Jamaa anayedai ni mtoto wa Mungu apatana na waisilamu kimeumana mpaka wakristo wakaikataa bibilia

  Рет қаралды 11,752

Salim Daawah Kenya

Salim Daawah Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 88
@Bazukaa001
@Bazukaa001 Жыл бұрын
Kenya ni upendo MashaAllah we love to Learn and we are Bright
@abdikadirbashir592
@abdikadirbashir592 Жыл бұрын
MashAllh daawa good job may Allah grant us jannatul firdows ❤❤❤
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Aamiin amiin amiin all of us
@jasminmohamed6145
@jasminmohamed6145 Жыл бұрын
ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM. ALLAHUMA Amin ya Rabbal Alamin ajmain
@aishahazary4097
@aishahazary4097 Жыл бұрын
Walahy mna kazi kubwa masheshe wetu.ALLAH ajaalie daa,wa hizi ziwe ni asbabu ya kukutana na kipenz chetu MTUME MUHAMMAD REHMA ZA ALLAH ZIWE JUU YAKE.
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
Assallam aleikum mashekhe wetu Alhamdullillah kuwaona tena Allah awahifadhi na pepo kuwakirimu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin sote
@jasminmohamed6145
@jasminmohamed6145 Жыл бұрын
MASHA ALLAH Barakallahu Feek
@husseinmwenja4398
@husseinmwenja4398 Жыл бұрын
MashAllah kazi swafeee ma kaka Allah Ibariq
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Aamiin amiin amiin sote
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 Жыл бұрын
Leo kuna raaha DUNIANI, yesu si wao😅😅😅😅❤
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o Жыл бұрын
Kumbe mnajua mtu wenu ni Mohamed? 🤪😛
@alijabal5323
@alijabal5323 Жыл бұрын
Mungu awalipe jannah.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Aamiin amiin amiin sote
@jasminmohamed6145
@jasminmohamed6145 Жыл бұрын
ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM ALLAHUMA Amin ya Rabbal Alamin ajmain
@rizikiali328
@rizikiali328 Жыл бұрын
Mashallah masheikh mabruk dua twawaombea
@jokhasimba586
@jokhasimba586 Жыл бұрын
😅Mashallaah allaah awalipe pepo firdaus
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Aamiin amiin amiin sote
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 11 ай бұрын
Insha'Allah Allah awabariki masheikhe wetu azidi kuwazidishieni nguvu na afya njema na umri mrefu muzidi kuitangaza dini ya haki mbele ya Allah 🤲
@Maryam-h4y1q
@Maryam-h4y1q Жыл бұрын
Mashalla ♥️😅 Ali Mungu awalinde awape nguvu nafurai sana Salim mashalla ♥️😍
@rashidwalwanda1991
@rashidwalwanda1991 Жыл бұрын
❤❤❤❤ mashaallah my brothers
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Alhamdulillah brother karibu sana
@SalunumaulidmsumiMsumi-cc2im
@SalunumaulidmsumiMsumi-cc2im Жыл бұрын
Mashaa llah Allah atufufue pamoja na wajawema
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Aamiin amiin amiin sote
@abdinoormoha1553
@abdinoormoha1553 Жыл бұрын
Masha Allah
@rahmaali6662
@rahmaali6662 Жыл бұрын
Leo kumeumana kweli yaani uwanja umepamba moto sio masihara Alhamdulillah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Жыл бұрын
Huyu kaka Mashaalah 🙏🙏🙏🙏mkitaka kuelimisha mkubali changamoto pia ni vizuri haamini shetani anaamini M/MUNGU mmoja tu tena MKUBWA 🙏
@kuki2140
@kuki2140 10 ай бұрын
Mashallah brother m.mungu akuwe akupe mri uzidi kuifanya kazi yake ,subhanallah
@umazimwambezi8092
@umazimwambezi8092 Жыл бұрын
Mashallah mashallah
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Жыл бұрын
Haja ni mkono wa kushoto na chakula ni wa kulia🙏mkono mkuu
@salhkasmm558
@salhkasmm558 Жыл бұрын
Mnatukatisha uhondo siku kila siku swala lamtu mmoja tuu
@rizikiali328
@rizikiali328 Жыл бұрын
Mashallah sheikh Allah awawezeshe katika kusambaza hivyo vitabu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Aamiin amiin amiin
@hamisijm8437
@hamisijm8437 Жыл бұрын
Assalahm alahykum warahmatullah . Masha allahy masheikh kwa mafunzo yakuwafunza nduguzetu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@nayef3903
@nayef3903 Жыл бұрын
Huyo ni msabato ajifanya mjanja kuwa eti hana dini
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Yeah ndio huwa wanafanya wakiona haki wanajifanya wao sio wakristo
@khamismasoud1384
@khamismasoud1384 8 ай бұрын
Mashallah endeleeni kuitangaza dini ya allah Allah atawalipa Inshaallah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 ай бұрын
Aamiin amiin amiin sote
@danielmasunu5851
@danielmasunu5851 Жыл бұрын
Mimi ni mkristo na najivunia kuwa mkristo nashukuru Mungu anaendelea kuniimalisha kuwa mkristo ❤❤❤❤
@oopsm3574
@oopsm3574 3 ай бұрын
Na hao waliolala kwenye ukristo wamepotea, kwenye bible hayo maneno.
@kazungukitsao-t5u
@kazungukitsao-t5u Жыл бұрын
maashaAllah
@bausifarouk1798
@bausifarouk1798 Жыл бұрын
Please doctor Salim ngugi and Ali naomba ukisoma aya ya Quran umalize yote pls.
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 Жыл бұрын
Mashalla Allah ❤❤❤
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p Жыл бұрын
Aslm alkm walim wetu Allah ampe afya njema n elimu n hekm mzidi kueneza dini nawapenda kw ajili ya Allah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin sote tunakupenda pia kwa ajili ya Allah
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
MashaAllah ❤️
@MirajiMiraji-yu4gg
@MirajiMiraji-yu4gg 8 ай бұрын
Asalam walaiku..Niko Zanzibar nawangalia sana..mnanifanya silali kuangalia Allah awape wepesi ktk daawah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin
@gakobwaadija7949
@gakobwaadija7949 Жыл бұрын
Huu kijana wakwanza ni mrundi wakwetu lakini naona kama anataka utupoteze allah amuongoze naon kama hanamwelekeo
@ameirmuhombwa
@ameirmuhombwa Жыл бұрын
Sh ally mwachie sheh ajibu yeye
@HisMajesty64
@HisMajesty64 Жыл бұрын
Atakuchokesha....
@twaine40
@twaine40 Жыл бұрын
Maa Shaa Allah tabaraka elmu murua kabisa ila wenzetu wengine washipavu kweli hawataki kukubali 😂
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Allah awaongoze waione haki wanakataa tu
@twaine40
@twaine40 Жыл бұрын
@@salimdaawah123 amiin
@rehemaabdallah5306
@rehemaabdallah5306 Жыл бұрын
Hata hivo chooni twatumia mkono wa kushoto na kula twala na mkono wa kulia
@dudemussa6715
@dudemussa6715 Жыл бұрын
Lo! Kumbe mpaka leo kuna watu majahili, hawajui dini wala hawajui watendalo! Wanadai wao ni wakristo kumbe ukristo umemalizika kale.
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 Жыл бұрын
Huyu kijana ni mkora aachane kijicjanganya
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Umeona ni mkristo ila anaingiza ujanja
@fatimahrashid2356
@fatimahrashid2356 Жыл бұрын
😂😂😂 wakiristo niwatu wamiujiza ndiyo maana kina waramba kila siku
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o Жыл бұрын
Islam hakuna miujiza mtaanziwa wapi?🥱😁
@rizikiali328
@rizikiali328 Жыл бұрын
Kitabu iliharibiwa Na kubadiliswa na wazungu
@Adm9464
@Adm9464 Жыл бұрын
Huyu anakulaga ugali vipi? Kijiko ama folk
@HisMajesty64
@HisMajesty64 Жыл бұрын
Huyo jamaa wakwanza ni wazi anijificha kwenye ukristo wake kwa maswali yake. Kama si mkristo au si muislamu anaulizia nini maswali ya dini?
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Ni mkristo anajificha tu
@HisMajesty64
@HisMajesty64 Жыл бұрын
Naam na umemueka sawa ustadh salim
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Жыл бұрын
Zam zam ya Ibrahim au mke /mtumishi wa Ibrahim na sarah mama wa Ismael(eshmael?)
@nelsonochieng5216
@nelsonochieng5216 Жыл бұрын
Mnafai kurecord for 2 hours 42minutes ni kidogo
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Tatajaribu hilo inn shaa Allah
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Жыл бұрын
Wakristo mnajua kitu Imani yako imekuponya???huyo wa kwanza mnipe nimueleweshe pole pole make huyo asiyemuamini shetani ndo muongofu,,,shetani ukimkataa na yeye anakukataa na matendo yake yanakukimbia
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Жыл бұрын
YESU mwenyewe ndo Father Christmas kama Prophet Mohammad A.S alivyokuwa kwenye MAULID
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Haueleweki hizi story umetoa kwa kitabu gani ???
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Жыл бұрын
Kwani mwana wa MARIYAM hajatajwa kwenye Qur an?
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Ametajwa anaitwa ISSA
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Жыл бұрын
Sheikh kuna watu wameokoka judge nafsi yako plzzz🙏🙏🙏
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Nini maana ya kuokoka??
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Жыл бұрын
Sheikh hapo kwa ISAYA...wale wanabeba mimba za wame zao na wanajifungua kuku nayo utaiwekaje???
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Eti kuku !!??
@Sal.0
@Sal.0 Жыл бұрын
Ai, hawa kumbe wana DANGANYAGWA sana na MaPastor, ku Husu ISHMAEL na pia IBRAHIM! Katika English Bible, god 'DID' Sara. Katika Ki Ingereza ukim 'DO' Mtu, maana yake, wewe umem 'TIA' huyo Dame! This is the LITERAL Meaning! Hawa, WaZungu, walio TUNGA Biblia, ni wa Shenzi sana! Yaani, hii biblia YAO, wamei JAZA na ZINAA! Mo Abdul ame uliza huyu jamaa wa KIJIKO: Ana KULA UGALI na kijiko au UMA au Fork???😅😅 Good Question! Jibu ni, ata kula Ugali na MIKONO isio OSHWA, kwa sababu wana ogopa MAJI! The other thing ni,.. hawa "WaKristo' hawa realise, Mu Islamu hu TAWADA 5 TIMES a DAY, in addition to washing his HANDS before a Meal, and also AFTER Haja! WaCHAFU hawa VIDUDEY! Zero sense on HYGIENCE! Thats why MuIslam ana ogopa KULA kitu ilio Pikwa na hawa VIDUDEY Wachafu! TabarakAllah Team!
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o Жыл бұрын
unajua Mohamed alitumia mawe kujifuta nayo akimaliza haja kubwa? Hii utasemaje jamaa wa usafi?🤪😛 Soma hadith no 314 from sunan Ibn majah chapter 2.
@Sal.0
@Sal.0 Жыл бұрын
@@NathanielNathan-m4o HAKUNA MAVE kwenye Desert, KaN7guu!
@NussuteSufiane5
@NussuteSufiane5 Жыл бұрын
Avança Uisilamu ndiyo njiya ya Kweli,jamani,
@NussuteSufiane5
@NussuteSufiane5 Жыл бұрын
Waulize hao wakristo kwamba kwanini yessu aliswali msikitini?
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o Жыл бұрын
@@NussuteSufiane5 Synagogue sio msikiti Bali ni nyumba ya ibada Kwa wayahudi.Kanisa ni nyumba ya ibada Kwa Christians and mosque is a house of prayer for muslims.Get this clearly
Wana kijiji wajitokeza kwa wingi kusikiza daawah leo ni leo
1:28:45
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 3,8 М.
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
PASTOR ATAFUNA MANENO BAADA YA KULEMEWA NA HOJA
1:40:26
Straight Path Dawah
Рет қаралды 17 М.
Majini ni wa dini gani ni waisilamu au wakristo maswali moto moto leo moto imewaka
1:08:25
MZEE ASHANGAA BIBLIA KUSEMA WALIOLALA KATIKA KRISTO WAMEPOTEA
1:04:24
Straight Path Dawah
Рет қаралды 15 М.
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН