MBOWE,CHALAMILA,MCHUNGAJI KIMARO WANENA HAYA MSIBANI /BABA MZAZI WA HALIMA MDEE AFUNGUKA

  Рет қаралды 65,352

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 81
@ZuberyAlly-m2n
@ZuberyAlly-m2n 2 ай бұрын
Pole sana dada yangu halima mdee mm binafsi hua nakuelewa sana ukiwa bungeni pole kwakweli halima hiyo ndio njia yetu sote mamaetu apumzike salama emeni
@suzanestomihikiwelu8043
@suzanestomihikiwelu8043 2 ай бұрын
Pole sana professor mdee mwl wangu,Mungu wa mbingu na nchi akawe mfariji wako..
@josephmathayo5139
@josephmathayo5139 2 ай бұрын
Pole sana kwa Wafiwa. Mwenyezi Mungu awape NGUVU na Faraja ktk kipindi hiki kigumu.
@MariamWiliam-z8k
@MariamWiliam-z8k 2 ай бұрын
Pole sana kipenz harima pole jembe mungu akutue nguvu mpendwa
@AsifiweMchome
@AsifiweMchome 2 ай бұрын
Pole sana halima mdee mungu akutie nguvu
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 2 ай бұрын
Pole sana Halima Mdee🙏🙏
@NGAMBAKIMTEI
@NGAMBAKIMTEI 2 ай бұрын
Pole sana Dada Halima Ee Mwenye Mungu awapatie baraka, nguvu na faraja kwa family na ndugu na jamaa wako wote.Mwenye Mungu amulaze marehemu mwl Mdee mahali pema na raha ya milele umwangazie ampuzike salama. RIP
@basilisawilbroud
@basilisawilbroud 2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu amjalie pumziko jema mama yetu. Pole kwa familia
@SelemaniFihoma
@SelemaniFihoma 2 ай бұрын
Asante mbowe
@NGOMELE1976
@NGOMELE1976 2 ай бұрын
Poleni kwa msiba mzito. Bwana Awafariji. Lakini kuhusu ZAKA ni lazima kuweka sawa kwamba, hiyo si sadaka ya kusaidia wahitaji; inatakiwa kufika madhabahuni ikiwa kamili. "Leteni zaka kamili" Asema BWANA (Malaki 3:10). Kama mtu ana roho ya ukarimu basi atoe msaada kutokana na pesa zake tofauti na zaka
@festokemibala5832
@festokemibala5832 2 ай бұрын
Hakukisea. Ni kadiri Roho wa Mungu atakavyokuelekea kuitoa, madhabahuni au kwa wenye kuhitaji wajane, wagane, yatima nk
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 2 ай бұрын
Pole sana halima mdee Mungu akutie nguvu amina
@siamollel9725
@siamollel9725 2 ай бұрын
poleni wanafamilia,,Ila chalamila msiwe mnapa nafasi kwenye mazingira magumu kama haya
@EvaKiswaga-j2o
@EvaKiswaga-j2o 2 ай бұрын
Pole Sana halima mdee kuwa na mama. Mungu akutie nguvu
@OmbeniMollel
@OmbeniMollel 2 ай бұрын
Pole sana kamanda wetu halima mdee
@azizamvungi1871
@azizamvungi1871 2 ай бұрын
Poleni sana
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo 2 ай бұрын
Hatuna chama Tanzania wote chawa wa ccm mumesahau mulema dr.silaa musilete siasa musibani mungu amulehemu mama yetu mwana siasa Gani chawa wa ccm
@BeatusKLeon
@BeatusKLeon 2 ай бұрын
Pole sana kwa familia kwa msiba huu, roho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu, apumzike kwa amani. Pili napenda kusahihisha wanaosema "Baba Padre". Neno "padre" ni la lugha ya kilatini na tafsiri yake ni "baba". Kwahiyo ukisema "Baba Padre" ni sawa na kusema "Baba Baba". Msemo sahihi ni "Mheshimiwa Padre" (kiingereza ni Reverend Father, ambayo ni sawa na kusema Baba Mheshimiwa) na kama ni Paroko anaweza kutajwa kama "Baba Paroko".
@allymohamedclaud7626
@allymohamedclaud7626 2 ай бұрын
Mbowe ni mkomavu kwenye siasa..kwa kipindi kile cha mwendazake wanaume walikimbia hapa Tanzania.kwahiyo hatuwezi kuwalaumu kabisaa wala kuwakataa kina Mdee na Matiko na Bulaya
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 2 ай бұрын
Acha unafiki walikimbilia wapi.
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 2 ай бұрын
walikimbizwa na nini,walitaka umaarufu kutaka kuonekana ni wakimbikizi wa kisiasa yamewashinda wakarudi nyimbo zile za hatuwezi kurudi hadi tuambiwe usalama wetu yako wapi wamerudi wote kimya kimya
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 2 ай бұрын
​@@elizabethmassi7327Akili zako Zipo makanyagioni
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 2 ай бұрын
Kumbe halima anafanana na Baba yake?
@yohanachiristopher3087
@yohanachiristopher3087 2 ай бұрын
Pole dada yetu mdee a super women
@EmanuelIdd
@EmanuelIdd 2 ай бұрын
Pole sana halima
@mikemwanga2860
@mikemwanga2860 2 ай бұрын
pole sana Halima na familia apunzike kwa Amani
@josephminja7953
@josephminja7953 2 ай бұрын
Pole sana wanafamilia wote poleni sana😢
@JackSanga-n6r
@JackSanga-n6r 2 ай бұрын
Pole san halima mdee kwa kuondokewa namama
@erenwesmgeni4837
@erenwesmgeni4837 2 ай бұрын
Pole sana dada angu halima mdee pole saana
@wegesawaryoba3316
@wegesawaryoba3316 2 ай бұрын
Pole sana Halima kuondokewa na mama mpendwa.
@GodwinIssack
@GodwinIssack 2 ай бұрын
Rest in Paradise Mom 🙌
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 2 ай бұрын
Pole dada angu mdee
@chiizadomician3775
@chiizadomician3775 2 ай бұрын
Pole sana Halima Mdee na Famila yako
@SaigiluSankale
@SaigiluSankale 2 ай бұрын
Mungu amlaze pahali pemaa
@FedrickwKingo
@FedrickwKingo 2 ай бұрын
Apunzike kwa amani
@obednyagani506
@obednyagani506 2 ай бұрын
Pole sana dada halima mdee na familia yote
@BahatiMahenge
@BahatiMahenge 2 ай бұрын
Mungu awatie nguvu wafiwa wote
@andrewmaiga4331
@andrewmaiga4331 2 ай бұрын
Pole sana wanafamilia
@JosephLymo-j8x
@JosephLymo-j8x 2 ай бұрын
Nyie waandishi mue makini kwakile mnacho andika mnaandika baba wakati nimama hiyo nitaaluma muwe makini
@tr.husseinkwanama5225
@tr.husseinkwanama5225 2 ай бұрын
Soma vizurii..
@wilfredmaimu1958
@wilfredmaimu1958 2 ай бұрын
Pele sana wana family mungu awatie nguvu.
@EmmanuelyRema
@EmmanuelyRema 2 ай бұрын
Dada halima pole sana
@FikiriniMwaluko
@FikiriniMwaluko 2 ай бұрын
Naomba mwenyekit wangu wapokee tu hawajakinenea vibaya chadema binadamu yeyote anakosea.mwekiti nakuaminigi sana.ndo maana maadui wataka uachie kiti ili chama kiwe kama cha caf wabunge 19 ludini kwenye cham nawapenda san
@MWAKIPESA
@MWAKIPESA 2 ай бұрын
Kifo ni fumbo wakat wote tunasafiri mungu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 2 ай бұрын
Pole sana mtani Mungu akupe wepesi
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 2 ай бұрын
Makalio analeta maneno ya siasa
@ErickAlipipi
@ErickAlipipi 2 ай бұрын
Pumzika kwa Aman mama
@RobertBitambaOfficial
@RobertBitambaOfficial 2 ай бұрын
Makonda Yuko wapi
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 2 ай бұрын
Kwa hiyo chalamila umekuj sababu ya utundu wa halima isimgekuwa utundu usingekuja wee jamaa wewe huna ubinadamu kabisa hufai kabisa kuwa kiongozi
@esthergambi8058
@esthergambi8058 2 ай бұрын
Jaribu kuchukua muda kidogo kutafakari misemo,huyu jamaa ukiwa mkurupukaji huji kumwelewa hata siku moja.
@lusticendokole9385
@lusticendokole9385 2 ай бұрын
@@esthergambi8058 ni sahihi kabisa
@johnmanase2874
@johnmanase2874 2 ай бұрын
Pole kwa familia ya dada Mh. halima mdee
@prochesytesha8040
@prochesytesha8040 2 ай бұрын
Huyu jamaa wa ilala na temeke anajichanganya halima poleni
@Banzok700
@Banzok700 2 ай бұрын
Yaani we Mbowe unasikitisha sana , yaani umeshindwa hata kumtaja jina Halima kwenye msiba ? Kwel chuki zako za kisiasa zimepiliza ... Hongera sana Mheshimiwa Chalamila
@happynkya9770
@happynkya9770 2 ай бұрын
Mteja ww basi
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl 2 ай бұрын
Nyoko kwani mpaka atajwe. Hilo lichalamila lako ovyo tu
@Juma-e8l
@Juma-e8l 2 ай бұрын
Acha unafiki wa uchawa
@romanamassawe814
@romanamassawe814 2 ай бұрын
Chalamila umjui Alima mdee vizuri, hizo sifa unazompa mdee Hana hizo sifa
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 2 ай бұрын
Kweli kabisa walimu wa Shule ya msingi waheshimiwe
@ndaroGamba
@ndaroGamba 2 ай бұрын
Kwamba umemfuata Halima kwa sababu ya utundu wa siasa alionao😮 Kumbe mlimpa utundu ili aisaliti Chadema na leo mnaneemeka na huo utundu?
@illomowerner7690
@illomowerner7690 2 ай бұрын
Amenikera sana Chalamila Albert, RC wa Dar, anasema sababu za kwenda msibani kuwa ni sababu tatu za kumpenda Halima Mdee na SIO mama yake(Marehemu), amegeuza msiba kuwa sehemu ya kampeni, imeniuma sana. Eti mwishoni ndio anasema ameenda Kwa dhamana ya uongozi, very stupid.
@ndaroGamba
@ndaroGamba 2 ай бұрын
@@illomowerner7690 This is kind of stupid and idiot leaders we have in the country!.Nchi inaongozwa na walevi!
@piusmdoe3200
@piusmdoe3200 2 ай бұрын
​@@ndaroGambakwakweli ni shida
@illomowerner7690
@illomowerner7690 2 ай бұрын
@@ndaroGamba kweli kabisa ndugu yangu
@festokemibala5832
@festokemibala5832 2 ай бұрын
Mpoki aksema "Wasifu wa marehemu hata uwe mnene kiasi gani, huwa haupigiwi makofi.."😮
@JovinPeter
@JovinPeter 2 ай бұрын
Chamila ni kuku wa kisasa Ana lelewa na mama samia ila hafai kua kiongoz kali zake azina tija kwenye taifà
@ErickAlipipi
@ErickAlipipi 2 ай бұрын
Mungu akupe nguvu kamanda mh. Mdee
@deborahmgedzi632
@deborahmgedzi632 2 ай бұрын
R.I.P. Mama.
@JovinPeter
@JovinPeter 2 ай бұрын
Hivi huyu chalamila kwanini mama anamlea sana huyu hafai kua hàta balozi wa nyumba kumi
@mkurangacnajemasabatochane4626
@mkurangacnajemasabatochane4626 2 ай бұрын
Mawazo ya changizo
@George-jz3jg
@George-jz3jg 2 ай бұрын
Yaani hata wewe kimaro unaongelea halima kuchangia gari huo ni ujinga na uache ujinga unapokuwa kwenye mambo mhimu kama hili
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 2 ай бұрын
Kwakweli nashindwa kuelewa halima ni ccm au chadema lissu aliwakataa kabisa Hawa COVID 19 ila mwenyekiti anaona hakuna haja ya kuwakazia
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 2 ай бұрын
Nyie Ma- Sycophants Wa Lissu Mnakuwa Kama Maga Cult...So Msiba Una Uhusiano Gani Na Siasa.. Walioenda Msiba Wa Lowassa Wote Walikuwa CCM? Kajifunzeni Siasa Kabla Kabla Hamjaanza Makundi Uchwara... Its Ok Kumshabikia Lissu na Kumtaka Yeye Kwa Nafa Yoyote BUT ITS NOT OK KUDHALILISHA WATU NA KUFANYA KILA KITU NI ABOUT LISSU... WOW! Inakera Hasa Mnapowakosea Respect Watu Wengine in The Name of Lissu... IT MAKES ME SICK! Ukizingatia Hao hao Kwa Ground 90% Atawahitaji.
@FikiriniMwaluko
@FikiriniMwaluko 2 ай бұрын
Hawa imani yangu naona kama bado wapo chadema na wanakipenda chama sioni wakijiunga na ccm ila ni mazingira tu wasamehew
@nelsonshillah6618
@nelsonshillah6618 2 ай бұрын
Ukijiunga ccm saiv wanapoteza ubunge​@@FikiriniMwaluko
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 2 ай бұрын
Huyu Cheif Odemba ninani??
@MouriceChacha-d3v
@MouriceChacha-d3v 2 ай бұрын
Amebadrika tena na kua baba? !!!!!!!
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo 2 ай бұрын
Siasa nitakuja tu watanzania siyo wajinga kama munavyo Dhani SS watoto wa wakulima machinga tutaleta mabadiliko siyo chadema Wala ccm
@annamnanka-qk1bx
@annamnanka-qk1bx 2 ай бұрын
Pole sana halima mdee mungu akutienguvu
@romanamassawe814
@romanamassawe814 2 ай бұрын
Chalamila umjui Alima mdee vizuri, hizo sifa unazompa mdee Hana hizo sifa
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 2 ай бұрын
Kaongee wewe sasa mwenye kuzijua sifa za Mdee
Sikiliza Shuhuda Hizi 4, ya Mwisho Inasikitisha  | Rev. Dr. Eliona Kimaro
9:13
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 11 М.
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 23 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 14 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 23 МЛН