Wazazi tunapaswa kusimama imara tukimtegemea Mungu na kuwakabidhi watoto wetu kwa Mungu maana kwake kuna usalama,shetani ni mbaya hafai kabisa,tuwafinike kwa damu ya Yesu kila wakati,ili shetani asipate nafasi ya kuwatumikisha
@highzacknnko40023 жыл бұрын
Ameeeen
@JaneKuyokwa-ng2qf2 ай бұрын
Mungu atusayidiye
@pastom.elisee.jevoussalue15614 жыл бұрын
Asante, ni ushuhuda waku tiya moyo sisi wakristo wote duniani katika vita ya ulimwengu wa roho kama vile Paulo anatu himiza katika Waefeso6:11-18. Tuna chunga yaku fata....
@pastom.elisee.jevoussalue15614 жыл бұрын
Ndugu Jacktan kuna ushuhuda mfupi wa mtoto aliye ona maono ya ku nyakuliwa kwa kanisa ambao yupo katika kingereza, mimi sina ujuzi kamili katika luga hiyo ila nawaza unaweza ku jenga watu kadhaa ambao niliu pata hapo hapo ku ytb, naweza ku elekeza kuupata ili unisaidiye kuu translate mu luga letu tukufu la swahili?
@millicentayangokunting37284 жыл бұрын
Waa eeehh damu ya yesu itufunike
@elizabethjackson38654 жыл бұрын
Mungu wa binguni tusaidie sisi wazazi na watoto wetu Safari bado ndefu sana pekeetu hatuwez
@mariamfritsi49434 жыл бұрын
Mhh duniani humu kuna mitihani.
@euniceeunice76804 жыл бұрын
Mungu atusaidie binadamu tuwe na akili za kutambua ulimwengu wa kiroho...ndio maana Yesu akasema tumekosa maharifa...jamani tutafute ukweli mimi mpaka sasa family yngu aijawah kujua huu ukweli kuusu ulimwengu wa kiroho baba angu peke yke ndie anae jua ndio maana baba anatusisiza tusome bible tumjue Mungu wa kweli zaman sikuwah muelewa lkn sasa naungana na baba angu .Mungu anisaidie family mzima imjue Mungu maana wamefungwa na shetani awajui chochote bado wnaamini waganga...
@mwanjad4 жыл бұрын
Tunangoja part 2 Jacktan kwa hamu. Kali sana
@mwesigwaannte67514 жыл бұрын
Thanks Mtumishi part 2 please
@mwendwakawea45074 жыл бұрын
Amen .Asante Yesu anatupa kujua yaliyo sirini.Naomba muweke namba Ya Binti kwa uhitaj wa kumtunza tuweze msaidia
@linetvisenwa41344 жыл бұрын
Tuzidi kuwaombea watoto wetu ili wafunikwe kwa damu ya Yesu kristo.
@stephenmwaisela2634 жыл бұрын
Wazazi tuzidi kuwaombea watot wetu mungu azidi kuwa lindi
@rachaelmulinge87294 жыл бұрын
Ushuhuda wa kusisimua
@kalamajulius61074 жыл бұрын
Kwanini hukumwonyesha vidio wewe jacktan
@euniceeunice76804 жыл бұрын
Video ya nn?binadamu bhana..sikiliza ujumbe na ujifunze ndio maana ya ushuhuda ili watu wajifunze so video gan unataka?
@rehemamwakinyaka31674 жыл бұрын
Binafs nashukuru kujua siri za kzimu na bado shetani uatazidi kuzalilishwa mpaka useme basis maana kwa Mungu hakuna gumu la kumshida wala hakuna siri kwake ameni
@highzacknnko40023 жыл бұрын
@@euniceeunice7680 ubarikiwe kwa uelewa