JAMAA ALIYEACHA MSHAHARA WA MILIONI 30 BENKI YA DUNIA "DIAMOND NAMVALISHA, NINA KIWANDA"

  Рет қаралды 203,794

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Jefrey Jessy maarufu kwa jina la (Speshoz) ni kijana wa kitanzania aliyeacha kazi benki ya dunia ambapo alikuwa akilipwa zaidi ya million 30 kwa mwaka na akaamua kufungua ofisi yakushona nguo ambapo ameweza kuwavalisha watu mbalimbali nguo ikiwemo msanii Diamond Platnumz pamoja na hayti Dkt John Magufuli.
pamoja na biashara nyingine ambazo anazifanya ameamua kufungua kiwanda cha vinywaji katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro ambapo amesema fedha nyingi anayoipata ameamua kuwekeza kwenye biashara

Пікірлер: 353
@Donrugi
@Donrugi 3 жыл бұрын
Natamanigi sana kuwa close na aina hii ya watu. Keep it up bro, keep inspiring 💪🏽💪🏽💪🏽🇹🇿🇹🇿🇹🇿. Content kama hizi ndo mhimu zaidi kwangu 🙏🏽🙏🏽
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 3 жыл бұрын
Hawa ndio watu wa kuwasikikiza, sio wale wanawake wanaosema wanafanya kazi mtandaoni na hawasemi ni kazi gani huku wanakushawishi ujiunge nao. Hongera sana Bro ww ni mfano wa kuigwa na sisi vijana wenzako.
@sactelevision2612
@sactelevision2612 3 жыл бұрын
Kabisa kaka
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Hahaa utapeli utapeli
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 Жыл бұрын
Kabsa kaka umeongea point
@azizaburudani9635
@azizaburudani9635 Жыл бұрын
Mshamba wewe eti mtandao kwani sio bishara mshamba mkubwa
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
@@azizaburudani9635 heee sa mbona hasira
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Hongera saana Kijana Mwenzetu, Hongera Tena maana ukiona mtu anafanya kazi na wazungu Ulaya muonee huruma saana , Wazungu wakikuajiri wanakuweka busy huwezi firikiria hata Ujasiliamali , Hongera kwa kujitoa na kujiajiri mwenyewe
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 3 жыл бұрын
Huyu bwana mdg ni genius aisee watu wa aina hii wanamaisha yenye vita sana.Mungu amsaidie huyu kijana
@ayoubmakori8680
@ayoubmakori8680 2 жыл бұрын
Ivi ulijuaje yaani hawa watu Mungu awe nao muda wote
@twentyacresfarms3464
@twentyacresfarms3464 3 жыл бұрын
Bro naomba rudia interview na jamaa kwenye uwekezaji zaidi mpe muda mrefu kama hutojali
@emmanuelkb366
@emmanuelkb366 3 жыл бұрын
Mtu makin Sana ........sema achana na pombe big bro jeff
@jescajulius8023
@jescajulius8023 3 жыл бұрын
Exactly
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 Жыл бұрын
Ndio inampaakil
@msifunilazaro6225
@msifunilazaro6225 2 жыл бұрын
MUNGU akubariki my brother jeph. najua haikuwa rahisi mkono wa MUNGU ulikushika
@mosesedwardmagembe9657
@mosesedwardmagembe9657 3 жыл бұрын
Uko vizuri sana kaka. Ila punguza kilevi.
@saidgawawa8519
@saidgawawa8519 Ай бұрын
Big up brother, seriously u r one Ina million,uko focussed, inspirational na pia jasiri sana, vijana hapa tumepata mwalimu mwenzetu ambaye anatuhimiza na kuhamasisha katika kutia bidii maishani.brother u amazing n keep the good work going..👍🏻👍🏻
@mtitagirloriginal9472
@mtitagirloriginal9472 3 жыл бұрын
Sio mbaya kujivunia akili yako mungu aendelee kukupigania usishuke tujifunze pia kupitia mlio fanikiw
@stevebupamba5009
@stevebupamba5009 3 жыл бұрын
great Inspiration bother... Hakuna mwenyebidii Mungu akamtupa. We learn more from you.
@ayoubmakori8680
@ayoubmakori8680 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@tanjaniyoman3160
@tanjaniyoman3160 3 жыл бұрын
Dah..hongerasn km ningekuweko tz ningeonana nanyi..nisingecheza mbali nanyie ..ningejifunza kwenu
@abdulwadi8667
@abdulwadi8667 3 жыл бұрын
Kuna vitu nimejifunza hapa big up sana
@lugikoenterpriseslugiko3050
@lugikoenterpriseslugiko3050 3 жыл бұрын
Thanks for your inspiration jeff
@husseinmlonja3365
@husseinmlonja3365 3 жыл бұрын
we need these kind of business enterprenuer
@moringelangas7276
@moringelangas7276 3 жыл бұрын
Alipata mtaji huyu!Verry Smart
@rehemajumamlinde9418
@rehemajumamlinde9418 3 жыл бұрын
Kariakoo kuna suti Mpk za 50 very good material... Am praying for you to do more and more than that... I believe Tanzania is growing fast... God bless you
@nilansaid2927
@nilansaid2927 3 жыл бұрын
Rehema mambo, can I grow fast with you? 😌
@morganrobinson3542
@morganrobinson3542 3 жыл бұрын
Kweli kabisa bro mm pia ni GIS expert na nmefanya kazi ya mkataba na world bank......wanalipa vizuri sana.
@mwanaishamkindi7763
@mwanaishamkindi7763 3 жыл бұрын
hongera
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 3 жыл бұрын
@@mwanaishamkindi7763 Ahsantah
@antiarutta4540
@antiarutta4540 3 жыл бұрын
Ooo
@amanisaid9863
@amanisaid9863 Жыл бұрын
Nimejifunza kitu safiii Ubarikiwe
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 Жыл бұрын
congratulations to you brother and keep it up 🙏🙏🇹🇿
@iddibarwani8859
@iddibarwani8859 Жыл бұрын
Great!Congratulations Bro
@jacobstephanonaziadi4724
@jacobstephanonaziadi4724 3 жыл бұрын
Smart bro daaa God bless you
@joydan249
@joydan249 3 жыл бұрын
Vizur sana kaka una influenc watu wengi
@issakitenya5375
@issakitenya5375 3 жыл бұрын
Am appreciate that bro!!
@jumanenga271
@jumanenga271 3 жыл бұрын
Hkn jamaa smart mpambanaji km uyu speshoz mnyama sana nmkubali kinoouma najitajd kupambn nifikie maendeleo km yke
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 3 жыл бұрын
Apportunit favored the prepared one's
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 3 жыл бұрын
Very simple but so amazing kind of people
@johnwenceslausmmbaga3917
@johnwenceslausmmbaga3917 3 жыл бұрын
Jeff kama Jeff nimesoma naye CHANJALE SEMINARY JIMBO KATOLIKI LA SAME
@kuy4011
@kuy4011 3 жыл бұрын
Shida sio kusoma nae
@swahilitrends
@swahilitrends 3 жыл бұрын
@@kuy4011 😃😃😃
@coletashirima2193
@coletashirima2193 3 жыл бұрын
Una no zake hahaha
@leahmagaiwa9099
@leahmagaiwa9099 3 жыл бұрын
Wewe unamiliki nini kwa Sasa
@juliuskimei5984
@juliuskimei5984 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Me nltaka kuulza tu kwahyo?
@busegamediatanzania
@busegamediatanzania 3 жыл бұрын
Dream Runner
@wilongobioebwa8329
@wilongobioebwa8329 3 жыл бұрын
Keep up men you make me proud of my investment
@winniewairimu3822
@winniewairimu3822 3 жыл бұрын
Aise Mungu atusamehe kwakweli,umeona kama Mimi nimpigaji mzuri wa tungi
@endeshyamat6773
@endeshyamat6773 3 жыл бұрын
Good move Sana Ila pombe sasa mtuletee na video za kiwanda chakushonaaa
@itNeza
@itNeza 3 жыл бұрын
Dhuu yupo Very smart, hawa ndo Watu wakuhojiwa kabisa.
@owlbig
@owlbig 3 жыл бұрын
Good for east Africa bro❤️🔥
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 Жыл бұрын
Safi sana na ongera sana bro ..
@damiankimaro8919
@damiankimaro8919 3 жыл бұрын
Anaitwa speshoz mcheki yahstone town salama na
@philemonnestory4239
@philemonnestory4239 3 жыл бұрын
Thanks My brother
@joelmakelele8179
@joelmakelele8179 3 жыл бұрын
Brother nmekubali
@nilansaid2927
@nilansaid2927 3 жыл бұрын
Makapuku wanaona kama wanafokewa hivi 😂😂😂 guys be inspired naona mnapandisha sumu kuvu 😜😜
@tajirihalisi823
@tajirihalisi823 Жыл бұрын
Hongeraa Sana broo
@filbertakaro3739
@filbertakaro3739 3 жыл бұрын
Nice vision, great person but the alcohol drinking may shorten his life span or make his health fail him. Watch out, your success story needs your health.
@yama_virginhairthequeen1065
@yama_virginhairthequeen1065 3 жыл бұрын
YES I AGREE WITH YOU HEALTH IS WEALTHY. IF U HAVE VISSION AND BIG DREAM U MUST MAKE SURE UR ALSO LOOK AFTER YOUR SELF NICELY N CARE MIND WHAT U DRINK N WHAT UR EATING AND EVERYTHING PROTECT UR PEACE, N MANYMORE
@innocentgodwin5855
@innocentgodwin5855 3 жыл бұрын
Exactly my dear
@franknzowa22
@franknzowa22 Жыл бұрын
Good interview
@toyedward7475
@toyedward7475 3 жыл бұрын
I have got you brother ure a real risk taker.
@suleimansadalla5606
@suleimansadalla5606 3 жыл бұрын
Hongera brother
@josephangoty2897
@josephangoty2897 3 жыл бұрын
Daa! Anajisifu adi naona nimekuja duniani kusindikiza wengine But Nitapambana na mimi. Congratulations if is true.
@theejupitershow
@theejupitershow 3 жыл бұрын
Maisha pole pole sio piki piki ukiyarakisha yatakupeleka sivyo
@obenitejailos7007
@obenitejailos7007 3 жыл бұрын
😂😂
@theejupitershow
@theejupitershow 3 жыл бұрын
@@obenitejailos7007 ama vipi kaka
@beautymasatu1200
@beautymasatu1200 3 жыл бұрын
😅😅😅
@johnwenceslausmmbaga3917
@johnwenceslausmmbaga3917 3 жыл бұрын
Usikate tamaa
@wannaproducts
@wannaproducts 3 жыл бұрын
AKILI YA JEFF KAMA YANGU KABISA,SIKAAGI NA PESA YAANI YOTE INAISHIAGA KWENYE INVESTMENTS HATA HAZINIPI PESA AAAAHHHHHH
@shaxtz
@shaxtz Жыл бұрын
Kumbe tupo wengi aisee
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 жыл бұрын
Nice move aise
@dullymsafi3149
@dullymsafi3149 Жыл бұрын
Shot out broo Keep it up
@hizamp1827
@hizamp1827 3 жыл бұрын
Safi Sana
@ommyblessed6609
@ommyblessed6609 3 жыл бұрын
Nakubali
@flova7022
@flova7022 3 жыл бұрын
The Roman seminarists never fail how to catch up life
@nickolausbernard250
@nickolausbernard250 3 жыл бұрын
100%
@salminjuma9411
@salminjuma9411 3 жыл бұрын
Kutoka ndani ya moyo wangu.. i never mis speshoz interview...ukitaka kumuelewa vizuri huyu mtu angalia interview alofanya na salama... "GENIUS" tunahitaji watu wengi kama hawa katika jamii yetu...
@zowmemes9923
@zowmemes9923 3 жыл бұрын
Unatumia nguvu nyingi kuwahakikishia kitu watu usio wajua.
@salminjuma9411
@salminjuma9411 3 жыл бұрын
@@zowmemes9923 acha ushoga
@elinzaissa1018
@elinzaissa1018 3 жыл бұрын
Honger kaka kwa upambanaji, mimi naomba tyu ajira
@JayJay-qc1ky
@JayJay-qc1ky 3 жыл бұрын
Rafiki yake sana sabaya huyu 😂😂
@hamudseif
@hamudseif 3 жыл бұрын
Ela ya pombee..!! Aya lez goo the destn comes soon
@dottomsegu9162
@dottomsegu9162 3 жыл бұрын
Japo umehaso sana ila Wewe una connection kubwa sana bro
@emmanuelmchomvu2676
@emmanuelmchomvu2676 3 жыл бұрын
Kilimanjaro ndo walevi snaaa distributor wengi.....
@bensonmgaya5693
@bensonmgaya5693 3 жыл бұрын
Huyu hakuwa mfanya kazi wa bank ya dunia alikuwa mfanya kazi wa mtu ndani ya bank hiyo mshahara mdogo huo kulingana na ofisi hiyo
@aloycemacha9894
@aloycemacha9894 3 жыл бұрын
Muongo hajafanya bank ya dunia
@anethjoseph4542
@anethjoseph4542 3 жыл бұрын
Nishafanya kazi company kubwa na nikalipwa 3000 per month , It depend unafanya kazi gani, mtu akikiuona unapendeza , na ukubwa wa jina la company uliyopo, hawezi amini unacholipwa inawezekana sana
@priscahussein6790
@priscahussein6790 3 жыл бұрын
@@anethjoseph4542 Nakubal dear ukubwa wa Campuny uctishe watu
@musahmichael3480
@musahmichael3480 2 жыл бұрын
@@aloycemacha9894 kamalikuwa anafagiya je
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 Жыл бұрын
@@anethjoseph4542 hata bank kuna ufagizi small salary upo sawa
@jurakijuraki8870
@jurakijuraki8870 3 жыл бұрын
Nimeelewa sana ngoja nipambane
@charayohana1942
@charayohana1942 Жыл бұрын
brother nimekuelewa sana unafaa kuwa mshauri kwa vijana namna ya kupambana na maisha
@noelkamuli116
@noelkamuli116 3 жыл бұрын
Big up bro
@fx-farm6888
@fx-farm6888 3 жыл бұрын
Sasa hawa wasanii mbona hawamtangazi huyu jamaa wa watu maskini ya Mungu
@revocatuspaulo6716
@revocatuspaulo6716 Жыл бұрын
Kawalipa watangaze. Au na yey awashonee bure
@MTUWATV
@MTUWATV Жыл бұрын
Good channell
@gaitanokamage7366
@gaitanokamage7366 3 жыл бұрын
Hongera sana mr special
@yahayanelem336
@yahayanelem336 3 жыл бұрын
Wewe ni mtu kwenye watu..hiki ndo muwe mnaohoj tunapata kitu..
@globalcontents3697
@globalcontents3697 3 жыл бұрын
Jamaa genius sanaa
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 2 жыл бұрын
Hongera kwake ila inaonekana anakunywa pombe kali sana. Ukimuangalia unaweza kuona kama una uwezo wa kumsoma mtu haraka. Vijna wengi wakipata mafanikio hawaishi muda mrefu sababu ya life style. Ukitumia akili sana lazima utunze mwili pia
@ayoubmakori8680
@ayoubmakori8680 2 жыл бұрын
Na Mungu atusaidie kwa haya maana tunahitaji na kumpendeza Mungu
@innocentgodwin5855
@innocentgodwin5855 3 жыл бұрын
Great
@nilansaid2927
@nilansaid2927 3 жыл бұрын
Ila WB hiyo pesa ndogo sana, wapo watu wanalipwa million 6 kwa mwezi pale
@alkasusjaasus7015
@alkasusjaasus7015 3 жыл бұрын
Sasa wewe unasema milioni 6 kwa mwezi si ni karibia sawa na yeye anayelipwa laki na sitini kwa siku. 160,000 X 30 = 4.8 million kwa mwezi. Tofauti ndogo tu
@nilansaid2927
@nilansaid2927 3 жыл бұрын
@@alkasusjaasus7015 amesema million 30 kwa mwaka, pesa ndogo sana pale WB labda unskilled ndio hulipwa hivyo
@fadhili255mark2
@fadhili255mark2 3 жыл бұрын
Appreciate bana wabongo mkoje asee
@ellywillisgotora1473
@ellywillisgotora1473 Жыл бұрын
Mara ya kwanza kabla cjamckiliza nilisema huyu fala ambaye kaacha milioni30 ni mgonjwa wa akili kumbe hmn, jamaa ni genius anafikilia vitu vikubwa sana huyu ni mmojawapo ambae anatumia akili zake vizuri baada ya muda huyu atakuwa tajiri mkubwa namuona mbali
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Жыл бұрын
That is appropriating things that have been already been named, maana Faru John tayari kwa sifa yake asingeruhusiwa ku-trade mark jina hilo. Hayo ni makosa makubwa sana kwenye trade mark. Hao waliomruhusu naona hawakujua.
@humphreyvidonyi253
@humphreyvidonyi253 2 жыл бұрын
Biashara ya Pombe eti MUNGU anasaidia Da!! Dunia na majaabu yke
@stellajames4971
@stellajames4971 3 жыл бұрын
Jamani kaka umenifulahisha sana nawomba ukienda malawikuwekeza nawomba nikawe mwajiliwa hapo
@ramahamis5793
@ramahamis5793 3 жыл бұрын
Sometimes haiungii akilini ila kila mtu na MTAZAMO wake ktk maisha
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Kivipi mtazamo ama?
@mosesmaembe1528
@mosesmaembe1528 3 жыл бұрын
Haiwezekan anachokisema
@ramahamis5793
@ramahamis5793 3 жыл бұрын
@@ilynpayne7491 we mtu akaache mamilioni ya mshahara
@idavastaborn1818
@idavastaborn1818 3 жыл бұрын
Pia mtazamo wako ndio ulipoishia,kama umeona milion 30 nyingi mwingine anajiajiri anapata milioni 100 unadhani suti zake anavalisha wangapi na kwa bei gani?je kiwanda hicho kinaingiza bei gani?hesabu muhmu sana
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 3 жыл бұрын
@@mosesmaembe1528 kivipi
@issackjoseph6436
@issackjoseph6436 3 жыл бұрын
Chukueni positivity yake tu,negativity yake kama umeiona iache ,uckeshe kucomplain,sega la muwa kwako ni chakula kwa sisimizi
@khatwabisadathil3423
@khatwabisadathil3423 3 жыл бұрын
Issack duuuuh maneno yk mazito.👏👏👏👏👏👏
@khatwabisadathil3423
@khatwabisadathil3423 3 жыл бұрын
Issack duuuuh maneno yk mazito.👏👏👏👏👏👏
@issackjoseph6436
@issackjoseph6436 3 жыл бұрын
Watu tujitaid kutambua sote ni kazi za Mungu,udhaifu ni sehemu ya maisha yetu,Aliyeumba wema ndiye kaumba ubaya
@ezekielmosha3894
@ezekielmosha3894 3 жыл бұрын
Kwani amehama pale MWENGE
@peterlujuo1640
@peterlujuo1640 3 жыл бұрын
I need this confidence 🙌🏼
@emanueltimoth4523
@emanueltimoth4523 3 жыл бұрын
Daaah
@nestorymafuru4772
@nestorymafuru4772 3 жыл бұрын
Vizuli sana
@mrmangetown4323
@mrmangetown4323 3 жыл бұрын
Huyu chalii anajikweza Sana mpaka amenikata mood.
@deelissa2746
@deelissa2746 3 жыл бұрын
Yan
@Saitabau99
@Saitabau99 3 жыл бұрын
He deserve
@kawangajumaa7741
@kawangajumaa7741 3 жыл бұрын
Content anayo ila ndo hivo how to present it
@alexandernyimbi8186
@alexandernyimbi8186 3 жыл бұрын
Hajikwezi but ndio the way anavyoongea lazma uone hivyo
@belak999
@belak999 3 жыл бұрын
Tafuta hela ukiwa nazo hautaona km anajikweza, ni kaka yangu ndio ongea yake tangu anasoma, USIMJAJI MTU USIE MJUA KIHARAKA HIVYO
@vibetz9991
@vibetz9991 3 жыл бұрын
Jamaa yupo Maji hatari hapo,,
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 3 жыл бұрын
Anaonekana 😀
@agathamsaki5942
@agathamsaki5942 3 жыл бұрын
Upo nyuma ya mtu mbona faru John tu hapo ndo katangazwa
@lutenganocharles7194
@lutenganocharles7194 3 жыл бұрын
Umekosea sana kaka hii interview itakupunguzia mauzo hasa hao viongozi wa serikal uliowataja, wanaogopa Sana kuweka mambo Yao private kuyaweka public mfano mtu mbaya au muuaji mwenye Nia mbaya na wazir yyte au mbunge yyte anaweza kukutumia wewe kuweka sumu kwenye nguo ya kiongoz yyte Bob maley aliuawa na wazungu kwa kuwekewa sindano kwenye kiatu so next tym don't mention the name of leaders.
@strongweakpriceactiontradi9761
@strongweakpriceactiontradi9761 3 жыл бұрын
Duh
@khatwabisadathil3423
@khatwabisadathil3423 3 жыл бұрын
Lutengano umesema kweli.hakupaswa kuwataja.sio gud kabisa.
@AyubuMwalongo
@AyubuMwalongo 3 жыл бұрын
Kuna mtu anataka hata elfu 10 kwa siku
@absolutevisualz5248
@absolutevisualz5248 3 жыл бұрын
absolute
@albashakluninshaah3727
@albashakluninshaah3727 Жыл бұрын
Walevi wote wanakuhusu brooo na tabia zao
@karamanazareno1556
@karamanazareno1556 3 жыл бұрын
wow🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪
@amanijampion3045
@amanijampion3045 3 жыл бұрын
Hahàa ndio ulimshonea jeje diamond?
@wilsonthomas9176
@wilsonthomas9176 3 жыл бұрын
😂😂😂🤣🤣🤣
@eunicejohn5520
@eunicejohn5520 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣cjui umewaza nn ww
@otmarmkali8883
@otmarmkali8883 3 жыл бұрын
😁😁😁
@blueeyes5952
@blueeyes5952 3 жыл бұрын
If you want more succes in your business then you have stop drinking to much; my advice for you alcool kills the liver in your body and destroy your energy together with your lungs. You have great vision and hard working but be carefull for alcoolic style.
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 Жыл бұрын
Umefanikiwa ktk umri mdogo sana lakini ushauli tu acha Pombe ili uinvest nguvu
@officialkimaro5001
@officialkimaro5001 3 жыл бұрын
Anaakilii mno
@cathelinemichael7325
@cathelinemichael7325 3 жыл бұрын
bro vipi ajira kwa vijana wenzako
@leahmagaiwa9099
@leahmagaiwa9099 3 жыл бұрын
Amesema ameajiri watu kwa Sasa hawezi kushona mwenyewe ndo ajira hizo
@zowmemes9923
@zowmemes9923 3 жыл бұрын
Kuna watu kazi zao ni kuandika kuna kitu nimejifunza kila siku ila wanavyojifunza vinapotea video ikiisha...
@fedink3373
@fedink3373 3 жыл бұрын
😆😆😆😆
@jescajulius8023
@jescajulius8023 3 жыл бұрын
Umeona ee
@janethjoshua6869
@janethjoshua6869 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 umewaza nn jmn
@ezekielloylepayon5042
@ezekielloylepayon5042 3 жыл бұрын
Upo vizuri ila punguza vidimbwi
@amosnnko7792
@amosnnko7792 3 жыл бұрын
Ongera San broo your a great
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 5 ай бұрын
Good
@manjaugodwin7834
@manjaugodwin7834 3 жыл бұрын
Chamechaa msachaa
@kamanda007
@kamanda007 3 жыл бұрын
Climate moja ambayo imetoka kama mwezi mmoja uliopita😁🤣..walioelewa gonga like hapa
@olarivedu5588
@olarivedu5588 3 жыл бұрын
Haha aya nimekuelewa ndugu .
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 жыл бұрын
Sabayaaa
@masamabinhuse4599
@masamabinhuse4599 3 жыл бұрын
Acha uchawi
@kingpablojr8175
@kingpablojr8175 3 жыл бұрын
💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾
@dennisevarist
@dennisevarist 3 жыл бұрын
Interview ya Rafael hadi sasa ndio naiona ni interview yenye viwango kuliko zote sababu alikuwa anajibu kulingana na maswali anayoulizwa hana story nyingi
@ramadhaninyangasa7275
@ramadhaninyangasa7275 Жыл бұрын
Kweli kizuri hakikosi kasoro,😁kwani katika vyote ulivyowekeza bila pombe haiwezekani!!
@isayasway4892
@isayasway4892 3 жыл бұрын
Jamaa kapiga tungi kweli😂😂😂
@winniewairimu3822
@winniewairimu3822 3 жыл бұрын
Aisee Mungu atusamehe ukweli,mpigaji tungi mzuri,uliloliona wewe ndo na Mimi nimeliona jamani
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 15 МЛН
KUTOKA KUGONGA KOKOTO HADI   KUMILIKI KIWANDA. #durusudurusu #ujasiriamali #successtips
16:11
BIASHARA YA FAMILIA: MKURUGENZI KIJANA KIWANDA CHA JAMBO ASIMULIA
12:30
ZIFAHAMU MASHINE ZITAKAZOKUWEZESHA KUTENGENEZA FAIDA KWA MWAKA 2023
15:19