THAMANI YA MWANAMKE | NIKUA NA MUME | SHEIKH OTHMAN MAALIM #MasjidMtoroTv #NasahaZanguTv #OthmanMaalim
Пікірлер: 272
@khadijahamza98254 жыл бұрын
Mashalaaah Shekhe wangu nakupenda kwa ajili ya Alah mungu akujalie kheri zaidi kesho Akhera pamoja na waisilamu wote duniani tuwe na mwisho mwema 🤲
@fdhjffdhjfsjdjfjfi94774 жыл бұрын
Amin yaraby
@renardzalubabeli27854 жыл бұрын
Shekhe mungu akukinge na shali akupe kheri ishaallah
@aishaaisha14954 жыл бұрын
Amiin
@khadijahamza98254 жыл бұрын
Amiin 🤲
@khadijahamza98254 жыл бұрын
@@fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 🤲
@haifaahoussain68494 жыл бұрын
Yaa Allah tujaalie nasisi t tuingie kwa ndoa zenye kheyr yaaraby
@fatuniyomwungere54123 жыл бұрын
Ameen
@wanusuleiman1693 жыл бұрын
Aaamin yaa rwabbal àaalamiin
@halimarajabu56224 жыл бұрын
Assalam aleyikum warahmah tullah wabarakatuh, ndugu zangu waislam ninawaombeni nyote mniombee dua, ninamiaka 35 lakini bado sijajaaliwa kupata ndoa, naombeni mnikumbuke kwenye Dua zenu namimi Allah anijaalie mume mwema..shukraan
Mungu atakufanyia wepesi dada madhali haupo pekeyako ktk janga hilo
@halimarajabu56224 жыл бұрын
@@sakinamohamedy7506 aaamiin yaaraby, Allah atujaalie sote.
@zuleikhakhamis33034 жыл бұрын
@@halimarajabu5622 amemanisha hii sms umpe namba yako huwezi jua hii ndo rizki yako
@saadaabdallah74734 жыл бұрын
Mashallah sheikh Allah akubarikie elimu uzidi kutuelimisha na akupe umri na afya
@khaulatmohammed37654 жыл бұрын
Mm mawaidha ya shekh othman huwa yananiingia khaswaaa ma sha allah jazaka allahu khair
@abdurahmansaid58814 жыл бұрын
If possible you can give your contact
@bellbell92944 жыл бұрын
Maashaallah sheikh wetu Allah akubariki Sana akupe mema Mara dufuu ya Duniani na ya kesho akhera Aamiin sheikh tunakupenda kwaajili ya Allah jazaka Allahu khaira
@sabraabdilnasir88264 жыл бұрын
Shukran shehe othman maalim allah akubarik ila utayafanya yote haya na utafanya ubunifu mwengine lakini mwanaume hajali wala hakusamini baada yamatusi heshima hana jee tutapata wapi pepo na mwenzio kalewa na dunia
@kijanahodari20804 жыл бұрын
MashaAllah Sheikh wetu Allah akupe umri mrefu ili uendelee kutupatia elmu na akupeleke peponi siku ya mwisho,nakupata vzuri sana kutoka Qatar na 254
@kajoakother60414 жыл бұрын
nakupenda kwajiri ya allaa mashalla shehe wetu
@mwanaimaabdallah78254 жыл бұрын
Shukraan sana sheikh Othman
@aminaali77564 жыл бұрын
Masha Allah ..Allh jaazi kher shekh wetu kwa kuzidi kutuilimisha Allh akupe kauli thabit fee dunia wal Akhera☝️
@halimalikutu37904 жыл бұрын
Maashaallah shekhe allah atujaalie waislam wote mwisho mwema inshaallah 🤲🙏
@aishaaisha14954 жыл бұрын
Amiin
@khadijaiddy54304 жыл бұрын
Mashaa Allah shekh Allah Akupe mwisho mwema faraday zr
@paulonkwabi87484 жыл бұрын
Mashaallah ostazi mungu akuzidishie kheri na sisi tunaosikiliza amiin
@Kal-Mary4 жыл бұрын
Maashaallah nakupnda kwa jili ya Allah
@mams18924 жыл бұрын
Jazzakallahu khairan
@ZeinabosmanZulfa-lo4lc Жыл бұрын
Maashalah shekh wetu tunakushukuru xana nakuombea mema n utulivu sote tuwe miongini wa kufuata mema n kukatanazana mabaya
@mamawa3mamawa3214 жыл бұрын
MashaAllah Allah akupe umri wenye manufaa katika maisha Sheikh Othman
@mamunote35074 жыл бұрын
Mashallah Mashallah M.mungu akupe kila la kheri ktk Maisha yako yote Bii Idhinillah Ameen
@farajimajid12814 жыл бұрын
Mashaallah sheikh Othman maalim, allah akubarikiii sanaah
@moanasaboud43994 жыл бұрын
Ya Allah utupe waume wenye na kheri yaraabi na waume uwape wake wa kheri kwa kila muislam Shukran shekhe wetu wallah i drops my tears Mungu atupe subra yarabbi
@HassanAli-vy3kb4 жыл бұрын
Amin
@motemohamedmote49354 жыл бұрын
MashaAllah jazakallahu kheiran sheikh wangu Allah akupambe na swiha na afya njema inn shaa Allah uzidi kutuelimisha na kutujuza mambo ya kheir
@jasminjuma63904 жыл бұрын
Mashaa allah tabarakallah jazzakallahu kher othmn yarabi tujaalie waume wema
@nesmaakhy27784 жыл бұрын
Nakupenda sana sheikh Othman maalimu nakupenda sanaa kwaajili ya Allah
@moridohome47904 жыл бұрын
MashaAllah shukran kwakutujuza Shekhewetu
@husnamchumia50844 жыл бұрын
Nakupenda Sana shekhe Allah akuwe
@saidimbonde74633 ай бұрын
Asàlaam alaykum warahmatullah wabarakatu
@ayshazambia65094 жыл бұрын
Mashaallah shekhe kwa mafundidho mazuli allah akuifadhi
@Jamila6534 жыл бұрын
Maashaa allah shekh wetu nakupenda kwaji ya allah
@JumaMrutu-qb5ei Жыл бұрын
Shegh mungu akupe umri mrefu uendelee kuwailimisha waislam kuutambua uisilam kwahakika unaaeleweka.
@rosemarymohammed40432 жыл бұрын
Shehe mungu akulinde uwa unanifarji sana
@ashamwandu65724 жыл бұрын
Wakati ukifika uliopangiwa na allah mume utampata bila kuamini,utastarehe Sanaa tu,ndoa yoyote ni subrah tu.inshallah endelea kuswali Allah mjuzi utampata aliye wako na mwenye kheri.insahllah
@safiasuliman5136 Жыл бұрын
Insha allah Allah atufanyie wepe
@aminantomolla7422 жыл бұрын
Aslam alaykum waramatullah wabarakatuh shekhe othumani maalim nikweli baadhi ya wanaume wanawadharau sana wanawake nahao wanaume wanaowadharau wanawake inamaanisha hawakumbuki wosiya wa MTUME MUHAMMAD S.A.W rehma na Amanda zimfikiye juu yake na maswahaba zake na aal zake kabla ya kufa kwake juu ya wanawake
@zayyatiyussuf95664 жыл бұрын
ماشاءالله تبارك الله جزاك الله خيرا يا شيخ شكرا
@fatwimabintathmanbinthawa81554 жыл бұрын
Allah akutuhifadhiee Sheikh wetu akupe mema Duniani na kesho Akhiera🤲Akupe umrii mrefu Yarabi🤲🏼
@hadijakabona9554 жыл бұрын
Mashallha nasie tusopata waume allaha atufanyie wepesi na duwa zenu uwenda milango itafunguka
@halimarajabu56224 жыл бұрын
Khadija kabona...Allah Kareem, Inshaa Allah, kwauwezo wa Allah milango itafunguka Inshaa Allah...
@aishaissa22494 жыл бұрын
Amiin muhimu subra tuu
@mwanaidyibrahimu88614 жыл бұрын
@@halimarajabu5622 Ammin...in shaa.Allah
@emanuelmmbaga58354 жыл бұрын
In Shaa Allah...Allah hakuna linalomshinda..
@HassanAli-vy3kb4 жыл бұрын
@@aishaissa2249 amin
@radhiamussa16294 жыл бұрын
Ma shaa Allah jazzakallah khayra kwa darsa zuri mi ni mjane pia napenda Sana kuwa ndani ya ndoa ila wachumba wengi ujivika uchamungu mwisho wa siku na gundua sio wakweli japo wanaonekana ni watu wa dini Allah atujaalie tukutane na wenza bora maana ndoa upangwa na Allah tuzidi kuombeana dua
@husseinhumudy14634 жыл бұрын
Allah akufanyie wepes katika Safar hiyo inshaallah
@rashidathmanlali32404 жыл бұрын
Mashaaa allah mawaidha mazuri sana
@hawashabani78963 жыл бұрын
Allah akujaalie yaliyo mema hapa duniani na kesho akhera inshallah.asante kwa elimu nzuri
@mohdkhamis99454 жыл бұрын
Yarab atujaalie tulokuwa hatujaowa tupate wake waliowema ......Aamin☝️
@ttss37124 жыл бұрын
Amin mtpt mcjli
@saudambinga38324 жыл бұрын
Shukran shekhe Osman Maalim
@abdulkareemsalum48514 жыл бұрын
Mashaallah allah atujaghalie mwisho mwema ameen🙏🙏
@mamoulovecherry51214 жыл бұрын
Mashukura sheikh wetu twakushukuru kwamafundisho Allah akujalie umri mrefu
@maliamhotimaliamhoti53024 жыл бұрын
Allah akujaze khery na akunike na rehma zake.
@a.8564 жыл бұрын
Jazakallah khayran
@aminahhamed7474 жыл бұрын
Shukran shekh wetu Allah akupe hifadhi yake
@maryamhamad49494 жыл бұрын
Mnbvt
@zahraalbaloochi28414 жыл бұрын
May Allah protect you Always Ameen Yarab
@nakundwamkubwe78234 жыл бұрын
Mashallah! Nakupenda sana Shekhe Osman.
@ashurahamed80044 жыл бұрын
Subhanallah, baadhiyetu tunathamin waumezetu lkn wanaume wengine Mtihani Sheikh Othman
@paulinacherement25344 жыл бұрын
SUBHANNA LLAH alhamdulillah ALLAH AKBAR. Jazaaaq LLAH kheir
@aishaaboud44062 жыл бұрын
Mungu atuongoze yarabbi
@kigenimohammed7847 Жыл бұрын
Masha'Allah TabarakaAllah
@mwajumammbaga83844 жыл бұрын
Mashaallaaa mungu akupe maisha marefu uzidi kutuelimisha
@omarikingoso30284 жыл бұрын
Bi Halima zidisha ibada ALLAH atakuruzuku haja yako innshaallah
JAZAKALLAHu kheir mwenyezi MUNGU atujalie mazingatio
@nasraissa42194 жыл бұрын
Ammin
@mariammajengo11664 жыл бұрын
Allah akupe mwisho mwema hakika wewe ni mfano wa kuigwa Masha Allah
@lisauroble314 жыл бұрын
Amina mawaidha ni matamuu sanaa
@radhiaomary55914 жыл бұрын
Waalaykm msalaam warhmatullah wabarakatuh, Maa shaa Allah tabaraka'rahman yaa sheikh othuman maalim Allah akuhifadhi
@khadijasuleiman39454 жыл бұрын
Mashallah shkhe Othman maalim Allah akujalie kila lakher uzid kutuzindua
@abubakarimchani83624 жыл бұрын
Ewe mungu tufanyie wepesi ktk malezi ya family zetu inshallah
@amournjemu69214 жыл бұрын
Mungu akujalie kwakuwaelimixha dada zetu iliwajitambue
@mwanaishaidd91504 жыл бұрын
Sheikh shkrn sana Allah akuzidishie kher na umri insha'Allah.
@omarikingoso30284 жыл бұрын
Alhamdulillah nimepata elimu kubwa leo
@kigenimohammed7847 Жыл бұрын
jazzakaAllah kheir
@salimabukaru13494 жыл бұрын
Mash Allah
@rukiamshihiri49114 жыл бұрын
Mashalah
@paulinacherement25344 жыл бұрын
HALIMA RAJAB.ALLAH AKBAR.......E everything will be...inshallah +250...
@zamzamzam39204 жыл бұрын
MaashaAllah
@salmaluhombero84664 жыл бұрын
Kweli asante Insha Allah Mungu anijalie mume mwema Amina
@yasodishonest97924 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah. Dalasa zuri mashaallah
@jaliaharerimana21434 жыл бұрын
Maashaallah💓💓
@fatumaramadhanmashaallahal99664 жыл бұрын
Shukran wajazaka llahu heri
@جنيتكينيا4 жыл бұрын
MashaAllahu mashaAllahu mashaAllahu.ndiohivyo badhi ya .wanaume au tuseme vijana wasiona hekma na sara wanaita wanawake mademu.hajui akimweta dada au mama wawatu nisawa nakumweta mamayake au dada yake demu.innalillahi wainnaileyhi rajaouni