Part15_JINSI YA KUOMBA ILI KUKOMBOA NYOTA ILIYOKAMATILIWA|ALIYEKUWA CHIFU WA KABILA LA KICHAWI

  Рет қаралды 99,934

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 399
@panadomadola3064
@panadomadola3064 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa somo zuri la ukombozi wa nyota tena aendelee kukupa nguvu siku zote za maisha yako
@skeetergodwins2576
@skeetergodwins2576 2 жыл бұрын
Mchungaji wangu nakushukuru mno kwa jinsi unavyoendelea kurufungua macho. Asante Yesu kwa kunipa nafasi hii ya kujua siri ambazo shetani alitufumba macho kwa muda mrefu
@georgemungai3813
@georgemungai3813 Жыл бұрын
Ufunuo kutoka kwa Roho Mtakatifu.. Mungu nimwema akulinde Sana Rev. Amieli. Amen.
@anneokaka8213
@anneokaka8213 2 жыл бұрын
Mimi ni mkenya nashukuru sana kwakuyafumbua macho yangu mungu akutiye nguvu.
@wemamanikana9791
@wemamanikana9791 2 жыл бұрын
Kwanzia sasa nazidi kukazana kumuishia Mungu. Sirudi nyuma tenaaaa, asante Bwana Yesu Kristo kwa kutuletea Chanel hii na mtumwa wako Amieli Katekela. Tumeongezwa kasi za ajabu ya kumuishia Mungu 🙏🙏
@MarthaChuwa-o6b
@MarthaChuwa-o6b 7 ай бұрын
Amen mtumishi wa Mungu unatufunguwa fahamu zetu sana mambo tuliyokuwa hatuyajui tumeyajuwa kupitia wewe MUNGu akubariki sana🙏
@lucylyale7169
@lucylyale7169 Жыл бұрын
Ahsante MUNGU kwa nafas hii adimu kwaajl ya mtumishi wako Amiel kunifungua macho ktk hili barikiwa sn mtumishi wa Mungu🙏
@hopemachocho1037
@hopemachocho1037 Жыл бұрын
Asante mtumishi wa Mungu. Mimi ni mkenya. Nimezungukwa na madeni, mikosi na balaa, mimi nabaadhi ya watoto wangu. Nimeombewa sana lakini bado tu. Nimefunga nimetoa lakini bado tu. Tafadhali nisaidie.
@dokasa9176
@dokasa9176 2 жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu sana,Dorcah Bonareri,nashukuru Mungu Baba yetu aliye kupeleka kuzimu kusomea ile elimu ya kishetani lakini ilhali ni manufaa kwetu sisi km wakristo,tumejifunza mengi tena makubwa sana,kwa wa wale ambao mliroga wakarogeka ni wazi kwamba Mungu anatufundisha bila wokovu kamilivu shetani atatukamata hivo maana yake imani iwe timilifu katika Yesu kristo,na wale ambao hawakurogeka ni fundisho kubwa sana,kutuonyesha kwamba heri tuwe na mzimamo kamilifu mbele za Bwana
@frankinspired6486
@frankinspired6486 2 жыл бұрын
Shukran kwa Mungu kwa Jacktan na Amieli. Mafunzo ya Amieli imenifanya kupenda kuomba na kusoma neno sana, imani yangu ya wokovu imeimarika saaaana!!
@yvettekyalika907
@yvettekyalika907 2 жыл бұрын
❤️i want to Say something to kanisa la TANZANIA , mu nabahatika kupata vidjana awa in this generation wanadji sacrifiye , wana tupatiya mafundisho mengi ! Musiwe wazaïfu please..i 'm from Congo RDC and i dream one day all this testimonies be translate in FRENCH , ni nawapenda sana ❤️myself my swahili is not perfect but more i listen this young missionaries of TANZANIA i learn more and more !❤️God blessed You 😂jacktan Musafiri 💃unakata danse 🤣minatsheka ,minafurahi💃🔥..... ADUWI MUDJIPANGEEEE ! DJESHI YA YESU INA AMUKA DUNIANI🔥🔥
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 2 жыл бұрын
@@PromovertvTz shalom mtumishi Jactan naomba no ya simu ya mtumishi
@halidomary5708
@halidomary5708 2 жыл бұрын
Naomba link ya group
@gadimbajo
@gadimbajo 2 жыл бұрын
We also love you, I love Congolese and your music and everything, be blessed man of God
@clementinejazymine3899
@clementinejazymine3899 Жыл бұрын
De rein ,ndeko ya mobali oyo azali mulakisi na mwana wa nzambe ..ton nom est insi marveux Jesuis....salisa na Ngai ,,olimwa ein
@monicamwenda2294
@monicamwenda2294 Жыл бұрын
Ansante Yesu kwa ajili ya mtumishi wako endelea kumtumiaa zaidi 🇮🇱
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
Glory to JESUS... blessings watumishi hakika this is helpful and eye opening
@jackilinaavitus4677
@jackilinaavitus4677 7 ай бұрын
mtumishi ubariwe sana kwa kunielekeza.kuhsu nyota nimekuelewa sana.mtumishi mi nipo mbeya.
@binakitigwa3311
@binakitigwa3311 2 жыл бұрын
Hakika hii ndiyo hazina za gizani zilizofichika tumepata neema ya kufunuliwa na kuyajua haya. Asante Yesu kwa upendo wako. Mungu akutunze daima mtumishi wa Mungu.
@sarahmichael7538
@sarahmichael7538 2 жыл бұрын
Haya ni maarifa makubwa yenye kuleta Ufahamu. Hakika fahamu zetu zinatiwa nuru kwa mafundisho haya, tunabarikiwa sana washirika wote wa Promover tv
@isabellarkageha7707
@isabellarkageha7707 Жыл бұрын
Nilijifunza hili somo la nyota hapa promover......Mwenyezi Mungu awabariki Amen
@moseslokorio9834
@moseslokorio9834 2 жыл бұрын
Ushuhuda huu umenijenga kiimani .Mungu awabariki watumishi
@ellymwakapyanila7063
@ellymwakapyanila7063 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi. Nimekupata barabara uko sahihi. Hayo ni mambo mazito ya kiroho inahitaji MTU mwenye ujuzi na uzani mzito wa kiroho kuyajua haya
@dianawebala9381
@dianawebala9381 2 жыл бұрын
Hallelujah! Mungu ni mwema! Asante sana mtumishi wa Bwana. Nimeelimika sana
@monicangongi7891
@monicangongi7891 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana kwetu..ametupenda upeo hata akamwinua mtumishi wake atufungue macho na fikra zilizofungwa..ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 2 жыл бұрын
Dah watumishi wa Mungu kwa kweli leo somo ni zuri sana na neno lake linaendana Mungu muumba azidi kuwabariki na kuwatumia isivyo kawaida
@loinamsungu7459
@loinamsungu7459 Жыл бұрын
Asantee mtumishi hayoyote yapo tunamuomba mungu atupe ujasili na faham zakujua kumshinda shetani
@eptz2020
@eptz2020 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa huduma yako hakika nakombolewa na damu ya Yesu
@Kinggeony
@Kinggeony 2 жыл бұрын
Mafundisho mazuri sana.. God bless you man of God for your testimony and teaching. I have learned a lot
@mathewstanslaus5567
@mathewstanslaus5567 2 жыл бұрын
Asante sana Pastor kwa neno, uzidi kubarikiwa uokoe roho zaidi za waliofungwa na shetani
@mariamariki7132
@mariamariki7132 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu,, nimejifunza kitu Leo kikubwa sana
@marypanwark8132
@marypanwark8132 Жыл бұрын
Amen amen Man of God...Mungu wa Mbinguni akutunze...
@helenbahati8038
@helenbahati8038 2 жыл бұрын
Amen Amen mtumishi barikiwa sana kwa maelezo ya nyote hakika imenikaza kiwango kikubwa sana
@christabeladeya8805
@christabeladeya8805 2 жыл бұрын
I'm learning alot from this teachings...God bless you so much as you spread the word of God and show us ways of deliverance
@elinajamson325
@elinajamson325 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mch . nimejifunza mengi .Mbarikiwe watumishi kwa HUDUMA
@marywaweru6089
@marywaweru6089 2 жыл бұрын
Wah powerful yangu iliibiwa nikiwa mtoto Asante kwa mafundisho mazuri ntafuatilia mpaka nyota irudi
@methodsilver8445
@methodsilver8445 Жыл бұрын
Kwanza uyu Muha anaakiri sana Mungu akubariki Mchungaji
@rakaieva5472
@rakaieva5472 2 жыл бұрын
wow wow wow God bless you so much Pastor Amiel for this great teachings thank you 🙏🙏🙏🙏🙏
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
Omba nami mutumishi wa mungu mm natoka kenye, but kwa sahii nko saudia roho ya kulataliwa imetawala nikipanga kitu hiipangiki
@mkaryenyoka6853
@mkaryenyoka6853 2 жыл бұрын
Amen kwa kutufunza hili somo, walokole wengi tunaamgamia kwa kukosa maarifa, sasa sai tumefudzwa acha tuchukue hatua , ndo mana kanisa nyingi hatuhumbiri kuhusu dhambi kwa ajali ya kuogopa watu barikiweni watu wa Mungu
@brendajadevera9597
@brendajadevera9597 2 жыл бұрын
God bless u pastor Amiel I’ve learned a lot through your testimonies, for sure life is full of mistries
@mindenlightenment
@mindenlightenment 2 жыл бұрын
A lesson that opens spiritual eyes ,be blessed man of God
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 жыл бұрын
Kwakweli wewe ni chombo kiteule cha Bwana Yesu,chapa kazi Yesu yuko mbele ,Yesu you nyuma ,Yesu vivyo kando walindwa vyema, I'm going,mtumishi jua kuwa kuna watu wengi sana wanao fuatilia mafundisho yako hata kama hatukomenti
@jacymueni1671
@jacymueni1671 Жыл бұрын
Asante Mtu wa Mungu niombee sana ukiomba, nikumbuke Be blessed.
@laurentmuinde2751
@laurentmuinde2751 Жыл бұрын
I like your teachings..how can i reach you??.am from Kenya
@winniedavid9171
@winniedavid9171 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu naomba ukuje huku kwetu Kenya utufunze zaidi
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 2 жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu aliye hai katika jina la Yesu Kristo kutufungua ufahamu kwa haya ya nyota
@graceomondi9720
@graceomondi9720 2 жыл бұрын
Very inspirational and helpful,thank you man of God.
@peninahkariuki1136
@peninahkariuki1136 2 жыл бұрын
Ameen mafunzo mazuri. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu 🇰🇪🙏
@elizabethraphy2659
@elizabethraphy2659 2 жыл бұрын
Shukrani kwa Mungu Mwenyenzi kwa ajili ya mtumishi wako maana elimu hii inaufunuo mkubwa wa kujenga wokofu wetu kwa hekima
@AlphaHamad-td1gr
@AlphaHamad-td1gr 6 ай бұрын
Mungu aendelee kukulinda mtumishi wa mungu Ayo yote unayoeleza ni mpango wa mungu binafsi nimejifunza kitu kikubwa
@marycharlesndulila5061
@marycharlesndulila5061 2 жыл бұрын
Amen 🙏 Mungu ni kuu sana anatupatia mbinu za adui kupitia mtumishi wake NEEMA ZA MUNGU ZIWE JUU YAKO
@ruthogungo
@ruthogungo Жыл бұрын
Pastor mungu akubariki Sana.. Mimi ni Mtumishi pia kutoka Kenya, nimepitia mengi nisipate majibu, Lakini umenifungua macho mchungaji
@kesiaamissijohn6625
@kesiaamissijohn6625 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu kwamafundisho mazuri.
@rebecashidika7801
@rebecashidika7801 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mchungaji Kwa mafundisho, Andelee kukupigania na wala asiwapubgukie wewe na timu yako in Jesus name.
@nevistours
@nevistours 11 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi kwa somo zuri.
@emmanueljacob4303
@emmanueljacob4303 2 жыл бұрын
Mtumishi wa MUNGU Nimebarikiwa sana.niunge kwenye group lako.MUNGU akubariki.
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n 9 ай бұрын
Ameeeeeen muniombee saaana namushukuru mungu anaweka mambo wazi
@missti1612
@missti1612 2 жыл бұрын
Thank you Abba Father for this day that you have given us to listen to this testimony &teaching from Pastor Amiel & thank you Promover Tv & Jactan & team we pray 🙏 for you all. We here I 🇰🇪 are joyfully awaiting for the crusade next week by the grace & mercy of our Lord & Savior Jesus Christ hallelujah amen 🙏. Welcome to Nairobi 🙏
@perischari3630
@perischari3630 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu. Mungu akupee maisha marefu na akufunulie zaidi ili wengi tufunguliwe na nyota zetu zirudi
@yvettekyalika907
@yvettekyalika907 2 жыл бұрын
Thank you to give us the testimony of the servant of God Dr Gwajima anafundisha neno he push me to read to MEDITATE the word of GOD...i like ile kanisa ; i feel i'am one of this family.. aksanti sana Past Amiel na team ya promover TV ❤️ nawapenda ! Siku izi tu nachoka kusikiya paka wa nabi wa uongo..I learn the beauty of Gospel of JESUS kwa kufatiliya mafundisho ya ili kanisa ya ufufuo na uzima..😂imagine the first time i ear " munvuli juuuuuu "..💃💃❤️kwa YESU kunarahaaa 💃💃..
@johnshihesi3528
@johnshihesi3528 2 жыл бұрын
Yes
@kikosibenderajehovanisitea9688
@kikosibenderajehovanisitea9688 Жыл бұрын
Mchungaji No yako ya simu ya voda haupatikani naomba nyingine kama umebadirisha No..
@EmilyKadasira
@EmilyKadasira Жыл бұрын
Watching from kenya i love your teachings and would like prayers and learn more about God
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 Жыл бұрын
Asante bwana Yesu, nakupenda sana
@khadijatanzania7817
@khadijatanzania7817 Жыл бұрын
Barikiwa sana Baba kwa kumujua mwokoz wako🙏🙏📖📖
@TunaelMhema
@TunaelMhema 8 ай бұрын
Hongera mungu akulinde kwa Kazi hii nzuri
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Amen Amen u have opened my eyes God bless you always with ur family Amen
@aivanalexander
@aivanalexander Жыл бұрын
AMEN Mungu ATUSAIDIE kuifanya kazi yake
@neemanzowa2712
@neemanzowa2712 2 жыл бұрын
Mafundisho mazuri sana mtumishi, ainuliwe Mungu alietoa kibali cha kukutumia katika utumishi wake, nimebarikiwa sana
@marianamarianaken8049
@marianamarianaken8049 2 жыл бұрын
Asante kwa taarifa hii mchungaji umenifundisha mengi sana barikiwa
@Noreen-gd6js
@Noreen-gd6js 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji wetu mwema
@tatumluv6054
@tatumluv6054 2 жыл бұрын
Amen Amen barikiweni sana watumishi wa BWANA
@leahkahabi604
@leahkahabi604 2 жыл бұрын
Naomba namba
@rosefavoured
@rosefavoured Жыл бұрын
Am blessed.and i now know the way to freedom.
@marywelch5386
@marywelch5386 2 жыл бұрын
nashukuru mungu Kwa kuweza kusikiliza topic hii ya nyota. Naomba nahitaji nyota ya ndoa yangu na kazi. Mungu anatengeza njia pasipo njia. Mungu akubariki
@patrickpaandi6759
@patrickpaandi6759 Жыл бұрын
Asante Kwa kunifunguwa macho yangu, Sasa najielewa
@elizabethlusato7363
@elizabethlusato7363 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na elimu yako,Mungu azidi kukutunza na kukubariki mtumishi
@annacharles2842
@annacharles2842 2 жыл бұрын
AMEEEEEN! Barikiwa mtumishi wa Mungu
@marinemodest1798
@marinemodest1798 2 жыл бұрын
amen mtumishi MUNGU Akubariki sana
@PauloMaona-in4qh
@PauloMaona-in4qh Жыл бұрын
baba mchungaji usipo sema hatuta pona usiogope kuzungumza chochote baba hata masuala ya kuvaa milegezo na vimini kanisani ni kuingiza dunia kanisani washiliki watakuchukia lkn hawajui chochote wanajifariji baba ubarikiwe na yesu kristo mkombozi wetu..
@puritynjeri1946
@puritynjeri1946 2 жыл бұрын
Very very informative teachings. Thankyou so so much. Learned alot
@maggyirene110
@maggyirene110 2 жыл бұрын
Amen amen Asante sana kwa funzo hilo. Much blessings
@Notifyingonce
@Notifyingonce Жыл бұрын
Surely! I and we must and shoud live and go through these.
@adriandanford208
@adriandanford208 2 жыл бұрын
Siwezi kulaanika maana nimebarikiwa na mungu aishiye na kutawala vyote ulimwenguni ,amen
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Amen Asante Sana pastor.blessd umenifungua Sana aisee ufaham wangu mm.naomb nkupigiee unisaidiee kuniongoza maombi aisee cyo kwa kufungwa uku jmn shetan kwel yupo na achoki mpk akikishe amekumaliza kabsaa.dah asante YESU kwa kuwaleta watumish wako wazur ..barkiw kka jacktan.n promover tv
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
@@PromovertvTz ok kaka jacktan Sasa nitajiungaje na group make limejaa yote.plzzzz nisaidiee
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
@@PromovertvTz najiungaje na group la pastor Amiel make nmejarb yte ymejaa plzzz kaka jack nisaidiee bas
@rhodamasunga7423
@rhodamasunga7423 2 жыл бұрын
Asante pia nmejifunza vitu vingi ubarikiwe
@joannanekesa7758
@joannanekesa7758 2 жыл бұрын
AMEN AMEN ubarikiwe mchungaji katejela na jacktan msafiri 🙏
@sarahjacobs8814
@sarahjacobs8814 2 жыл бұрын
Hakika mtumishi wa Mungu umenibariki Sana
@tamarali8325
@tamarali8325 2 жыл бұрын
Amen ni kweli mkristo kujua nyota yake ni muhimu. Hata mama jusi waliiona nyota ya Yesu. Neno nyota limeandikwa mara zaidi ya mbili katika biblia takatifu. Barikiwa pastor Amieli kwa ufunuo huu. Jacktan Barikiwa sana kwa kazi kubwa unayoifanya.
@chaseborgia
@chaseborgia 2 жыл бұрын
Asante sana Mchungaji Amiel Katekela kwa expose. Mungu akubariki sana utumike zaidi
@jeniphatemu2937
@jeniphatemu2937 2 жыл бұрын
TUSAIDIE SIRI ZOTE PASTOR TUMESHATESEKA VYA KUTOSHA. WENGINE ROHO, NAFSI MPAKA MOYO VIMEIBIWA, KAIBA NANI, KIVIPI NA VINARUDI JE NA LINI KWA JINA LA YESU TUSAIDIE BILA KUIOGOPA DINI YOYOTE.
@neemabobilye1541
@neemabobilye1541 2 жыл бұрын
Mungu akubariki nahomba naamba zako baba mchungaji
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Anglia shuhuda za nyuma ametaja no zake zote
@naomijohn7275
@naomijohn7275 2 жыл бұрын
Mungu aziidi kukuongoza uendelee na mafundisho haya yanatupa muongozo wa naomi barikiwa sana
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn Жыл бұрын
Katekela shika hapo hapo shetani atakupiga kupitia pesa uwe makini hapo Mungu alikutaka hivyo. Nakufukia kwa jina la Yesu
@sophiajonas3459
@sophiajonas3459 2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu aliye haiiiiiiiii.Asante kwa mafundisho haya mazuri.
@sabrinalazaro950
@sabrinalazaro950 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji nimejifunza sana, amina.
@jescambogoma8394
@jescambogoma8394 2 жыл бұрын
Amina mtumish tufungue tunateseka
@simonkaumba7030
@simonkaumba7030 2 жыл бұрын
Unanifanya Mimi kujuwa nilikotoka kwaiyo tuache mungu aitwe mungu akupatiye Maisha mama, naitwa Simon kutoka Zambia ubarikiwe
@victoriaremmy3772
@victoriaremmy3772 2 жыл бұрын
Mungu aketiye juu sana akulinde na akupe haja ya moyo woko.
@priscadiamond6691
@priscadiamond6691 Жыл бұрын
Mbona hamna no ya cm mchungaji?
@saitafrank4945
@saitafrank4945 2 жыл бұрын
Amina nakuelewa Sana mtumishi
@amosbahola7382
@amosbahola7382 2 жыл бұрын
Amos Bahola from kenya,sikujuwa haya lakini xaxa naelewa Mungu akubariki mtumixhi dhanx.
@agneshabona2166
@agneshabona2166 2 жыл бұрын
Asante kwa ufafanuzi mzuri wa neno
@janetjanet8669
@janetjanet8669 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu hata sjui ni semeje kabsa Mungu awe nawe mm nmemilikiwa kweli kweli 😭😭😭😭😭
@RebeccaJulius-o2v
@RebeccaJulius-o2v Жыл бұрын
Yesu yupo kazini kutufungua
@violethadeus5376
@violethadeus5376 Жыл бұрын
Nashukuru mafundisho yako yanajenga muno
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
KUJIUNGA WHAT'S APP GROUP LA MARAFIKI WA MCH.KATEJELA NO.2 BONYEZA LINK👇 chat.whatsapp.com/G6ymOcE6bc7IigyFRL1bML
@victorianchimbi8640
@victorianchimbi8640 2 жыл бұрын
Group limejaa nimejiunga imeniambia kuwa limejaa mtumishi Dactan unatusaidiaje sisi wengine
@marianastephen5333
@marianastephen5333 2 жыл бұрын
Mtumishi wa mungu mbona najaribu kujiunga naambiwa group limejaa?
@aloycemary1968
@aloycemary1968 2 жыл бұрын
Limejaa kweli
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Kama unashindwa kujoin,nitafte Wasap
@noelashaoona
@noelashaoona 2 жыл бұрын
It full
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 2 жыл бұрын
Wow wow Jesus be praised sana teaching 🙏
@mariamngongolo7024
@mariamngongolo7024 Жыл бұрын
Tunaomba mtuunge kwenye group wapendwa
@elizamasangula2935
@elizamasangula2935 4 ай бұрын
Mungu ambariki sana huyu mtumishi
Farmer narrowly escapes tiger attack
00:20
CTV News
Рет қаралды 13 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 31 МЛН
Nondo anazungumzia kutekwa kwake
15:36
DW Kiswahili
Рет қаралды 13 М.
Ushuhuda wote(Part1-9)Apostle Zizi aliyekuwa ameolewa na jini mtu
6:30:54
USHUHUDA WOTE(Part1-9)Aliyekuwa Chifu wa Wageregere kabila la kichawi
4:52:28