Mashallah TabarakaALLAH, ALLAH akuhifadhi na akuongezee hekma Sheikh wetu Amin
@asmakomora483917 күн бұрын
𝐁𝐚𝐫𝐚𝐤𝐚𝐀𝐥𝐥𝐚𝐡𝐮𝐟𝐢𝐪
@NasraIbrahim-dw1hr Жыл бұрын
Asalaam alyekum, sheikh shwali langu liko hivi, nimechelewa kupata swala ya magharib,je inafaha muda unaofata
@امنهامن-ث2ذ Жыл бұрын
Aslm alaykum warahmatullah wabarakatuh shekhe mi naomba yako Kuna swali nyeti nataka nikuulize
@Fumokale Жыл бұрын
Mm namjua huyu shaikh ana nidhamu sana haswa ktk kula lkn leo ana kula hadharani labda ameletewa na darling wa siri na amemlazimisha ale akimuona😂..afuan shaikh wangu nakupenda sana for da sake of Allah❤
@FatumaNdeka-c9c Жыл бұрын
Assalaam aleykum, Mimi naitwa Fatma kutoka mafia pwani, nilikuwa nauliza mume wngu ni mlevi sana, yaan kila cku anakunywa,, Sasa Mimi nimemvumilia nimechoka,, nadai talaka yngu, anasema anipi,, Sasa Mimi nimechoka na visa vyaje
shekhe mm nauliz mzazi anayo haki ya kumchagulia mtoto wake mchumba ? samahan lakin shekhe
@helenkambi3918 Жыл бұрын
Je kusoma dua kwa pamoja na Imam na Maimuna ni sawa? Kuna baadhi ya masheikh wanasema sio sawa dua ya pamoja. Ipi iko sawa
@mohammedhassan8922 Жыл бұрын
أدعوا ربكم تضرعا وخفية دون الجهر
@asyahassan2656 Жыл бұрын
Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh Sheikh naomba kuuliza. Wakfu imekubalika kwenye dini yetu? Na unaweza kubadilika?
@ramadhanrashid4015 Жыл бұрын
Assalamalykum.shekhe tunaomba namba yako
@mwatangamasolwa5258 Жыл бұрын
Asalam aleykum sheikh sisi tumezaliwa 2 wazazi waachana sisi bado watogo mama etu akaolewa na mume mwingine huko akazaa watoto wengine ktk yao na baba etu mwingine mama nae alikua nafanya biashara zake ndogo ndogo baadae mume wake akafariki na mama nae akafariki je sisi tuneweza kupata mirathi ya mama etu?
@IzudinAlwyDin Жыл бұрын
Maaadam nimama yenu munahaki yakupewa haki ya mama yenu
@abdularuffin9308 Жыл бұрын
Ndiyo,, shekhe izudini afafanue zaidi
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Kile alichorithi mama enu au kilichokua chake ambacho kakitenga hakukichanganya na mumewe. Tena kitapigwa mafungu kwa nyie 2 na hao wengine alozaa nao huko kwa mume alokufa. Na inaezekana mafungu yakaongezeka na la bibi/babu yako mzaa mama km wahai na ndugu wa mama km hamna m’me kwa nyie mnaorithi. Tafteni watu wa mirathi mfahamishwe vzr zaidi.
@abuuadil4070 Жыл бұрын
As sheikh izudin haipendezi wakati unapoelimisha ndungu zetu na HUKU unakula hii ni tabiya mbaya kwanini kama unanjaa ungekula mwazo hii nitamaa ya mlo wezako wanakusikiza wote hakuna hanayekula isipokuwa tabiya yako ni tamaa ya kula hakuna faida ya kielmu jirekebisha sheikh
@sadiqselengu4197 Жыл бұрын
Mtu amepumzika anasikiliza Swali ili ajibu.. Kula iwe ni tabia ambayo haifai.. Usiwe kama nzi kuangalia penye kidonda ung'ong'e
@RukaiyaAbdalla-hf1ds Жыл бұрын
Ww ndo unatabia mbaya au umetumwa na upinzani😂 mbona umekuja na hasira hivyo punguza ukali wa maneno SI ww pia ufungue you tube Yako tukusikize?kasikie vbaya nahuko
@abuhumeira9298 Жыл бұрын
Wewe ni wivu na husdaa ulonao hauna lengine Kuna shida gani kwa kutafuna kichache ( snacks) ikiwa waskiza suala
@princefeisla3692 Жыл бұрын
Sasa ww una chukiii ama umeona kosa unarekibiaha maana sikwanamna hio kumuita tamaa ya mlo