Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa kutuletea ushuhuda wa kutukumbusha.
@tatumluv60543 жыл бұрын
Mungu akubariki JACKTAN
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Amen
@miriammpatrick57953 жыл бұрын
Que Dieu vous bénisse merci beaucoup Mungu aku bariki sana
@gracelauzi97462 жыл бұрын
Amen Amen Asante kwa ujumbe ubarikiwe
@marianachriss24443 жыл бұрын
Nimeacha kusheherekea sikukuu ya Chrismas kuanzia sasa,na leo sijasheherekea kabisa na sitashehekea , BWANA YESU KRISTO nisameheme na nisaidie nishinde ya dunia
@presenttruthloudcryforthel53383 жыл бұрын
Andaa siku nyingne upike ule vizuri lakini usisherehekee krismasi ni sherehe ya kipagani
@magdalenapeter61063 жыл бұрын
AMINA mimi pia mpnz
@husseinhussein99712 жыл бұрын
Sema huna hela
@trophywilson72112 жыл бұрын
Bora usisherehekee ila uende kusali maana Kumtukuza Mungu kila iitwapo leo ni muhimu kuliko unavyowaza
@deboratorokoko7618 Жыл бұрын
Basi wasabato wapo sawa kabisa maana wao hawasherekei krismas kabisa
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Leo 24.12.2023 Usku saa hv sina ham nayo ase nilikoma na siitamani na siwez kabsaaaa
@beatriceminoo43133 жыл бұрын
May God reveal all this to us
@gestinabunganiekuya63003 жыл бұрын
Mimi jana nimeshinda kwenye shughuli zangu maana ilikuwa siku yakawaida kama siku nyingine
@trophywilson72112 жыл бұрын
Ungeenda hata kusali ilikuwa Jumapili,Mnapotea polepole
@yustejohn29773 жыл бұрын
Sijasherekea mtumishi Jana sikwenda kanisani kabisa
@trophywilson72112 жыл бұрын
Mmm mnapotea vizuri saana
@EdwinMbwilo-fj6bf Жыл бұрын
Miaka kumi na tatu ya moto wa uamsho, tunamtaka Bwana na nguvu zake.
@flourishing_wilderness6072 Жыл бұрын
Sikukuu zozote ambazo hazina msingi kibiblia na kanisa la kwanza la mitume wa kwanza hawakufanya ni za tamaduni za mashetani
@marianachriss24443 жыл бұрын
Nimeacha kusheherekea sikukuu ya Christmas kuanzia sasa,na leo sijashehere
@trophywilson72112 жыл бұрын
Umeacha lakini bado hautaiona mbingu kwa sababu ya kuiacha siku hiyo,usishangae bora ungesali siku hiyo nguvu ya kishetani Inapungua
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Hngr sana
@gestinabunganiekuya63003 жыл бұрын
Ila nauliza jamani mwaka mpya nao ni skukuu ya kipagani?
@trophywilson72112 жыл бұрын
Hakuna siku ya kipagani kama umedhamiria kumuomb na kumuinua Mungu,Ukijaliwa kuiona siku nenda ukamshukuru Mungu na ukamtukuze nakushauri hili,Hao wanatumikishwa na mwovu hizi ni siku za mwisho manabii watakuja kubadili vitu vingi wakisema si kweli ,Amkeni
@EdwinMbwilo-fj6bf Жыл бұрын
@@trophywilson7211 Hilo nalo neno kwani hata asili ya ubatizo wa maji mengi ni wapagani je na huo tuukatae? Au MUNGU naye anaunga mkono mifumo ya wapagani? Je YESU hakuzaliwa?
@trophywilson72112 жыл бұрын
Wote mnaokataa kusali eti ni siku ya kishetani na Jumapili msisali maana no siku ya Mungu jua ,Hivyo mrudi kusali jumamosi nitawaelewa ,bila hivyo ni unafiki mkubwa na moto mtaingia bila kuzuia