MAMBO HATARI YANAYOFANYIKA MOMBASA MAKADARA

  Рет қаралды 32,318

Izudin Alwy Ahmed

Izudin Alwy Ahmed

Жыл бұрын

Пікірлер: 73
@wastarayusuf93
@wastarayusuf93 Жыл бұрын
Ustadh allah akuhifadhi na akulipe kheri kwa ukweli wako. Nina kupenda sana kwa ajili ya allah
@salimabdalla6290
@salimabdalla6290 Жыл бұрын
Masha Allah shekhe wngu Allah akujaze kheri na akulipe jannah amin
@ARNOLDKARISA-fs3ht
@ARNOLDKARISA-fs3ht 8 ай бұрын
amiin
@meandme3437
@meandme3437 Жыл бұрын
Ni wazi wazazi wa sasa wameshindwa na majukumu yao. Hakuna dini kwenye nyoyo zetu dini iko kwenye midomo tu na tumekua waislamu kwa kuitwa majina tu! Msiba juu ya msiba😢😢😢
@nafisabarasa1917
@nafisabarasa1917 Жыл бұрын
Subhanallah yasikitisha.mwenyezi mingu atunusuru yarabii
@amirimohamed8013
@amirimohamed8013 Жыл бұрын
Mwenye ezi mngu amuhifadhi sheikh yusuf na mngu ampe moyo huo huo shukran.
@fatimaabubakar719
@fatimaabubakar719 Жыл бұрын
Masitiko jamani 😢 watoto wetu na dadazetu.. Allah awabishirie hidaya yarab.
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 Жыл бұрын
Ameen yaarabbi
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 Жыл бұрын
Fatima
@xasaxuma9835
@xasaxuma9835 Жыл бұрын
Naaa3Aamm …..Ramadhan ni tauba na mazingatio au celebration yarabiiiii😢😮 na watu kwenda Out🥹
@abdulalimomar6116
@abdulalimomar6116 Жыл бұрын
We Muslims should pray more for these people who have gone astray. Ameen.
@mohamedpinyi1859
@mohamedpinyi1859 Жыл бұрын
Hujayaona makubwa zaidi ya hayo. Harusini mama wa kiislamu wake wa watu wachana mairungi na kuvuta sigara kwa ustadi. Mchana wamejitanda full. Masikitiko
@shamsayarmohamed5351
@shamsayarmohamed5351 Жыл бұрын
subhanaAllah Allah atunusuru na atusamehe alafu na wenye kuuza vitu wazunguka na simu live tiktok wakapiga na watu ma camera wakatoka kwenye live za watu tiktok hujijui wala hawaogopi.
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 Жыл бұрын
Ameeen yaarabbi,,aah hzi TikTok waallahi ht zaniudhi kupita maelezo
@adnanmash9089
@adnanmash9089 Жыл бұрын
Allah atunusuru... Hizi tiktok na wengine wanaojiita content creators kufanya video na kucheka kwa nguvu kwa kelele na sauti za juu wengi ni wanawake. It's sad Allah atunusuru.
@siriyangu4724
@siriyangu4724 Жыл бұрын
Subhana Allah mtihani 😭
@mesaidikazungu4299
@mesaidikazungu4299 Жыл бұрын
Allah atunusuru waja wake🙏🙏
@hulala512
@hulala512 Жыл бұрын
Mimi nashanga sana toka jana naona hizi news . Kwanini ina wa surprise? This behaviour is been happening since I was little girl and it was worst those days I am very surprise right now when I see everyone talking about it. Sio Mombasa pekeyake hata Nairobi Mosque in Eastleigh it happens
@fadyanassor6934
@fadyanassor6934 Жыл бұрын
because of social media-i guess but its true,this thing has been going on for years and years
@isaacakurumiruka33
@isaacakurumiruka33 Жыл бұрын
What happened, sielewi please
@aminashariff9857
@aminashariff9857 Жыл бұрын
It's because zamani hakuna tiktok na town zingine hatungejua kama tujafika Mombasa but people themselves wanajisambaza mitandaoni kama mambo yakawaida but it's Haram whether it started then or when
@artisthusnatalal3099
@artisthusnatalal3099 Жыл бұрын
*Exactly you spoke my words. Since I was little I used to hear alot of stories about Mombasa and not only to sell their bodies but I heard about lesbianism and gaysm too. It's true people met weird people over there long time ago so we used to hear our elders talk about it. Kwanza hilo jina MOMBASA RAHA came because of things like this. How can Mombasa be raha and many people lack jobs? And many youth's are spoiled with drugs? The name Mombasa Raha is about something else* 🤨
@democracy480
@democracy480 Жыл бұрын
There was no social media and smart phones back in the day.There are people who used to hear about it,but never used to see the bad behaviors.
@abdulkaleemmbarak6670
@abdulkaleemmbarak6670 Жыл бұрын
Mungu awajaze mema ya duniani na kesho akhera . Kazi nzuri mwafanya masheikh wetu lakini tuzingatieni kueka kamati ya kuongoza na kunasihi katika miji yetu. Cku hizi watoto wetu hawapati mafunzo ya dini kama zamani hili linachangia vijana wetu kutenda mambo maovu bila ya kujua.Tuwaongozeni kwanza kisha tuwakanye. Mungu atuongozee wenetu na miji yetu.
@mariamsaidaboud4959
@mariamsaidaboud4959 Жыл бұрын
Ameen thumma Ameen Yaa Rabbil Alameen. Mwenyezi Mungu awaongoze watoto wetu . Wawe wenye kufuata dini ya kiislamu kama inavyotakikana, na wawe wenye kuturidhisha. Ameen, Ameen, Ameen.
@sihamishaq2321
@sihamishaq2321 Жыл бұрын
Allah atawagoza
@hassantamimi4548
@hassantamimi4548 Жыл бұрын
nimalezi duni Kwa wazazi hawalei watoto wao Kwa dini ALLAH awaongoze Ameen yaraab
@bingbangboomish
@bingbangboomish Жыл бұрын
Hapo I disagree. Wangapi wamelelewa kidini na kupendwa na wazazi wao lakini mambo wayoyafanya nje.... salala. Watoto wengine wamewashinda wazazi wao
@arrisalastriker9813
@arrisalastriker9813 Жыл бұрын
BaarrakaAllah
@diyembarak5506
@diyembarak5506 Жыл бұрын
Allah istur
@ibrahimfatush921
@ibrahimfatush921 Жыл бұрын
Wazazi wazazi, tume fail 😢😢😢😢😢, kesho mbele ya Allah sijui tutasema nini, 😢😢😢😢😢
@mwanatumusaid8228
@mwanatumusaid8228 Жыл бұрын
Allah atuongoze sote jamii islam
@salimabdalla6290
@salimabdalla6290 Жыл бұрын
Mambo haya yaliza kwa kweli😭 shekh kwani ni wapi cc waislamu hatuelewi wapi haswaa ama hatuuamini hii pepo kuwa iko
@maryamsalim3233
@maryamsalim3233 Жыл бұрын
Shekhe yasemekana kuwa meendeleo pwani kumbe hawajui ni ulanisi pwani
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 Жыл бұрын
Maryam
@mzeewakazi
@mzeewakazi Жыл бұрын
na uki sema ukweli utaitwa mnafiki, Allah S.W.T atu stiri in'sha'allah. na huyo gavona mnafiki uko wapi na ana vanya nini?
@amirimohamed8013
@amirimohamed8013 Жыл бұрын
Mwenye ezi mngu atunusuru lakini pia hawa wenye biashara wafanya vibaya kwa sababu kama walikuwa wamefunga maduka watu wasinge kwenda lakini tama huku wamuasi mungu. Inalilah wainailahi rajiuni.
@knight6757
@knight6757 Жыл бұрын
😢😢
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Жыл бұрын
Na baado mabaya zaidi yaja 😂😂😂
@rahmamohammed9678
@rahmamohammed9678 Жыл бұрын
Yaa msaliim saliim😔
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 Жыл бұрын
Rahma
@bingbangboomish
@bingbangboomish Жыл бұрын
Hezo wanazoziita raha ndizo ziletazo nukhsi nchini. Halafu watu walia shida ni nyingi. Sababu badala kufanya mambo ya halali na kumtegemea Allah wakati wa shida, sisi tuaelekea kwenye madhambi ya uzinifu, ushirikina, freemason e.t.c kwanza watu wengi mpaka waislamu wameingia kwenye ushirikina. Ndio siku hizi utaona vijana wako na pesa kushinda wazazi wao.
@meandme3437
@meandme3437 Жыл бұрын
Mashekhe nyoteni muna kazi ya kutangaza hayo kwenye miskiti
@aliomari1439
@aliomari1439 Жыл бұрын
Ali kutoka nrb makadara sijaelewa kwanini watu ukusanyana ramadhani ni Kwa ajili ya futari ama
@firdaushamid8200
@firdaushamid8200 Жыл бұрын
Je kafiri ambaye hana niya ya kusilimu afaa kuingiya kwenye safu ya swala kuswali Na yeye simuislamu Wala hana niya ya kusilimu
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Жыл бұрын
Hio ndio matokeo ya kizazi cha kulea kwenye zefe na vituko cha kumpenda mitumi😂😂😂
@OmarMohamed-ct3bh
@OmarMohamed-ct3bh Жыл бұрын
Kuwa na hikma ukiongea sio Kila kitu Cha kufanyia stihzai.ama hayajakufikia??
@matanohassan9667
@matanohassan9667 Жыл бұрын
So dada zetu waharibika kujipamba mwezi wa ramadhani usiku wewe waona raha yakitendeka na waongelea mambo ya zefe na maulidi wakati makadara ramadhani hujaa watoto wetu na madada zetu hadi siku ya idi watu hupotea inshallah wacha wako wapotee kisha uchungu utausikia kila mtu akiombea mwenzake mabaya na kufurahi chake kimotoni
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Жыл бұрын
@@matanohassan9667 hujapata ujumbe kaka, Lea watoto kwenye msingi sahihi ya sunnah, funza Qur'an na wajue maana yake, kisha umbea Allah awalinde. Lakini wakianza zefe na densi ya kukata kiuno tangu utotoni eti kwa kupenda mtumi na kulelea kwenye bid'a na ushirikina ya kila aina then what do you expect isipokuwa unayoyaona
@matanohassan9667
@matanohassan9667 Жыл бұрын
Sio kila anaye soma maulidi watoto wake weko hapo uwanjani wa makadara we vipi pima mizani uwache kujumlisha watu hapo tunongelea akhalki na tabia kazi yetu wazazi kukemea tukiona watoto wakipotea kwani nabii nuhu alaihi salam ni nabii na alijaribu kumlea mtoto katika makazi mazuri ila mtoto akuwa ni katika waongofu je kasoma maulidi na zefe unajichanganya kaka naona wewe waonaraha watoto wa watu wakiwa katika hali mbaya na wazazi wanajitahidi tunakumbushana tu hapa ila kesho Mungu atatuliza uchungaji wetu sisi na jamii majirani na kila anayetuusu
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 Жыл бұрын
Wewe mungu na kuona na kwa chiya mungu unaza na mungu ana kuona una vo fanya kenjeli na bi wamungu luti ali hari bikiwa kifamilia nani nabi wewe bingwa waimani basi kheri kwako
@Nature-xe7lu
@Nature-xe7lu Жыл бұрын
Mwanzo yusuf abdi alikuwa atafta content.pili mbona hakuwanasihi kwa siri amewafata watu hadharani na ma camera kwa juu. acheni kutubeba ujinga
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin Жыл бұрын
Mola ajua nia yake na ajua lengo lake mm na ww hatufai kuhukumu nia zawatu
@Nature-xe7lu
@Nature-xe7lu Жыл бұрын
@@IzudinAlwyDinbasi pia hamufai kuwahukumu hao waliokwenda shopping ama mwajua nia zao ni kufanya zinaa?
@majeedsheikh9528
@majeedsheikh9528 Жыл бұрын
Inna lillahy wainna ileyhi rajiun…Mungu aniongoze mimi kwanza kwa upotevu wangu alafu wewe kma umeskiza vuzuri hakujatolewa hukumu ila maneno ya Allah (SWT)
@munirzahor2322
@munirzahor2322 Жыл бұрын
Ndugu utawafata watu wangapi kwa siri umma wote ule. Think before you talk.. mashekhe wakikemea mambo kama haya wanajua kwanini
@Nature-xe7lu
@Nature-xe7lu Жыл бұрын
@@munirzahor2322 hawa hawa mnao waita mashekhe wanapowaona masalafi wanakataza shirk na uzushi katika dini wanalalamika wadai masalafi hawa hikma kurekebisha makosa ya watu hadharani
@Nature-xe7lu
@Nature-xe7lu Жыл бұрын
mbona kwenye zefe yafaa😮
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin Жыл бұрын
Pia haifai niharamu na mm nisha yazungumza hayo
@Nature-xe7lu
@Nature-xe7lu Жыл бұрын
@@IzudinAlwyDin je shekhe kuingia kwa danguro kuwapa mawaidha malaya ni sawa ama atumie njia nyengine?
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Жыл бұрын
​@@Nature-xe7lu 😂😂😂 kali hio
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 Жыл бұрын
Kwani wapi uchumbe umeka tazwa kufika
@meandme3437
@meandme3437 Жыл бұрын
Mashekhe nyoteni muna kazi ya kutangaza hayo kwenye miskiti
@osmanomohamedadhan1924
@osmanomohamedadhan1924 Жыл бұрын
Ww wataka munkar iendele masheigh wanyamaze koma!
@meandme3437
@meandme3437 Жыл бұрын
Mashekhe nyoteni muna kazi ya kutangaza hayo kwenye miskiti
@kukww2024
@kukww2024 Жыл бұрын
Daawa ni jukumu la kila mmoja c, la MA SHEIKH TU
@meandme3437
@meandme3437 Жыл бұрын
Mashekhe nyoteni muna kazi ya kutangaza hayo kwenye miskiti
@husseinarasan9897
@husseinarasan9897 Жыл бұрын
Mtume ansema (saw)ukiona mtu anafanya makosa mrekebishe
ULIZA UJIBIWE 2024 NO 2
52:12
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 11 М.
VITA HATARI ANAVO PAMBANA NAVO MUUMIN
27:52
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 2,3 М.
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 81 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
RAMADHAN IN MOMBASA 2022
9:12
Ahmed Dawizard
Рет қаралды 35 М.
8 Qiso oo Cajiib ah || Sh Xassaan
47:54
Daarul Xadiith
Рет қаралды 195 М.
CHUMVI NA MWANAMKE
16:57
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 192 М.
MAMBO YANAOPUMBAZA ROHO
57:38
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 4,4 М.
MOMBASA NA AZAM 🍨😋
4:49
DUBZ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 15 М.
MAJIBU YA ULIZA UJIBIWE14
1:21:24
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 14 М.
VITIMBI VYA WANAWAKE
1:00:27
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 110 М.
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 81 МЛН