#Live Day3_MKUTANO WA INJILI DSM TZ UKONGA | MNENAJI NI MCH.AMIEL KATEKELA

  Рет қаралды 10,551

PROMOVER TV

11 ай бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4BKUoBsh0eBZ
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hiichat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1lDtufLd2LPIP
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak5W0jXI0M1eX
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 45
@JofreyDamson-nm6ec
@JofreyDamson-nm6ec 5 ай бұрын
Amen mchungaji
@GroriminaVenancempua-fe1xi
@GroriminaVenancempua-fe1xi 11 ай бұрын
Asante sana kaka yangu wa ukweli fichuwa vyote mimi na watoto wa tanzania na dunia nzima tupone
@tamarali8325
@tamarali8325 11 ай бұрын
My favourite pastor Amieli God Bless you. Promover you guys men of God your doing a good job God Bless you my brethren ❤
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp 11 ай бұрын
Amen ubarikiwe san mtumishi
@mpandawiliam5390
@mpandawiliam5390 11 ай бұрын
Barikiwa Mtumishi, nilikumiss sana
@jastinewilliam4475
@jastinewilliam4475 8 ай бұрын
Ubarikiwe
@RhianShauri-h8r
@RhianShauri-h8r Ай бұрын
Yesu akupe mbawa za tai siku zote
@AngelShukur-df4rq
@AngelShukur-df4rq 11 ай бұрын
Amen
@AyubuAbduly
@AyubuAbduly 11 ай бұрын
Mungu awenawe
@ramadhaniabdulabdul
@ramadhaniabdulabdul 5 ай бұрын
amen
@DoricEverist
@DoricEverist 11 ай бұрын
Yesu nimuweza Amen 🙏
@elishaodas4358
@elishaodas4358 11 ай бұрын
Ameen 🙏
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 11 ай бұрын
Amen YESU apewe sifa
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 11 ай бұрын
All Glory be to God
@tuponearon7368
@tuponearon7368 11 ай бұрын
Mungu atusaidie kuyaelewa haya
@adeladamasi4391
@adeladamasi4391 11 ай бұрын
Asatee bwanaa YESU
@catherineawinja7417
@catherineawinja7417 11 ай бұрын
Naupenda Imani yako mchungaji katekela
@florencemueni1183
@florencemueni1183 11 ай бұрын
Tangu nianze kukusikiliza mtumishi nimejifunza mengi kutoka kwako na nimefunguka kiroho na macho,,, Mungu akulinde ukomboe wengi
@HarryMbale-ie1ex
@HarryMbale-ie1ex 11 ай бұрын
MUNGU unirehemu mi nimwenye dhambi najuvunia jina lako YESU
@its_keziah77
@its_keziah77 11 ай бұрын
Aaaa basi mchungaji,babangu mdogo huku Kenya ni mwenda wazimu tangu 85 hadi leo ana miaka 57.mume wangu ana degree na kazi ya maana hana ,tena ameokoka.kwetu sote hakuna mwenye kazi ya maana , dada zangu Joyce na Veronica hawajaolewa,ndoa ni shida
@elizabethsimbenga4773
@elizabethsimbenga4773 11 ай бұрын
Amen Amen Amen tumepokea watoto wote wametoka kwenye vifungo vya shetani
@MosesWakristo-ko5ze
@MosesWakristo-ko5ze 11 ай бұрын
Glory to Jesus
@anthonymaina7100
@anthonymaina7100 11 ай бұрын
Kwelikweli
@fitinamarando
@fitinamarando 11 ай бұрын
Mch Katekela bwana akubarikiwe na uendelee kutuelimisha nabarikiwa .
@winnieawinondinya9140
@winnieawinondinya9140 11 ай бұрын
Naomba ukombozi juu ya msichana wangu juu naota ndoto kumuhusu eti amepotea eti anatoka ndani ya nyumba usiku wa manane kuenda zake na nilipomufuata nikamurudisha tena badaa ya muda mchache tena akatoka ila hakuenda mbali amekuwa akinichungulia kama namuangalia na nikaamuka kutoka usingizini
@GraceChabonga
@GraceChabonga 22 күн бұрын
Naomb kujua maana ya jina la amiel ili nimpatie mwanangu wakiume ningependa awe mtoto wa mungu asije fta yadunian mabya sana mtumish naomb uniambie maana yajila lako
@eliethmwanguya7118
@eliethmwanguya7118 11 ай бұрын
Hakika Mungu wetu ni mkuu mno,
@khalifakondo4670
@khalifakondo4670 8 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe naomba kujuwa naweza kuandika jina humu kwenye comment na namba yasimu ili kuendelea kupata huduma za kiroho na mchungaji??
@PromovertvTz
@PromovertvTz 8 ай бұрын
Hapana hiyo siyo njia sahihi,kuna namba za simu hapo tutafute
@kretamathias1970
@kretamathias1970 11 ай бұрын
Muchungaji nakufatilia kila siku ninabalikiwa sana mahubili yako
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 11 ай бұрын
Unaongea ukweli mtumishi wa Mungu..shemeji yangu kuanzia firstborn kumaliza shule akawa kichaa wapili ivo ivo watatu ivo..Eeh Mungu uishie juu pahali patakatifu mukumbuke
@HappyJohn-w1z
@HappyJohn-w1z 11 ай бұрын
Naomba namba yake
@fitinamarando
@fitinamarando 11 ай бұрын
PROMOVER TV MBARIKIWE DAY 4 SIIONI
@tuponearon7368
@tuponearon7368 11 ай бұрын
Ukonga ipo Dsm, jirani na gereza la Ukonga
@charigrace5993
@charigrace5993 11 ай бұрын
Jameni tukumbushwee Kenya ni shanzu wapi kanisa
@elegantthriftcollections8101
@elegantthriftcollections8101 11 ай бұрын
Ukonga ipi jamani?!
@HarryMbale-ie1ex
@HarryMbale-ie1ex 11 ай бұрын
Hakika neno la MUNGU ni uhai
@raelnangila3006
@raelnangila3006 11 ай бұрын
Ameeni
@its_keziah77
@its_keziah77 11 ай бұрын
Kuna kanisa huku kwetu Kenya,lakini Shanzu wapi?
@anthonymaina7100
@anthonymaina7100 11 ай бұрын
Shanzu ni sehemu za Mombasa
@its_keziah77
@its_keziah77 11 ай бұрын
Thankyou my brother, but inaitwa je
@rosepallangyo1352
@rosepallangyo1352 11 ай бұрын
Kaza mwendo ukitoboa ukweli ukiwasema watumishi why kuna ambayo awataki ila ss tunakuelewa songs mbele
@winnieawinondinya9140
@winnieawinondinya9140 11 ай бұрын
Amen
@graceboke4346
@graceboke4346 11 ай бұрын
Amen
@bonintajiri3958
@bonintajiri3958 11 ай бұрын
Amen