Sheikh wetu Allah akuhifadhi na akubariki Watu wa bidaa mtihani Allah awaongoze
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Amuongoze yy bahero mwenye kuzushia watu urongo
@abdulmohd68803 жыл бұрын
Allah atuepushe na imani potofu km hizi.. Mashallah sheikh hataji mtu jina Wala hadhihaki mtu anaelimisha t vzuri, mashallah yan kakataa hadi kutaja jina la Kijiji, Allah amuengezee hekima na busara...
@Muhammad_Nassor_Bachu_.3 жыл бұрын
Nini maana ya hekma? Mimi mpaka leo naskia tu watu wanasema neno hekma lakini sijawaskia wakisema maana yake..ukijua maana ya hekma hutopata tabu kabisa إذ من يؤتى الحكمة فقد أوتي خيرا كثيرا
@shaunaaboubakary85143 жыл бұрын
we nawe 2pu ka huo udevu hana lolote inamal aghmaal biniyyat so huend yy kahis hua wana abudu makabur ijitanibuu kathiiratun mina dhwana usisaport ujinga ukiwa kwel umezaliwa kweny uislam
@abdulrahmanomar61893 жыл бұрын
@@shaunaaboubakary8514 هداك الله
@arqamibnarqam.71853 жыл бұрын
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. صح.
@aliomar6123 жыл бұрын
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. tatizo lako ukiambiwa ukweli unadhania unatukanwa ama unadharauliwa lakini unaambiwa ukweli....jifunze hishma na adabu kwa wenzako angalia anapinga anafundisha anaongoza kwakutumia hikma na busara ...kuwa na adabu Muhammad hta marhemu babako hakuwa hivyo kabisaa tabia zakike za mipasho wacha ufidhuli wacha sheikh
@shifaaal-baity45033 жыл бұрын
Jazak Allah khair sheikh Ali Bahero
@Hunger3883 ай бұрын
ya allah tu ongoze njia ilo nyuko
@Fardadihd Жыл бұрын
Mwamba namkubali sana
@surealfredkabasa45183 жыл бұрын
Allah atuongoze Insha-Allah
@chabunu33673 жыл бұрын
Allah akuhifadhi kwa ukweli huu na fikra kwa mwenye kufikiri na kwa ujinga kwa mwenye kuabudu maiti
@MyName-wd8cp3 жыл бұрын
Allah akulipe shekhe kwa elmu hii🤲☝️
@sayidshion Жыл бұрын
Jazakallahukheyr
@khalifaallyibnadam99833 жыл бұрын
Kusoma sana sii tatizo bali ni kufahamu ulichokisoma , ilimu yazidishwa na fahamu ni Rizqi, Allah awape faham ya mlivyosoma na awatoe ujinga
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qIrKe2p_gZ6mhrM
@MA-ht7po3 жыл бұрын
Ya sheikh, Allah ibarik fik
@yahkiwera36113 жыл бұрын
Hujui wewe bahero
@dullafani-us6yi Жыл бұрын
وَقَالَتِ الْيَهُودُ لَيْسَتِ النَّصَارَىٰ عَلَىٰ شَيْءٍ وَقَالَتِ النَّصَارَىٰ لَيْسَتِ الْيَهُودُ عَلَىٰ شَيْءٍ وَهُمْ يَتْلُونَ الْكِتَابَ ۗ كَذَٰلِكَ قَالَ الَّذِينَ لَا يَعْلَمُونَ مِثْلَ قَوْلِهِمْ ۚ فَاللَّهُ يَحْكُمُ بَيْنَهُمْ يَوْمَ الْقِيَامَةِ فِيمَا كَانُوا فِيهِ يَخْتَلِفُونَ Na Mayahudi husema: Wakristo hawana lao jambo. Na Wakristo husema: Mayahudi hawana lao jambo. Na ilhali wote wanasoma Kitabu hicho hicho (Biblia). Na kadhaalika walisema wale wasio jua kitu mfano wa kauli yao hii. Basi Mwenyezi Mungu atahukumu baina yao Siku ya Kiyama katika yale waliyo kuwa wakikhitilafiana.
@ahmedabdallah32973 жыл бұрын
MashaAllah. Sheikh waelimishe
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Bahero muogope mungu ulimuona nani akiabudu makaburi ulimuona nani akiomba maiti mwisilamu wakweli habudu makuburi wala maiti huyo na anaefanya hayo sio muisilamu
@sheehamadnganzi8317 Жыл бұрын
Nikweli sana,watu wanaenda kwenye makabiri kuomba eti ni makabiri ya masharifu,Allah atujalie mwisho mwema nshaa Allah
@fikafikan8484 Жыл бұрын
@@sheehamadnganzi8317 kuomba nn mtume pia alikua akizuru makaburi watu waenda kutia dua maiti yao pia wanao enda kutawasal kwa mtu yoyote alie kufa mtu mwema waeza kutawal lakini qnae ombwa ni mungu kwa hivo wacheni uzushi wenu
Yaonekana ww mmoja wao manake mm nipo kuwa nasoma mamburui niona mbunzi akichinjwa makaburini Tena wawili weusi, hapa hakuna dhana mbovu ni ukweli wazi ACHENI shirkii
@jumamustafa820 Жыл бұрын
Ilimu mpya ambayo mtume hakufundisha
@mustayoo3 жыл бұрын
Wapotevu.tena yatakikana kusemwe kwa nguvu zote.ni ujinga huu.yasikitisha sana.Asieamini ende makaburi ya sarigoi siku ya alhamis baada swalatu asri atashuhudia yanayofanywa pale
@CharafimalisalimoAli-qw3hk11 ай бұрын
NAWAPENDA SANA MASHEHE WAHUNI😂
@sadrupandu5948 Жыл бұрын
Yeye mwenyewe bidaa
@msellemnassir1831 Жыл бұрын
Umesahau msemo wa Kiswahili unaosema kuwa wema hauozi na Sisi twarika tunapoenda ziara tunaenda ku tawassul
@almunawarakanyosha14028 ай бұрын
Hilo nitatizo mnalo watu wa twariqa mnaweka dini kwenye mila zama babu zenu
@othmanabeidy4460 Жыл бұрын
Hakika huyu Shekh hadanganyi Anazungumnza Ukweli
@matitutvonline41843 жыл бұрын
Sawa skh usiejielewa, Suali kwako je watu wakiba dua huwaje wakati miili imeoza kama usemavyo? Jamani shuhudieni sheikh kolaza huyu hajui kama hapo mafungamano ni roho na roho haiozi, huyu elimu hana kabisaa
@mabrukjuma38783 жыл бұрын
Wewe ni zuka kweli ufahamu wako ndio mbovu ,kama ni roho mnakusudia mbona muende kaburini huoni nimakosa wewe muombe Allah direct na uwaombee wafu iwe swadaqa kwao
@mussaissa6796Ай бұрын
HUYU PWEKE ANAJUA HATA BARAKA NI NINI KWELI!!!
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Mbona waonesha video alafu huwachi tukaskia walio zuru makaburi wakiongea waonesha video haziongei kama ni kweli
@sohrabtajadin34023 жыл бұрын
Wacheni kupakana matope nyinyi masheikhe. Aibu. Dalili za kiama. Enezeni umoja. Kila mmoja mjuaji.
@aliybecka51693 жыл бұрын
Umoja na ushirikina ni vitu viwili tofauti hatuwezi kuhimiza umoja kwa kumshirikisha Allah
@abdallaheji1269 Жыл бұрын
Elimu yako ndogo wewe.mwenyez Mungu anasema waliokufa kwa njia ya mwenyezi Mungu wako hai na ana waruzuku.sasa kwenda kwenye makaburi ya sharifu wewe una tafsurije ? Uelewa wako mdogo sana
@jagenaught28 күн бұрын
Ogopa Allah. Allah aliambia mtume Salalahu Aleyhi Wassalam atakufa na kila mtu ataona kifo. Sasa kwanini kuomba kaburi yule mtu anauza. Ukifanya hivyo jua nishirk.
@khalidhemed61723 жыл бұрын
Itikadi ziko vitabuni sio kutuoa picha za watu wanaofanya zitu kwa kutojua ukatumia udhaifu wa wao kuchafua itikadi Safi njoo tukusomeshe bahero
@abuuanswaaronlinetv47473 жыл бұрын
umsomesha nini wewe kwani uwoongo huuu ni ukweli mme waona kw macho yangu masingini zanzabar mbele ya msikiti mkubwa wa masingini yapo makaburi wana abudia na mjoo ujionenee
@khalidhemed61723 жыл бұрын
@@abuuanswaaronlinetv4747 maskini warudia yale yale twawatoa mashkio taka itikadi za kisufi zimo vitabuni sio kwa watu wasoijua wakikosea ndio muufanye ndio usufi mumefeli
@@hanifatanzania7258 ya mdogo wangu mtakupeleka hadi yanapo fanyika haya mambo yapo tele
@hanifatanzania72583 жыл бұрын
@@abuuanswaaronlinetv4747 mtihani sana Allah atuongoze mm nilikua sijui kama binaadam kwakili alizo pewa wanaiweza fanya hivyo. Naiyazu bilaa
@MohammadJumah-qk2xc Жыл бұрын
Kwan wew hujaona au hujawasikia watu wanaoabudu makabur , huyu ndugu anakumbusha jambo muhumu mnoo ambalo mim au wew tukifa na itikad hii tumepotea allaah sw atuhifadh lakin haya majambo yapo hususan mfungo tatu nenda sehemu za visiwan kama mafia utaona kwa kutukuza hili jambo utaona misikiti mingi inamakabur
@salmaali70802 жыл бұрын
Bahero sasa unapata faida gani nahizo kashffaa ciiuuwafate uwape naswaha
@Nuru_ya_sunnah.official Жыл бұрын
Bora aseme hadharani ili iwe kwa wote wanaofanya hivo , wewe unadhan atawafata wote atawamaliza maana wapo tz, kenya , uganda na dunian kote , kwa hivo hii ni jumla jamala
@Nuru_ya_sunnah.official Жыл бұрын
Bora aseme hadharani ili iwe kwa wote wanaofanya hivo , wewe unadhan atawafata wote atawamaliza maana wapo tz, kenya , uganda na dunian kote , kwa hivo hii ni jumla jamala
Wewe mashallah umesoma mbona hatustafidi na wewe utamjibu nini Allah kunyamaza na elimu yako shekhe
@MA-ht7po3 жыл бұрын
Elimu kubwa hii, ndugu zetu wanazama kabisa
@BoykaThierry3 жыл бұрын
Haya maneno yalisemwa na mmoja tu na sio watu wa twariqa maana sio wotte walikubaliana na hilo kuwa kumuomba maiti na kumtakasa sio katika mambo ya kipuuzi..
@abdulazizmwipi92952 жыл бұрын
Wanatuonea wana twariqa maneno hayo yameongelewa na mshia wanaamua kutuzushia wanatwariqa
Ukweri unaumwa mpKa unatoa maneno machafu Allah akuongoze lnshallah
@jumaamrani32953 жыл бұрын
jifunz kuandka vzr kwanz
@achanifumos10933 жыл бұрын
@@hanifatanzania7258 ukweli gani? Ufidhuli tu..kila siku anatolewa makosa akisoma qur'ani
@achanifumos10933 жыл бұрын
@@jumaamrani3295 shida si mm kuandika shida ni ww hujui kusoma..ama ni lugha imekushinda? Acheni uzembe
@jumaamrani32953 жыл бұрын
@@achanifumos1093 ubarikiwe
@zulfasalim87703 жыл бұрын
Hicho kisa cha nyoka doooh hapo umetudanganya wazi wazi. Hebu mche mungu ww mrongo mkubwa ww hata huna haya ww. Kama ni kweli taja ni kijiji gani. Vile ulivyo na chuki ww ungekua ushasema. Tena waapa na MUNGU
@ibrahimjuma5843 жыл бұрын
We vip .shekhe haitw muongo
@ustadhkamoleabubakar00133 жыл бұрын
Huitwaa kwani shekhee ninaaani Malaika au nabiii hawaa watu Wana chuki mtu Muhammad alikuwaa akipitaaa makaburini aki waombea maghfiraaa
@mabrukjuma38783 жыл бұрын
Wacha matusi wallah twashuhudia vihoja Vingi kwamasufi hujui tu wewe hawa wanaume wakupiga madufu wanaudhi dini imekuwa kama yakristo
@zulfasalim87703 жыл бұрын
@@mabrukjuma3878dini yahitaji ma daiya wenye hikma na mawaidha mazuri kwa mijibu wa Qur ani. Mashekhe kama hao wakuongea kichuki bado hawafai kuitwa ma daiya
@mabrukjuma38783 жыл бұрын
@@zulfasalim8770 hikima inapahali pake ila wanaozua katika dini na ujeuri lazima waambiwe kivyovyote itakavyokuwa hawafai kubembelezwa
@kareemsukri32563 жыл бұрын
Nyie ma naqdi mpaka Dua baada ya swala mumeondosha uwahabi ni uyahudi
@mabrukjuma38783 жыл бұрын
Hizo dua zapamoja ndio zapingwa hakufanya rasul wala sahaba adhkar zifanywe kwanjia sahihi sio mnavojuwa nyinyi si kuwa twazipinga soma baada yaswala rasul alifanya nini hadi kutoka msikitini elimu safi sahihi
@sadrupandu5948 Жыл бұрын
Huyu jamaa hajasoma nibora tu akatafute elimu halafu asisingizie watu wa twariqa kuabudia makaburi
@infocontentchannel2 жыл бұрын
Ikisha mtu asema Sh.Bahero ni mtu wa bida'a kisa tu hataji neno Salafiyy kweli???
Watu wanafanya hayo.mtu mzima anaenda na watoto kwenye kaburi anamwambia muombeni babu yenu awasaidie mfanye vizuri masomo yenu shuleni nimeyashuhudia haya.wacha yasemwe watu wataache badala ya kuwaombea maiti.wanawaomba.tusomeni tujue dini.
@tausimpoma3473 жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 najua ni muislam hayo mengine siyajui..tufuate kitabu na sunna. ndio uislamu.yalioamrishwa. tuyafuate yaliyokatazwa tuyaache .ndio dini yetu..
@تقواللهحسنالاخلقة3 жыл бұрын
Sema sijaona usiseme Hakuna mche mola wako Shekh, ibada za kuabudu makabuli bado zipo na masufi wanazifnya, hivyo wamche mola wao.
@sadrupandu5948 Жыл бұрын
Ata hajui nini bidaa
@sadrupandu5948 Жыл бұрын
Uongo tu ulonao
@salehpandu22503 жыл бұрын
Toa mawaidha kwa lugha nzuri (mijitu ya twariga/ zikri maana yake nini
@mabrukjuma38783 жыл бұрын
Hizi nikauli zinawatosha kabisa hata imam shafii asema 'sijamuona Sufi aliye na akili'
@medwho9592 жыл бұрын
Itikadi ya ujinga.
@Sahnut Жыл бұрын
Basi takuletea wewe sadaka ulipokuwa hai
@alifadhil77783 жыл бұрын
Shehe ww ushawahi kufuatana nao hao wanaokwenda makaburini au umesema kwa matakwa yako tu.
Usipotoe watu ww watu huenda kudhuru makaburi na kuwaombea dua mashekh zao n wazee wao sasa basi Mtume Saw asingesema hadithi ya mtomto mwema mwenye kuwaombea dua wazee wake dua sasa ujue tu unapokwenda kuwadhuru maiti huongeza khofu kw Allah na humkurubisha mja kwake Allah akijuwa kuwa n yeye ataacha dunia nkujikurubisha ktk Ibaadat
@anarduk64383 жыл бұрын
Kuwaombea Dua wazazi wako ni lzm uwende makaburini, lkn huwezi kumuombea ukiwa kwako au njiani au msikitini?
Huyu hajui na haelewi Sisi watu wa twarika tunapoenda ziara tunaenda ku tawassul na waja wema waliotangulia
@JumaKhamis-cw8ec Жыл бұрын
Ni uwongo hamuwaombei dual tu munatawathul na kuwaomba munafanya ibada munabusu makaburi na siku hizi hadi dufu munawapigia kweli munawaelekeza watu kubaya
@shifaaal-baity45033 жыл бұрын
Hao wa dislikes...Allah awahidi
@yearbah13 жыл бұрын
si upload video zako
@abdul_azeez_almaamir3 жыл бұрын
Nd Kwan vibaya kutuma zisizo zake?? Au hazina faida??
@criminal03mostwanted713 жыл бұрын
Khurafi ni khurafi tuuu Hana jemaaa
@mustafagomesa8360 Жыл бұрын
MASHEIKH WA MCHONGO......Wanaamka Asubuhi wanatafuta Kiki Wenzao wanatafuta Thawabu 😂😂😂😂
@KGONLINETV-i7z Жыл бұрын
Huna elimu wewe
@nasraljahadhamy43023 жыл бұрын
Hahahahhaha
@twaibumikidadi73773 жыл бұрын
waislam / mashekh wetu watachomwa moto maana wamewapotosha sana watu mpaka leo waislam bado wanaabudıa maiti ! Astaghafurullah *1000
@hanifatanzania72583 жыл бұрын
Mtihani kumbe
@maalimhamad12973 жыл бұрын
Nyinyi mnao jitia hakuna anaeabudu makaburi allah awatoehuko kwasababu nyinyi ndio mnaoabudu makaburi
@ismailimzeewachpsazizi51903 жыл бұрын
wehuna elimu alafu wajitia kimbelembele shekh bahero yukosawasawa wacha ujinga
@shifaaal-baity45033 жыл бұрын
Muogope Allah..sheikh Ali kasema ukweli
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qIrKe2p_gZ6mhrM
@mustayoo3 жыл бұрын
Ibada potofu itakwisha sababu sio haki
@ustadhkamoleabubakar00133 жыл бұрын
Kunaa kuabuduu makaburi na kuwaombea duwaaaa
@abdallahsaid49973 жыл бұрын
Watu wanaelewe hakuna muislamu anae abudu kaburi. Mwenye kuathiri peke yake ni mwenyezi mungu lote hilo linaeleweka Mawaidha kama haya ndio yanasababisha waislamu wapigane na Kuuwana Mambo yaliyotendeka Syria ,Iraq ya waislamu kuwauwa wenzao kwa tuhuma ni washirikina ni kwa sababu ya darsa kama hizi na mashekhe kama hawa. Kama kutawasal kupitia mtuni shirki basi Masalaf wengi wamekufuru hii dini tunaepeleka wapi?
@ahmadomar51143 жыл бұрын
Wacha kutudanganya hakuna anae abudu kaburi makaburi huzuriwa haya abudiwi
@ramadhanomar80933 жыл бұрын
Wewe wapinga ukweli
@muhammadmjara67763 жыл бұрын
using pingi halo yakuwa kitu kiko wazi kwamda murefu
@mustayoo3 жыл бұрын
Nenda makaburi ya sarigpi utaona.usipinge kitu hujui.hii sio dini ya ujinga.mtume ametutia kwenyr kiza hatuezi kukubali kurudishwa kwenye kisa na wajinga
@mustayoo3 жыл бұрын
Hayo ndo yenu.ila mwenye akili hawezi abudu kaburi wala kutegema kaburi
@ramadhanomar80933 жыл бұрын
Ndo kwa maana tunasema hawana akili
@ChachiMwaa Жыл бұрын
Nilijua haya mambo yako India kumbe had kwetu yako?😥😥
@akidawangara23233 жыл бұрын
Mi sitang'ang'ana kumueleza mtu huyu chochote. Ila kitu kimoja tu, hawa wafuasi wa Ibn Wahabi wanajua njia pekee ya kupata wafuasi ni kueneza uvumi dhidi ya watu wasiofata sera za Ibn Wahabi. Fundisheni dini, si kila siku twariqa..... Hakuna ilmu yeyote hapo, siasa tupu na kutafuta maslahi kwa wafadhili wao Saudia.
@abubakarmuhammadsaid32443 жыл бұрын
Ukweli unauma. Hapo shkh anakataza ushirikina wa kuabudu makaburi. Ili tuifuata tauhidi, lazima tuache ushirikina.
@wastarayussufu94633 жыл бұрын
Wewe unapotosha watu huna elimu kasome mtume kasema tuyazuru makaburi na kwanini watu wafika madina kuliona kaburi la mtume na wakiswali pale kwani mtume amekua mungu
@abubakarmuhammadsaid32443 жыл бұрын
@@wastarayussufu9463 Ukweli la Zima ukuume. Madhali munaomba maiti, mutaambiwa tu.
@fikafikan8484 Жыл бұрын
@@abubakarmuhammadsaid3244 mbona hakuleta video tukidikia mtu aombe makubiri sisi twazuru makaburi na kuwaombea mungu wazee wetu lakini hawabudu makaburi muogopeni mungu siku ya kiyama mutakwenda kujibu maswali
@abubakarmuhammadsaid3244 Жыл бұрын
Wewe hujawahi kukisoma hata kitabu kimoja cha imaam Abdulwahhaab, hukijui alichokisema wala huijui akida yake, unachokijua wewe ni uzushi wa wazushi tu dhidi ya huyu shkh. Watu wanamsema vibaya, na wewe umeyabeba kichwani.