Ingependeza ndugu yangu ukanielezea kwauzuri na upole nandanganya kwa jambo gani ili nisiregelee hilo jambo mara nyingine . na sio uzuri kumuita mwenzako mushrik nihatari mm naamini hakuna mola anae faa kuabudiwa ila ni Allaah pekeyake . sijui nijambo gani nililp mshirikisha mola wangu .nieleze nipaye kuliacha . naomba unielezee hapa aw ruhsa utoe clip uelezee mm nimekosea wapi na kwa jambo gani mpaka inaniita mushrik?
@@IzudinAlwyDin Nani aliempa ruhsa bukhari na wengineo walioandika hadith?…je Mungu na Muhammad a.s waliwapa hai watu ruhsa ya kuandika hadith?…Quran 45:6 Mungu auliza basi hadithi gani watakayo amini baada ya Mungu na aya zake?…na pia sibabu ya me kukuita mushrik ni sibabu nyie mumejigawanya kwenye dini ya Islam na kujiita Sunni,Shia,salafi,tijania,wahabi etc Quran 30:31-32 …tubia kwa Mungu na muache kumshirikisha Mungu na vitabu ambavyo God didn’t give authority
@nurdinmfamau34932 ай бұрын
@@therealmchizisniper Shukran MCHAMUNGU Akuzidie Nasisis Hatuondoe Kwenye Shirki