A/alaykum, Naam alhamdulillah mzee wetu Ali Allah akulinde tunakupenda kwa ajili ya Allah, udumu na afya tele. Jihad ni mapigano ya kisheria ya khaki. Kimwili akili maneno.
@mohamedhozi8110 Жыл бұрын
Maashaallah baarakallah mungu awape uzima na afya njema mashekh wetu..shekh ali mungu akuondolee mitihani ya maradhi
@bausifarouk1798 Жыл бұрын
Nimefurahi kumuona mzee Ali amerudi
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Yeah alhamdulillah amerudi
@ambarnelly6071 Жыл бұрын
Asalama alaikum namuona tena mwalimu aliy karidi tena mzigoni mashaaallah Mungu azid kumpa shifaa inshaa allah
Assalaam Alaykum Warhamatullah Wabarakatuh...ALLAH azidi kuimarisha afya yako ustadh Alii.Tunawapenda kwa ajili ya ALLAH mashehe wetu vipenz
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh alhamdulillah Ali amesikia nafuu
@Adm9464 Жыл бұрын
Sheikh Ali welcome back. May Allah give you the best of health , wellness and high Islamic spirit
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Amiin amiin amiin
@fatimahrashid2356 Жыл бұрын
Masha Allah nimefurah kuwaona wote walimu wetu kazinzur zaidi Allah atawalipa inshaAllah
@alimaalim2454 Жыл бұрын
Wcs w.w Zakia. Nimeona unapenda sawa Daawah kwa ajili ya Allah. Everytime comment zako za kutia moyo mashekhe wetu. Allah akubariki. Masha Allah nafurahi kuona ustadh Ali Maalim. Mmi pia naitwa Ali Maalim
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
Shukran sana pia Allah atubariki sote tuwe wenye kuskia dini ya Allah nakuifanyia kazi amiin shuktan sana Ali maalim
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
Haki leo mjadala umefaana yani motomoto mashaAllah shukran Allah barik amiin
@Idysalim Жыл бұрын
MashaAllah, ustadh Ali karibu sana. Tulikukosa sana Alhamdulillah umerudi na Allah awape kinga na maisha marefu ili mufikishe Daawah kila mahali inshaAllah
@wadimtwana7286 Жыл бұрын
Maashaallah nimefurahi kumuona shekhe wetu Ali na ndugu zangu waislam hapa tufahamu kitu duwa za watoto ogopa Sana ukisomewa dua na watoto kama Una ugonjwa ujuwe upo karibu Sana kupona ugonjwa
@samxx411 Жыл бұрын
Sheikh Ali hataki dharau ktk kazi ya daawa
@hassangaucho4084 Жыл бұрын
A alaykum warahmatullah.... MASHAALLAH M/MUNGU awape tawfiq mashekh zangu alaa kulli hali na Namuombea kwa ALLAH mwalimu Aliy ampe shifaa zaid INSHALLAH .
@andallaathman3856 Жыл бұрын
Mashaa llah nafurahi kumuona sheikh Ali akitusomea Qur'an Leo mungu ampe nguvu na afya na sheikh Salim mungu akupe afya na mungu
@shuwehaharuna6309 Жыл бұрын
Shekhe Ally Allah akupe umri mrefu
@zainababdulrahmankarisa6273 Жыл бұрын
mashaallah nafurahia kumuona mzee wetu ALI ALLAH ampe afya njema pamoja na sisi
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
Allah barik hii dawaa
@mwanamtotosaid702 Жыл бұрын
Allahumma Aamin 🤲
@daadeyare8382 Жыл бұрын
Maasha allaah Sheikh (ALI) welcome back my Allah give you the best of health ustaad Salim jizakumullaah janna iisha allaah❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 Abduqadir from 🇸🇪 sweden
Assalamu Alaykum. Samahani lakn sheikh Ali anaharibu. Nimesema mara kadhaa. Shukran
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah tutarekebisha
@HisMajesty64 Жыл бұрын
@@salimdaawah123ln Shaa Allah lakn bil hikma isilete fitna. Shukran
@samxx411 Жыл бұрын
Mashallah
@zainababdulrahmankarisa6273 Жыл бұрын
hahaha ANTONY kubali yaishe
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
Na leo nimewahi kweli niko chonjo😅😅
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Masha Allah
@ramadhankamau4416 Жыл бұрын
@@salimdaawah123 bhbubhbubhhhubbbu8
@mwangimuhammad-sx9hb Жыл бұрын
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu ? Mnafoki vyema hapo reli
@IssaAbubakar-u3l Жыл бұрын
Yarab
@Sal.0 Жыл бұрын
MashaAllah, Ma Ustad wetu akina Karioki, Ali na Salim wame rudi PAMOJA! TabarakAllah Team! WaIslamu, supportini hii team ili tuwa pate pamamoja! Richard ame soma kuna UKARABATI karita Biblia, na HALAFU bado ana uliza: "una amini biblia"? Uta Amini vipi kiatabu ambao iko 3500 FAKE names and PLACES! Si utakuwa MJINGA uki anza kui amini katabu ambayo ziko na 3500 FeKi places na MaJina, kama Kane, Abel, Enoch, Judea, Isaiah, yesu, etc ni ma FEKI!
Pea Anthony watermelon ale, aache upuzi kupinga uislam bila elimu
@attainingallroundexcellenc6992 Жыл бұрын
Enyi wanaadamu! Chukueni pambo lenu kwenye kila pahala wakati wa ibada, na kuleni, na kunyweni na wala msifanye ubadhirifu. Kwa hakika Yeye hapendi wanao fanya israfu. Qur'an chapter 7 Verse 31
@kassimabdilatif1802 Жыл бұрын
Kuhusu khutba ya Ijumaa : kusubiri mingi siku hizi wanatoa khutba ya kwanza kwa Kiswahili halafu khutba ya pili ambayo ndio yenye dua inafanywa kiarabu. Kwa hiyo inategemea Imamu vile ataamua. The consensus nikuwa khutba itolewa kwa local language lakini kuna misikitiki mengine ma Imam wako wrong understanding ya purpose ya Juma khutba lakini wale ma Imam wenye proper understanding huwa wanafanya kwa local language. It is in fact recommended.
@samxx411 Жыл бұрын
Ni vizuri umesema
@mangeraalbert7982 Жыл бұрын
Anthony wewe wacha story miingi za kiongo, hio maneno waongea bila ushaidi.
@HamzaAkilimali4 ай бұрын
Tatizo kubwa hasa kwa "Baadhi ya Wakristo, Wanatumia jina Baba Vibaya" Ukimsikia anasema:-Baba yetu uliyembinguni ufarume wako Utukuzwe. Nk. YAANI WAO, HUMAANISHA "BABA NI YESU" NA "MUNGU NI YESU". Hilo ndilo tatizo la Baadhi ya Wakristo. JAMANI WALIMWENGU, MUUMBA NI MUUMBA MMOJA TU. YESU ni Mtume (Nabii) na MOHAMMAD ni Mtume (Nabii) Kuwaabudu hao Manabii, ujue wewe ni wa Motoni 🔥🔥 . Someni vizuri Biblia na Qurani, kwa makini, ili mjue ukweli. (Wislaam ni Raha ndani ya Roho, hakuna kona,kona za kudanganywa)
@salimdaawah1234 ай бұрын
Wataelewa tu inn shaa Allah
@abdallasuleiman8785 Жыл бұрын
Jihad is derived from the word jahada which means to strive. So it can be in any course which you intend to achieve whether in studying, working, doing dawah etc.
@Adm9464 Жыл бұрын
It’s a complete confusion with the Bible. Everything was thought about discussed Some information out in some information taken out.
@eliastv7337 Жыл бұрын
Unapoteza watu kubali mungu ako binguni
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Naakiumba bingu alikuwa wapi
@yabdul1782 Жыл бұрын
Wasaidie vizuri hawa wasio jua mana ya jihad. Jihad sio kupigana bali maana yake ni kujitahidi, kupambana na kufanya kadiri kwa uvezo wote. Mfano- mapambano ya kutakasa moyo wa mtu, kutenda mema, kuepuka maovu na kujifanya kuwa mtu bora zaidi.
@kassimabdilatif1802 Жыл бұрын
Mwalimu Salim na wengineo : Nataka ku comment kuhusu lile swali la yule bwana alieuliza kafiri Ni Nani . Neno kafiri latokana na neno la kiarabu kafir yani kiengereza ' disbeliever' na kiswahili maana yake ' asie Amini " Kwa hivyo Quran ikisema " Ya aiyuhal Kafirun " Ina maanisha " Oh you who disbelieve" yaani. " Enyi. Msio amini. ". Lakini mababu zetu hawa kuitafsiri vile inavyotajukana iwe yaani ' Asie amini '. Tafsiri za kiengereza utaziona zimeandikwa disbeliever popote kwenye neno kafir ama ' disbelief kwenye neno ' Kufar' . Lakini waislam wamezoea kumuita mtu yeyote asie kuwa muislamu kafiri including waswahili. Lakini tafsiri ya sawa Kiswahili itakuwa ' Asie Amini ' kiengereza ' Disbeliever' '
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Tumekupata ki sawa sawa
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Ukiwa mkristo je wewe ni kafir au si kafir?
@nassorsharifu9837 Жыл бұрын
@@Catherine-mh8sw kwa kawaida neno hutafsiwa kwanza kilugha na baadae hupata maana kulingana na mada. kwa msingi huo Basi neno kafiri katika Qur'an ni asiemuamini Allah na mitume yake, Sasa jiangalie je wewe unamuamini Allah. kwasababu miongoni mwa mafunzo ambayo mnafundishwa kanisani ni kutokumuamini Allah kuwa ndie Mungu wa kweli na hapo ndipo unapoona tofauti kati ya mafundisho ya kikristo na yakiislamu ukifuatilia mijadala ndio utagundua kwa kiasi gani wachungaji wanawapotosha kwa makusudi sababu wakikubali kuwa Allah ndie Mungu muumba Idadi ya wanaoslimu itaongezeka. nikupe mfano waislamu wanaopinga uungu wa Yesu lakini wanakubali kwamba yule ambaye Yesu alieitwa kwa jina la baba ndie mwenyewe na ndio katika midahalo yote ukifuatilia waislamu wanawafundisha wakristo wamuabudu huyo na wamjuwe Yesu Kama mtume.
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@nassorsharifu9837 hilo Jina la yesu kapewa na nani, ikiwa jina lake ni issa
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@nassorsharifu9837 anha sawa asante. Mwenyezi Mungu akubariki