Umefanya vizuri sana dada, huyo ndugu yenu ana TAMAA ya pesa hataki watu watoke anataka kuua watu.hongereni sana dada kwa roho ya ungwana.
@ritapiusnicolaus706811 сағат бұрын
Hongereni kwa mahamuzi mazuri ❤️
@infodigtechforcommunityemp410313 сағат бұрын
Safi Kabisa
@HadiaAme-x5f2 сағат бұрын
Na hao waliojereshwa hawajali maisha yao au wanasubiri waseme serikali ni wazembe
@HamdanAmli7 сағат бұрын
Ahsante sana mama unaakiri sana
@HadiaAme-x5f2 сағат бұрын
Watu wakifa oooh wazembe kubomowa eeh wanabomoa jamani watz tuna kazi
@kingmsanya352413 сағат бұрын
Akili kubwa
@edsonnelson446413 сағат бұрын
Bora hata mmekuwa waungwana nimewapongeza sana huyo anayewaazuia ndiyo mbaya
@Arsenal500012 сағат бұрын
Sasa mbwa wa nn kwenye swala la ghorofa bongo nyoso
@salehemsumi6158 сағат бұрын
Hapo kuna mali za watu,zinapotaka kuhamishwa ulinzi lazima uwepo.Kuna vibaka hapo!!
@RonnieBertin7 сағат бұрын
Majengo yoote hapo kariakoo yabomolewe
@Hamy11095 сағат бұрын
Kinachoendelea Kariakoo wala sio kwamba hao wamiliki wanawapenda sana Watanzania. Ukweli ni kwamba matajari wengi wanayataka hayo majengo ya Kariakoo kuyajenga upya hivyo wanandugu wanatumia hiyo fursa kuyavunja ili wauze viwanja.
@Sahlomon-jp4jr4 сағат бұрын
Kumamake watanzania kwa majungu na kujistukiastukia......sijui urithi uliachwa na nani sijui.