujui kuandika 😅
@raymrash
@raymrash 3 сағат бұрын
Kushindwa vita uliyoianzisha hakukufanyi kuwa mhanga!
@HusnaMuhammed-yx8nl
@HusnaMuhammed-yx8nl 2 сағат бұрын
Nyie ni wezi mnapigana huku mnaiba vitu vya watu
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk Сағат бұрын
Wezi hao wameiba wanadanganya watu watazilipa tu uongo mwingi
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 2 сағат бұрын
Sio zao nile ni pesa zawatu wa lebano wasiziibe
@UlfaRashid
@UlfaRashid 3 сағат бұрын
Ni wizi hela na dhahabu zinawahusu nn wakati sio za kwao
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 сағат бұрын
Hio ni hii kama umesikia kuwa ubaya wa Adui hugeuka Neema kwako.. walijichanga mabilion na dhahabu kwa ajili ya kumwangamiza Israel lakini Mungu kampa Israel zile fedha 😂😂 hee hii Kali..
@delgalshan6318
@delgalshan6318 3 сағат бұрын
Waongo 😂 hyu sindo there is a list😂😂😂😊
@mudathirbaalawy813
@mudathirbaalawy813 3 сағат бұрын
Wao wenyewe wanachezea kichapo na wanauliwa vibaya lkn hawajitangazi
@lakasid3860
@lakasid3860 3 сағат бұрын
Siutangaze wewe 😂😂
@MaikoRashku
@MaikoRashku 2 сағат бұрын
Magaidi wamepachikwa kubwa , na hapa naona comments za majina ya kigaidi
@abdullahmanalex2306
@abdullahmanalex2306 2 сағат бұрын
Kama lilivyo jina lako la kishetani
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 сағат бұрын
Safiiiii 🇮🇱🇮🇱 Mungu akulinde Israel mzaliwa wa kwanza Asante Yesu kwa maombi tunayoendelea kuombea Israel,mpk kieleweke,🇮🇱💪
@yusafbayu7016
@yusafbayu7016 2 сағат бұрын
Mungu wenu wa ma shoga netanyau mna muombea Kila shoga lazima Ata muombea
@hajiiddi6728
@hajiiddi6728 2 сағат бұрын
Kumbuka siku unakata roho hapo utajua haki na batil. 🙏🙏
@rajabumtetu
@rajabumtetu Сағат бұрын
Ww unashabikia wizi una akili
@asmaalghafri449
@asmaalghafri449 Сағат бұрын
2:36 2:39 3:00
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 сағат бұрын
Sasa kuna dhambi gani serekali kuwa na mali? Nyie mnadhani wataendeshaje nchi bila hela?
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 58 минут бұрын
Ngoja na ww wawindwa mishikiyo kama komba
@fatimawazeer701
@fatimawazeer701 12 минут бұрын
😂😂😂kumbe umeona masikio yake mimi namfananisha na shetani masikio yake yalivyo kaa
@papamukulu1045
@papamukulu1045 47 минут бұрын
Piga hao hao umbws
@mohdhilaly7900
@mohdhilaly7900 2 сағат бұрын
Kwanza watoe hasara walioipata kwebye vita hizo dhahabu zinatuhusu nn sasa ?
@Zainab_salat
@Zainab_salat 3 сағат бұрын
Kama kweli ni zao sio za Israel, Lebanon ni nchi nyingine
@raymrash
@raymrash 3 сағат бұрын
Waliwachokoza wenyewe....hao Hezbollah takribani mwaka mzima wanarusha Makombora Yao kwenda Israel...sasa wanapata walichokitarajia
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 сағат бұрын
Sikia huo ni mchango na ufadhili wa Ugaidi ndo umetoa hizo hele kuangamiza Israel .. lakini matokeo Mungu kageuza nia na Israel kupata hizo fedha.. hata putini anahisika kutoa Hela kwa Hezbollah .. ngoja Mungu Halali Wala hasinzii.😅😅
@raymrash
@raymrash 2 сағат бұрын
@@annasolomon9855 wapigwe mpaka waangamizwe kabisa😂😂😂😂
@godcompeter9844
@godcompeter9844 38 минут бұрын
Lebanon ni nchi tajiri ina mafuta pia lakini ina GDP kubwa uwezi compare na nchi za Africa ata moja Hezbollah wanapesa pia wanachangiwa
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf Сағат бұрын
😂😂nikipigo tu ...chukuweni mpaka wake zao na mke wa Nasrallah si yupo single sasa hivi Anicheki inbox basi..nimtoe marinda
@Mtumakini
@Mtumakini Сағат бұрын
Nyinyi s mliutaka wacha kiwarambe😂😂😂 piga hizo umbwa mpka ziishe nyauu
@mohdhilaly7900
@mohdhilaly7900 2 сағат бұрын
Wanataka kuhalalisha mauwaji yao kwenye mahospita na masoko mara wamekuta dhahabu, pesa,
@AliJussa
@AliJussa 2 сағат бұрын
Kila kitu mumeharibu,, 😢 mnajitetea kijinga kwa kupiga miundo mbinu,, mnakwepa kuitwa Magaidi kwa kuvuruga makaazi ya raia😢, siku moja Mnyonge atainuliwa na msaada wake pekee kutoka kwa Mungu😢
@ابوذر-د8ك
@ابوذر-د8ك 2 сағат бұрын
Nakwambien hivi huyu jaamaa anae ongea hapa karibu nayeye atafyekwa na hizbullah ngojen mtanikumbuka
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 сағат бұрын
Kama alidanganya juu ya kalenda na mahandaki ambayo yalikua ni mashimo ya choo sasa hapa story yote anayo elezea si bado ni uongo
@mohayussuf2057
@mohayussuf2057 3 сағат бұрын
Hawa zion ni waingo sana their good in propaganda
@ibrahimjuma9709
@ibrahimjuma9709 3 сағат бұрын
Uongo wa kualalisha mauwaji😂😂😂😂 endeleeni kuuwa siku zitawakuta mwenyezi mungu kuumba mbigu na ardhi ni jambo kubwa na zito ila Israel kukutana na mwenyezi mungu wake jambo jepesi na dogo sana
@adamhashim3352
@adamhashim3352 3 сағат бұрын
Yaani hela ziwekwe ardhin hahaa😊😊😊 jmn
@ce-08
@ce-08 2 сағат бұрын
Duuh😂😂 au binadamu wa 2000 ww watu wanaficha hela ardhini wengi tu wanakuwa na chamber zao chini ya makaz wanaficha hata sasa Bado kunawatu wanaficha hela ndan chin
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 2 сағат бұрын
Hizo tamaa sasa, kwani jeshi la marekani haliwafundishi hawa vibaraka wao, kwamba ukienda vitani usiwe na tamaa za vitu vya watu,maana tamaa usababisha ufirwe
@MaikoRashku
@MaikoRashku 2 сағат бұрын
Wafirwe wamekuwa dianamo alivyo pididiwa ?
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 2 сағат бұрын
@@MaikoRashku ngoj washikwe ta...ko sas
@PaulDwahiye-b1e
@PaulDwahiye-b1e 40 минут бұрын
Marekani ndio kibaraka wa Israel. Mwisrael hajawahi kuwa kibaraka wa nchi yoyote duniani, ila yeye ndo ana vibaraka mmoja wao ni Mmarekani ndiye kibaraka mkuu.
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 5 минут бұрын
@@PaulDwahiye-b1e boss humtegemea mfanya kazi na mfanya kazi humtegemea boss, life style ya marekani na Israel
@zalbak2738
@zalbak2738 2 сағат бұрын
Washaanza kutapatapa
@JohnKaliadi
@JohnKaliadi 3 сағат бұрын
Chua mali hizo nyingine mtupe msaada tanzania,tunaishi kwa shida watu wanamazahabu,na dollar, chukua hizo dollar usiziache alaa
@YamunguMatamya
@YamunguMatamya 2 сағат бұрын
Kwahio zahabu na pesa wanajua hawa IDF?ama kweli .......wa masikini hazai😂
@raymrash
@raymrash 3 сағат бұрын
😂😂😂😂😂....piga magaidi waliyataka wenyewe
@Benlaurence99
@Benlaurence99 2 сағат бұрын
Hitler aliona mbele sana kuhusu hawa Wazayuni. Bora angewamaliza mapema!
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 3 сағат бұрын
Hongela sana IDF piganeni hizo pesa na dhahabu ziwapunguze nguvu hao makafili 🇳🇮🇳🇮🇳🇮🇳🇮🇳🇮🇳🇮🇳🇮💪💪💪💪
@mesaidikazungu4299
@mesaidikazungu4299 3 сағат бұрын
Waisrael ni waizi wa mali za watu alafu unawasifikia kweli wewe akili yako ni mboga.
@MubarakHalifa
@MubarakHalifa 2 сағат бұрын
Panya ww KAFIRI ni Myahundi , mpaka Leo hujui tuu.????
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 47 минут бұрын
@@MubarakHalifa utajua kafirinani anae pelekewa moto mpaka mkome kuwashabikia makafili
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm Сағат бұрын
Hizbollah hawana muda wa kuongea wanatembeza kichapo tu 😂😂😂 huko mpakani
@heriurio6410
@heriurio6410 2 сағат бұрын
Yote haya wanayataka heabollah umeweza piga nyumba nyetanyahu unaachaje kulenga mabenk yao na hosptal zao israel anashambulia raia lengo lake walabonon waichukie hezbollah na nynyi fanyan hivyo lengen makaz il nawao wamchukie nyetanyahu mnaangaika kulenga makambi wakat malekan hata risas moja ikupungua analeta risas mia wanaachaje kupata jeur
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm Сағат бұрын
Ziko wa hizo fedha na dhahabu acheni propaganda piganeni vita na wanaume kila siku mnabaini , 😂😂😂😂
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 2 сағат бұрын
Ninyi ndio Mulimtesa nabii wetu kipenzi Yesu kwahiyo hamuoni shida kuuwa watu wanaotaka makazi yao
@JacobMakwilo-u6e
@JacobMakwilo-u6e 2 сағат бұрын
MUNGU anasema nami nitakwenda mbele yako na kupasawazisha mahali palipo paruza nitavunjavunja vipande vipande milango ya shaba na kukata kata mapingu ya chuma nami nitakupa hazina za gizani na mali zilizofichwa mahali pa siri upate kujua yakuwa mimi ni BWANA,Nikuitaye kwa jina lako naam MUNGU wa israel. Isaya 45-1-3 Kwa hiyo MUNGU kawapa chukueni mali hizo na dhahabu ni mali yenu
@hanifa9153
@hanifa9153 2 сағат бұрын
Taira kweli unapewaje mali ambayo hujaitolea jasho!?? Tumia akili huo ni wizi kama majambazi wengine tu😅😅😅
@JacobMakwilo-u6e
@JacobMakwilo-u6e Сағат бұрын
Kwa hiyo unataka kusema MUNGU nimwizi alivyomwambia MUSA nitakupa nchi yenye maziwa na asali ambayo ni kanaan? Na kanaan kulikuwa na watu wenye vitu vyao.hiyo moja mfano wa pili YESU aliwaambia wanafunzi wake nendeni mpaka kijiji kinachowakabili mtamkuta mwana punda mfungueni mniletee mtu akiwauliza mwambieni BWANA ametutuma anashida nae kwani punda alikua wake? Na je alipelekwa hakupelekwa? Acha kuwa maamuma wewe,we unajua zile mali za hezibollah wamezitoa wapi? Na ndio maana nikakupa isaya 45 soma uelewe njia za MUNGU sio kama za mwanadamu.
@aediaygo8546
@aediaygo8546 2 сағат бұрын
Miyeyusho tupu mlivyokuwa mnapenda Pesa nyie mngesema si mngetuonesha wesenge sugu nyie 😅😅😅
@salumft661
@salumft661 3 сағат бұрын
Mbna hatuoneshwi izo dhahabu.. waongo hawa
@godcompeter9844
@godcompeter9844 38 минут бұрын
Wameonesha kwenye video zao
@feisalkhamis9445
@feisalkhamis9445 3 сағат бұрын
hatuoni tena kuongea kwa mkuu wa IDF yuko wapi sasa
@samirhumud7408
@samirhumud7408 3 сағат бұрын
Yupo hoi😂 wanampampu ili amke
@Aminimalewa
@Aminimalewa 3 сағат бұрын
Watu siyo wajinga siku hizi, kila mtu anaelewa kuhusu propaganda na lengo lenu linafahamika, wajinga wachache tu ndo naamini watawaelewa
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf Сағат бұрын
Waarabu wametimba papaaaapaaaaa😂😂😂😂
@BimHamdi
@BimHamdi 3 сағат бұрын
Dhulma itawatafuna mbwa nyie
@JumaNtasimba
@JumaNtasimba 3 сағат бұрын
Kwan munamtangazia nan nyie fanyeni yenu sisi hayatuhusu
@PetroMpunga-rt7hv
@PetroMpunga-rt7hv Сағат бұрын
Chukueni zote hizo, hao wajinga muwapige kabisa, pumbavu sana hao
@husseinhcube1310
@husseinhcube1310 3 сағат бұрын
Shida yetu sio kubain pesa au madin tunataka kujua wamepigika kiasi gani au wamefanikiwa nn mbona kwao hawataki kuonesha majeru na athari wanazo zipata
@samuelezequiel7612
@samuelezequiel7612 3 сағат бұрын
Kutangaza wamepigwa ni kushusha molari ya wanajeshi wao na hakuna nchi italiporiti majanga wanayoyapata sio Israel,russia,Ukraine wala Iran au yeyote
@mohdhilaly7900
@mohdhilaly7900 2 сағат бұрын
​@@samuelezequiel7612ndio tukasema propaganda hazirejeshi nyuma hamas wala hizbullah
@samuelezequiel7612
@samuelezequiel7612 2 сағат бұрын
@mohdhilaly7900 kabisa Hamas na hezbolah haziwezi rudi nyuma sababu Wana maslahi wanayapata humo humo kwenye kutetea maisha ya watu ni Sawa na use useme chadema au vyama vya upinzani Tanzania vife kisa viongozi wao wanauliwa na kukamatatwa kwamba watakata tamaa waache harakati hamasi itabaki daima
@samuelezequiel7612
@samuelezequiel7612 2 сағат бұрын
@@mohdhilaly7900 hamas na Hezbollah hawawez rudi Nyuma ever hata hao Israel wanajua kbs coz pale ni sehemu ya maslahi ya watu sawa na useme kina mbowe wataacha kuwa wapinzani kisa wanakamatwa na kuuliwa na Hezbollah na hamas ni vyama vya siasa katika nchi zao zenye nguvu na wabunge wa kutosha Tu kwenye mabunge Yao hivyo kupitia migogoro hii kuna kitu wanakipata japo wanatetea haki za wananchi wao katika majimbo yao
@RobertBitambaOfficial
@RobertBitambaOfficial 15 минут бұрын
Wayahudi fake Na hawa nao watupa taarifa za upande mmoja.jaribuni kujitofautisha na miladdi
@MaulidAbdullah-nw9wu
@MaulidAbdullah-nw9wu 3 сағат бұрын
Acheni ujinga mumeenda kupigana au kutafuta hela? Vita inawashinda sasa mmeanza kutafuta hela tanajua kama wizi ndio faniyenu masikini wakubwa msio kua na ardhi wala pesa mnaishi kwa msaada wa waumezenu wakimarekani
@omondiowino7875
@omondiowino7875 2 сағат бұрын
Kabla hujatoa maoni yako hebu lingamisha uchumi WA Israel na nchi ya Marekani
@MaulidAbdullah-nw9wu
@MaulidAbdullah-nw9wu Сағат бұрын
@@omondiowino7875 ilinigundue Nini
@RobertBitambaOfficial
@RobertBitambaOfficial 14 минут бұрын
Propaganda
@johnsonzuma4932
@johnsonzuma4932 2 сағат бұрын
Israel we ready know your propaganda 😂😂😂😂😂
@omondiowino7875
@omondiowino7875 2 сағат бұрын
Ooh Israel hawawezi kumpiga Hezbollah...mara oooh vita vya ardhini Hezbollah wanawazidi IDF...😂😂😂 ...kwa sasa ni vilio tu... ooh mara siku yao itafika..mara oooh siku ya Allah ndo sahihi...ohh mara siku hiyo hata mawe na miti itaongea...😂😂😂 ..sasa kama mlijua huu sio wakati wa huyo Allah wenyu kiziwi mbona walianzisha vita na Israel...? mtapigwa mpaka mtie akili... and by the way si huyu ndo yule mliokuwa mkieneza propaganda kuwa kauliwa na mabomu ya Iran..? 😂😂....🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱💪 Hakuna wakuifuta Israel kwenye ramani ya dunia
@raymrash
@raymrash 2 сағат бұрын
Viva Israel, viva 🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@meekboymalagila2935
@meekboymalagila2935 Сағат бұрын
Kuna dini za kijingaa sanaa.upuuzi kwani wakikubali yaishe kama mandonga kunashida Gani u ubwege tena raia ndo mabwege.ngoja yapigwee
@l.marley_2542
@l.marley_2542 31 минут бұрын
Proper propaganda
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 3 сағат бұрын
Wajinga tu wamefeli vita wako bize kuua raia wameshindwa kupambana na Hamas😂😂
@Aminimalewa
@Aminimalewa 3 сағат бұрын
Watu siyo wajinga siku hizi, kila mtu anaelewa kuhusu propaganda na lengo lenu linafahamika, wajinga wachache tu ndo naamini watawaelewa
How Israel Eliminated Yahya Sinwar#israel #yahyasinwar
9:37
AiTelly
Рет қаралды 2,8 МЛН
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 2,7 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 2 МЛН
WHY AN ISRAELI NUCLEAR STRIKE ON IRAN IS NOW POSSIBLE
14:05
ATE CHUET
Рет қаралды 228 М.