Mwambie asiendelee kuangalia hizo movie za kichawi na manyoka, anaweza kujikuta anatekwa tena na hao wachawi wezake. Ila jina la Bwana wetu Yesu kristo lisifiwe
@neemalambo979048 минут бұрын
Hakika
@RehemaMtono4 күн бұрын
MUNGU walinde watoto wangu pale walipo
@KasondeSamwel10 сағат бұрын
Jesus is truly able
@fatmaalnabhani36094 күн бұрын
Mungu ataushinda uchawi
@shalomkind45754 күн бұрын
Naomba contact ya huyu dada .anaweza kualikwa kule kenya afunze juu ya vipodozi
@pammymoraamoraa67024 күн бұрын
Mungu asifiwe, kitu moja nimekuja kujifundisha kupitia hizi ushuuda mingi ,kwawale waliokua wanatumiwa na sheitani kupitia uchawi wote uambiwa kua wewe kamawewe ndio mkubwa kwa wote wewe ndio numba moja kumbe yote niuongo .hata ukuwa mkubwa nikwa hiyo tu kikundi chako.mungu atusaidie jamani hizi ushuhuda Zina mafundisho mengi sana sana.ingawaje kunawale hawaamini hizi stori.
@JibeMwaijibe-p1zКүн бұрын
Mungu asifiwe ndo nini watu ambao hamsali bana😅😅😅😅😅 uta 4:50 watambua tuu kwa ndimi zao,ila umeongea vizuri sana.
@neemalambo979045 минут бұрын
@@JibeMwaijibe-p1z kweli kabisa, sijui kwa nini wazito kusema Bwana Yesu asifiwe
@JibeMwaijibe-p1zКүн бұрын
Kitambaa hicho kama cha wale wanaosali dini ile ya majini raisi samia nae anavaa rangi hiohio ya dini ile ya majini huyudada mwongo hajaacha Jaktani msafiri jiangalie
@NeemaJonathan-d2e4 күн бұрын
Tunaomba no zake jamani wengine tunamaswali y private 🙏
@dorcaskidoti2493 күн бұрын
Huyu dada bd hajapona vzr ona muonekano wakenya wa kishirikina kwanza ile tambaa jekundu kichwani la nn? Hayo macho anavyotoa kama movies za kichwani jmn
@shadrachkamyori99114 күн бұрын
Jaktan Msafiri kazi nzuri sana. Asante. Nadhani, macho ya huyu binti mbona kama shetani bado anamtamani?😊. Natamani Katekela akomenti kitu hapa. Kwa maoni yangu, uponyaji wa 100% bado.
@vantegeye1153 минут бұрын
_Kwanini hakutangulia na maombi?😢
@NeemaJonathan-d2e4 күн бұрын
Kasheshe hii dunia bila YESU Ni fedhea mnomno..Yani wewe umekaa unajiona uko na Siri zako moyoni kumbe baadhi ya watu wengine wanakujua kuliko unavyovijua😂😂😂 ni mewaza tu
@shalomkind45754 күн бұрын
Bado anahitaji kukombolewa ..aende kwa mchungaji Raphael ..macho yanaonyesha bado yuko na majini ..nashukuru kwa wokovu wake .
@emmanuelthomas10784 күн бұрын
Kabisaaaa bado Yuko na pepo machoni🤔
@essy46644 күн бұрын
Aki wewe macho yaonyesha aje yuko na majini 😂😂?
@TANZANIATV-o8c4 күн бұрын
Umwambie aache kutazama filamu za kichawi.
@endlessloveofchristlovewor99914 күн бұрын
Luka 10:19 NEN Tazama nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na juu ya nguvu zote za adui; wala hakuna kitu chochote kitakachowadhuru
@tembelaabdalah41533 күн бұрын
Sasa nihulize hizo hair extensions ataziacha lini? Maana amehongea mwenyewe kuwa shetani huwa ana mkono k atika vitu hiyvo, sasa kwanini yeye ahendelee tena navyo?
@EliaFrank-i7e3 күн бұрын
Shetani anapenda wadada wazuri cjui kwann anawatumia kama watoto wake. Cheki huyu alivyo
@hasanipoy39763 күн бұрын
Niatariiii
@tembelaabdalah41533 күн бұрын
Sasa nihulize hizo hair extensions ataziacha lini? Maana amehongea mwenyewe kuwa shetani huwa ana mkono katika vitu hiyvo, sasa kwanini yeye ahendelee tena navyo?
@essy46644 күн бұрын
Mimi nilikua nataka kujua mama yake je alikufa baadaye juu alisema walimukula nyama but alimukuta akiwa mzima After wamemula nyama kuzimu je alikufa baadaye ama vipi jactan musafiri?