Jamal (The Story Book): Fahamu kwanini Diamond alimuamini na kumpa cheo Wasafi TV, kujua vitu vingi

  Рет қаралды 123,333

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер
@cyrabrown8609
@cyrabrown8609 4 жыл бұрын
Mimi hufuatilia Sana story book na wacha niseme this a very intelligent man
@jumannemfaume
@jumannemfaume 4 жыл бұрын
Sure
@jameskilasa759
@jameskilasa759 4 жыл бұрын
Jamal ww Ni mbunifu mzur Sana tunakujua vzr kwasababu unajionesha kwa tv sio Kama wengine tunasikia sauti tu
@OmanOman-gp7xm
@OmanOman-gp7xm 4 жыл бұрын
Aisee jamal kweli kilamtu nakipaji chake kusimulia kubali nikipaji chako Asante mungu Akuongoze zaidi nakupa hongera sanaaa naitwa nalay niko ughaibuni uku
@joshuakimbe1251
@joshuakimbe1251 4 жыл бұрын
hongera kwa kazi nzuri bro sky napenda sana harakati zako nakufatilia tokea RFA wewe ni miongoni mwa hazina kubwa sana katika tasnia ya habari na burudani kwa ujumla kwanza kabisa huna ubinafsi kila anae stahili anapewa interview pili media yako haiposti habari bila uthibitisho pongezi nyingi kwa na team nzima ya ya sns
@sumaart8170
@sumaart8170 4 жыл бұрын
Nakukubali sana
@marcelinojunior6340
@marcelinojunior6340 4 жыл бұрын
Nimejifunza kitu kutoka kwa Jamal,we need to be hardworking and much exposed ilikufika mbali, thank Jamal vijana tumekuelewa👍
@MESIAHANDREW-tj8mq
@MESIAHANDREW-tj8mq Жыл бұрын
🙏🙏
@EmmOmb19367
@EmmOmb19367 2 жыл бұрын
With no scepticism, this guy is brilliant And his sentational narratives are addictive, Big 💕 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Mr Jamal
@janatahmad7048
@janatahmad7048 4 жыл бұрын
ni kweli wakubal wsf ni radio kubwa sana
@mpendwalove4390
@mpendwalove4390 4 жыл бұрын
Much respect to both of you
@hustlerstv8248
@hustlerstv8248 2 жыл бұрын
One of the fathers of history from Tanzania 🇹🇿 👏 from nakuru Kenya 🇰🇪 we love him ❤
@godfreygeorge4613
@godfreygeorge4613 3 жыл бұрын
Kwa hii interview bundala unastahili 1million subscriber much respect to u bro! Best interview ever!
@ramadhanminani314
@ramadhanminani314 3 жыл бұрын
Much respect bro huwaga namkubali Sana huyu mwamba
@Tiffany2-Jr
@Tiffany2-Jr 4 жыл бұрын
Prof..Jamal.. respect bro..
@chiefkaitaba.m.9466
@chiefkaitaba.m.9466 4 жыл бұрын
Dah! Big up Professor 🔥🔥🔥 #WASAFIMEDIA 🔥🔥🔥🙌
@hadijasaid8032
@hadijasaid8032 2 жыл бұрын
Jamal Mashallah Mashallah napenda sana unavyo hadithia you are so amazing hongera sana mungu akubariki
@naslee1010
@naslee1010 4 жыл бұрын
umetisha sana #jamal pamoja na #sky
@chainbre275
@chainbre275 4 жыл бұрын
Mengi nimejifunza congrats #sns for this perfect opportunity that ur trying to give people to talk and to express their thoughts thoughts of success with with us 🙌💯❤️❤️❤️
@yeasrmsafi7152
@yeasrmsafi7152 4 жыл бұрын
Sijutii MB zangu shukran sana
@cax1338
@cax1338 3 жыл бұрын
😂😂😂 true....
@petermichagojr5521
@petermichagojr5521 4 жыл бұрын
Daaa jamaa huyu ni noma sana 💪👍
@mustafauledi6258
@mustafauledi6258 4 жыл бұрын
Huyu jamaa anatisha namkubali vibaya sana. Mungu akuongoze kwenye kazi zako. Wasafi sehemu sahihi kwako Jamal, Amini nachokuambia wasafi sehemu salama
@stephanieeunice8572
@stephanieeunice8572 4 жыл бұрын
The love I have for this guy,he is a free Thinker.And as always intelligence turn me on,I love this guy
@ngalowoka
@ngalowoka 4 жыл бұрын
Me too
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
Turning you on
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 4 жыл бұрын
Namuelewa sana Jamal professor
@张乐-n8p
@张乐-n8p Жыл бұрын
Jamal, you are a man of people. I Burundi turagukurikirana ukora neza. Warundi tunakufuatilia kwa uwezo mzuri wako.
@shabanikaniki9747
@shabanikaniki9747 4 жыл бұрын
Jamaa anasomaa sanaa kumbe ndo maana the story book inaupekee fulan hv tofauti na story nyingine🔥
@azirplatnums6958
@azirplatnums6958 4 жыл бұрын
"Msingi wa elimu hauko kwenye umri"🙌
@ramamussa3375
@ramamussa3375 4 жыл бұрын
Prof jamal nakukubali sana kk
@bujsaudaselemani5562
@bujsaudaselemani5562 4 жыл бұрын
Ongereni sana kwakumleta jamali na mkumbali sana❤️❤️❤️❤️❤️
@BravoMedia23
@BravoMedia23 4 жыл бұрын
SNS my Favorite Online Tv
@gracewella2664
@gracewella2664 4 жыл бұрын
The story Book my Fav kipindi....Jamal upo vzr sana
@aliceprincess3370
@aliceprincess3370 3 жыл бұрын
The story book it very public even us in Australia we are proud of you ❤️❤️
@AbuArafat001
@AbuArafat001 4 жыл бұрын
Nilipenda janaa alivoo towaa story ya nelson Mandela madibaa
@mikefuraha1345
@mikefuraha1345 4 жыл бұрын
If you get give...if learn teach
@aftermath5226
@aftermath5226 4 жыл бұрын
Safi sana Jamal... Ni Professor wa Kwanza anaye jisifia juu ya yale anayoyafanya 😁✌ it's magical thing to seeing yourself on what you doing before anyone else, it's a great thing - Lusekelo A.M
@Coachsamwel
@Coachsamwel Жыл бұрын
It's good ee
@videozaaj1069
@videozaaj1069 4 жыл бұрын
Jamal, Alikuwa producer wa e newz shot back na alikuwa anatangza hiyo segment alikuwa fundi sana.. And still ni fundi sana coz kichwa Chake kina mambo kibao sana
@leahkilagwa2207
@leahkilagwa2207 3 жыл бұрын
True but nilikuwa nataman awe anaendelaea but ulikuwa mfupi
@josephsimba3007
@josephsimba3007 2 жыл бұрын
Nakupenda bure Jamel kutoka congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪💪💪💪👏👏👏🔥🔥🔥 unafanya vizuri sana 💪💪
@officialmrtop1018
@officialmrtop1018 4 жыл бұрын
Daaah kumbe wew ni Professor kabisa si kwa maelezo hayo duuh love you professor
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 3 жыл бұрын
Hv ndugu yangu uko wapi??
@simonkabeya7251
@simonkabeya7251 Жыл бұрын
Jamal nakubali saana bro Ila natamani saana tuonane from🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩congo
@ellybrown5989
@ellybrown5989 3 жыл бұрын
Asante kwa kutuletea Jamal April,sauti yake sasa!yaani hapo mmekutana....mbarikiwe Sana!nawapenda Sana!
@salumsultan1227
@salumsultan1227 4 жыл бұрын
...Good ..great int.. 👏...Jamal!!
@itNeza
@itNeza 4 жыл бұрын
@simulizi Mleteni Big chawa
@pikolaizaog7303
@pikolaizaog7303 4 жыл бұрын
Mm nampenda Sana professor Jamal april
@simonmolanga2250
@simonmolanga2250 4 жыл бұрын
Professor 🙌🏽
@eliaumetishatish2693
@eliaumetishatish2693 3 жыл бұрын
nimejifunza meng Sana leo Jamal uko vzur na mungu akutangulie kwa kila jambo
@josephmkuar7133
@josephmkuar7133 4 жыл бұрын
Wangoni tumebarikiwa Sana Hekima Hongera Sana professor
@dayocha1855
@dayocha1855 4 жыл бұрын
Kweli wangoni tunatisha
@agnessantony7105
@agnessantony7105 3 жыл бұрын
Woyooooo🔥
@joelmwamlima9412
@joelmwamlima9412 4 жыл бұрын
Nimejifunza Vitu vingii sana kwenye hii Interview... sababu kubwa zaiidi ni kwakua nawakubali wote mtangazaji na mgeni. Sky na Jamal..
@famorsn9834
@famorsn9834 4 жыл бұрын
nan amegundua profesa ni mpole sana.
@jaydenkariuki6595
@jaydenkariuki6595 4 жыл бұрын
Kweli ni mpole na mstaarabu
@tumahamza8972
@tumahamza8972 4 жыл бұрын
Katika vijana wachache wa sasa wanaoongea kiswahili kizuri,Jamal nitakuweka kwenye kumi bora. Nimependa sana lafudhi yako. Hata siamimi kuwa umezaliwa Dar na kukulia Dar. Huwa nakerwa sana na watu wanaoharibu kiswahili. Sasa hivi watu wameharibu mno kiswahili. Hakuna tofauti ya "R" na "L", H inawekwa sehemu ya A nk. Nachukia sana. Tena wengine eti wanajiita waandishi wa habari!!!
@ngaukamaita8449
@ngaukamaita8449 3 жыл бұрын
Tatizo sugu la uharibifu wa Kiswahili
@chiefmahucha6847
@chiefmahucha6847 3 жыл бұрын
Bro tupo wengi tunaokerwa na UHARIBIFU huo..! Na to be honest, "WAANDISHI WA HABARI" ndo wa kwanza kuharibu lugha yetu adhimu ya Kiswahili
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 3 жыл бұрын
True say
@samuelmajule54
@samuelmajule54 10 ай бұрын
Jamal nakukubali and I say big up sana my young brother.
@joycekathambi3072
@joycekathambi3072 4 жыл бұрын
You are very intelligent Jamal, mi ni mfuatiliaji WA the Story book
@arifismael5609
@arifismael5609 4 жыл бұрын
Prof .jamal .big up
@angelmashauri6961
@angelmashauri6961 4 жыл бұрын
Ahsante sana Jamal kwa kutuletea simulizi nzuri na za kusisismua ndani ya Wasafi Media. Mimi na familia yangu tunakufuatilia na kukukubali sana...Mungu azidi kukuongoza...🙏
@chachadavid3849
@chachadavid3849 4 жыл бұрын
That is the best interview much respect sns and professol jamal
@henryevarest6862
@henryevarest6862 4 жыл бұрын
Keep up the good work Jamal, Your Inspirational 👏
@ngalowoka
@ngalowoka 4 жыл бұрын
Namkubali sana jamal
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 жыл бұрын
Manshallah uwo namkubal sana Jamal huwa najifunza vitu vingi kupitia jamal
@jamaloctober23
@jamaloctober23 3 жыл бұрын
I like this good wow aah Prof Jamal Mustafah
@jaydenkariuki6595
@jaydenkariuki6595 4 жыл бұрын
Hongera jamal mustapha
@delekalxon7221
@delekalxon7221 4 жыл бұрын
Wanang wa kibiti boyz (keybeat) kwa Njawa hit like apa
@hemedijr8333
@hemedijr8333 4 жыл бұрын
Njawa namkumbuka pia mzumbe boys pale hahaha
@nadirabdulrahman5400
@nadirabdulrahman5400 2 жыл бұрын
mashallah jamaa namkubali snaa god bles y bro
@sharonchristian3711
@sharonchristian3711 4 жыл бұрын
💓💓💓this guy
@martinezsiwale4419
@martinezsiwale4419 4 жыл бұрын
Jaaaaaaaamaaaaaaaaaaaaaal fundi
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
Kama Proffesor anakubali Diamond ni akili nyingi mimi nibishe ni nani? #MondiBabaLao
@HurumaMbazu
@HurumaMbazu 8 ай бұрын
Nimekubali professor Jamal
@godihkibe5728
@godihkibe5728 4 жыл бұрын
From 254 apa ,,ukiacha masomo uyu jamaa physical appearance enyewe n professor big up
@annapeter5570
@annapeter5570 4 жыл бұрын
Yan ww kaka hamna siku umenikosha kuliko leo I lv Jamal oooh my god
@danielkenedy4357
@danielkenedy4357 4 жыл бұрын
Mwamba namuelew sana ,haswa kipindi walikuw pamoja na abdala mtiga, it was too 🔥
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 11 ай бұрын
Kinachonistaajabisha ni kwamba Jamal amezaliwa dar na kukulia dar. Alafu anazungumza KISWAHILI FASAHA KABISA. kwenye R. anaitamka R. Na kwenye L anaitamka vizuri L. . Nachukia sana wazaliwa wa dar wanavyokiharibu kiswahili . Mpaka hapo namuona Jamal ni number 1 Tz kwa kiswahili Fasaha
@ashahassan2120
@ashahassan2120 2 жыл бұрын
Nawapendanga sana hawajamaa wawli 😍😍😍 😘😘😘
@danielmsafi
@danielmsafi Жыл бұрын
I love this guy ❤️❤️
@tibayawaafrica
@tibayawaafrica 4 ай бұрын
Asante sana kaka kwa kipindi kizuri kama hiki
@r14kgroup68
@r14kgroup68 3 жыл бұрын
Namkubali sana jamal profesa
@bamuucmba92
@bamuucmba92 4 жыл бұрын
Mh yani wewe ni noma professor
@videozaaj1069
@videozaaj1069 4 жыл бұрын
Bro tuletee big chawa hahahahaha miyeyusho sana yule nyau
@rosemofuga6313
@rosemofuga6313 4 жыл бұрын
Hongera sana brother Fred na your young brother Chris
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 4 жыл бұрын
Nakuelewa sana ndugu
@malaikaangel1968
@malaikaangel1968 4 жыл бұрын
we love admire Jamal
@innocentmbise4777
@innocentmbise4777 4 жыл бұрын
Mwamba uyu jamaaaa
@massawejose3594
@massawejose3594 4 жыл бұрын
Wewe ni mtu makini sana #jamal
@timochazze9845
@timochazze9845 4 жыл бұрын
Diamond ni poa sana
@bamuucmba92
@bamuucmba92 4 жыл бұрын
Ah mm asa namkubali uyooo jamaaa jamali
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 3 жыл бұрын
Interview kali sana 🔥 🔥🔥
@beliusbugingo9526
@beliusbugingo9526 3 жыл бұрын
Jamal umetisha na presenter n noma
@elarifmohamed5681
@elarifmohamed5681 4 жыл бұрын
Ta ben parlé jamal🏆🏆🏆
@gastonfuraha
@gastonfuraha 4 жыл бұрын
Nakubal sana
@shabankawambwa4397
@shabankawambwa4397 4 жыл бұрын
Tulia wasafi wewe #usitokee na dirishani wewe
@subraissiaka6440
@subraissiaka6440 2 жыл бұрын
Kaka jamal 🔥🔥🔥♥️
@josephmkuar7133
@josephmkuar7133 4 жыл бұрын
Huyo ni professor
@mpembajuice8780
@mpembajuice8780 4 жыл бұрын
September eleven11 wasaf media daah jamaa ulitisha sana
@spiderelexander9977
@spiderelexander9977 2 жыл бұрын
Jamal namkubali sana kuliko maelezo
@siphifahashimu9723
@siphifahashimu9723 2 жыл бұрын
Awooooootee sky naiona Millard Ayo 2
@kabamaponda9597
@kabamaponda9597 2 жыл бұрын
Tunajifunza mengi kupitia ww mungu akuweke miaka mingi
@Majambo_Duniani_Tv
@Majambo_Duniani_Tv 4 жыл бұрын
respect jamal
@isco49
@isco49 4 жыл бұрын
Napenda unavyo nyoa
@shirohscolah7952
@shirohscolah7952 4 жыл бұрын
ako sawa
@joselynesango4075
@joselynesango4075 4 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️zari & 💙💙💙💙diamond
@khamischonga6285
@khamischonga6285 4 жыл бұрын
Bila kuskiliza the story book... Huwa sipati usingizi.
@dismasruga1568
@dismasruga1568 3 жыл бұрын
Great of you Sky andJamal
@ashamgombelwa5129
@ashamgombelwa5129 4 жыл бұрын
Nimekupenda bure
@TheSalma1999
@TheSalma1999 3 жыл бұрын
My bro may God bless him
@kaburaakbar7069
@kaburaakbar7069 4 жыл бұрын
Jamal nakukubal san
@edgarmbena3579
@edgarmbena3579 4 жыл бұрын
bg up mwamba
@lareineminah1353
@lareineminah1353 Жыл бұрын
Nampenda😢😢😢
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU
44:18
The Story Book : Usiyoyajua Kuhusu Jua
26:54
Wasafi Media
Рет қаралды 1 МЛН
Jokate Interview on air with Millard Ayo
11:43
Millard Ayo
Рет қаралды 369 М.
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН