Nakubaliana na ww kabisa ndugi yangu, masalafi wanajiona wameongoka sana , MashaAllah umewarekebisha kabisa
@NurahhNurrayАй бұрын
Jazaaka Allahu khyra🤲
@abcmnbb26103 жыл бұрын
Yani kaka napendaga utowajiwako wamawaiza mungu akupe afya njema
@tariksalim26593 жыл бұрын
Mtafute doctur mbarak mwenyewe umwambie,muwache njia za mkato kupata umaarufu
@9119-r4t3 жыл бұрын
Soma ujuwe usemacho
@9119-r4t3 жыл бұрын
Alafu wajuwa daraja ya doctur
@tariksalim26593 жыл бұрын
@@9119-r4t sheikh mbarak awes holds a doctrate from azhar,
@ajmalkiango47153 жыл бұрын
Huyu mwanafunzi wa bahero Hana elimu huyo sheikh wake mwenyewe Ni wakawaida Sana...! Ana mustawa wa kawaida zipo clip kibao anakosa hata kusoma Quran vizuri
@quran._00133 жыл бұрын
Kijana unaropokwa sanaaa. Wajuaje masalafi hawajapata hiyo audio yao
@abcmnbb26103 жыл бұрын
Shukran
@guardianofthebibleftdavidw40013 жыл бұрын
Kusema ukweli ata mnaweza kufanya watu makafiri wasiingie katika dini ya Uislam wakiona migogoro iliyoko huku.Tabia hizi tunaziona kwa makafiri msiharibu Uislamu.Mkianza kuanikana aibu zenu basi makafiri wataendelea kutudharau.Kwa hivyo tuache kimdomo
@mohamedasaid79102 жыл бұрын
Sikuelewi picha uloweka.Ni ya David Wood.Nakama ni yeye kwa nini nae simuislamu
@clarissalufasaidi51362 жыл бұрын
Mashallah😍😘😘😘😘🇨🇩🇨🇩
@coolvoices66083 жыл бұрын
Duh! Hawa vijana wanatafuta kiki na masheikh. Namuona kama mtoto wa Bachu anavyomuandama Izzudin. Dr. Aweis humfiki ilmu hata robo khui...muulize kwann kaitumia hy hadithi dhaif.
@mohagurey22143 жыл бұрын
Watakosolewa na insha Allah watu watajifunza na kuepuka madhara yao. Wewe jinyonga lakini watu wanaelimika falillahil hamdu
@aliomar6123 жыл бұрын
@@mohagurey2214 kukosowa ni sawa kabisaa hakuna tatizo juu ya hilo lakini kuna njia zakurekebisha hapo ndio wanakosea hawa vijana wanao soma sasa wanataka wajulikane wanatafuta umaarufu tuu....njaa ndio inawasumbua
@aliomar6123 жыл бұрын
@Hamid awena njaa ndio inawasumbua tuu wanatafuta umaarufu tuu wala sijingine HUSDA na CHUKI ndio zawamaliza....
@hzsia96863 жыл бұрын
Kazi ilobaki sasa ni mashekhe kutumia majina ya mashekhe wengine kupata umaarufu... si lazima kutaja shekhe jina kwenye title ile iwe viral ...kama kuna makosa rekebisha kinjia ya hikma.. kuna mada nyingi zinafaa kuelezwa katika uislamu mbali na kuangalia wenzako kutoa makosa ... Allah awatie fahamu na awape ikhlas ... wabillahi tawfiq
@omadal13 жыл бұрын
@hzsia kweli kabisa hawa maustadh wanao kulipukaa wanataka KIKI tu
@06568408723 жыл бұрын
Tatizo lenu hamtaki ukweli halaf mwenye elimu ana elimu hata kama ni mwanao na ukweli haungalii nani yupo juu nani yupo chini hizo za kiki mnazijua nyinyi watu mnaokwenda na wakati
@muslimmassoud26733 жыл бұрын
@@0656840872 unaona ehhee yaan umeongea point kbsa kaka Allah akujaze kheir
@06568408723 жыл бұрын
@@muslimmassoud2673 jazakallah khairan akhi
@muslimmassoud26733 жыл бұрын
@@0656840872 ok
@mussaissa67962 жыл бұрын
Sijui kwa nini huwa hamusomeshwi kanuni Za kila munachoambiwa kinafaa au hakifai Ili mupate kujua kufaa kwake au kutofaa kwake ni katika misingi ipi ya kisheria kuhusu elimu husika!!? Hadithi dhaifu inatumika katika mambo ya kuhimiza kheri Na kukataza shari ewe zuzu.
@mabablaz1233 жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh, nasaha saafi sana
@husha63722 жыл бұрын
Shekhe muulianza NYinyi MAWAHABI
@F.j843 жыл бұрын
Hakki lazma isimamishwe na akisema hadharani watu watapata faida na wenye kutaka kujua watajua. Tumechoka na bidaa na hadithi za dhaif na ziswa za pauka pakawa..
@sadofaraji59993 жыл бұрын
Hadith dhaifu zimeruhusiwa kama zinahimiza mema,haziruhusiwi katika fiqh na Aqeeda, Lakini Allah atuhifadhi wote kijana ana adabu ya kukhitilafiana
@F.j843 жыл бұрын
@@sadofaraji5999 Hapana haziruhusiwi. Dhaif maanake ni hadishi hazina ukweli zimetungwa na kufikiriwa tu. So kw hadith lazma ziwe sahih.. Ukitafta dhaif zitakutia kw shirk na uzushi ambayo utaona ni mema lkn utakua wavuka mipaka ya mungu kwani zile zoote za sahih ndio zakufatwa hizo nyengine ni za kuachiliwa mbali.
@fahadtimimi93353 жыл бұрын
Alhmdllh wakizidi kufanya bidaa na maouvu basi Allah huonesha mauvu ya0
@mootelahamongus6333 жыл бұрын
Jazaaka Allaahu Khyra
@mbinissa3 жыл бұрын
Nenda ukasome kwa mwanafundi wa Alustaadh Mubarak
@مبغضالبدع-ع9ص2 жыл бұрын
Ndugu wewe unasema ukweli? Hivi masalafy kuna watu mombasa wanaoweka sawa masufi kama wao?! Je unahakika hiyo hadithi wao washaipata na wakanyamazia??? Alafu jifunze kukosoa makosa ya watu, hadithi ni dhaifu lakini hayo maana yaliopo hapo ndani ni kweli hamna kosa katika maana yake... bainisha udhaifu wa hadithi kielimu na uweke maelezo vizuri... na hapa sio kuwa ni sawa hiyo hadithi, lakini unaonyesha uchache wa ilmu yako kijana. Haya (مجمع الزوائد) yasomwa majma3u wala sio mujma3i, wewe kijana wallahi hujui kusoma maneno ya kiarabu na pia nina hakika hujui maana ya hadith munkar ni nini! Duh kiarabu kumbe hujui kusoma! Na kujisifu kwako!
@rashidmohammed91283 жыл бұрын
Hii tabia ya kujishuhulisha na kukosoa Walimu ama mashiekh ni tabia gani imeingia? Hawa vijana wanatupotezea watu.. Sasa ndio nini? Anatuambiya? Huyu?
@mohamedswaleh67782 жыл бұрын
Kaa pemben tuache xx tufaidike
@godanakokane58913 жыл бұрын
kwa upoletu nauliza kwanini mtu asimpigie sheikh mwenzake simu amueleze makosa yake bila mambo kama haya.
@abutafawa3 жыл бұрын
Assalam Alykum... Sababu ataye sema jambo hadharani na watu washayaskia ni lazima libainishwe hadharani watu wajuwe aliyo yasema si ya sawa...
@muslimmassoud26733 жыл бұрын
@@abutafawa swadaktaa kweli kabisaa
@hilalkhalfan14523 жыл бұрын
TATIZO LINALONIUMIZA MIMI KICHWA NI HILI. KAMKOSOA MWENZAKE HADITHI KWASABABU KAPUNGUZA. LAKINI MKOSOAJI KALIACHA NENO MUTAAMIDAN YAANI KWAMAKUSUDI. Mkosoaji kasema mwenye kumsingizia Mtume saw uongo. Na Hilo neno kwa makusudi akalitoa ili kumsahihisha bwana Mtume saw kuwa Hilo neno MUTAAMIDAN sio lazima. Yaani maneno ya Mtume saw ni wahyi na wanamkosoa Sasa Acha tu waendelee kukosoa tushawazoea. Hata swahaba alomkosoa Mtume saw kwa kumwambia Mtume saw atende haqi ndio hiki kizazi chake hivi vitoto maskini vinadanganywa vinalipwa vifanye huu upumbavu. Waangalie tuu hawana Nia ila faraka
@husha63723 жыл бұрын
Wewe Shekhe ni Kama babako alipo pigwa ali nyamaza kimya BAADO Na Wewe
@Ibn.Ba3alawy_0072 жыл бұрын
Hhhhhh kabsaaa
@shekhfaqiiribnukomora23622 жыл бұрын
wewe huna adabu kabisa...shekh mbarak awes ni simba...na wewe ni paka...una makosa mengi sana ndani ya mawaidha yako haya
@mohagurey22143 жыл бұрын
Walahi ni jambo la kufurahisha kuona young generation wenye wanaelimu kiwango hii. Kisha kukosoa wanaopoteza umma. Mambo ya madariqa na makaburi na masherehe za kila aina kama MAULID na bid'a mingi katika jamii yatapungua kwa uwezo ya Allah
@omadal13 жыл бұрын
@moha Gurey hayo unayo yaita Bid'a hayakumalizwa na hao wasomi walo soma kweli walio tajika hapa kwetu Africa mashariki na kote kwa jumla, Bid'a itakuja malizwa na hawa masheikh MASLAHII
@saidisaidi2310 Жыл бұрын
Hapa waona ilimu ww
@mohagurey2214 Жыл бұрын
@@saidisaidi2310 enda kata kiuno basi, hio ilmu yenu makhurafi
@fatumadirey863 жыл бұрын
Very true
@khalfanmudibo33563 жыл бұрын
Huyu ni msanii tu
@abuuabdillahmhapa25163 жыл бұрын
mgojwa ww una maradhi inatakiwa utibiwe
@mohagurey22143 жыл бұрын
Watakosolewa na insha Allah watu watajifunza na kuepuka madhara yao. Wewe jinyonga lakini watu wanaelimika falillahil hamdu
@huseynmaitaya90023 жыл бұрын
Sasa kwani wewe al akh mas ala ya kukosoa ni masafiy halafu, ww sema wallaah ukweli ni mara ngapi masalafi ya wame mraddi huyo sufi unae muita shekhe wako , kisha ukiitwa sufi una kasirika , una zungumza kua muadilifu , halafu , kwanza nawe pia mas- ala ya jarhu wattaadiyl yaonyesha huyafahamu vyema maana twakuona wachanganya katika ya jarhu na taadiyl jambo ambalo ni makosa , na nihapo ulipo mfanyia raddiy Aweso kisha baadae tena ukasema ni shekhe wako wewe na wenzako ukiwaakilisha , ila si mbaya hii ndio tabiya ya mahizbi , kua na al walaau dhwayiq
@muhammadalimuhammad53003 жыл бұрын
Hawa niwale waliosoma Ili wajulikane niwasomi Kaka ushajulikana
@mohagurey22143 жыл бұрын
Watakosolewa na insha Allah watu watajifunza na kuepuka madhara yao. Wewe jinyonga lakini watu wanaelimika falillahil hamdu
@hilalkhalfan14523 жыл бұрын
Kajulikana kama mjinga na sio msomi😂. Yeye hadithi alioanza kaanza na kosa LA kutafsiri kabla hajaanza kukosoa kakosea😂😂😂😂🙆♂️
@educationresourcecenter69903 жыл бұрын
Wewe pia kasome mwehu Wewe
@ajmalkiango47153 жыл бұрын
Huyu Ni mpumbavu na jahil....! Hana elimu..huyo sheikh wake bahero Hana elimu ya kumfikia doctor Mubarak.....awes
@mohagurey22143 жыл бұрын
Watakosolewa na insha Allah watu watajifunza na kuepuka madhara yao. Wewe jinyonga lakini watu wanaelimika falillahil hamdu
@sheelali65583 жыл бұрын
Kwanza hapo nikama hukufahamu kitu haya sheikh mbarak amekosea nini si ameeleza vzuri amateja wote ..kishà kwani khutba zenu n zikakosoa masheikh tu Kuna mengi yanao fanyika lakini hanioni ila kukosea masheikh cjui utoto wenu una wapeleka vip
@khamisissa2523 жыл бұрын
Hadithi ni munkar.....
@mohagurey22143 жыл бұрын
Sababu wale mshehe wenu ni wa masufi na madariqa na kupoteza watu. So lazima wakoselewe
@aliomar6123 жыл бұрын
Njaa ndio zawasumbua na HUSDA na CHUKI tuu wala sio jingine wanatafuta umaarufu tuu
@hilalkhalfan14523 жыл бұрын
@@khamisissa252 HADITHI ALOTAFSIRI HUYO MPOTEVU WAKO WAHABIA KISALAFI MBBOOVU HHUJAOA MAKOSA YA KKUFASIIRI?. AU MTUME SAW NDIO KAKOSEA HAPO KUSEMA "MUTAAMIDAN" YAANI KWAMAKUSUDI?. DAH! KWELI UKIWA MNAFIKI BASI HAQI HATA IKUTOBOE MACHO HUWEI KUONA NA UOVU HATA IKUTOBOE MACHO HUWEZI KUONA. WAHENGA WANASEMA "NYANI HAONI KUNDULE" 😂😂😂😂😂😂. YAANI HUYO ANAELETWA AKOSOE KAKOSEA KABLA HAJAANZA KUKOSOA😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Kweli huu ukhanithi WA mwisho tunaofanyiana waislamu 😂😂😂
@omadal13 жыл бұрын
maustadh kama hawaa wanapenda kiki tu, why coming to public muna comfuse watu instead face Him.
@06568408723 жыл бұрын
Watu wanatakiwa wajue ukweli kama ww huutaki ukweli usiwe unafuatilia haya mambo
@muslimmassoud26733 жыл бұрын
@@0656840872 kweli kabisaa
@aliomar6123 жыл бұрын
Ust gani na ni njaa tuu ndio yawasumbua CHUKI na HUSDA
@06568408723 жыл бұрын
@@aliomar612 mnapata tabu sana maskini endeeleni kuipinga haki ila haki itabaki pale pale mishipa ya koo inawatoka 😂
@aliomar6123 жыл бұрын
@@0656840872 tatizo lako hukusoma bro wala huna ufahamu wakuelewa wafata tuu kama kondoo...wao wanapiga kelele kwa maslahi yao wanatetea matumbo yao....ndio unaona hawajibiwi sio kama hawana majibu lakini sio asili ya SIMBA kujibu JIBWA....ni asili ya JIBWA kubweka....kma ni mkweli huyo unaye dai ni sheikh mbona asiweke na mawaidha mengine mazuri yao anaangalia makosa tuu kwazababu asili ya HASIDI na MUNAFIK huangalia ulipoteleza akatumia hapo kuku attack...
@yusufomar70813 жыл бұрын
جاهل يتبع الهوى
@mohagurey22143 жыл бұрын
Watakosolewa na insha Allah watu watajifunza na kuepuka madhara yao. Wewe jinyonga lakini watu wanaelimika falillahil hamdu
@babamayumba38462 жыл бұрын
Hahahahahahah..sheikh bahero tulia ukuelewa uliza kwa ulie msikia ili akuelekeze mas'ala haya ya udhahifu ya Hadith ni maaru kwa kila msomaji alie Soma...kaa tafakar maneno yako yamiliki
@mohamedazimio3333 жыл бұрын
Ww ni salafi?
@abdurahmansamaly61443 жыл бұрын
الله مستعان
@tamimukhamisi51723 жыл бұрын
soma kijana acha elimu za kike
@abdurahmansamaly61443 жыл бұрын
@@tamimukhamisi5172 sawa sheikh uko sawa
@kayadigo89703 жыл бұрын
Sheikh..Muhammad Bahero...kuna kitu bado hujakifahamu.. elimu yako changa sana ww...hadithi dhaifu hutumika ikiwa inahimiza mambo mema.....haiwezi kutumika endapo mtu ataijengea hoja ama endapo itakuwa ni ya kutoa hukmu....hata mtandao wenu wa kiwahabi unasema ivyo.....ww ni kama umetumwa kumchafulia jina Sheikh Habib mbarak Aweis.na hautaweza katu!...kumfikia hata ukucha wake.Al imamu shafy mwenyewe katumia hadith dhaifu. Kuleta Qunut ya swalatul fajr!....Mahasidi na wenye chuki ni nyny sio watu wa ahlul sunna wal jamaah...Nikama ww na babako Bahero, Muhammad Bacho na Qasim Mafuta mna njama ya kuwachafulia majina wanachuoni wetu wa ahlul sunna wal jamaa lkn hamtaweza katu.Allah amewajenga na hekma amewapatia..ndio maana c raisi kuwaona wakishinfana kuradiana na nyny kwa kuwa elimu zenu changa sana bado.
@hilalkhalfan14523 жыл бұрын
Hhaawa wanaamchukia na Shekh awesu ndio unaona wanamkamia😂😂😂. Wote wanapigwa na chini kidume kile mti wenye mstunda
@mahammoudhaji90833 жыл бұрын
Yaani sheigh hicho chako ni choyo kikubwa Sana na kitakupelekea uwe na husda baadae. Hvi nikuulize Nini hukmu ya kisheria ya hadithi dhaifu?mbona unajifanya km ww unajua Zaidi? Musiwe Na a'swabiyyu nyinyi mabahero Dini sio kilabu wala ushabiki kuweni Na ikhlasi ktk Dini. Mnahisi kukosoa mitandaoni ndio suluhisho ?hapana mnasbbsha chuki baina ynu. Lingananieni Dini kwa uadilifu
@sadofaraji59993 жыл бұрын
Ningelijua umeshalisema ningelinyamaza kimya,bahati mbaya nimeandika Huko juu.
@saidisaidi2310 Жыл бұрын
Hawa ufahamu ndio matatizo
@saidisaidi2310 Жыл бұрын
@@mahammoudhaji9083Al akhi shekh mubaarak ameivaaa mbaya sana huyu hata robo hafiki bahero ndio kabisaaaaaa
@ascoffjarfa91233 жыл бұрын
asalam alaykum sh naomba mawacliano mm nipo Zanzibar 0777679777