#Live

  Рет қаралды 9,161

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.3878783
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 18
@NANCYOBURA-co5ph
@NANCYOBURA-co5ph 8 ай бұрын
Ameen pastor nakufollow from Kenya
@ifrahimadam1114
@ifrahimadam1114 Жыл бұрын
Mungu tusaudie kushinda hii dhambi ya kujisamehe Ila tukumbushe Kila tukitenda dhambi tukumbuke kutubu amen
@mabelgreatverypowerfulspir3470
@mabelgreatverypowerfulspir3470 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie. Umetufunua macho na ufahamu zidi kubarikiwa. Tunakufatilia sana. Barikiwa
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp Жыл бұрын
Ameen ubarikiwe sana pastor
@gerardineakima1766
@gerardineakima1766 Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah Mungu akubariki sana Pasta tuko tunafungulia 🙌🙌🙌🙌🙌
@scholasticakariuki6775
@scholasticakariuki6775 Жыл бұрын
+254 Yesu amlinde huyu mtumishi, anajumbe nzuri.
@ezekieljob8679
@ezekieljob8679 Жыл бұрын
Barikiwa sana pastor ninafunguliwa sana kwa maarifa haya
@misnasma7875
@misnasma7875 Жыл бұрын
Maandiko inasema ...watu wangu wanaangamia Kwa ajili ya kukosa maarifa......barikiwa sana mchungaji maarifa tunayo sasa
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Mimi nimetolewa kafara Mara mingi sana na nabii wa god
@Malaika2311
@Malaika2311 Жыл бұрын
Nilikuwa nasubiria sana hii. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@ZeldaMzena
@ZeldaMzena 8 ай бұрын
Daah kumbe Pastor Amiel ulikuwepo kwetu jaman duh ckujua jaman
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
It's true man of God u need prayer
@Akinyisafi8361
@Akinyisafi8361 Жыл бұрын
Amen Amen 🙏 🙌
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Ni ukweli that's my question all the time am going pain
@misnasma7875
@misnasma7875 Жыл бұрын
Mchungaji niwie radhi ila nina swali....nimeokoka....bali sijapata kufunguliwa kutokanana na hizo vifungo vya shetani nikifa naenda wapi??
@misnasma7875
@misnasma7875 Жыл бұрын
Mchungaji niwie radhi ila nina swali....nimeokoka....bali sijapata kufunguliwa kutokanana na hizo vifungo vya shetani nikifa naenda wapi??
@Malaika2311
@Malaika2311 Жыл бұрын
Nafkiri ni wazi utaenda mbinguni tu kwasababu vifungo vitakutesa tu maisha yako hapa duniani kwa upande wa mafanikio yako. Utaishi katika umaskini na magonjwa utaishi katika wokovu wa mateso mengi. Mbinguni utakwenda ila ndio ile wanasema utafika ukiwa umechoka sana
@jerusalemsuccess4562
@jerusalemsuccess4562 Жыл бұрын
Kama tajiri na Lazaro. Lazaro.aliingia sehemu njema ingawa duniani alikuwa na kifungo Cha umasikini. Tajiri alikuwa tajiri duniani na akapekekwa kwenye mateso. Je ni nini kitatutenga na Kristo Yesu/upendo wa Mungu? Je ni dhiki, uchi, adha n.k? Hakuna kitakacho weza kututenga na upendo wa Mungu
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,8 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,5 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 61 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 5 МЛН
Wolfram Physics Project Launch
3:50:19
Wolfram
Рет қаралды 1,8 МЛН
MCH.KATEKELA:UKOMBOZI WA NYOTA ILIYOIBIWA
53:22
PROMOVER TV
Рет қаралды 8 М.
Day1_"Nguvu ya sadaka" SEMINA ITILIMA SIMIYU NA MCH.AMIEL KATEKELA
1:48:56
Mch Moses Magembe -  | SUMBAWANGA 04
2:27:24
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 2,4 М.
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,8 МЛН