Allah atujaalie tuwe wenye kupend Allah na sio tamaa ya Mali amiiin yaarabbali ghalamiina nashukuru Sana ustadh wangu ❤️
@zuhoor-mc7hq Жыл бұрын
Jazakumllahu khayra 🙏 Allah akuzidishie elimu na upeo wa wa kuuiendeleza dini yetu liislamu alhamndulillah 🙏❤❤
@asilahassan99655 ай бұрын
Ammina ya rabbill allamin allhuma amin
@MpunganoJoseph-my6rk Жыл бұрын
Jazaakallah Khair Allah atuongoze katika njia nyoofu na a2jalie mwisho mwem Amin
@asilahassan99655 ай бұрын
Ammina ya rabbill allamin allhuma amin
@zuhuradinya9022 жыл бұрын
ALLAH ATUONGOZE HAKIKA YA WATU SIKU HIZI WALICHOWEKA MBELE NI MTU MWENYE PESA NA HATA WAZAZI WENGINE WAMEKUBALI KUWAFUNGISHA HATA WATOTO WAO NDOA ZA SERIKALINI NA KILA MMOJA ABAKI NA DINI YAKE ILI MRADI TU KIJANA AWE MTU MWENYE PESA ALLAH ATUEPUSHE NA HAYO TUMUOMBE ALLAH ATUONGOZEE KATIKA NJIA ILIONYOOKA KWA UWEZO WAKE.
@alqamarchannel17402 жыл бұрын
Ameen
@asilahassan99655 ай бұрын
Ammina ya rabbill unayoingea ni kwl kabisa mtihani mkubwa ktk zama ya shz