Amina pastor tunakuombea sana mungu asikuache na azidi kukutia nguvu na akuinue viwango vya juu sana nimebarikiwa
@Amina-o7x1h5 күн бұрын
Ameni mtumishi🙏
@misnasma78755 күн бұрын
Amen asanteni sana watumishi wa Mungu Kwa kutuletea baraka Kenya Mungu awabariki nanyi pia
@RubaR-nr5wz5 күн бұрын
Amen nko tayari kwa maombi hayo
@roselynemutimba81915 күн бұрын
Ameen be blessed mutumishi wa Mungu, link ya whatsup group iko wapi pls?
@Gindi-v7g4 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi Amiel,umekuwa wa baraka kwetu ❤
@mugikoniiwacu2964 күн бұрын
Na mimi natamani kuwepo kwa group Niko America 🙏
@mkalma-i4qКүн бұрын
Mimi ni muombaji ninaita kushikwa mkono🙏🙏🇰🇪
@pastordavidnjoyamedia.40195 күн бұрын
I want to join the WhatsApp group, where is the link?
@chancealimasi19464 күн бұрын
Namba ya kujiunga kwenye group ya maombi
@mkalma-i4qКүн бұрын
Kuna vile mungu ananitumia ila sina mtu wakunishika mkono wakuniambia fanya hivi,ninaomba kushikwa mkono kwa jina la yesu kristo plz plz🙏🙏🙏niko saudia sai but mimi ni 🇰🇪