Mtazamo wa mali ni pingamizi kwa uamsho na matengenezo. Barikiwa sana kwa jicho pevu na la ukweli. Uamsho lazima. Hongera Mch Magembe. Kenya!
@rebecafuraha8051Ай бұрын
Jambo papa nahitaji namba zako za sim tafazali.m@@Nenolamaarifa
@doricemrema2177Ай бұрын
Huruma sana,,, YESU KRISTO awasaidie sana,,,na tuzidi kumuombea Mzee WETU azidi kuisimamia kweli,, watu watoke ktk dini,,na waingie Kwa YESU KRISTO
@isayatippe6409Ай бұрын
Mfumo ni nini? Bila kuangalia kamusi yo yote naweza kusema mfumo ni UTARATIBU Uliowekwa na umma utumike kuwezesha malengo yaliyowekwa ya utendaji kazi. Sasa hapo Kuna ubaya gani? Kama huna utaratibu uliojiwekea kuendesha Mambo ya umma, hivi utaongozaje taasisi yao? Wewe utamhubirije Yesu bila kufuata utaratibu? Hujui kuwa Mtume Paulo aliusifu Utaratibu wakati alopoona Wakorintho wanafanya Mambo bila utaratibu? Namsifu Mch.Moses Magembe kwa sababu anaelewa uzuri wa mfumo! Na ameufuata kwa zaidi ya miaka hamsini! Anaondoka TAG kwa sababu ya kutokukubaliana ktk Mambo fulani. Suala la kutokubaliana katika mitazamo ni jambo la tangu Zamani na wala halijaanzia kwenye madhehebu yetu ya leo. Je, Mtume Paulo na Barnaba walitengana kwa sababu ya mfumo gani? Au walitofautiana tu kimtazamo? Naomba tusiwachanganye watu wa Mungu Kama kwamba kilichotokea kati ya Magembe na TAG ni jambo jipya. Na pale mimi sioni cha ajabu au tatizo la mfumo. TAG wako sahihi na Magembe naye yuko sahihi pia. Ni mitazamo yao tu imetofautiana!!!
@Baraka-b7uАй бұрын
Ameen
@deodatusmagagura6793Ай бұрын
Amen. Na MUNGU aende pamoja na viongozi wote wanaosimamia kweli ya Kristo YESU ktk jina la YESU Kristo
@samniza9015Ай бұрын
Nampenda sana Mzee Magembe, anaongea ukweli mtupu! Watu wamekua wasanii sana. Hakuna kanisa hasa kwetu Afrika.
@molexevelist813Ай бұрын
Nimekusikia vzr nimekuelewa sana paster uko sahh ubarikiwe endeleeni kuhubiri njili
@LodvolaLameck-jl5vsАй бұрын
Mch Obed Katunzi Yesu Kristo akubariki tena na tena
@NyerereTimotheoАй бұрын
mifumo inamgeuza mtu kuwa mtumishi wa dini na sio mtumishi wa Yesu, Mungu awape ufaham wa kuelewa na macho ya kuona na maskio ya kusikia walejee kwa Bwana
@OdiloMwemeziАй бұрын
@@NyerereTimotheo nyinyi ambao hamna mifumo ya dini hatuoni jipya mnalofanya zaidi ya kushinda mnagawanyika Kila kukicha.
@NyerereTimotheoАй бұрын
@OdiloMwemezi hatugawanyiki bali huwa tunajitenga nao ili tutumikie kusudi la Mungu fikiria watu ABRAHAM NA RUTU ABRAHAM HAKUTAKA KUGOMBANA NA NA NDUGU YAKE AKAJITENGA NAYE ABRAHAM AKALIENDEA KUSUDI LA MUNGU, PIA MUSA NA FARAO, ALIPOONA KUWA NJIA YANGU SIO HII AKAJITENGA NAO KWA HIYO WAO WANABAKI KUWA WAO ILA TUNAJITENGA NAO ILI TUTIMILIZE KUSUDI LA INJILI HATUTEMBEI KATIKA KUNDI TUNATEMBEA KATIKA WITO YAAAN HATUTEMBEI KWA SABABU YA DINI BALI TUNATEMBEA KWA SABABU YA KUSUDI USISAHAU WOKOVU NI MPANGO KAMILI WA MUNGU KUWAKOMBOA WANADAMU MMOJA WAPO NI MIMI UKITAKA NA WEWE KARIBU KWENYE WOKOVU SIO DINI, NA MPANGO WA DINI NI KUWAKUSANYA WATU WAMUABUDU MUNGU SASA HAPO KUMUABUDU MUNGU NDO UFAHAMU UNAHITAJIKA ILI UJUE UNAMUABUDU MUNGU YUPI MAANA WAPO MIUNGU MINGI ZINGATIA HILO LITAKUSAIDIA UBARIKIWE
@judikaswai7248Ай бұрын
asante mtumishi kwa kusema ukweli. Kanisa ni la Mungu si la dunia . Namkubali sana Mch Magembe
@AdelaShirima-w1w28 күн бұрын
Baba wew jembe Mungu wa mbinguni azidi kukutumia ktk viwango fisivyokuwa vya kawaid bab
@fadhilimrope5134Ай бұрын
Amina, Baba mchungaji, nimekuelewa kwa hayo unayoyasema, Mungu akubariki sana
@philipomaua6613Ай бұрын
Mzee wetu magembe mtumishi wa mungu mungu atamlipa maladufu vyote alivyo chukua mungu atamludishia maladuf
@cmoshi7014Ай бұрын
Dah! Kumbe Mungu bado ana watu. Ubarikiwe sana sana Mtumishi wa Mungu wangepatikana watumishi wengine kama wewe kweli kanisa lingepona.
@SelestinabenedictАй бұрын
Tuhubiri injili ya kweli naye kweli itatuweka huru kweli, kweli. Hizi ni nyakati za mwisho hivyo basi tuache udini na kumwamini Yesu kristo, kwani kanisa ni la kristo na si la mtu awaye yote
@BishopMabumbaАй бұрын
Ujumbe mzuri. Mungu akubariki sana.
@Baraka-b7uАй бұрын
Amina bishop
@priscadaud7458Ай бұрын
Umenena vyema pastor. Mungu akutunze na akupiganie na kukulinda kwa Jina la Yesu , maana umempiga shetani penyewe kabisa. Mungu atusaidie kanisa katika nyakagi hizi mbaya!! Ubarikiwe sana
@geitandelwa299Ай бұрын
Yes it's true
@geitandelwa299Ай бұрын
Yes kanisa tuache dhambi kujichubua kuvaa mawigi na midhambi ya ajabu xipo kanisani tusijufaliji na modhambi
@NenolamaarifaАй бұрын
Alindwe na BWANA YESU
@Baraka-b7uАй бұрын
Ameeeeeeen
@barakambagaАй бұрын
Ameni
@KijukuchamtumeАй бұрын
True man of God .Nitasimama kwa zamu yangu niichuchumalie taji niliyowekewe na Baba Mbinguni
@NenolamaarifaАй бұрын
Amen mtumishi
@Baraka-b7uАй бұрын
Ameeen
@ruthleonard2958Ай бұрын
Hakika hata nitakapomwona Kristo
@fabianmihale3715Ай бұрын
Amen,Mtumiishi barikiwa sana kwa ufafanuzi huu,,Niliwahi kusema mahala Fulani, ibaada njema inaanzia nyumbani, kanisa lakweli la Mungu halina usajili wa kidunia Wala mwanadamu Hana mamlaka ya kusajili kanisa la MUNGU ,na ukissjili maana yake umetengeneza Sanamu Ahsante
@Baraka-b7uАй бұрын
Mungu atusaidie
@OscarGregorymoshaАй бұрын
Tumlilie Mungu katika hili hatuwezi peke yetu kwakua mwenye hila yupo kazini
@OdiloMwemeziАй бұрын
@@fabianmihale3715 kwani wanasajili kanisa?Kanisa ni mwili wa Kristo.ni kikundi Cha watu,wakishakuwa kikundi lazima wasajiliwe kulingana na utaratibu wa nchi husika.usajili wa kanisa haujaanzishwa na TAG,fuatilia tangu kuanza kwa kanisa,utaelewa ulete ujinga wako.
@fabianmkimbu880Ай бұрын
Ukweli ndiyo huo wajina
@christinewomanoffaith5479Ай бұрын
SS huo ni ujingakeani kusajili kunashida Gani? Kumbukalzm ufuate Sheria na taratibu za nchi husika Na Wala hiyo haikuondolei we kuwa na Yesu
@reenesaАй бұрын
Yaani Mchungaji Katunzi,You hit the NAIL ON THE HEAD. Mungu akubariki. We need more Man of God like you.
@NenolamaarifaАй бұрын
Yes
@rehobothplenitude6785Ай бұрын
Kabisa kabisa
@Baraka-b7uАй бұрын
Ndioooo
@obedraphael4251Ай бұрын
Mchungaji Obed Asante kwa kumaliza utata maana wengine walikuwa wana mchukia bure mzee magembe bila kujuwa ukweli
@Baraka-b7uАй бұрын
Mungu atukuzwe
@NenolamaarifaАй бұрын
Ameeeen
@FabiolaAntony-up7ihАй бұрын
Magembe mwalimu mkweli, mwenye kuonya mabaya ili tumwone Mungu. Tunakuombea baba , Mungu aendelee kukupa ujasiri kwa ajili ya injili ya kweli
@StellaMawanz28 күн бұрын
Kabisaaa yaaan viongoz tuwaombeee sanaaaaa jaman jamaniiiii viongozi wanaona ni cheo na s kutenda haki
@graceshayo5763Ай бұрын
Yaan naon kbx huy kijana ni mtumishi wa Mungu, Mungu aendelee kukutumia na kukupa neno la hekima ivo ivo
@ruthjohn652620 күн бұрын
Amen Mtumishi endeleni kabisa kuhubili kweli ya Mungu.
@musashadrack1164Ай бұрын
Paster unaongea kweli sna Asante sana kwa hekima aliokupa Mungu
@Baraka-b7uАй бұрын
Ameeen
@ChikondiMadalisoАй бұрын
Nikweri yesu ari kuja kureta uokovu siyo dini nasisi tunataka dini.
@ChikondiMadalisoАй бұрын
Ubarikiwe sanaaaa baba yangu nikweri viongozi ndio chanzo wamejisaha sana mungu atutete sana
@SimbaJumanneАй бұрын
Nmekulewa pastor upo sahihi
@MathiasSamwel-th6hsАй бұрын
Magembe namkubali Mungu ampe maisha marefu tena akiwa na nguvu. MUNGU AREJESHE UJANA WAKE KAMA TAI Mch. Katunzi Asante kumtia moto mtumishi mwenzako
@nemitv7850Ай бұрын
Mch Mungu akubariki sana, tuzungumze ukweli kanisa limevamiwa sana hakuna heshima ya Mungu. Dunia imeingia kanisani Pastor hakuna hofu ya Mungu kabisa.
@ekimgeni9096Ай бұрын
Mchungaj Mungu akubariki Ni kwel kabisa ,watu wanaoingia kanisani wakiwa wanauchungu sana na wanaosababiaha ni viongozi..wamegeuza makanisa ni kitega uchumi. Sijui hata tunatia wapi haya Mm nimeshuhudia kabisa mchungaj anahama kanisa anaenda kutafuta kanisa mjini alisema hapa kijijin hapana hela ss unaniuliza ivi huyu aliitwa na Mungu kweli.na alienda Kwa askof akamdanganya danganya na akapewa kabisa mjini then akaanza gubu Kwa wale washirika aliowaacha ... Kuna mambo meng sana huku lait Mungu akishuka hapa Leo sijui
@bennyngereza9619Ай бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi. Asante kutukumbusha msingi ambao Yesu alituachia, right kila mmoja angeelewa hii, Kanisa lingerudi kwenye Utukufu na kumvunia Kristo maelfu. Barikiwa sana kwa kusimama kwenye Msingi wa Neno
@Baraka-b7uАй бұрын
Mungu atusaidie
@NenolamaarifaАй бұрын
Ameeeeen
@magdalenapeter6106Ай бұрын
Aisee inahuzunisha sana na tunamhuzunisha roho wa MUNGU badala ya kutafuta roho zilizopotea tunaangalia ya mwilini BWANA Uturehemu🙏
@JosephNgwesa-v1oАй бұрын
Mimi kwangu Mchungaji Magembe yuko sahihi kulionya kanisa
@Baraka-b7uАй бұрын
Kweliii
@magdalenapeter6106Ай бұрын
Mimi pia
@Eliud-i4sАй бұрын
Wakuu wa dini ndiyo waliomuua hata Yesu
@Baraka-b7uАй бұрын
Yaaani Mungu atusaidie
@magdalenapeter6106Ай бұрын
@@Baraka-b7umafarisayo na masadukayo
@magdalenapeter6106Ай бұрын
@@Baraka-b7uni kweli
@agnesspaul1866Ай бұрын
Mtumishi magembe wewe ni jemedali wa Muñgu katika jina la Yesu Kristo Alie hai❤❤❤❤❤🎉🎉
@bennyngereza9619Ай бұрын
Ni kweli kabisa, watu wa dunia wanapaswa kuja kanisani kupata hekima na kutanzua mashauri. Ni kosa kubwa kanisa kwenda kuamuliwa Mahakamani tena ni fedheha kubwa sana na kuharibu ushuhuda wa Kristo. Mungu atusaidie na kuturehemu
@Baraka-b7uАй бұрын
Mungu atusaidie
@NenolamaarifaАй бұрын
Ameeen
@UpendoMwantimwaАй бұрын
Nimekukubali mch.barikiwa saaana na mm nimeliona maaskofu nimatapeli wanazurumu vya watu.
@joyceyusuph197224 күн бұрын
Barikiwe baba wewe una macho ya kuona Mungu akutunze zaidi
@YusufuMkunguАй бұрын
Ni kweli mimi yamenikuta niliwahi kufungua huduma sehemu frani, zaidi ya miaka 3 hakuna kiongozi aliwahi kufika wala kuulizia, waliposikia tumenunua uwanja, ndipo viongozi walipotokea na kuamuru hati ya uwanja ipelekwe makao makuu. yaani inauma sana...
@laurentraphael5470Ай бұрын
Dini iko shida
@lilydivine2594Ай бұрын
Daah
@Baraka-b7uАй бұрын
Pole mtumishi
@LIKIMONMSWIMA-c9oАй бұрын
Ndo hivo,, mtumishi wa MUNGU,,,pole san
@Mobmob2013Ай бұрын
Pole sana mtumishi Dini inagiza sana
@thepresidenttobe5481Ай бұрын
Mchungaji Maghembe is ALWAYS THE REAL PASTOR we have these days. Alipo tupo
@deodatatilia-qz2qhАй бұрын
Mungu alubariki sana kwa mtia moyo mzee wetu yuko ktkt staring wa kweli kbsa maana wengi sasa wanaangalia heshima dunia na matumbo yao
@MfiriNasaweАй бұрын
Mzee mwombe tu mungu hapo ni shetani uliemtaabisha kwa umri wako wote anataka akugombanishe na mungu uzeen
@MCNgakungaJuniorАй бұрын
BARIKIWA SANA!NAJUA UMEJIFUNZA VEMA KUTOKA KWA BABA YAKO KAMA ULIVYOSEMA.
@Baraka-b7uАй бұрын
Ameeen
@AminaBukuku-y9bАй бұрын
Ujumbe mzuri sana Mungu wa mbingun aturehemu sana 🙏🙏
@MichaelAbel-m5yАй бұрын
Uko sawa,mtumishi,dhehebbu zetu na dini zetu zina mauti ya kiroho bila kujua,Mungu aturehemu tu.Amen
@Baraka-b7uАй бұрын
Mungu atusaidie
@Mobmob2013Ай бұрын
Na wanafikiri wako sawa
@HappyKajeli-pk7niАй бұрын
Asante mch obed Mungu azidi kuwalinda watumishi wake wanapitia magumu
@malebosadiki9344Ай бұрын
. Hongera kwa maneno mazuri na yanayo jenga
@dokasa9176Ай бұрын
Mungu atusaidie sana kwa kweli tumefika nyakati ngumu,walikosea sana kumkataza Mtumishi wa Mungu kutokusema ukweli wa Neno la Yesu Kristo,watalaaniwa na kupigwa wasipo rudi ktk njia za Mungu hiyo TAG
@tazmuba614827 күн бұрын
Yesu wa magembe ndio wakweli yule mzee alomzulia magembe mabaya alaaniwe kwa jina la yesu
@furahachuma9039Ай бұрын
Haya sasa, wengine wanapata vyeo kwa kuwaroga wengine😂😂
@NenolamaarifaАй бұрын
Mungu atuokoe kanisa lake
@ellymaz2187Ай бұрын
Ni kweli, viongozi wa dini ni hatari sana kushinda waumini wa kawaida
@BedaEbenezer-k9vАй бұрын
Pole Sana pastor Magembe Mungu atakuzidishia kukubali Sana Mzee 🙏🙌🙌
@paulmbatha-zt8wz18 күн бұрын
Mchugani Obed mungu akubariki sana kwa ushauri wako.Bsp Mbatha.Nairobi.
@shuhudazakweli340618 күн бұрын
@@paulmbatha-zt8wz Amen
@mossyfimbo3577Ай бұрын
Nimekuelewa mchungaji kweli kabisa kwanza neno Dini si letu sisi ni wafuasi wa Kristo Mungu hakuleta Dini Mungu Neno na Neno Ni Kristo Yesu
@Baraka-b7uАй бұрын
Kweliii
@HadsonFanuelАй бұрын
MUNGU akubariki sanaa pastor 🙏🤝
@obedlange5375Ай бұрын
Ni kweli KANISA limeoza kwani uongo! Tatizo pesa na ushetan upo makanisan! Viongozi wanapenda pesa hawana lolote! ASKOFU Magembe yupo sahihi KANISA LIMEOZA SANA
Inashangaza kusema kanisa zuri la Tag huko ni kujiinua
@ANICETHRWEKAZAАй бұрын
Katika Maisha ya Kiroho hakuna mkubwa na mdogo lakini ukiona ili kumfundisha Askofu ni lazima uwe umesomea Biblia, ni dalili ya dini. Na ukiona mtu akionywa anasema anatukanwa ni Udini sio wokovu na cha kushangaza kuna kupiga kura kanisani yaani kuna vyama vya siasa kanisani ili kumpata kiongozi kanisani.
@joycesumari988623 күн бұрын
Mungu akubariki mchungaji unaongea point
@ShadiasemdamiАй бұрын
da. Mungu. Amupiganie mzee wetu,
@godbariki3666Ай бұрын
Ubarikiwe sana kwa kuisema ile kweli, ukweli unamuweka mtu huru hakika Yesu anarudi kuchukua Kanisa lake lazima injili ya toba ihubiriwe kwa jina lake Yesu Kristo wanazareti.
@gracekagoma3231Ай бұрын
O b ed Katunzi.nimeku h eshimu sa n a 🎉🎉u mesema ukweli🎉
@DawsonMateru-z2gАй бұрын
Ahsante sana mch katunzi umeeleza sahihi pia tunampongeza mch magembe kwa kuonyesha nia yake kuwa ni njema ya kumpendeza Mungu kwa ajili ya huduma yake mpya atuwekee account yake tutamchangia maana tufurahishwa sana na huduma yake ya kumtambulisha vyema Yesu wetu walio tiari kwenda mbinguni natoka EAG (T) pia Mimi napenda injili ya kweli
@mwinganjangaje902226 күн бұрын
MUNGU akubariki mtumishi maana haya ni sehemu nyingi yametokea hadi watu wengine wanashindwa kuokoka kwasababu wanaona walio okoka wanamachafuko oooh MUNGU atusaidie
@MeshackSanga-e7bАй бұрын
Nimeumia sana kwa Magembe kuondoka TAG,,pia nimelia kwa kanisa kufa alitaki kuambiwa ukweli..tunapotea sana...Moto wa Mungu kwa Magembe utaliunguza kanisa la TAG litapotea sana sana
@aminielnanyaro9727Ай бұрын
Mchungaji tumhubiri Kristo. Tunatakiwa tuwaombee watumishi. Vita vya kiroho ni vikali na hakuna aliye salama. "Katika wingi wa maneno hapakosi kuwa na maovu. Bali yeye azuiaye midomo yake hufanya akili" Mithali 10:19.
@emmanuelrweikiza6117Ай бұрын
@@aminielnanyaro9727 sasa biblia ndio imeagiza kuhubiri neno ,karipia,kemea onya linapoonekana baya tusijifiche majani hayasaidii dawa ni kugundua kosa na kutubu na kukubali maonyo
@Baraka-b7uАй бұрын
Injili ndo hii sasa,watu waonywe au wewe unadhani kuhubir injili ni kuwafata walevi bar..hata waliokonmakanisani wanahitaji injili..wote tunatakiwa tutubu tumgoje BWANA harusi
@emmanuelrweikiza6117Ай бұрын
Ni kweli kuna hali ya kudhani ukiwa ndani ya kanisa hutakiwi kuonywa na kukemewa kumbe ndio tunatakiwa tuonywe zaidi na kunyenyekea tuonywapo
@DawsonMateru-z2gАй бұрын
Ahsante sana waeleze sana maana alianza mwinjilist paschal kuyaeleza haya watu wapendwa wakatukana ila injili ya kristo ni kukataa dhambi na kuishi maisha ya kumpendeza Mungu wakati wote
@kabulakanias320525 күн бұрын
Nimekuelewa MUNGU akutunze sana mchungaji 🙏🙏
@eliasamsonofficialtz6600Ай бұрын
Pacta twaomba no yako maana niwachache wenye maono kama wewe👏👏🤝🤝
@geitandelwa299Ай бұрын
Yes it's true
@MagdalenaJoshua-s6bАй бұрын
Kanisa lake lipo tegeta kibo complex linaitwa kanisa takatifu la YESU
@fidemikaeli8145Ай бұрын
Baba yetu , anatufundisha neno halisi la Yesu na tunaelewa sanaaaaaa
@NenolamaarifaАй бұрын
Kwelii
@Baraka-b7uАй бұрын
Aminaaa
@AbuukarumberiaАй бұрын
Huyu mzee mwacheni,anaisema injili ile injili ya yesu!!,hakika!!
@miriumsadera868013 күн бұрын
Viongozi wengi wameshindwa kuisimamia haki kwa kujali masilahi yao. Hawakumbuki wito wao,na wamekua chanzo cha kanisa kupungua nguvu. Mzee magembe mwinjilisti alieitwa na mungu fanya ulichoitiwa bila kumjali mtu na cheo chake.hakuna mwenye mbingu ni yes pekee. Mchungaji ubarikiwe una mungu wewe.
@JUNGLEENTERPRISEАй бұрын
Yesu Kristo hachangamani na dhambi wala uovu hivyo suala la kukemewa kama afanyavyo Mchungaji Magembe kama ambavyo Mtume paulo aliagizwa (Matendo 26:15-18 )...huo ndio wito halisi wa Yesu Kristo na tuendelee kuwaombea wote wanaiohubiri kweli ya Mungu ili kufikia lengo kuu (Marko 16:15-16) Lakini lazima tuelewe na kufahamu...Ukristo ni mfumo na mfumo unabeba utaratibu na miongozo hivyo hatuwezi kukwepa kuwepo kwa mifumo (Yohana 14:6...tunaishi na kuitwa wakristo kwasababu ya mfumo wa kumfuata Yesu Kristo na ukisoma yohana 14 yote utaona inavyoeleza taratibu gani za kufuata ili uwe Mkristo). Bila ya mifumo hata neno la Mungu tunalolisoma leo lisingekuwepo. Hakuna mamlaka isiyo na mkuu ndio maana hata wewe ni kiongozi (mkuu) mahala ulipo hivyo lazima pawepo na mkuu. Mkuu anapokosea haina maana hatupaswi kuwa na mkuu (mchungaji kiongozi au Askofu).
@SaraMartin-po2weАй бұрын
Mch katunzi yaani ubarikiwe sana kwa maneno mazuri sana kwa ajili ya Baba yetu Magembe tuko pamoja Yesu anarudi lazima injili ya kweli ihubiriwe na kweli ya Neno la Mungu isemwe Amen.
@NenolamaarifaАй бұрын
Yani azidi kubarikiwa
@Baraka-b7uАй бұрын
Aminaaaa
@Visionofeagle9689Ай бұрын
Ukweli mtupu pastor🙏👏
@NenolamaarifaАй бұрын
Yes
@Baraka-b7uАй бұрын
Truuuue
@EvaJoseph-b3jАй бұрын
Ubarikiwe kwa ujumbe mzuri wa kweli unaohusu kanisa la leo.viongozi wa dini ndio wanalipotosha kanisa,na hukumu yao ni kubwa wao ni kuni za jehanamu
@MpokiMwakajeАй бұрын
Magembe Mungu amtie nguvu, washilika wake kama kweli wameokoka wote wangemfwata mchungaji magembe , wangewachia jengo tu sasa waumini wengi niwanadini ni mali ya Dini waumini wangekuwa mali ya Kristo wangetoka wote na mchungaji magembe
@dadamuebrania1539Ай бұрын
Kuna kuokoka na ikaishia hapo,. Kuna kuokoka na kuutaka uzima wa milele hapo Mungu atusaidie
@NenolamaarifaАй бұрын
Amina
@sautikuu212Ай бұрын
Hakuna washirika wa mtu, washirika wanabaki ni wa Yesu Kristo.
@emmanuelrweikiza6117Ай бұрын
Na kwakweli wengi wameondoka naye
@wilsonkalamban8958Ай бұрын
Watu ni Mali ya Mungu sio ya mtu mtu aweza kufa Bali kirsto aishi milele!!!!
@MethodMethod-g2wАй бұрын
Amina sana mchungaji mungu awatunze sana🤲🤲🤲
@apostelgodwinАй бұрын
MTUMISHI POKEA HESHIMA YAKO..HONGERA UNAMJUA MUNGU NA SIO VIWANGO VIDOGO ...HATA BABA YAKO HAONI NDANI KAMA UNAYO HUDUMA NADHANI INA MOTO SANA WA KIROHO NA IMEBARIKIWA MAANA MUNGU UNAMJUA NA WANADAMU WALIVYO WA MWILINI UNAWAJUA NA YOTE YANAYOENDELEA UNAYAJUA SANA SANA ...BE BLESSED
@Baraka-b7uАй бұрын
Amen Apostle
@johnmayunga4445Ай бұрын
Yuko sawa lakini hajui kuwa vijijini hakuna kinachovutia na wengi wameokoka kwa mfumo huo. Vinginevyo nani angeenda vijijini kwa kupenda? Kwa nini umiliki watu?
@ThomasIkerrsАй бұрын
Mchungaji Obedi hongera sana,you have it all.Sasa tufanye nini Mungu katika 2Wakorintho 6:17-18 na Ufunuo wa Yohana na Ufunuo wa Yohana 18:4-5 ametuamuru tutoke katika mifumo ya dini na madhehebu.Ni ukweli usiopingika kwamba mteule hawezi kukaa kwenye mifumo ya dini.
@NenolamaarifaАй бұрын
Barikiwa mtumishi
@Baraka-b7uАй бұрын
Truue
@philipomaua6613Ай бұрын
Mtumishi mungu akubaliki sana kwakuongea ukweli safisana
@annejacobilkiuyoni2971Ай бұрын
Ooooo,Mungu atusaidie sana tulishapoteza mwelekeoo.Asante sana mchungaji kwa maono yako haya makubwa ,kutoka kwa Roho mtakatifu wa Mungu.Ubarikiwe mnoooo🌹 Hakuna dini iliyotufia msalabani🙏Mwokozi ni Bwana Yesu na si dini wala mwanadamu awaye yote.Yaani tumebaki kuhubiri injili ya kunyoosheana vidolee.Injili ya kunyoosheana vidole itatufikisha pabaya.Mi pia nafikiri kila mmoja autafakari wito wake,na tutubu.Tusipoteze muda kunyoosheana vidole kila mtu ameitwa kwa namna yakee.Mungu ni mpana sanaa hatuwezi kufanana ktk kuifanya kazi ya Mungu,na hapo ndipo roho za wivu na chuki zinapoanzia.Mungu azidi kupigania na kusimamia watu wake🙏🙏🙏🙌
@godfreysemwenda5988Ай бұрын
Ubarikiwe sana pastor Katunzi kwa ujumbe mzuri
@zakayomoleliАй бұрын
Ni kweli TAG kiroho imekufa kabisa,ila kimwili liko vzr sana,na huo mtazamo wa askofu mtokambali yeye ni mtu wa starehe juujuu,TAG ni kanisa lenye ufadhili mkubwa sana nje ya nchi na nazani hapo hapo kwenye pesa hizo za nje ndipo shetani amepenyesha pesa zake na kuliteka kanisa
@NenolamaarifaАй бұрын
Kweli
@zakayomoleliАй бұрын
Alafu Sasa washirika wa TAG wanavyozarau dini zingine na wao wenyewe wamekufa wamebaki TU na dini,sijui wanazani YESU ni wa TAG acheni ushamba YESU ni wakila aliyemwamini na kumcha
@laurentraphael5470Ай бұрын
Umesema kweli kabisa.
@Baraka-b7uАй бұрын
Mungu atusaidie
@NenolamaarifaАй бұрын
Amen
@pastorpetermageta6833Ай бұрын
Barikiwa sana pastor nawapendaga watu kama nyie
@paulrwechungura4284Ай бұрын
Warudi kanisa moja katoliki
@PastorAssaWaAssaBeriasАй бұрын
Pastor ASSA toka drc Bwana wetu anataka Bibi arusi aliye tayari mubarikiwe sana tuko nyuma ya mzee mgembe kwa maombi
@JethaDololoАй бұрын
Barikiwa baba. Utapata vingi zaidi. Waoneshe nao km Kila penye Hilo jina la TAG Kuna hayo maendeleo kama SI maoni Yako baba magembe
@AgnesKalinga-if3ufАй бұрын
Mwenye masikio asikie. TAG inapendwa na Bwana ndio maana onyo hili limekuja juu yake
@Baraka-b7uАй бұрын
Mungu atusaidie
@prosperjuma905Ай бұрын
Hamna onyo hapo. Ni tamaa tu
@alexbenedicto5687Ай бұрын
Kwa kweli watumishi wamesahau kuwa dini siyo mpango wa Mungu mpango wa Mungu ni wokovu siyo dini Mungu akubaliki sana mtumishi
@dadamuebrania1539Ай бұрын
Dini ndizo zimefanya hakuna UMOJA wa KANISA. 😢 Mungu mmoja, Bwana mmoja Imani moja, Ubatizo mmoja Roho mmoja. Mashindano yametoka wapi??? KANISA LIMEKUFA 😢😢😢 Mungu mtie nguvu Mzee Magembe
@NenolamaarifaАй бұрын
Aminaaa
@OdiloMwemeziАй бұрын
Haiwezi kuwa hivyo maana wengine mara waamini mafuta,maepo,chumvi,maji,Sasa atakuwaje Mungu mmoja?
@Baraka-b7uАй бұрын
Mungu atusaidie
@ElishaKasambo-yu5jtАй бұрын
Vita vyatokana na tamaa zetu Dini yetu ni ukristo haya mapande sijui ya nini
@OdiloMwemeziАй бұрын
@@ElishaKasambo-yu5jt kulingana na mtazamo tofauti wa Kila mpokeaji,tamaa,hata wewe ulipo sipo ulipoanzia umewahijiuliza hilo,kwanini ukukaa ulipoanzia,suala utofati ni tangu mitume hivyo hapa huna wakumlaum.ila ninachomshukru Mungu Injili inahubiriwa iwe kwa tamaa,unafikri,Hila,bado Kristo atatukuzwa.
@Jesus-Christ3965Ай бұрын
Huruma sana wamefungwa Yesu Kristo awabariki wote wanao simama na kweli katika Siku za mwisho
@NenolamaarifaАй бұрын
Aminaaa
@Baraka-b7uАй бұрын
Ameeen
@comradeandrewsaul5459Ай бұрын
Watu ni wa Mungu sio wa dini,wanauhuru wa kuchangia kazi ya Mungu popote alipoongozwa na Mungu.
@Baraka-b7uАй бұрын
Ndiooooo
@Jane-r5v8qАй бұрын
Hongela sana Mtumishi wa Mungu na ubarikiwe sana niukweli mtupu
@metronajonathan1395Ай бұрын
Kweli usemayo mtumishi mfumo wa dini umeharibu watumishi wengi wanafanya kazi kwa hofu ... Mfano ni kwa kanisa ninalosali sasa mchungaji anasema asipotoa zaka anaweza akaondolewa asiwe mchungaji...ni kwamba utumishi wake upo chini ya mtu na si Mungu.... Mwenyezi Mungu atusaidie sana watu wake.
@edwardasumwisye3010Ай бұрын
YESU NI MAMBO YOTE NDANI YA YOTE
@lilyabel2320Ай бұрын
Ukipata Yesu umepata vyote❤❤
@odethamlyuka2552Ай бұрын
Semeni ukweli mtupu Mungu ambariki sana Much. Maghembe
@majaliwamsigwa6206Ай бұрын
Kweli Mtumishi hizi njululu zitatufanya kuukosa ufalme wa Mungu,Mungu atutetee
@Baraka-b7uАй бұрын
Mungu atusaidie
@BrDavidMasaoАй бұрын
Mtu aliye kwenye dini hawezi kupita bila kudhihaki ila aliye ndani ya Yesu ataamua kuutafuta msaada wa MUNGU, umesema vyema mtumishi wa MUNGU. Ee Yesu nijalie mwisho mwema
@NenolamaarifaАй бұрын
Kwelii
@dr.thomasalonsaidaАй бұрын
Nakubali dini inalitafuna kanisa la leo
@Baraka-b7uАй бұрын
Kweliii
@yusuphchankwa4759Ай бұрын
Mungu Akubariki sana, T.A.G Mungu awasaidi wasipotubu watapotea kabisa
@joashandhoga4019Ай бұрын
Mungu akuongoze hatua zako
@Baraka-b7uАй бұрын
Tutubu
@OdiloMwemeziАй бұрын
@@yusuphchankwa4759 haya ndo maombi ya mwenye hila.
@TanescoCrm-jp6xqАй бұрын
Wewe umetubu
@PaulMwenda-w9vАй бұрын
We ndo unapotea
@bernadetteshukuru9154Ай бұрын
Amen amen Mungu akubariki mutumishi wa Mungu 🙏 🙌
@paulleonard3122Ай бұрын
Mungu nimwema sana na atasimama katika haki
@DanielMaarufu-u4qАй бұрын
Mtumishi unaeogea Mungu akushike tunaitaji watu kama ww sana nyakayi izi za mwisho ambao mnaweza kupiga bila kuagalia mtu umeogea kwa ushuja sana sana ugea tena natena tunakuombea
@kingtaro-rv7snАй бұрын
Mungu akubariki
@MnanilaMrsmnanilaАй бұрын
Unajua MUNGU wetu ni Mungu mwenye wivu,hapendi mmoja apotee ndiyo maana Mungu ametuma wajumbe wake kwa ajili ya watu wake.TAG Mungu anawapenda Sana nyenyekeeni chini ya mkono wa Bwana
@AmenMushi-j2jАй бұрын
Sawa Pastor mm shemeji yangu mch amekufa mapema kwa ajili ya kanisa kiongozi wa juu anamwondoa maana lilikuwa mjini
@Baraka-b7uАй бұрын
Poleni sana
@YeremiaKuyangwaАй бұрын
Amina pst mungu atupe watu kama wewe tz hakika tutasonga mbele
@NenolamaarifaАй бұрын
AmeN amen
@Baraka-b7uАй бұрын
Ndioooo
@Mobmob2013Ай бұрын
Uko sahihi mtumishi na hii ni mara mia umewaambia maana watu wa dini wamepotea saana na wanafikiri hawajapotea ila nilishtuka kitambo pale ninapowaona wanatumia muda mwingi kusema wengine kuliko kumhubiri Kristo
@StellaMawanz28 күн бұрын
Kabisaaaa mtumishi wa MUNGU.jaman watu tunalumbania dini au madhehebu na s kumcha MUNGU.