#LIVE

  Рет қаралды 28,147

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@HipolitiMalya-wg9yv
@HipolitiMalya-wg9yv 9 күн бұрын
MUNGU ibarki Tanzania, Mungu ibarki Chadema, Mungu ibariki ccm na vyama vyote vya siasa. AMINA
@mcharo255
@mcharo255 8 күн бұрын
Mbowe, the diehard and blessed leader, mungu awabariki na kamati yote ya CHADEMA
@mcharo255
@mcharo255 8 күн бұрын
Mungu ibariki TANZANIA Mungu ibariki CHADEMA ❤❤
@MisakaSylivester
@MisakaSylivester 8 күн бұрын
Mbowe ni level nyingine
@maximillianmubashi7328
@maximillianmubashi7328 9 күн бұрын
Ravoo Commander Freeman Mbowe. Aluta Continuer
@GeraldSwai-ty1hr
@GeraldSwai-ty1hr 9 күн бұрын
Tupo na Mh mbowe
@AgapeMwakyusa-r9y
@AgapeMwakyusa-r9y 8 күн бұрын
Niljua mwanaharakati kumbe hovyo hovyo tunàondoka na lisu
@sittandaki2135
@sittandaki2135 9 күн бұрын
Hamna kitu hapo hata mkipewa nchi nyie CHADEMA mtakuja kukatalia madarakani kwasababu imeonyesha sasa kwanini hutaki kuachia wengine? Kama kweli chama chenu kinafuata katiba na sheria?
@mcharo255
@mcharo255 8 күн бұрын
Hauna hoja, kilakitu kinajieleza
@illomowerner7690
@illomowerner7690 8 күн бұрын
@sittandaki sio kweli kuwa CHADEMA wanang'ang'ania madaraka na wakipewa nchi hawatakubali kutoka madarakani, Mbowe hafanyi hivyo, yuko sawa kikatiba na hatma yake ni wajumbe wa mkutano mkuu taifa kupiga kura, usipende kukurupuka hata kama humtaki yeyote subiri utaratibu wa kichama, unaposema mtu anang'ang'ania wakati katiba inamruhusu unamaanisha nini? Je, katiba imeweka kikomo na yeye anang'ang'ania? Hoja yako ni ya chuki na unauliza bila utafiti
@GeraldSwai-ty1hr
@GeraldSwai-ty1hr 9 күн бұрын
Kamanda Mbowe
@lailafakhihaji
@lailafakhihaji 9 күн бұрын
Mbowe mwachie tundulisu nae agombee msifanye matabaka katika chama hii itawagawanya na hii wenzenu wanafurahiya msielewane kuweni kitu kimoja people
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 8 күн бұрын
Mwachie ma ma a ko.
@lailafakhihaji
@lailafakhihaji 8 күн бұрын
@EmmanuelMlowe-u1v mama angu ahusiki na ninachoandika hapa Kila mtu anaitoa maoni yake anayotaka Mimi naheshimu maoni ya Kila mtu niwezi mtajua mama ako naheshimu wewe mtaje hata baba angu I don't care
@severinmichael8329
@severinmichael8329 9 күн бұрын
Real madrid ya Ufaranza😢😅 nimelia sana
@mcharo255
@mcharo255 8 күн бұрын
❤❤❤
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 8 күн бұрын
Ila mbowe ukipata urais utabadilisha katiba uwe wa mikele kama uenyekiti hutaki kutoka
@VinchX5
@VinchX5 8 күн бұрын
kwa namna hii mbowe ni kada mtiifu
@AgapeMwakyusa-r9y
@AgapeMwakyusa-r9y 8 күн бұрын
Wewe ni chama cha mapinduzi daima hutoki humo
@YusraBaseka
@YusraBaseka 8 күн бұрын
😂😂😂😂❤
@MohamedJuma-k9k
@MohamedJuma-k9k 8 күн бұрын
Ivi man cty kafungwa ngapi uko jamani
@sittandaki2135
@sittandaki2135 5 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
Msaidizi wa Lissu afunguka mazito dhidi ya Wenje
39:01
Land Dwellers
Рет қаралды 28 М.
GACHAGUA EXPOSES FAROUK KIBET AND HIS COUSIN BADLY AMID ONGOING ABDUCTIONS!
7:11
Lissu Azungumzia Mahusiano Yake na Mbowe: 'Hali Sio Nzuri Sana'
9:13