Niko Rwamishenye bukoba, Asante Bwana Yesu,waliyo wake anawatoa hata kuzimu
@Erasto.LuhazaEmakulataerastolu2 ай бұрын
Hongeara kijana kwa ujasli ulioonyesha kasema ukuu wamungu aliokutendea.usimwache Tena mungu wako Dunia inatisha hakika
@josephmutemi74942 ай бұрын
Naomba Kila mtu amkubali YESU Dunia hii ni mbaya
@RichiusSamweli2 ай бұрын
Uko sahihi
@ivonaevarista46542 ай бұрын
Kabisa bila Yesu Kristo hatuezi,dunia inatisha
@judywarui7682 ай бұрын
Ukweli kwa yesu ndiko kuzuri
@geitandelwa2992 ай бұрын
Mmmmh hii ndo dunia tunayoishi na mm nimewaipitia haya. Ila KWA HURUMA ZA MUNGU NILILUDI AAA MM WALITAKA KUNIWEKA DUKANI ILA NILIOMBEWA NILILUDI MUNGU NI WA MHIMU KULIKO CHOCHOTE TUMUTAFUTE MUNGU TU YY NDO MSHINDI
@isabellarkageha77072 ай бұрын
😮😮
@LoFi_1202 ай бұрын
Na mshukuru Mungu kwa ajili yako, jina la Bwana libalikiwe amina.
Watching from Kenya. David pleaded with God in Psalms 74:20 NIV [20] Have regard for your covenant, because haunts of violence fill the dark places of the land. I declare the devil, his demons, and his agents here on earth are powerless in the name of Jesus Christ.
@JanuaryPetro-w2s2 ай бұрын
Mungu apewe sifa kwa kumuokoa kijana 🙏🙏🙏
@Priska2472 ай бұрын
Asante Yesu Christo kwa wanao ombeya watu usiku na muchana .
@obadiambilinyi272 ай бұрын
So powerful, Mungu ni mwema Kwa kweli
@SeverinKisey2 ай бұрын
Ushuhuda wako hakika ni wa kweli na Mungu amekukusudia uwe Mtumishi wake ktk Roho na kweli Mungu akutunze mwanangu ubarikiwe sana
@SabinaEzekiel-b4c2 ай бұрын
Asante, Promover mnatuletea shuhuda nzuri sana.
@Pendo-r6k2 ай бұрын
Ni kweli Erick umemshaur vzr,asijiskie vzr kuwa anaitwa anaenda kushuudia,ajue adui yake bado yuko hai na ataendelea kumuwinda so anatakiwa asimame kama ufunuo 12,kwamba tujivike silaha za Mungu...Mungu ambariki sana ushuhuda mfupi lkn wenye mafunzo,barikiweni promover tv
@JaneKuyokwa-ng2qf2 ай бұрын
Walokole mupo mungu nimwema sikuzote
@JamesMhillu2 ай бұрын
Natamani kuona part two ya hii story. Tusikie watu wote wakitajwa now wanashihudia nini, maana ushuhuda hii ni very powerful.
@Nabatabita68732 ай бұрын
Ubarikiwe kaka mungu uyohuyo aliye kutowa mbali ndo atakaye kulinda pia .Amen Amen
@RichiusSamweli2 ай бұрын
Amen
@happyminja-kb1owАй бұрын
Amina.kaka endelea kusali kufunga.mungu atakuonyesha mambo makubwa mpaka adui zako washangae.mtafute Mungu kwa kila hali
@annacharles28422 ай бұрын
Amuombe Mungu ampe mahali sahihi ambapo atamwabudu Mungu katika Roho na kweli ,na kwakweli Mungu ni mwaminifu atamwonyesha mahali sahihi na atampa baba mzuri wa kiroho. Asiende kwa akili zake amsihi tu Roho mtakatifu amsaidie kwenye kufanya maamuzi. Amen
@DawsonDuma2 ай бұрын
Injili ya kuogopa kufa ni ya mapooza. Humsikii yeye mwenyewe anasema yupo tayari kufa,? Hiyo ndiyo injili ya Yesu kristo. Kuwa mwilini ni kuogopa kufa. Usimzimishe Roho Mtakatifu ndani yake. Huko ndiyo kumpenda Yesu hata km kuna kifo.
@johnzacharia2 ай бұрын
Mpendwa umesikia anaabudu kanisa la kiroho Eagt we unadhani hapo kaenda bahati mbaya? Sasa aombe Mungu apelekwe wapi tena, hapo labda aombe Mungu akue kiroho maana Kama siyo sehemu sahihi kwake ile sauti inayomuongoxa ingemwambia
@onlinenewz70962 ай бұрын
Walitaka kumchukua mwanangu. Lakini Yesu alinihurumia. Mwanangu asaiv anatimiza mwaka November 1. Aise Mungu aliye hai niwema sana. Jina la Yesu linatosha.
@LeonardEdward-fb2bn2 ай бұрын
Pole Sana Mtumishi,, MUNGU ni mwema ila naomba MAOMBI yako na Mimi Niko kwenye vita Kali Sana🙏
@JamesMhillu2 ай бұрын
Nakuomba unifaganulie maana umemuita mwanangu it means unamjua. Please tujenge zaidi kwa kutupa ushuhuda wa unavyolijua hili
@Frosita2 ай бұрын
@@JamesMhillu soma vizuri umuelewe mtoto wake yeye ambaye ndo anatimiza mwaka sasa...means sio huyu mtoa ushuhuda
@shadrachkamyori99112 ай бұрын
Mambo ya kusisimua sana haya. Asante sana Eric. Mungu akubariki sana sana sana.
@mundelejudith39402 ай бұрын
Amen mungu usifiwe mi lele akuna kitu kinacho shindikana mbele yako nipiga niye mimi piya na kizazi changu na chukuwa atuwa mungu nipe nguvu eeeeh yesu nikumbe ndaku tumikiya baba mungu nime amuwa papa God ❤❤❤❤
@DenisCasey-kh8ub2 ай бұрын
Asante MUNGU wetu kwakutupigania Baba yetu
@marianaduncan63302 ай бұрын
YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi zaidi ya yeye hakuna mwingine zaidi ya yeye milele na milele
@Priska2472 ай бұрын
Prophet Aston Adam Mbaya na Pastor Amiel wametwambiya kweli jameni tuwe nasikiya. Haya yametokeya kama walivyotweleza. Yesu tulinde.
@millicentnaliaka2 ай бұрын
Amina wachungaji wa Mungu ni shauri bora asiende kila mahali maana hajui shetani amekusudia lipi kwenye safari yake ukisoma kwenye kitabu cha ayubu unaona shetani alikua anazungukazunguka tu na alipoulizwa na Mungu unatoka wapi akaesema kuzurura duniani sasa awe na mtumishi wakiroho atakayemsaidia kumuelekeza na Mungu pia atamuelekeza sawasawa na mapenzi yake atamuongoza
@hezekiamhapa73952 ай бұрын
Ndugu Erick wewe una wafahamu vizuri watumishi wa MUNGU wazuri unaweza pia kumsaidia akae kwa mchungaji Fulani lakini pia umemshauri vizuri sana asiende kwa kila kanisa maana Kuna makanisa mengi sana yanayomwabudu shetani hivyo anaweza kwenda mahali akamalizwa na adui!!! YESU apewe sifa na atukuzwe sana anatupigania mno Asante sana YESU wetu Asante kutupenda kama sio wewe kuingilia kati maisha yetu kwa hakika shetani angetumaliza
@Esthermordecai2 ай бұрын
Hakika Dunia hii tuko katika vita vya rohoni,kama Bado unalala kama mwanadamu basi pole sana, amkeni watoto wa Mungu 😢
@happyminja-kb1owАй бұрын
Unaakili sana wewe
@rebekaadorphine8296Ай бұрын
Amen amen Jina labwana wetu yesu kristo liinuliwe juu bwana yesu zidi kuonyesha miujiza yako baba
@kizandume30152 ай бұрын
Amen mungu atupiganie katika mahisha yetu
@SelestinaHamis-dw1gs2 ай бұрын
Doh pole mdogo angu karibu Dodoma Uje kuchunga watumishi wa mungu
@RehemaMtono2 ай бұрын
Ukisikia ukuu wa MUNGU ndo huu sasa shuhuda na matendo makuu mno hakika acheni MUNGU AITWE MUNGU hachunguziki
@felixBenos2 ай бұрын
Mungu nimwema jana,leo hata milele.
@utawalarecordstudiosnairob59292 ай бұрын
MUNGU akubariki sana. Shuhudia matendo makuu ya MUNGU
@RehemaMFrancoise2 ай бұрын
Asante kwa ushuhuda mzuri sana,mimi nakushauri umutafute Mchungaji Abiud Misholi ao Bishop Nyisake chaula watakusaidia kukomaa kiroho.
@RichiusSamweli2 ай бұрын
Amen
@ExperanciaSubira-d5b2 ай бұрын
Mdogo wangu endelea kumshikilia Mungu aliyekuokoa nje na hapo hakuna msaada mbarikiwe sana promover Tv
@utawalarecordstudiosnairob59292 ай бұрын
Nikweli kabisaa tafadhari jitahidi umpate mtumishi wa walie okoka awe baba yako wa kiroho kwa mafundisho zaidi. Ndugu Erick
@ImmanueliPatrick2 ай бұрын
Najifunza kwamba kumbe mwili hauna lolote la maana,unatusumbua buree tuu,ee Mungu tuokoe na mwili huu upatikanao na mauti
@zakn20012 ай бұрын
Mungu awabariki sana Promover kwa ushuhuda huu
@valenakomba76862 ай бұрын
Bwana Yesu atukuzwe sana.
@HalimaPaskal2 ай бұрын
Amani ushuuda mzuri sana mtumish ❤❤❤❤❤❤
@augustinaturnedinwithmyfam7270Ай бұрын
Utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na mengine yote mtazidishiwa Mathayo 6:33 Acheni Mungu aitwe Mungu
@MarthaGidion2 ай бұрын
Yesu nakushukuru Kwa kumuabisha shetani
@lovenesswalter66502 ай бұрын
Yesu ni BWANA kwakwel Ukichaguliwa na Mungu hta upitie wap yy atakuokoa tu
@LeahRaphael-d1u2 ай бұрын
Asante sana mwanangu Kwa hushuuda wako ni wakweli kabisaaaa na mungu aliye kuokoa atakusaidia na kukulinda 🙏
@RichiusSamweli2 ай бұрын
Amen Aunt
@merrynancesimon15622 ай бұрын
Daaaha mdogo wangu alikufa kifo cha utatanishi Tena ajali eemungu ninaimani atatoka😢😢😢😢😢😢😢😢❤❤
@RachelEmid-jq6eo2 ай бұрын
Mungu wetu anahuruma San ww ni kijana mdog sana,na umepitia mambo magumu pole sana,ila Naamin lipo tumaini ktk kumtumikia huyu kristo,Yesu azidi kukutunza🙏🙏
@billyisadia5651Ай бұрын
Kijana azidi Maombi kwa sababu ana Baba, ambaye ni Yesu mwenyewe, alimwokoa na atamwelekeza. Msimchanganye na kumkatiza, lakini tu asizunguke ambako Mungu hajamwelekeza.
@charlesmutunga69522 ай бұрын
Shuuda nzuri sana.
@josephmutemi74942 ай бұрын
Ameeeen YESU anaweza yote
@obadiambilinyi272 ай бұрын
Mungu anahesabu mema yote, kumbe hata jema dogo Mungu anahesabu
@HappyPaul-nj9ri2 ай бұрын
Mungu mwema sana
@HalenBahati2 ай бұрын
Hakika Bwana YESU ni mkuu zaidi ya yote
@AgreyAckim-pt3wv2 ай бұрын
Nilichoo jifunza ata wema mdogoo ukitenda Munguu anakumbuka na hasahau
@IreneKafugugu2 ай бұрын
Du msimuliaji anashuhuda nzuri lakini yupo kasi saana ...all in all Mungu anatupenda
@josephkaveya42842 ай бұрын
Kiboko
@anethjoseph3321Ай бұрын
Mungu ni mwema rich uzidi kubarikiwa
@rebekaadorphine8296Ай бұрын
Amen amen Jina labwana wetu yesu kristo liinuliwe juu
@vedastodeus6992 ай бұрын
Kijana ana ushuhuda mkubwa. Watu wengi waliotumikia kuzimu hawana ujasiri wa kama Mch. Amiel. Nashauri Mch. Amiel Katekelea angelianzisha kampeni ya kunoa watu ambao Roho Mtakatifu anamshuhudia kweli walitumika kuzimu wakaandaa tukio kubwa. Namanisha akawajengea uwezo wa kuzungumza na kushuhudia. Yaani wengi waliotumika kuzimu, Mch. Amiel Katekela amejaaliwa kwa uweza wa Roho kutumia maisha yake kuvuta wengi kwa Yesu. Naomba Promover na na Huduma ya Mch. Amiel Katekela tengenezeni watu wa namna hii wavute wengi kwa Yesu
@MaryMichaelMaryMichael-i7o2 ай бұрын
Blessd kaka jacktan na Audax na promover tv ❤
@kizadorcas33212 ай бұрын
Eh kwakweli duniani kuna mengi sana Mungu azidi kukusaidia
@EmilyNanjala-fz9je2 ай бұрын
Kweli Mungu anaweza kabisa
@lovenesswalter66502 ай бұрын
Wapendwa tusiache kufanya Maomb ya ukomboz eneo unakaa hauwez jua unarejesha mateka wangap ISAYA 42:22 Njoo njoo turudishe ndugu zetu
@MGALILAYABillionaire2 ай бұрын
Umemshauri vyema, ni vizuri akiwa na mchungaji atakayemfundisha na kumkuuza kiroho. Bali aombe sana apate madhabu iliyo sahihi maana sio makanisa yote yenye msalaba yanaabudu Kristo. Mengine ni ya kuzimu yanawakilisha ibilisi
@SAVETHEGENERATIONFAUNDATION2 ай бұрын
Kukua kiroho ni kufanyaje Mtu aliyepitia hali hiyo ni mchanga kiroho
@MGALILAYABillionaire2 ай бұрын
@@SAVETHEGENERATIONFAUNDATION unajua adui ana njia nyingi za kuattack mtu. Wachungaji wanabebwa na wameishi miaka na mikaka kwa injili, huyo ni mtoto sana anahitaji mafundisho zaidi
@SabinaEzekiel-b4c2 ай бұрын
Ushuhuda ni mzuri, ushauri wangu asiende kila kanisa, anapoitwa amshilikishe mchungaji wake.
@FrankieFrank-e4e2 ай бұрын
Mungu unisaidie niokoke kabla sijafa jameni
@happinessmchome91012 ай бұрын
Amen, Mungu akusaidie
@josejosia3024Ай бұрын
"Fanya maamuzi naomba usone neno la mungu KUMBUKUMBU LA TORATI 30:19 SOMA NA UAMUE KUMPA MAISHA BWANA YESU KRISTO WA NAZARETH MWANA WA MUNGU ALIYE HAI
@femidayahaya92932 ай бұрын
jmn mtoto wa watu mzuri lkn wabaya walitaka kumuua..nyie wachawi nyieeee cku yenu ipo tu mtalia na kusaga meno😢😢😢😢😢😢
@RichiusSamweli2 ай бұрын
Amen amen
@angeljoseph81032 ай бұрын
Dunia hii inamambo ya ajabu Mungu tusamehe tunapokosea pia utusaidie Mungu akitaka kuonyesha ukuu wake yote yanawezekana
@happyminja-kb1owАй бұрын
Hahahahaaha 😂 ujejua kunifurahisha
@gracemutono50232 ай бұрын
Amen asante kwa MUNGU ALIYE HAI
@annkim26902 ай бұрын
Mtoto wa mtu mdogo hivi nyinyi michawi ndio maana imeandikwa usimuache mwanamke mchawi aishi
@RichiusSamweli2 ай бұрын
Amen
@valenakomba76862 ай бұрын
Ameeen.asante Yesu .
@martinehussein72612 ай бұрын
Akika mungu ni mwema
@rerisamba2 ай бұрын
Yupo pastor Dickson Corineli wa ABC Global ana train vijana kua watumishi wa Mungu ajaribu kumtafuta last month alimtafuta kijana mmoja wa bongo flava aliekua amepotolea vijijini na sahii ako sawa
@SnhZjhzАй бұрын
Jamani Yesu yupo mm mwenzenu nampenda kuliko maisha yangu
@shadrachkamyori99112 ай бұрын
Huyu dogo tayari ni mtumishi aliyekuwa kiroho. Tayari ameshapata roho mtakatifu anamfundisha. Huyu dogo tayari ni mtumishi aliyeiva. Hahitaji mlezi, ameshapewa agizo na Yesu mwenyewe. Aingie shambani moja kwa moja
@SAVETHEGENERATIONFAUNDATION2 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi watu hawaelewi kukua kiroho ni kufanyaje
@MabelKaaya-hl2je2 ай бұрын
MUNGU ATAMPAFIA WATUMISHI SAHIHI WA KUWA NAE KARIBU.
@MabelKaaya-hl2je2 ай бұрын
Mungu Atampatia mtumishi sahihi.
@ShukranRasphod2 ай бұрын
Asante YESU kwa kumponya kijana huyu
@edmundhezekia53842 ай бұрын
Atafute huduma ya kanisa la Ufufuo na Uzima wilaya aliyepo ili asaidiwe kwa karibu zaidi (Isaya 42:22)
@MamasIslandKitchen2 ай бұрын
Mungu mkubwa
@merrynancesimon15622 ай бұрын
Kweli mimi pia pesa inapote najiuliza inaenda wapi 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@ivonaevarista46542 ай бұрын
Hakika Mungu ni Pendo eee YESU BABA usituache watoto wako tunakupenda.
@noxxete2 ай бұрын
Tafadhali Promover tv mukitanishe huyu ndugu na mchungaji katekela ili aweze kumwelekeza kwenye mambo ya kiroho. Musimwachilie ivo tu baada ya kumhoji. Naomba kwa unyenyekevu.
@Priska2472 ай бұрын
Nimewaza ivyo namimi kabisa, Mungu awetanguliye kijana akomalishwe kiroho
@noxxete2 ай бұрын
@@Priska247 Amen 🙏
@ivonaevarista46542 ай бұрын
Watumishi wa Mungu,huyo kijana ashasimama kiroho ndo maana aliemuokoa niYesu sio baba wakiroho,awe na mchungaji lakini wakumsikiliza sana ni sauti inayosema ndani yake na neno la Mungu,maana ata baadhi yawachungaji sahivi wanaondoa nguvu ya Roho wanaweka ulaini wahekima yatheorogia ila naamini Yesu Kristo aliemuokoa hatamuacha kamwe nahatakubali apotee,asanteni promover
@annkim26902 ай бұрын
Wokovu wa maana jamani kuwa mwenye haki kwa hii dunia kitu cha muhimu Sana wana muita Bwana Mkubwa
@DawsonDuma2 ай бұрын
Erick,, ushauri uliyompa siyo sawa. Mtu anapookoka hapo hapo anatakiwa aanze ushuhudiaji. Ushuhuda ni mambo uliyoyaishi au yaliyokutokea huhitaji kufundishwa. Mtu anapookoka anakuwa na upendo mkubwa sana kwa Yesu, kwahiyo ndiyo wakati wake mzuri zaidi. Yesu alipokuwa anawaponya watu hapo hapo waliamza ushuhudiaji. Barikiwa. 1:12:04
@EBENEZEREMMANUELtv2 ай бұрын
Ndugu usiende ki mwili anaweza akauliwa anapaswa afundishwe kwanza mbinu za kupambana na Adui mtu kusimama imara lazima apewe mwanga Erick Yuko sawa Kabisa kwa ushauri huo maana hujui wanaomwita ahsuhudie wana kua na moyo gani hivo awe makini Sana kunawakati YESU alikua akisema wasimtangaze kwa nyakati flan hivo utaratibu uzingatiwe kwanza
@DawsonDuma2 ай бұрын
Biblia inatuonya kwamba tusimzimishe Roho Mt. Kuwa mwilini ni kuutetea mwili kama unavyosema wanaweza wakamuua. Ukiwa rohoni huwezi ogopa kifo. Kuna faida kubwa kufa kwa ajili ya injili. Unadhani waliotutangulia wasingeuliwa leo ungeisikia hii injili? Kuna faida damu ya Mtakatifu ikimwagika kwa ajili ya haki.ndiyo m
@AMAs-lr4ox2 ай бұрын
Amen
@happyminja-kb1owАй бұрын
Aise maisha sio marahis hata kidogo ..chanzo cha mateso dhambi.vifo vinasababishwa na wanadamu.sio shetani au MUNGU
@MGALILAYABillionaire2 ай бұрын
Mungu wetu ni mkuu sana, apewe sifa kwa matendo makuu mno. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu. Hakika dunia hii watu wameruhusu shetani kuishi ndani yao, shetani hayuko kuzimu ako ndani ya watu. Mungu awabariki sana wana Promover
@vumiamoni43422 ай бұрын
Amen 🙏🏽
@barakamwaisumbe61032 ай бұрын
Audax ebu muulize Je huyo mtu aliekuwa kwake alipoona amerudi alifanyaje
@EZRA-b1c2 ай бұрын
Amen Audax Mubarikiwe sana good job
@PricillaKamayugi2 ай бұрын
Nilimshuhudia huyu kaka kuanzia amepata ajali mpaka analazwa hadi tukawa tunakwenda kumuona hospitalin akawa anajificha aisee sijui nisemeje mara alikuwa kampata ajal et kabonyea upande mmoja wa kichwa baadae tukashangaa hana makovu uchawi upo nyie acha tu
@annkim26902 ай бұрын
Mtafutieni baba jamani mtafutieni baba Mungu ana sababu ya kuwakutanisha na yeye
@Nabatabita68732 ай бұрын
NimejifunA kitu hapo kabisa
@valenakomba76862 ай бұрын
Sanaa .afanye hivo.
@Priska2472 ай бұрын
Kijana amusamehe uyo aliyefanya ivyo. Na asikiye Mungu anataka abaki mutaa huyo ao je ? Wapendwa usikose Moambi kwa wale walio tekwa mateka ya rohoni Yesu awaokowe.
@Priska2472 ай бұрын
Shehe Omari piya ametweleza jinsi wanatengeneza watu wakukufanana ehh Yesu tulinde
@valenakomba76862 ай бұрын
AMEEN .
@AdinethMartin2 ай бұрын
Karibu TAG migera utakutana na mtumishi wa Mungu sahii
@HalenBahati2 ай бұрын
Kijana aliokolewa na Mungu, wacha aendelee kumsikiza Mungu, atamwelekeza cha kufanya na mahali sahihi pa kuabudu
@valenakomba76862 ай бұрын
Ni kweli hasa wale washiriki wake wa uchawi.
@annabyekwaso-wt7oi2 ай бұрын
Hyu kaitwamojamoja na kakomazwa naYesu mwenyewe katumwa naye akashuhudie km alivyoagizwa akiwa huko kwenye kile chumba wala hatayumbishwa maana Rohomt kafurika ndani yake kwa ujasiri mkuu.
@healingsschool46302 ай бұрын
1 KOR 1:24-25, KOL 2:3
@MaryMichaelMaryMichael-i7o2 ай бұрын
Hakuna mwendelezo,,,,,,,
@azaniamwalulesa49652 ай бұрын
Bado Tanzania inauhitaji mkubwa wa injili kwann mwende mbali. fikeni zanzibar mkahubiri injili
@gloryunyamikumbi2 ай бұрын
Shallom ushauri mzr ulimpatia huyo ameen nimejifunza kitu