Amen sifa zote ni kwa Bwana yesu kristo na kwa utukufu wa Mungu Baba piga kazi mtumishi
@flavianarwebangira67262 жыл бұрын
Hakika unafungua wengi kwa mafundisho yako.Barikiwa sana. Wapendwa tumtafite Mungu hakika anapatikana.
@Zawad-nd7yi Жыл бұрын
Baba Mungu akubariki sana kwa huduma ashukuriliwe Mungu juu ambaye amemfichua Siri za shetani
@lydiamichael55092 жыл бұрын
Amen Asante kwa mafunzo mtumishi wa Mungu zidi kubarikiwa pamoja na promover TV ujumla
@LidiaMoses-iq5yv2 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe mimi ni mama wa watoto wanne naomba uombee watoto wangu wanakataa shule wakati ni wadogo walimu wanawarudisha nyuma wakati mitiani wanakuwa waneshinda
@genevievesunday Жыл бұрын
Mungu akubariki na akutunze Kwa ajili ya ufalme wa Mungu kazi Yako ni njema. Unatuongezea maarifa sisi makamanda wa Yesu
@pamelaogano5220 Жыл бұрын
Mungu azidii kupa nguvu mtumishi wa mungi
@israelmlabwa978310 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@gracendola71952 жыл бұрын
Kwa kweli mchungaji MUNGU akiubariki saaanaa! Binafsi MUNGU mekutumia wewe kuwa kupitia wewe kiimani niinuke vile tuuu nnavyo sikiliza mahubiri yako! ✊✊👐👐
@ويلماويلما2 жыл бұрын
Amen amen jina la bwana lipewe sifa, nabarikiwa nkiwa saudi arabia n ubarikiwe mtu wa mungu
@zawadikazungu9612 жыл бұрын
Pamoja tuning from Saudi
@LENAHKAVUTHAOFFICIAL8 ай бұрын
Mungu naomba unisaidie nkutumikie
@gradyskamwela61632 жыл бұрын
Ameni Ubarikiwe mtumishi kupitia neno tunazidi kufunguliwa
@mpandawiliam53902 жыл бұрын
Karibu Sana Arusha mtumishi Amiel na Tim yote, nawapenda sana, amina.
@yusterlucass9 ай бұрын
Mungu naomba unipe mwsho mwema
@lilymwasi12212 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 mtumishi emiel Mimi Niko Mombasa niombe
@RayKonk6 ай бұрын
Baba Karibu Morogoro nashukuru Kwa mafundisho
@malulamuhoja1692 Жыл бұрын
Hakika Bwana amefanya jambo jipya ,smekuthibitisha umegusa wengi, Bwana akutunze, katika wewe tutashinda ba zaidi ya kushinda, barikiwa
@EvelineKalinga-c9q Жыл бұрын
AMEN karibu Mtwara Mtumwa wa Yesu
@sundayherrieth94602 жыл бұрын
Ameen!! Nabarikiwa sana
@SarafinaSilvester9 күн бұрын
Mungu akubariki mtumishi. Mimi naomba number ya mtumishi.
@DIGNAJASTIN-dl8yj Жыл бұрын
Mtumishi Mungu akubariki sana
@bintmwambapa77342 жыл бұрын
Aminaaa Mtumishi wa MUNGU, MUNGU azidi kukutunza
@alice47202 жыл бұрын
Amen amen nimembalikiwa sana sana naomba maombi sana sana Kwa familia yangu Niko kenya
@kimsamespa84902 жыл бұрын
Mungu ndie alikutuma uende kumsaidia huyo mama kweli Mungu nimwema sana
@JaneKuyokwa Жыл бұрын
Mungu akulinde Tena natena
@naikekangele7117 Жыл бұрын
❤Ameeeeren
@Esther-Bri2 жыл бұрын
AMINA AMINA
@bebebebe92692 жыл бұрын
Amen asante YESU CHRISTO 🙏🙏🙏
@nyasabatubae28752 жыл бұрын
Ubarikie sana mtumishi wa mungu
@Share_theGospel2 жыл бұрын
Hallelujah 🙏🙏🙏
@sophiamakani61332 жыл бұрын
Amen and Amen
@esterswepa47352 жыл бұрын
Amina mtumishi
@Esther-Bri2 жыл бұрын
Mchungaji Ka mm imgn nko karibu kuchoka kukutafuta kwa sababu hupokei simu, unasoma voice unanyamanza aaaaaiiiii!
@hancymbarikiwa79752 жыл бұрын
Msamehe Mtumishi Bure, mda mwingi anakuwa anahidumia watu, usichoke kumtafuta upo wakati utampata akiwa free, mda mzuri ni kuanzia saa 3 usiku anakuwa amemaliza huduma
@Share_theGospel2 жыл бұрын
Usichoke kumtafta Bwana anza Kujifunza kuomba kwanza maana hata ukimpata mchungaji kama ww mwenyewe hauko tayali itakuwa kazi bure.
@amosdaniel45962 жыл бұрын
Kuwa na subra tu wakat wako bado ....jua nae anatafuta sana
The fact that huamini kwa uchawi is proof that your life is under very serious ATTACK on your destiny.. Why does the bible say, thou shall not suffer a witch to live??? May the Lord give you understanding!!!!
@leahenockmrina53812 жыл бұрын
Zaburi 105mstari 37 hausemi hivvyo watumishi
@rabinzsinoya14342 жыл бұрын
Amen. Naomba number ya Mchungaji Emieli
@PromovertvTz2 жыл бұрын
0756275511 Mch.Amiel Katekela
@forhimchannel59656 ай бұрын
NAHUMUMU MADHABAHU ZA KICHAWI MA MHURI YA KICHAWI NA MAAGANO YOTE NA ROHO ZOYE ZA KICHAWI.
@trophywilson7211 Жыл бұрын
anzisha kipindi cha maombi ya watu wa nje ya nchi
@jackiemaggy24842 жыл бұрын
Ameeeeeeen mtumishi wa MUNGU
@marionoti5760 Жыл бұрын
Hivi mkristu wa leo pamoja na kuhubiriwa kweli ya Mungu wetu, Bado anaamini ktk uchawi hadithi za kufikirika na vitisho vya watu waongo, matapeli, wanaotafuta mkate wao wa kila siku kwa njia hizo danganyifu kana kwamba kazi ya Yesu kristo ilikuwa ni Bure! Tujitambue kuwa tulishakombolewa na Damu ya thamani, ili tunaijua kweli inayotuweka huru. Je kuugua au kufa, ni laana ya kulogwa na dawa za miti shamba, mapepo, au majini? Mbona hata hao wahubiri maarufu wa aina hiyo wa enzi hizo (Mosesi kulola, lazaro na wengine nisio wajua) waliugua, wakalazwa hospitalini na hatimaye kufa? Mbona watoto wachanga(wasio na hatia/watakatifu),akina Abrahamu, Musa Isaka, Yakobo, Daudi Elia, Elisha, Samsoni, Petro, Paulo, Tomasi, Yohana, Matayo, Luka na wengine waliugua,wakateseka kwa magonjwa hatimaye kufa? Hawakuwa na Mungu ndani Yao? Mbona tunawapa nafasi matapeli kuhangaisha nafsi na dhamiri zetu? Hivi Mungu/Yesu kristo anawasikiliza zaidi wao(wahubiri matapeli) kuliko sisi? Tusemeje basi? Pazia la Hekalu lilipasuka Bure? Hatutaki kufa? Kwa nini tuliletwa hapa Duniani? Mbona twayachunguza maandiko matakatifu kwa tafsiri potofu kana kwamba ndimo ulimo uzima wetu? Naomba mjadala huu uchukue nafasi mioyoni mwetu ili tuijue kweli na kujiweka huru. Nipo tayari kwa mahojiano ya ana kwa ana na yeyote. Na.yangu ya simu: 0754387546. 18:22 19:40
@DIGNAJASTIN-dl8yj Жыл бұрын
Wew tuache tumsikilize mtumishi wa Mungu kama hutaki usimfuatilie achana naye kabisa
@HellenSulle-m7t6 ай бұрын
We amini kuwa hakuna uchawi acha walikuwa wachawi na Mungu akawaokoa kutoka na wao ndo walikuwa walogaji wazuri mpaka kanisani kuwaharibu waumini na wachungaji wao acha atufundishe namba wanafanyaga
@UpendoBarnoth2 ай бұрын
Mimi namsikiliza mtumishi wa mungu na bwana alimkomboa ili awe shuhuda ya wengi lakin kama wewe uamini kaa pemben usikengeushe akili zetu
@PelagiaMayengoАй бұрын
nani ahojiane na ww.ww hojiana na moyo wako au anzisha kanisa uhubili.kifo kiliumbwa mda wa mungu kukuchukua ukifika utaondoka haijalishi ulikuwa umesimamaje mbele za mungu.lakin pia mamlaka ya kuzim nayo ipo sasa unapobeza ckuelew
@angelanaftael796520 күн бұрын
Utapambana sana na ideology zako wacha sisi tusiojua kitu tukifunze
@Zawad-nd7yi Жыл бұрын
Baba hata Mimi mama yangu ni kichaa wa miaka mingi tangu mwaka 2000 mpaka Sasa ulipo
@trophywilson7211 Жыл бұрын
yoo Mungu amfungue hakika
@veronicamwandembwa90422 жыл бұрын
Naomba namba ya mchungaji wa ukonga
@PromovertvTz2 жыл бұрын
+255621010304
@sandeabacha73462 жыл бұрын
huyo jamaa anaepiga piga kinanda Anatutoa kwenye uwepo... kwanini asimuache mtumishi akahubiri kwa utulivu...
@niyonkuruobasanjo33042 жыл бұрын
Msafili mbona image zinagandaganda
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Tumerekebisha sasa
@sarahbisendo52542 жыл бұрын
Naomba namba yatumishi waukonga
@juliuskalama27462 жыл бұрын
Jacktan mbona picha inagandaganda
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Kumradhi,ni matatizo ya kiufundi, tutarekebisha leo itakuwa poa