shukran sheikh izudn mm .ndo nataka kuolewa ndo ilikua nataka ushaur shukran sana nishaa pata jibu
@MayasaMakame4 ай бұрын
Naomb jibu
@MayasaMakame4 ай бұрын
Asalamu alykoum shehe mm nna swali langu niliolewa ndoa ya mwanzo niliolewa na binamu na nikaishi nae miaka sita ikatokea sitofaham tukaachan nikaa miaka miwili ujane na sasa katokea mme mwengin lkn na yy pia ni binam na tunapendan san lkn tatiz lip kwa wazee hawatak kuniozesha nikiwambia wananiambia nikaolew mahakaman vp hukum yak ni ipi na mm nishachoka ujane na wala sitak kuzin
@kaisamjunior36922 жыл бұрын
Daaah imenikuta hii shekh nlikata nikachumbue pahala lakn wazaz wa huyo bint wamemkataza bint yao asiolewe kw7bu n mwanafunz wa chuo lakin huyo bint anataka Sana kuolewa na mimi hvyo bac naomben ushauri wenu tufanyaje??
@rukiarukia97497 жыл бұрын
plz plz
@rukiarukia97497 жыл бұрын
asalam alaykum Nataka kuuliza swali jee mtoto wa mama mkubwa na mama mdogo waweza kuoana kisheria
@jumannesadiki7687 жыл бұрын
Rukia Rukia Aww? rejea Qur'an 4 aya za mwanzo mwanzo imepambanua wote
@IzudinAlwyDin7 жыл бұрын
Rukia Rukia ndio yafaa kuowana na simakosa katika dini yakislamu inafaa kabisa nahaina wasiwasi wanaweza kuowana
@omaryally56376 жыл бұрын
Rukia Rukia Wa alaykum salaam yafaa na si hao tu hata kuoana pia watoto wa baba mdog na baba mkubwa pia yafaaa