#Live

  Рет қаралды 7,555

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hiichat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 26
@teresaigoki3872
@teresaigoki3872 10 ай бұрын
Asante Yesu Kwa mafunzo. Bwana naomba uachilie rehema yako kwenye sehemu zote za maisha yangu zilizo adhirika Kwa ajili ya kulipisha kisasi na kutosamehe Kwa Jina la Yesu. Niponye ee Bwana naomba kwa Jina la Yesu
@dorcussimplis1224
@dorcussimplis1224 3 ай бұрын
Mungu ambariki sana mpakwa mafuta wake.
@faithe4063
@faithe4063 9 ай бұрын
Thank you Jesus
@JofreyDamson-nm6ec
@JofreyDamson-nm6ec 4 ай бұрын
Amen
@JulianaTryphony
@JulianaTryphony 10 ай бұрын
Ameen mtumishi mwaminifu wa BWANA YESU.. Nabarikiwa zaidi..
@anyangojane1553
@anyangojane1553 10 ай бұрын
Najifunza mengi
@its_keziah77
@its_keziah77 10 ай бұрын
Nashukuru Mungu Kwa ajili ya ujumbe huu, hakika nimefunguliwa, kwani nilikua nateseka sana na uchungu wa moyo.Mungu azidi kuwatumia promover TV. ,pamoja na mchungaji Amiel. Asante
@raelnangila3006
@raelnangila3006 10 ай бұрын
Ameeni
@HarryMbale-ie1ex
@HarryMbale-ie1ex 10 ай бұрын
MUNGU mtenda miujiza yakuokoa nakuponya AMEN
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp 10 ай бұрын
Mungu akubarki san kwa neno na maombi nimepokea kwa jina la yesu kristo
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c 10 ай бұрын
Hallelujah
@failanangeso26
@failanangeso26 10 ай бұрын
Amina mchungaji mungu akinariki
@failanangeso26
@failanangeso26 10 ай бұрын
Amina
@raelnangila3006
@raelnangila3006 10 ай бұрын
Muchungaji mungu akulinde sana
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 10 ай бұрын
Ameeeen
@vailetlemenya6576
@vailetlemenya6576 10 ай бұрын
🙏🙏🙏🔥💪
@angelamugoywa4917
@angelamugoywa4917 10 ай бұрын
amen yesu abewasifa sana 🙏🇰🇪
@jemusestevao
@jemusestevao 10 ай бұрын
Gloria Deus!
@GroriminaVenancempua-fe1xi
@GroriminaVenancempua-fe1xi 10 ай бұрын
Nimecheka sana ushuhuda wa mama !!! Nawatoa watu wote walioko moyoni wangu kwa jina la Yesu na Mungu anisaidie
@eliethmwanguya7118
@eliethmwanguya7118 10 ай бұрын
Kuna mambo yanaumiza ila yanachekesha.
@GroriminaVenancempua-fe1xi
@GroriminaVenancempua-fe1xi 10 ай бұрын
Mungu nope neema ya kusamehe
@musaondieki2493
@musaondieki2493 10 ай бұрын
😅kweli kabisa kuna matusi tunaona si dhambi lakini ni dhambi maana hakuna dhambi kubwa na ndogo mble ya Mungu zote n dhambi,soma wagalatia 5 : 19 _21 mariko 7 :17 _ 23 na utajifunza saidi ya hapo Amen
@Tumu-zr2ez
@Tumu-zr2ez 10 ай бұрын
Injili kavu , isiyo na kachumbari
@user-xw2rj3cl6r
@user-xw2rj3cl6r 10 ай бұрын
Hakika hio ndio ijili
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 10 ай бұрын
Amen
@KahwegeAimee
@KahwegeAimee 10 ай бұрын
Amen
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 7 МЛН
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 13 МЛН
HATUA TANO ILI KUWA NA MFUNGO WENYE MATOKEO
38:52
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 215 М.
UBATIZO ULIOTIKISA KUZIMU
58:56
Ukweli Ministries
Рет қаралды 11 М.
MAOMBI YA USIKU WA MANANE by Innocent Morris
3:14:49
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 122 М.