Ukipigana na wazimu sokoni, watu watakushangaa. Nakuomba utulie Wala usikubali kujichafu katika jitihada za kusafisha nguruwe! God bless you Munishi mtu wa Mungu. Tukaze mwendo, kumbuka wengi waliitwa, wachache wakachaguliwa. Shalom ❤
@rebeccamutua69653 ай бұрын
God's blessings man of God
@janewanjira-ki6ib3 ай бұрын
I like the respect pastor Munishi has
@blackmonkey46063 ай бұрын
Munishi you are a perfect man of God wachana na hii nugu inatusumbua
@faithwanjiru74473 ай бұрын
Give Thanks , Givenness ❤ To the LORD ❤
@bernardndolo19983 ай бұрын
Hakuna kitu kama hio, kwa wakristo baba yetu ni Mungu tu, Mathayo 23:9
@faithwanjiru74473 ай бұрын
Thanks 🙏 To LORD ❤
@Jamesmulei1233 ай бұрын
Umejizusha Sana,nani amekufanya Hakimu? Umekuwa Mungu ama? Mbona kama uko na hekima hukuenda umuambie kwa Siri?Je ilikuwa lazima ujue vile alitumia pesa? mbona unaingilia mambo yasiyo kuhusu?
@ramseyngwejela4992 ай бұрын
Duniani kuna mengi ya kujifunza na kuepukana na yote yasiyofaa. Ila jambo hili hunifikirisha sana. Kwanini mhubiri au mtumishi wa Mungu yeyote akiwa na fedha huyo ndio wakristo humheshimu sana. Na kama hana fedha haheshimiwi? Mimi naamini hivi ya kuwa hata kama mtumishi wa Mungu hana fedha kama wengine basi AHESHIMIWE kwa heshima ya MUNGU. Yesu alisema mtu akinitumikia BABA ATAMHESHIMU. Hii ni heshima iliyo juu ya heshima zote walizonazo wanadamu.
@AnkoLolo-mv5bk3 ай бұрын
Ng'ang'a sio mtumishi wa kweli munish asikusumbue huyu Ni tapeli ka matapeli wengine wanao itisha sadaka kwa bahasha
@ErickOkwach3 ай бұрын
Munishi amekuwa consistent na kitu nampenda nayo NI kwamba munishi has help to fight the false gospel of prosperity.
@kishosha_jr98493 ай бұрын
Safi sana mchungaji F. Munishi
@thaddeusnyaenya22993 ай бұрын
Sio kila MTU WA kumjibu na ninyi Ni wahubiri Acha kutishiana... Na mjue one thing Nganga huezi mtisha maana Yake NI huduma na commedy zaidi so ukiingia Kwa anga zake he will thrive doing it. Just focus on the word
@mutakoalphonsine32403 ай бұрын
Mzee nilitarajia vingine katika umri huu sasa am being surprised.
@lucyoyiela67183 ай бұрын
Munishi huyo mtu atakupa pressure ya bure pls wachia mungu hushugani yeye a dili na yeye
@canaansignsenterprises3 ай бұрын
Wewe Munishi tulikuheshimu sana Kenya kwasababu ya uimbaji wako, lakini sasa naona umekuwa mumbea. Chukuwa microphone ukahubiri injili, acha maneno twataka Neno. Ana basi kaingie katika siasa Tanzania, katika chamade cha CHADEMA
@petergichanga33803 ай бұрын
Munish wachana na General Commander wetu kabisa.
@vimoaccounts3 ай бұрын
My question is simple: Who wins in war between a normal man and a mad man?
@jesusforlife34573 ай бұрын
Munishi jameni Sasa hizi ni nini. Where did Jesus start fighting his enemies? Wacha na nganga . Hata kama ni mbaya ni apostle wetu Wachana na watu wetu
@waichoyagichuki47113 ай бұрын
Wachungaji wakianza vitu za kijinga hivi,kondoo tutafanya yapi?
@tentofgracechurch35043 ай бұрын
Wewe wachana na Commander imba nyimbo zako na ulitoroka kwenyu.. Wewe pesa zako umetumia aje?
@blackmonkey46063 ай бұрын
Wee shonde au wazimu kubaff
@lucyoyiela67183 ай бұрын
Munishi hachasema ako na pesa wala kujidai
@oliverlugose63343 ай бұрын
Tulikuheshimu Sana lakini umeajiangusha sana.uve become useless and irrelevant stop those nonsense men