Nastafidi sana kwako sheikh Muhammad nakupenda sana mwalimu wangu kwa ajili ya Allah ♥️💯✍️
@AbdulmalikiKweyamba-n1p24 күн бұрын
Nakukubali sana sheink wangu Muhammad Bachu Mungu akuzidishie kila la kheri
@NoorAli-vj4gn24 күн бұрын
Inna liLlahi wainna ilayhi rajiun sasa ukimtuhumu ni mwanaharamu itakuwa wamtukana yeye au mamake au marhum . Subhanallah dhulma juu ya dhulma
@dhidhasalim26724 күн бұрын
Sheikh zidisha speed.Hawa jamaa wametupotosha kwa muda mrefu.Allah akuhifadhi
@OmayAlly22 күн бұрын
Mpka hili wameshindwa kuelew kwel uzushi sio mzur, namshkur Allah kwa kuniondoa kwenye uzushi
@ismailmakame718323 күн бұрын
Shekh wetu wewetakasa niaya kwa ajili ya Allah wachawatuwaseme hilo lisikuzoofishe moyo Allah azidi kukupa ufaham nakuombea kwa Allah akufishe ktk uislamu nasunnah amin
@AminaDodios-ml2lv5 күн бұрын
Allah akuhifadhi sh.muhamadi bachu !mimi niko na ww mwanzo mwisho.
@hassanmohamedabdalla410824 күн бұрын
قل اعوذ برب الناس التوحيد ربوبية ، ملك الناس التوحيد اسماء والصفات ، اله الناس التوحيد الالوهية
@sakinasakku834024 күн бұрын
MAASHAA ALLAH tabarakallah ,,,, sheikh. ,,ALLAH ,akulinde na husdi
@AbdulaziziAlly-z3q24 күн бұрын
Safi shekh Muhammad bachu wape za uso Hadi waelewe maana Hawa jamaaa huwa wanajitoa ufahamu
@IbraFareed23 күн бұрын
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@Abdulrahman.8423 күн бұрын
Kweli kumuita muislamu mwenzako mwanaharamu ni makosa Sanaa tena ni vibaya sana...lakini Mohammad Bachu pia ana makosa achangia pakubwa yeye kutusiwa matukano mabaya....kama Vile kumuita ustadh Said Shirazy DJ Hilo si jina lake alilopewa Na wazazi
@HamkingCompanyLimited202323 күн бұрын
Mohammad bachu' Hutaweza kufanikiwa kweny jambo la da'awa mpaka uitakase nia yako' Huna ikhlaswi katka jambo lako la da'awa' Ikhlaswi ndo msingi wa kila kitu katka mambo ya ibada' Ukifeli katika ikhlaswi Basi umefel katka safar yako'
@OmarSalum-y9c20 күн бұрын
Umemjuaje na lipi baya analolifanya
@HamkingCompanyLimited202320 күн бұрын
@ Ukikaa darasan utaelewa maneno nilyozungumza' Ukiwa upo mbal na njia ya elimu' Hutoweza kuelewa maneno yenye chem chem ya mitume'
@mussakhamis-g8c11 күн бұрын
MAWAHABIIIIII MIMI NILIJUA ATAONESHA UFAHAMU WA MASAHABA NA TABIINA KUMBE BADO ANACHAMBUA VITABU VYA MAULAMAA BADO HUJATUPA UFAHAMU WA MASAHABA
@nassoraliy387123 күн бұрын
Huyu ndie sheikh mkubwa katika vijana est africa
@SALUMKHALFAN-z4f2 күн бұрын
SAWA TUNAKUBALI KUWA BACHU NI SHEKH WA AFRIKA MASHARIKI SAWA ILA MFAHAMISHENI KUWA QURAN ANATAMKA VIBAYA TENA ALHAMDU YEYE DAL ANAIVUTA ANASOMA ALHAMDUU الحمدو WAKATI INATAMKWA ALHAMDU الحمد ALHAMDU NI NGUZO MIONGONI MWA NGUZO ZA SWALA KAMA ALIVYOSEMA MTUME SWA يبطل الصلاة ترك ركن او شروط INABATILIKA SWALA KWA KUACHA NGUZO AU SHURUTI SASA SHEKH WA DUNIA BACHU SWALA ZAKO VIPI NA UNAOWASALISHA NA SI HAYO TU PIA UNAKOSEA NENO الرحمن PIA UNAVUTA NUNI UNASOMAالرحمني ، NUNI HAIVUTWI MSIKILIZENI AKITAMKA SHEKH WA DUNIA SASA NYIE WANAFUNZI WAKE MREKEBISHENI KWANZA ALHAMDU NDO MSOME HIO BIDAA YA NAHWU JAPO NI BIDAA NZURI INATUFANYA KUIFAHAMU VIZURI QURAN MAANA MTUME SAW HAJAFUNDISHA NAHWU KUJUA KOTE ALHAMDU UNAIKOSEA DAAAAA
@SALUMKHALFAN-z4f2 күн бұрын
HALAFU ANAITAKA KUONGOKA INGIA RVS ONLINE TV SALA YA IJUMAA MASJID FATMA? UTAWAONA MAADUI WA ALLAH NA MTUME SAW AKIWEMO BACHU TATIZO HUYU KIJANA ANAKURUPUKA
@TijosHaba-xi8vy22 күн бұрын
Allah akuhifadhi ustadhi wetu mwenye akilili husikia na kusoma
@zafarmohamed941322 күн бұрын
mm sijapenda nyie masheikh mnavyotukanana wallah sijapenda kabisaa imenikera sanaa. ssi vijana tutajifundisha nn kupitia kwenu. na nimecomment kwako kwasababu kule wamefunga comment.
@spartachize12224 күн бұрын
Asalym alaykum warahmatullah wabarakaatuh.... Challenge hio mshapewa, na ni challenge yenye bonus nzito 5m Kenyan money, njoeni mjibu
@RayaAli-y9j20 күн бұрын
Mwenye kujishusha kwajil ya alla alla anamnyenyuwa daraja
@OmarAlly-iz8ot24 күн бұрын
Wanao sema Maulamaa hawafanyi mijadala, hebu wasome historia ya Mwibu wakoo kwa wazushi wote duniani, Imaam Ibnu Taymiyyata na mwanafunzi wake Imaam Ibnul-qayyim.... Na zama za karibuni tu Imaam Muhammad Naaswruddiinl-Albaany. Khalafu muone mijadala haifanywi na Maulamaa kweli au hamujuwi
@UmmuFaaruq23 күн бұрын
Wanafanya kwa haja lakini asli nikuto Fanya mijadala
@BabeyNyota23 күн бұрын
Allah akuhifadhi na shari za masufi
@Khatib-xp6fp24 күн бұрын
Tupo pamoja nashawishika kusoma sana kupitia wewe allah sw atubariki
@Khatib-xp6fp24 күн бұрын
Tunatakiwa kumuiga kusoma sana na kupekuwa ili kujua elimu ni lazima
@swalehhamid-zn5hf24 күн бұрын
sisi twakuliza hizo pesa ukonazo kweli au ni ubishi hebu tuoneshe tuamini
@AminahMbaruku19 күн бұрын
jaman naomba mashe wt huyu mtt wa bachu anatutoa ktk thawabu Ana tutia ktk zambi alafu Hana ilumu yyt 11:24
@rashidhemed144417 күн бұрын
Analipwa huyo na mtandaao
@YussufYussuf-w9m24 күн бұрын
Mtu yeyote akisha elemewa Hana cha kukimbilia Zaid ya matusi alla atakulinda shekh
@bagalucha24 күн бұрын
Kuna aya nyingi zilizotaja utukufu wa sifa zake,masufi wamelhafilika,wao wapo tayari wawatukuze wandaamu zaidi ya Allah Subhana wataalla,kila siku wapo katika ibada zao za kuzusha,haula nakadhalika,sisi binaadamu tunatakiwa kumdhikri Allah kila sekunde,ulimwenguni tunapita tu,ulimwemgu ni mtihani,msimshikishe Allah kwa lolote.
@AbdulkarimShosi24 күн бұрын
Hizo Aya chungu nzima zilizoko kwenye quraan zinazoelezea sifa za mola mtume na maswahaba na tabiina wasizielewe ya kwamba zinazungumzia tauhid tatu muje nyinyi Leo masalafi feki ndio muelewe hili ni jambo la ajabu mungu awaongoze
@IbraFareed23 күн бұрын
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@SalminSuleiman-qy3ji23 күн бұрын
Aloitwa mwaharam ni ibnu uthaimiin au shkh Muhammad bachu
@saadaAbdalla137123 күн бұрын
Sheikh Muhammad
@husseinmongolare341724 күн бұрын
Shukran ❤
@AbdulmajidSuleiman24 күн бұрын
Allah akubarik Sana Wallah nimejifunza
@AbdulkarimShosi24 күн бұрын
Umejifunza nini hebu nieleweshe na Mimi nataka kujua acheni taasub hino ni dini
@bwagizoselemani843423 күн бұрын
Upo sahihi shekhe hakuna mtu anaweza kujib hapo ni kibri tu ila kwa mtu mwenye akili hawez kupingana nawewe tunaomba mlete mjadala wa talakin nao
@QuthamAbdalla23 күн бұрын
جزاك الله خيرا
@HanifaOman-oo4pl24 күн бұрын
Mm nakukubali ila ahadi zako azina ulaxima yapesa walakupasua vitu ww ongeatu vitasahihi basi inatosha ukisema mamboyapesa nauswalini nikama unakibri fulani Allah akunusuru. Shehewetu
@KhalfanMassoud24 күн бұрын
Jazaakallahu khaira,
@MunahyaMubaraka24 күн бұрын
شكر ي محممد
@OmariAli-k2j24 күн бұрын
Acheni kumshambulia mwanazuoni wakat wazee wenu wamekufa na sigara ata suratul fatha hawazijui huwez kukoment kaa kimya
@eastafricaqualitychickenfa991624 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@izmamuizmamu652124 күн бұрын
MashaAllah tuko pamoja sheikh
@ismailmakame718323 күн бұрын
Allah akupethabati
@MussaYasini23 күн бұрын
Jazakallahu khayran
@binismail202924 күн бұрын
DJ Muache maana tunahofia kuja kuzama ktk kisima. Wanaweza kuja kuipinga Quran bila kujitambuwa.
@IbraFareed23 күн бұрын
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@Captainome24 күн бұрын
Safi shekh Muhammad bachu safisha mazingira kusoma kwao bidaa ndio shida. SHEKH KIDAWA HAAMKI TENA NA KWAMBIA UMEMPAZA USOOO.
@swalehhamid-zn5hf24 күн бұрын
wazimu huo kweli uko nazo hizo pesa ama ni wazimu kama nikweli ungetuonesa karibu twakufunga cheni tukupeleke hospitali waugua
@Captainome24 күн бұрын
@swalehhamid-zn5hf jibuni basi muone kama hazitatoka
@IbraFareed23 күн бұрын
@@Captainome Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@Captainome23 күн бұрын
@@IbraFareed rudi ukasome AYAA KATIKA SURATUL MARYAM UTAEKEWA KISHA UKASOME ZILE DALILI MPAKA MAULAMA WAKA ZIFAFANUA.
@IbraFareed23 күн бұрын
@ Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? AYA NDO MASWALI
@iddimohamed25422 күн бұрын
Mashallah kama ujamwelewa bachu basi ww ni jahil...!much love from 001 msa kenya.
@IsmailSanga24 күн бұрын
Kwenye hiyi aya Mwenyez Mungu ameigawanya au ametaja!,Alafu mbona nizaidi ya hayo unayoyasema kua nimara tatu?
@MussaYasini24 күн бұрын
Hahah tofauti yakutaja vitu vitatu nakuvitaja sehem3 ninin?!
@nassirzamzam931218 күн бұрын
The proper in tawheed (Islamic monotheism is comprised of three interrelated components: (1) The belief in Allah alone as the Lord and creator of of this and all creation: (2) The belief in the absolute uniqueness of Allah's names and attributes, wherein He does not share in any of the attributes of the created nor does any created being share in any of the attributes of the divine, (3) The belief in and practice of dedicating all acts of worship to Allah and Allah alone(known as tawheed al uloohiyyah) .All three are essential to make aperson a Muslim and a believer.
@salumhassanallymkurdistan700621 күн бұрын
رَبُّ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَمَا بَيْنَهُمَا فَاعْبُدْهُ وَاصْطَبِرْ لِعِبَادَتِهِ ۚ هَلْ تَعْلَمُ لَهُ سَمِيًّا Mola Mlezi wa mbingu na ardhi na vilivyo baina yake. Basi muabudu Yeye tu, na udumu katika ibada yake. Je, mnamjua mwenye jina kama lake? HII AYA INAELEZEA UTUKUFU WA ALLAH JUU YA UUMBAJI WAKE NA KUTUTAKA WAJA WAKE TUMUABUDU YEYE TU NA KUTUTAKA WAJA WAKE TUDUMU KWENYE IBADA ZAKE HAIELEZEI VIGAWANYO KAMA WANAVYO SEMA MAWAHABI ALLAH ANASEMA AMEZIUMBA MBINGU NA ARDHI NA VIVYOMO NDANI YAKE TU VIVYOMO ARDHINI NI VINGI MMNO ARDHINI KUNA BINAADAM KUNA MAJINI KUNA WANYAMA KUNA MIMEA MBALI MBALI KUNA BAHARI NA KILA AINA YA VIUMBE NDANI YAKE KUNA MITO KUNA MADINI YAKILQ AINA KAMA LULU NA MARJANI KUNA KILA AINA YA VITU DUNIANI NA MBINGUNI KUNA MALAIKA KUNA JUWA NA MWEZI NA NYOTA NA SAYARI NK SASA HAPA HIVI VIGAWANYO WANAVYO SEMA MAWAHABI VIPO WAPI? MAWAHABI UELEWA WAO WA MAMBO MENGI YA DINI YA KIISLAM NI MDOGO SANA NDIYO MANA MAWAHABI KILA AYA NA G HADITHI HAWAZITAFSIRI KWA USAHIHI HII INATOKANA NA UTOFAUTI WA AKILI BAINA YA WANAO ZIJUWA AYA NA TAFSIRI ZAKE NA UWELEWA WA MAWAHABI WA KUKURUPUKA BILA KUJUWA TAFSIRI SAHIHI NA HII INATOKANA NA AKILI ZAO ZIPO TOFAUTI NA WAISLAM AKILI ZA MAWAHABI NYINGI ZA SHEKH KASEMA SIYO MTUME KASEMA WALA SWAHABA WALA TABII TABIIN WAMESEMA MAWAHABI WANA DINI YAO NA VITABU VYAO VYA AKINA FAUZANI NA MOHAMED ABDULL WAHABI NA ALBANI NK MAWAHABI MAMBO MENGI ASILIMIA 99 YA WANAYO TOFAUTIANA NA WAISLAM NI MAMBO WALIYO YASEMA KATIKA SHEREHE ZA VITABU VYA MASHEKHE ZAO SIYO MANENO YA MTUME WALA MASWAHABA WALA TABII TABIIN WAO KILAKITU SHEKH KASEMA SHEKH KASEMA SHEKH KASEMA SHEKH KASEMA DUUU SIYO MTUME NA MASWAHABA NA TABII TABIIN WAMESEMA SHEKH KASEMA DUU SALALE MAWAHABI MUPO KAMA MAKADIANI NA TAFSIRI ZAO NA VITABU VYAO? رَبُّ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَمَا بَيْنَهُمَا فَاعْبُدْهُ وَاصْطَبِرْ لِعِبَادَتِهِ ۚ هَلْ تَعْلَمُ لَهُ سَمِيًّا Mola Mlezi wa mbingu na ardhi na vilivyo baina yake. Basi muabudu Yeye tu, na udumu katika ibada yake. Je, mnamjua mwenye jina kama lake?
Daaaaah bachu leo umeacha kitabu na sunnaah Maaana hata watu wa bidaa huwa wanatumia hoja kama zako Huwa wanasema mtume hajasoma ila maulamaa wamesema Daaah bachu acha matamanio
@ShamsudeenOmary24 күн бұрын
Unaeleweka sana akhi
@JumaOmar-ku6cr24 күн бұрын
Hawa jamaa watu wakikaa kimya wanazidi kuiharibu dini mwisho mashekh watauza mapapai msikitini shekh vitabu ni bidaa mtihani huu
@nassirzamzam931217 күн бұрын
Hawa mwa twarika wako kwenye giza kwa sababu yeyote anae fuata bidaa mwenyezimgu humekea pazia .
@jumamasoud118821 күн бұрын
Hakuna vigao vya tawhid wacha mambo hayo, kidawa alitoa Dalili nyingi tena kupitia Quruan, wew ndy ulieshindwa kuleta hoja kwa Quruani.
@HamisOman-s8h23 күн бұрын
Acha kiburi dini hayendi ivo muhamed hemu simama katika haki usifundishe kwa kiburi
@OmarSalum-y9c20 күн бұрын
Haki ipi ndugu yangu unayoitaka wewe
@hassanmohamedabdalla410824 күн бұрын
ومنهم: أبو بكر الطرطوشي المالكي (ت: 520هـ) في سراج الملوك، حيث قال: (وأشهد له بالربوبية والوحدانية، وبما شهد به لنفسه من الأسماء الحسنى، والصفات العلى، والنعت الأوفى، ألا له الخلق والأمر، تبارك الله رب العالمين)، فذكر الأقسام الثلاثة، والنقول في هذا كثيرة.
@YahyaAli-o9z23 күн бұрын
Ya akhiy emu naomba nijb hili swali kidg lkn samhn nyny mnakubali hakun bidaa mzur bidaa zote ni mbay emu nieleshe hii hadiithi vzr San mtume kasema كل محدثة na كل بدعة na kwann hakusema كل محدث na كل بدع na maneno hayo yanatumik katk lugha na katk Kur an soma Aya ya no suratul an biaai allh anasema ما يءتيهم من ربهم محدث hapa katumia neno (محدث) na Aya ya 9 suratul ahkafi قل ما كنت بدعا من الرسل katumia neno بدعا kwann mtume hakutumia maneno hayo naomb nijb
@latif1524 күн бұрын
Yahe sheikh Bachu unakero na unakera hasa maana ankara saut sauti hamir kwahiyo jitahidi kutoa darsa sio kujifanya mjuaji kwa waliokutangulia na kuwadharau masheikh na kuweka challenge ya mapesa eti ukijibu nitakupa mamilioni hio sio tabia yetu masufi .
@NoorAli-vj4gn24 күн бұрын
Yuakera na kisha ukapatikana huku
@abeidali175621 күн бұрын
Kujadialana kupo kwa ajili ya kuwajulisha watu Haqqi ni ipi lkn kwa uoni wangu mimi baina ya Sheikh Upepo na Sheikh Bachu, huu ni mjadala wa ushindani wa watu wawili co wa kutafuta haqqi ni ipi man mpka mtu anasema asa ntakubamiza vibaya san yan km vile ni ushindani baina ya Sheikh Upepo na Sheikh Bachu nani bora na hii co sahihi jaman jitahidin kila mnalofanya fanyeni kwa ajili ya Allaah na co kwa lengo la kuibuka mtu mshindi
@bagalucha24 күн бұрын
Huyu kijana Haji Upepo ana uhasidi
@jumamasoud118821 күн бұрын
Sasa Ukimpwekesha Allah kwenye rububiya ukaacha zingine unaingia peponi au?
@allysaidshaban773423 күн бұрын
Shee upo sawa ila unacho ulizwa je kuigawa tauhd sio bidaaa
@footballmagichighlights24 күн бұрын
Asalam Alaykum, Kwenye hiyo milioni 100 ungechukua walau milioni 5 ukaboresha vifaa vya production Microphone za HD-AUDIO, Camera ya 4K na Studio Light. Ili uzidi kueneza Da'wa ya Allah, Insha'Allah itakuwa na malipo makubwa kuliko kuinadi wakati wajua hutaweza kuitoa
@Abdulrahman.8423 күн бұрын
Sasa Sheikh Mohammad Bachu ni akubali kuitwa jina lolote lile kama anavyo waita wenzake Ma DJ na waganga...na akicheza Hilo jina la mwanaharamu litamshika
@OmarSalum-y9c20 күн бұрын
Dj c anajiita mwenyewe au hujui hilo na ndio jina lake la umaarufu
Mbona maneno haya ya alqurtwuby umeyakwepa ?. ويلي هذه الرتبة الإشراك في العبادة وهو الرياء ؛ وهو أن يفعل شيئا من العبادات التي أمر الله بفعلها له لغيره . Kwa hivyo unataka kutuambia mtu mwenye kufanya riyaa ni kafiri ?. Maskini hujui hata kusoma. . Hivi wewe unataka kusema huyu kijana mwenzako na riyaa zake ni mushrik ?..
@maulidasaa940724 күн бұрын
Akh hiyo kanzu nimeipenda nakuomba nipatie mm
@KassimSalim-fi1me24 күн бұрын
Sasa al akhy izo pesa za nn iyo ni mijadala ya kielimu sio bonanza anaeshindwa anatakiwa afuate haki sio na anaeshind amefikisha dawa sio kupeana hela al akhy mm apo si sapot kuweka hela
@ZulfaAthman-i9u24 күн бұрын
Assalaam alaykum .hivi hizo tawhid tatu ktk asmaau waswifat majina ya Allah nasifa zake je kunajina lipi ktk majina 99 ya Allah lina tafsiri ya mwenyezi mungu? Tumche Allah tusimpe wala kumuita majina yasiyokuwa yake.
@adammaulid235620 күн бұрын
Ingekua mm ni HAJI UPEPO ningekimbia mdahalo ,hadith hii tu pekee ishamaliz mdahalo
@FumuMakame-ep1sw24 күн бұрын
Mimi nakuita shekhe kwanza hicho kiburi pesa zisikutie kiburi sio kufunguwa vitabu ufahamu ndio bora
@jumamasoud118821 күн бұрын
Huna hela hizo wew hacha mambo hayo, unatakiwa ulete hadithi ya wazi kuwa Mtume amegawa Tawhidi maana ninyi ndy huwa mnataka kila kitu kitoke kwa Mtume au Swahaba
@ramadhanyusuf240119 күн бұрын
Masufi hawana lesson za Tawhid
@Shuaib-v3m24 күн бұрын
Ilikuwa ana chafuwa mtume saw sasa hivi ni mungu subhanallah
@hassanmbumbo-lw8rh24 күн бұрын
We vip unaelew lkn
@IbraFareed23 күн бұрын
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@hassanmohamedabdalla410824 күн бұрын
وقال بهذه الأقسام بعد ذلك: ابن تيمية، وابن القيم، وابن كثير، والشوكاني، والمقريزي، وابن أبي العز، ومحمد بن عبد الوهاب، وجميع تلاميذهم، وملا علي القاري في شرح الفقه الأكبر حيث يقول: (أقول: فابتداء كلامه سبحانه وتعالى في الفاتحة بالحمد لله رب العالمين يشير إلى تقرير توحيد الربوبية المترتب عليه توحيد الألوهية المقتضي من الخلق تحقيق العبودية، وهو ما يجب على العبد أولًا من معرفة الله سبحانه وتعالى ...).
@ZogoMtaani24 күн бұрын
😂😂😂😂😂 Hivi unajua maana ya : المترتب عليه ؟؟؟. Maskini mawahabi mnaokota vitu kutoka kwa mawehu wasio kua na uwezo hata wa kuyafahamu maneno ya wanazuoni wasomi .
@HabibaB-u9x23 күн бұрын
Akhi Wacha kujibizana Na ahlul baadil, hawachukii bid'a Bali bid'a Ni yao
@uiavajiwgav544124 күн бұрын
Wamesahau tauhidi tatu ziko kwwnye Qur ani hata suratul fatiha alhamdulilah hiyo nitauhidi uluhiya rabil alamina hiyo nitauhidi rububiya arahman arahim hiyo nitauhidi asmau waswifatu
@SaidMadai24 күн бұрын
Je Mtume kafanya hiyana ktk kutufikishia aksam tawhid or vp kwaiyo ilo nijambo ambalo halipo kbs
@khalifa_kuchi24 күн бұрын
@@SaidMadaikwn mtume alifany hiyana kuchambua qur an ama alielezea kuwepo kw maulid jmn kuna v2 vinachambuliw na ndio maana wakaitw maulamaa kaz yao kuchambua km tuseme tusichambue ww dini yengekufikia vp kw wkt huu wako...
@fakihkombo606524 күн бұрын
Ata nguzo za swala hajachambua mtume nazo utasema ni bidaa
@saadaAbdalla137124 күн бұрын
@@SaidMadaimaulid mmeyapata wap
@kasimubangu187524 күн бұрын
@@SaidMadaije mtume kafanya hiyana katika sharti za swala na nguzo zake?
@hassanmohamedabdalla410824 күн бұрын
ومنهم: أبو حاتم محمد بن حبان البستي (ت: 354هـ) في مقدمة كتابه: "روضة العقلاء ونزهة الفضلاء"، حيث يقول: (الحمد لله المتفرد بوحدانية الألوهية، المتعزز بعظمة الربوبية، القائم على نفوس العالم بآجالها، والعالم بتقلبها وأحوالها، المانِّ عليهم بتواتر آلائه المتفضل عليهم بسوابغ نعمائه، الذي أنشأ الخلق حين أراد بلا معين ولا مشير، وخلق البشر كما أراد بلا شبيه ولا نظير، فمضت فيهم بقدرته مشيئته ونفذت فيهم بعزته إرادته ... ).
@OmarSalum-y9c20 күн бұрын
Ndio una kusudia nini
@OmarSalum-y9c20 күн бұрын
Mtaala wa zanzibar unasema ziko 3 na hii ipo tokea miaka iliyopita wanachuoni wote hao kina Abdullah farsy na masheikh wote hawajui chukua mtaala wa 🇹🇿 kama hutaukuta kua unasema aina za tauhid ziko 3 nyinyi kupinga hili munataka cfa na kutaka umaarufu
@hassanmohamedabdalla410820 күн бұрын
@@OmarSalum-y9cnaona kuhuelewa soma ifwataio Miongoni mwa wanazuoni waliogawanya tauhidi katika makundi matatu ni mwanachuoni Imam Abu Abdullah Ubaidullah bin Muhammad al-Akbari, anayejulikana kwa jina la Ibn Battah al-Akbari (aliyefariki: 387 AH), ambaye Imam al-Dhahabi alisema kumhusu katika Mizan al-I'tidal. : Alikuwa imamu katika Sunnah, imamu katika fiqhi, mtunzi wa masharti na jawabu la mwaliko. Ibn Battah amesema katika kitabu chake Al-Ibanah Al-Kubra katika majibu yake kwa Al-Jahmiyah, uk. 172-173:
@binismail202924 күн бұрын
Hawa hawataki HOJA Za Quran wala Sunna. Tauhidi ilisharleza kwamba wao Maoni ya Nafsi zao pia Ni HOJA Muda wakuwa Akili zao zinakubali
@allymbarouk536223 күн бұрын
Matusi sio mazuri na halifurhishi hilo, shida Anaelalamika Kutukanwa na yy anaongo kutusi na kudhalilisha mashekh na maulamaa
@allysaid732624 күн бұрын
Samahani shekh bachu nakuheshimu kwa elimu yko lakini wew unajua kabisa shekh kidawa yupo sahih kwamba hiyo ni bidaatun hasana ila sababu wew unapinga bidaa ndo hutaki kukubal.mtume wala maswahaba hawaja chambua na kugawa tauhid nasio hivo tu nguzo za swala na mengineyo meng maulama wamegawa na kuchambua kwajitihada zao wamefanya bidaa njema....
@OmarSalum-y9c20 күн бұрын
Wewe soma hata mtaala wa somo la dini wa zanzibar na tanzania 🇹🇿 utakutia unasema tauhid zimegawika aina 3 ndio 2seme masheikh wote waliopita hawajaliona hili na nyinyi ndio maulamaa munalipinga
@YussufYussuf-w9m24 күн бұрын
Shekh huyo kashalaanika muache akakulipe mbele ya Alla Wewe Toa elimu Hao waache na laana Zao wameshapigwa muhur
@allymbarouk536223 күн бұрын
Dalili zenyewe sasa ni shekh fauzan na bin Baz
@HijaMussa-v5r24 күн бұрын
Sheikh Bachu kama unakubali vitabu na unawakubali maulamaa kufanya jitihada katika dini na kuchambua vip kuhusu barzanji na sheikh aloandika.
@kasimubangu187524 күн бұрын
Kakwambia pale wanapopatia twawafuata ili mradi wasitoke kwenye msingi wa qur an na sunna ila wakikosea twaacha makosa yao hujaelewa ninihapo barzanji inamakosa kibao yapo tunatakiwa tuiache tufuate msingi wa qur an na sunna
@KhamisiOmari-yo7jx24 күн бұрын
Hizo pesa kweli waeza zitoa nikweli.na matusi pia ulimtukana sheikh wa barzanji na kutupa kitabu chake bila ya elmu.alafu elmu ya na sheikh haji upepo elmu yako ndogo sheikh bachu .wewe zibebe kabisa umpelekee sheikh wetu kama wasema kweli..
@faridfrefre3524 күн бұрын
Barzanji imejaa kufru
@KhamisiOmari-yo7jx24 күн бұрын
@faridfrefre35 ufahamu ndio pogo huna unacho elewa ushakula maji ya mazayuni ya kuabudu miungu mitatu.alafu unajua tafsiri Gani kuusu barzanji ulivo ongea kwisha tayari umesha kufuru.yatakiwa tukasome tuache kunyweshwa mafuta na vikopo.
Tupeni elimu mashekhe wetu ila acheni kutukanana wekeni mijadala kwa manufaa
@ZogoMtaani24 күн бұрын
Kijana kidawa amekukomesha hadi ukakimbilia maneno ya wanazuoni . Kwa hivyo kwako tumepata wewe ikiwa mwanachuoni. Amefanya ijtihad basi ijtihadi yake ni sunna. Kwani hujui kua maulidi walio fanyia ijtihadi ni wanazuoni tena : الحفاظ . Ambao huyo ibn utheimin hafanani na ukucha wao .
@ibrahimassaa98024 күн бұрын
Ndo dini yetu ilipotufikisha hapa kushushuana na kurushiana maneno sasa sijui lengo ni nini...Allah amesema tushikamaneni katika kamba yake na wala tusifarikiane sasa hapa tulipofikia sijui tutaenda kumueleza nini Allah
@saadaAbdalla137124 күн бұрын
Sasa ujitahid uwe ktk njia ya haqqi skiliza pande zote mbili kisha utajua ipi kamba ya Allah ili usifarikiane na wenzio
@kasimubangu187524 күн бұрын
Katika kamba ya Allah na isiwe kinyume nahapo tutakuwapamoja kwaajili ya Allah na tutafarikiana kwaajili ya Allah
@IbraFareed23 күн бұрын
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@saadaAbdalla137123 күн бұрын
@@IbraFareed lkn tawheed ina asili katika Quran maulid mumeyatoa wap
@saadaAbdalla137123 күн бұрын
@@IbraFareed kisha vigawanyo vya tawheed vimegawanya tangia kwenye karne tatu bora maulid wapiiiiii na kuwaomba watu walokufa na kuswali kwenye makaburi wapiiiiiiiii jmn msipoteze watu
@KasimuKiduba24 күн бұрын
🎉masuf hawajui dunia wala akhera
@IsmailSanga24 күн бұрын
Wanajua kujitoa muhanga tu.
@IbraFareed23 күн бұрын
@@IsmailSanga Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@hassanmohamedabdalla410824 күн бұрын
التوحيد واسمه الكامل التوحيد ومعرفة أسماء الله عز وجل وصفاته على الاتفاق والتفرد،[1] هو كتاب لمُحمد بن إسحاق بن محمد بن يحيى بن منده العبدي الأصبهاني (310 هـ - 395 هـ)،[3] في العقيدة الإسلامية.[4] يختص بموضوع التوحيد في الإسلام، حيث قسَّم المؤلف الكتاب إلى أربعة أقسام، فتكلم في القسم الأول على توحيد الربوبية، وفي الثاني على توحيد الألوهية، وفي الثالث على توحيد الأسماء، وفي الرابع على الصفات، حيث جعل المؤلف توحيد الأسماء والصفات قسمين وليس قسمًا واحدًا.
@ZogoMtaani24 күн бұрын
Hiyo aya haina utatu wa mawahabi walio uleta kutoka kwenye utatu wa ukristo.
@AbubakarAlly-th6op24 күн бұрын
Sheikh usiweke ahadi ya kuchoma vitabu
@feizalmas24 күн бұрын
Bachu ww ni mnafiki sana matusi yako kuwatukana mashekhe huyaoni tatizo huna elimu unakurupuka. Tofauti ya ww na sheikh kidawa. Wewe ni mwanafunzi wa chekechea sheikh kidawa ni lecture wa university. Kaa chini usome achana na kuuza bando Kwa kuwapotosha watu
@Cherehanitanzania24 күн бұрын
Sasa wwe unajifunza nni Ukisema Bachu ametusi Wanazuon Kwa wakati Huu Mie Naonelea Nibora Wwe Ungechukua Tahadhar Na Kumuomba Allah Kujua Dini Yako Kwa Dalili Kunufaika wew Pamoja Nakunufaisha Wengine Achana na matusi Yake Ukiona Sehem Kasema Haki We Chukua Haki Matusi Yake Usiyajadili sana Ukaacha Chenye Faida Sabab Huenda Amefanya Taubah Kama Nikweli Katukana,
@khalifa_kuchi24 күн бұрын
Feizalmas; hili jahili jengine ilooo linaropokw ww km waona mwalim wako ana point au ameshindw bx jibu ww sio uanze porojo zako...
@HarithAlyhamadi24 күн бұрын
Hasa yeye Kam Hana elimu jibu wew izo hoja km wew unayo iyo elimu haf mijitu km hii usishangae hata iyo twahara Mara hajuwi
@Jumaupnda24 күн бұрын
waliowaandikieni hivyo vitabu vinavyo kushughulusheni wamejifia zao kama walipata huko walipo wanajivinjari na kama walikosa Allwaah awasemehe wao na sisi. ila wamekuachieni kazi kubwa kila mtu akisoma kauli ya mwanazuoni inayomfurahisha anatoa kilipu kutangaza hiyo kauli na kutaka watu waje washindane na wengine ndo hivyo wanaweka mpaka pesa kwa mti atayeweza kuvunja hoja alizosoma kwnye vitabu vyao. maoni yangu kwenu nyie mnaobishana kupitia maoni ya waliopita ni bora muache tu muendelee kufundsha hiyo misimamo ya kurithishwa kutoka kwa watu wa kawaida ambao haiwezekani kupatia katika yote walosema na kuyaandika. somesheni watu wenu hizo tauhidi tatu sijui nne au tano. somesheni tu.
@niffonlinetz721424 күн бұрын
Shekhe ungejenga hoja ungeeleweka tofaut na ulivo ita watu wanafki
@Sheikhmadaba-cm2hw19 күн бұрын
Kama unajua kubwa Maulamaa wanafaa kusema mbona unakataa maulidi yalizungumziwa na Maulamaa
@hassanmohamedabdalla410824 күн бұрын
Masufi hawaelewi kabisa maana ya neno tauhidi , kwa sababu nyoyo zao zilitawaliwa na uzushi na hawataelewa kamwe
@nasoros.mgungo550224 күн бұрын
😂😂😂😂😂 Masufi hawaelewi Aqsam Tatu za Tawheed na sio Tawheed.
@IbraFareed23 күн бұрын
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@ابومعاذاحمدناصر24 күн бұрын
Wewe ni changamoto kwa watu wa batil
@BizimanaYahya-y4o24 күн бұрын
Sheikh iyo kanzu twaitaka
@AbuuAnuwar-ip7dr24 күн бұрын
Watu wenye elimu zao washakupuuza we endelea kubishana nahaohao wanafunzi tu, ila walimu wao wako pembeni wanakuchora tu unavohangaika na wavijana wao😂
@YunusMakame-l6n24 күн бұрын
We sufi nini
@RayaAli-y9j20 күн бұрын
Basi usipienge mulidi ikiwa ushahidi Watanabe wachuwoni
@ShamsudeenOmary24 күн бұрын
Wakati huu nakusikiliza, nimeisikia adhana ya masufi hapo nje na ndo msikiti ulio karibu na mimi mpaka nahisi kinyaa kwenda kuswali pale, daah mtihani huu hapa nilipo hakuna Masjid ya sunnah
@ShamsudeenOmary24 күн бұрын
Kwa namna wanavozidi kunikera, yñ inaonekana hawataki haqi kabisaa na washaisikia vya kutosha na wanazidi kuelewa na kupambanukiwa lkni washaamua jambo lao ni kudumu ktk uovu wal-iyadhu billah
@AbdulkarimShosi24 күн бұрын
Astaghfirullah Kuna adhana ya masufi hizi kama SI chuki ni nini hayo ni maneno mabaya sana haifai muislamu kutamka omba Toba kwa mola wako adhana ni ile ile kutoka wakati wa mtume hadi Leo hi yako ni kuleta mgawanyiko katika umma wa kislamu na huu wako ni uyahudi
@ShamsudeenOmary24 күн бұрын
@AbdulkarimShosi Umeelewa vizuri wewe tulia usinitie hasira na uzushi wenu, kuna wanaoleta mgawanyiko zaidi ya wazushi?? Yn unajifanya hamnazo kwamba hujaelewa ama vipi??
@TijosHaba-xi8vy22 күн бұрын
Ila nauliza masufi na wahabi, ma salafi, na wengineo ambao nasikia sikia wanaofuata sunna ya Bwana mtume huitwa je? Maana mimi msimamo wangu sio wawatu wa bidaaa
@abdulsalum285223 күн бұрын
Sheikh piga kwenye kichwa bado wanapumua
@hassanmohamedabdalla410824 күн бұрын
الحمد لله، والصلاة والسلام على رسول الله، أما بعد؛ فالحقيقة أن تقسيم التوحيد إلى الأقسام الثلاثة: (توحيد الربوبية، والألوهية، والأسماء والصفات) ليس من مخترعات شيخ الإسلام ابن تيمية -كما زعموا!-، بل قال به أئمة وعلماء من السلف قبل ابن تيمية.
@ameirameir434924 күн бұрын
Hao masufi hawana hoja wanatumia zaidi akili kuliko dalili
@AbdulkarimShosi24 күн бұрын
Alotumia akili na ujanja ni bachu hakutoa dalili ya tauhid tatu kutoka kwa mtume Wala maswahaba Wala tabiina kwa hivyo ndugu yangu SImama kwenye ukweli na mche mola wako
@IbraFareed23 күн бұрын
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@IsmailSanga24 күн бұрын
Maulamaa ni warith wa Mtume je ni ili wafundishe ambacho Mtume hakufundisha!?
@AdamuJuma-u6d24 күн бұрын
Usijeukambia km Kenya mwalimu usituangushe
@AbdulAbeidjumanneJumanne24 күн бұрын
Yani shekh bachu Kila siku nakuangalia unavyo zungumza lakin Bado hunifunzi elimu Yako maana nashindwa kukuelewa. Umesoma kwa ajili ya kubishana au sijui vipi dah mtihani kweli
@khalifa_kuchi24 күн бұрын
Hielew ww tu ila ambao wanamfwatilia vzr bx wanaelewa ww subir kabur ndio litalokuelewesha
@ابومعاذاحمدناصر24 күн бұрын
Sio kubishana bali anaweka wazi batili
@shabansaid232324 күн бұрын
Lakini amekosa hekima@@ابومعاذاحمدناصر
@ShabaniMbilinyi-c2t24 күн бұрын
@@ابومعاذاحمدناصرNa kwa sasa kuweka wazi batili huwenda ikawa bora kuliko kulingania .mana wanaolingania batik in wengi sana na wanamajina na nyazfa Mie namwlewa sana
@MgazaMhina24 күн бұрын
@@AbdulAbeidjumanneJumanne wewe hufuatilii darsa zake,wewe ukiona Radd ndio unafungua ila anatoa darsa za aina nyingi
@AbdulmalikiKweyamba-n1p24 күн бұрын
Nakufuatilia sana niko burundi
@OmarSalum-y9c20 күн бұрын
Mwana wa haram anazaliwa ndani ya ndoa kwa kula chakula cha haram na wala c kwa kufanya uzinifu itakua walikua labda wanajua jinc sh nasor alivyo kua anapata ricki wamefanya uchunguzi na kujitwisha ilo jambo