BONIFACE JACOB ATOA MSIMAMO MKALI BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA " SITARUDI NYUMA"

  Рет қаралды 17,398

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 157
@c2vconnection
@c2vconnection Сағат бұрын
SC P. Kibatala, hiyo ni kazi ya Mungu unafanya. Kazi ya haki ni kazi ya Mungu ambaye ndiye mwenye haki na mtoa haki. He is the Ultimate Judge!
@Rakim-y2z
@Rakim-y2z 2 сағат бұрын
Hongera bro mungu akuhifadhi sana akupe umri mrefu una talent kutoka kwa Allah alhamdulillah mtetezi mungu akulinde..
@kalebiestomihi
@kalebiestomihi 2 сағат бұрын
mungu.akubariki.sana tupo.pamoja.kiongozi
@CharlesMarupa
@CharlesMarupa 2 сағат бұрын
Hongereni mawakili, Mungu awabariki.
@salomeurio560
@salomeurio560 2 сағат бұрын
Tunamshukuru Mungu kwa WEMA WAKE, na kwa UTETEZI KWA BONI.. MAOMBI SANA KWA TAIFA LETU PENDWA, ❤❤
@jizzomonster
@jizzomonster 2 сағат бұрын
Hongera sana brother wew ni legend
@OSCARMWAIBAMBE
@OSCARMWAIBAMBE Сағат бұрын
Hongera Sana kaka, nawapongeza mawakili wa chadema.... Haki imeshinda hata kabla!
@esthermakelemo2864
@esthermakelemo2864 2 сағат бұрын
Hongereni Sana mawakili wa CHADEMA, hongereni Sana Wana CHADEMA
@salomeshongola1697
@salomeshongola1697 2 сағат бұрын
Hongereni mawakili kwa kazi zuri.Mungu azidi kuwalinda kuzibariki kazi zenu.
@JosephineKabuka
@JosephineKabuka 2 сағат бұрын
Yaaaniiii hakika sijui nisemeje zaidi ya kumshukuru Mungu!❤
@MfunjoWabaBoydays
@MfunjoWabaBoydays Сағат бұрын
@@JosephineKabuka KWA Kila jambo liwe baya ama zuri nikushukuru Wala tusikufuru ☮️
@BullahSambiga
@BullahSambiga Сағат бұрын
Safi kamanda💪
@MIKAMTALUMATV
@MIKAMTALUMATV 2 сағат бұрын
Mungu akuangazie nyinyi ni watu muhimu sana.
@LoitushulYamat
@LoitushulYamat Сағат бұрын
Hongereni sana mawakili wa wananchi
@maryfranknamkumba9182
@maryfranknamkumba9182 2 сағат бұрын
I can’t thank God enough for your realise today Bon. We love you sana tu. Congratulations for your double achievement. Hakika Our Daddy God is so loving and faithful ❤️🙏🏾
@MfunjoWabaBoydays
@MfunjoWabaBoydays 2 сағат бұрын
For his release not 'realise' ok boy
@MicahGhloloj-bs4cy
@MicahGhloloj-bs4cy Сағат бұрын
​@@MfunjoWabaBoydaysko we ukaona unajua kumrekebisha ukamwita Mary Boy !!!😂😂😂😂 Pole hakuna mkamilifu duniani hata we mkosoaji umeingia chaka😅😅😅
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo Сағат бұрын
Absolutely correct, God is good!
@neemannko2040
@neemannko2040 2 сағат бұрын
Wakili upo vizuri!!! Nakuamini sana,, hongereni sana na MUNGU awe mlinzi wenu. Amen 🙏
@binsherbal6089
@binsherbal6089 2 сағат бұрын
Alhamdulillah, Alhamdulillah, Alhamdulillah. Hatimàye Haki imeshinda. Pongezi kwetu sote wapenda Haki. Hakika Allah yuko pamoja na wenye Kusubiri. Subra ndo kila kitu.
@MfunjoWabaBoydays
@MfunjoWabaBoydays 2 сағат бұрын
ALLAH AKBAR ALLAH QUAREEM 🎉❤
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 Сағат бұрын
Toa ujinga wako hapa,hujui hata maana ya Alhamdulillah unajiramkia tu
@SelinaJuma-c7t
@SelinaJuma-c7t 2 сағат бұрын
Safi sana mkuu
@Fatima-v9k6f
@Fatima-v9k6f Сағат бұрын
From 🇧🇮 Alhamdulillah kama umetoka salam
@CatherineJohn-uo1tq
@CatherineJohn-uo1tq 2 сағат бұрын
Mungu ni mwema
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe 2 сағат бұрын
i yaani nchi hii wanazidi kuionesha Dunia kua si salama
@FelisterBazil
@FelisterBazil 3 сағат бұрын
Mungu akulinde
@MfunjoWabaBoydays
@MfunjoWabaBoydays 2 сағат бұрын
ALUTA CONTINUE CHADEMA PEOPLE'S POWER🎉🎉
@rasnchimbi
@rasnchimbi 2 сағат бұрын
Hizo nguo zilochanika zikusanywe zikajumuishwe kwenye jumba la makumbusho,ikiwemo gari la Lisu na nguo zake na vinginevyo💪🏿
@JosephineKabuka
@JosephineKabuka 2 сағат бұрын
Mungu ni mwema sana mdogo wangu hongera sanaaa hakika tunasomba mbele!!!
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 2 сағат бұрын
Hongeren sana mungu amesaidia sana na mahakama wamefanya haki kwa hilo mungu awabariki sana na haki iyendelee kupatikana hivyo hivyo imebaki katiba mpya na usimamizi wa kura za serikali za mitaa tunaomba tume huru isimamie uchaguzi wa serikali za mitaa mungu awabariki sana tunawaombea sana mahakimu na mawakili wote wanaoendelea kutetea haki za tanzania amina.
@robertphilip385
@robertphilip385 Сағат бұрын
Amin Amin Tata Chacha
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc Сағат бұрын
Daah honger kwa ushindi wa uwenyekiti honger sana kwa kutoka
@bernadetamushi
@bernadetamushi Сағат бұрын
Hongera ndugu upo vizuri
@ErastoSimba-Tz
@ErastoSimba-Tz 2 сағат бұрын
Mungu ni mkubwa 🎉🎉🎉🎉🎉
@nmatuja2191
@nmatuja2191 2 сағат бұрын
Mungu yu pamoja nawe.ubarikiwe sana bon yai
@MagdalenaMagere
@MagdalenaMagere 2 сағат бұрын
Mungu yu mwema.
@saidiotham7508
@saidiotham7508 Сағат бұрын
safi sana
@MeryKimaro-s2t
@MeryKimaro-s2t 14 минут бұрын
Hongera sana na pole sana jamaa yetu
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 19 минут бұрын
oooooooooyooyoyoyoyoyooooooo kutoka bariadi simiyu hongera bon j uuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@sondajohn1371
@sondajohn1371 Сағат бұрын
Hongereni
@MeinadKikalugaa-hb6ll
@MeinadKikalugaa-hb6ll 3 сағат бұрын
Dah!! MUNGU AKUBARIKI SANA BON YAI
@musa-v3f
@musa-v3f 2 сағат бұрын
Mahakama zetu ni Dhaifu na sio huru Boni alitakiwa kuwa nje kwa dhamana toka siku ya kwanza
@BungeyiSaiboku
@BungeyiSaiboku 2 сағат бұрын
Pole sana ndugu yangu
@LoiteyoAmakoMako
@LoiteyoAmakoMako 57 минут бұрын
Mungu ni mwema 🙏
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Сағат бұрын
Hongera bro,usichoke kuisaidia jamii
@ArijunKiwango
@ArijunKiwango 2 сағат бұрын
Hong era kaka mungu katenda
@cylousjeremiah3768
@cylousjeremiah3768 Сағат бұрын
Hongera sana kaka
@AlexGarnacho-g4g
@AlexGarnacho-g4g Сағат бұрын
Make sure you are have confident and respect form Mr
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 28 секунд бұрын
Mungu akubsriki sana kwenda huko ilikua njia ya mungu uwasaidie wengine barikiwa sana we ni mfano wa kuigwa barikiwa baba asante sana
@mengindegeya2780
@mengindegeya2780 3 сағат бұрын
Kwenye hilo mungu hatakuacha
@saidiotham7508
@saidiotham7508 Сағат бұрын
wakati wa mungu ndo wakati sahii
@leokamil6284
@leokamil6284 7 минут бұрын
Hongera sana Mawakili, Bonn uwe na ulinzi mkali badilisha mazingira kuepuka watesi wako .Pole sana
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 Сағат бұрын
go chadema 👋 ! mama must go
@batonbernald9164
@batonbernald9164 Сағат бұрын
Umeenda jera kwa kusudi la mwenyezi Mungu. Ili baadhi ya wafungwa wapate dhamana,hata kuachiriwa, Mungu akujarie mafanikio kwa sadaka uliyo itowa.
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 2 сағат бұрын
Mungu akubariki sana sana
@yaronaWilliam
@yaronaWilliam 28 секунд бұрын
Mungu awatangulie mawakili, teteene haki za wanyonge Mungu atawabariki!
@AloyceJacob-w7r
@AloyceJacob-w7r 49 минут бұрын
Mungu mwema siku zote
@YohanaMgungu
@YohanaMgungu 2 сағат бұрын
fact sanaa mkuu
@iddyekanda6456
@iddyekanda6456 2 сағат бұрын
Hii nchi inaongozwa na viongozi waoga hawajiamini
@NaomiAlex-h6k
@NaomiAlex-h6k 2 сағат бұрын
Mungunimwema
@alizanzibar1586
@alizanzibar1586 2 сағат бұрын
Bro ALLAH AKUONGOWE
@LemaliMeyasi-r4c
@LemaliMeyasi-r4c 2 сағат бұрын
Tupo pamoja kamanda
@FocusmachumuMwizarubi
@FocusmachumuMwizarubi Сағат бұрын
Nafurahi sana
@davidsibejo4916
@davidsibejo4916 51 минут бұрын
Wengine tukitoka jela maisha tuna amua kumkabiidhi mungu wew ndio kwanza unataka ukomboe na wafugwa engine wew ######
@rithaurassa
@rithaurassa 2 сағат бұрын
Kwa PAMOJA tumshukuru MUNGU na pia tushukuru MAWAKILI WETU MUNGU awape afya njema.
@danielmwanguku2898
@danielmwanguku2898 Сағат бұрын
ALUTA CONTINUA ✌️
@melichmahingule2896
@melichmahingule2896 2 сағат бұрын
HONGERA SANA MHESHIMIWA KWA KWENDA JELA, BILA WEWE HAO WATU WASINGEPATA MSAADA, KILA JAMBO LINANKUSUDI MAALUM, MUNGU AKULINDE
@wanguwangu34
@wanguwangu34 30 минут бұрын
Mimi nashangaa sana wasomi wa tz nafikili Bado hawajui sheria, hivi mtzania ndani ya nchi yake lazima azaminiwe na barua ya SERIKALI za mitaa na lazima wawe watumishi wa umma, je watanzania wanaofanya idara za umma na binafsi siyo watu,tz hakuna sheria Bali tuko CHINI ya ukoloni na anyesema tz ilipata uhuru muongo
@sultanalnaamani2156
@sultanalnaamani2156 51 минут бұрын
Hongera boni Hongera kibatara
@BossiLaizer
@BossiLaizer 45 минут бұрын
Uzalendo wa hali ya juuu, tatizo sio polisi wetu ni ..... Ila Mungu yupo
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 3 сағат бұрын
Maria sarungi amesema kuna mpango wa kuifungia Jambo tv
@JauarySilvestery
@JauarySilvestery Минут бұрын
Wawoooo mungu ni mwema Kila wakati
@MtanganyikaTanganyika
@MtanganyikaTanganyika Сағат бұрын
Good is good
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo Сағат бұрын
Oyooooooo!!!! Ku. Mbafu Sana maCCM!
@akramissa3393
@akramissa3393 2 сағат бұрын
✌️
@julianajeremiah4353
@julianajeremiah4353 2 сағат бұрын
Ongera
@shabanijimmy363
@shabanijimmy363 24 минут бұрын
Iyo ndio chadema ninayoijua mimi... Peeooople!!!
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 3 сағат бұрын
Haki imetendeka
@ezekielmadindula2679
@ezekielmadindula2679 Сағат бұрын
Hilda nakuona😂😂😂
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 2 сағат бұрын
Hawajui tu Sisi tulio wengi tunaikubar chadema ila wao waupande wapili wanalazimisha wananchi tuwakubali wao kilazima ,nashukuru jopo lamawakili kukulifatilia swala la Boni Jakobu tunakupenda Rudi nyumban tunakuhitaji sana uwepo wako tuko pamoja
@hassanrashid-l3u
@hassanrashid-l3u 2 сағат бұрын
Ni kweli kaka mapenzi ndo yalivyo ccm wanalazimisha upendo
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 2 сағат бұрын
kukomoana tu hii nchi
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 2 сағат бұрын
Ila jitaidi kujilinda au ulidwe mana huku kutekwa naiona kama Bado hisia jitaidini mana anaweza kutekwa mungu msaidie boni
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 58 минут бұрын
Hivi ni kwa nini Oystabay kila wakati?
@GeophreyMsomba
@GeophreyMsomba Сағат бұрын
❤😂❤
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 46 минут бұрын
HONGERA MAWAKILI, HONGERA WOTE WENYE MAPENZI MEMA NA TANZANIA, HONGERA BONFACE YAI. MUNGU NI MWEMA SANA , WATAJULIKANA TU MAANA WANATAPATAPA. UHAI NI MALI YA MUNGU.
@Yussuf-b3b
@Yussuf-b3b 4 минут бұрын
Mapambano yaendelee ,chadema ni chaguo la watanzania, CHADEMA OYEE
@JAPHETJOSEPH-b6e
@JAPHETJOSEPH-b6e 2 сағат бұрын
Tibaijuka see her
@MashaMwakindangi
@MashaMwakindangi Сағат бұрын
Yan kukaa kote ndani hajakonda hii kali😂😂
@MfunjoWabaBoydays
@MfunjoWabaBoydays Сағат бұрын
@@MashaMwakindangi watu wanapenda wamekonda na wanarudi Wamenene
@MashaMwakindangi
@MashaMwakindangi 13 минут бұрын
@@MfunjoWabaBoydays nimeshangaa lkn haisi alijua atatoka tu Kwa hakuwa na presha
@thadeusmahendeka4466
@thadeusmahendeka4466 2 сағат бұрын
MWAMBA SANA
@SharifWilly-w4s
@SharifWilly-w4s 2 сағат бұрын
Boni yai mngu ni mwema na ataendelea kutenda kaza but mkuu
@AngelSamsoni
@AngelSamsoni 2 сағат бұрын
Juakali
@christosiadanieli6512
@christosiadanieli6512 2 сағат бұрын
mbona kazi yake iko hai 3:22
@esromkanubo815
@esromkanubo815 49 минут бұрын
Kibatala ni mashine
@musa-v3f
@musa-v3f 2 сағат бұрын
Boni Yai kashachukua ubunge wa Ubungo
@Kachuba-w9p
@Kachuba-w9p Сағат бұрын
Hizi ndio sheria za kipolisi dunia nzima ukishikwa papokwapapo jinsi ulivyo ndio unakamatwa police hawa time yakukusubiri uende kubalidilisha
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw 22 минут бұрын
huwa mnajitafutia matatizo kwa faida ya mwenye saccos
@muhsinikoki4060
@muhsinikoki4060 9 минут бұрын
wefala nini
@hamidmussa838
@hamidmussa838 2 сағат бұрын
Kwnni uwe uchii?
@LoitushulYamat
@LoitushulYamat Сағат бұрын
Nashauri mawakili watembelee mahabusu wajue mahitaji ya mahabusu ili kuwangalia namna ya kuwasaidia.
@starbusinesslikondo1833
@starbusinesslikondo1833 Сағат бұрын
Naona Kuna jamaa kamtekenya mama pale nyuma mwenye macho ataona😂😂😂😂😂😂 mama ana maji kibao
@sultanalnaamani2156
@sultanalnaamani2156 49 минут бұрын
Kibatara mola akulinde
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 2 сағат бұрын
Kweli tusikamatwe na kutekwa kama kuku tutembee na filimbi maana Hawa watekaji wanakuja na vifaa watu wanaosema wanarinda raia na mali zao
@BullahSambiga
@BullahSambiga Сағат бұрын
Jmn embu wawaache watu wawe huru kuchagua chama ukipendacho kwa nn mnanyima uhuru wa watu maana ya demokrasia ni nini?
@BossiLaizer
@BossiLaizer 36 минут бұрын
Mawakili wa upinzani Wana akili nyingi sanaaaaaaaaaaaaa
@calvinsande5116
@calvinsande5116 28 минут бұрын
Hivi mawakili wa serikali walifundishwa na waalimu waliomfundisha mwamba kibatala au
@Hemedmikole-r9e
@Hemedmikole-r9e Сағат бұрын
Pipose power
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 2 сағат бұрын
Itabidi urudi tena ukae siku mia ili uokoe watu 10 0 na wengine kama wewewajitokeze waende jela siku kadhaa ili watu wachomoke
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Сағат бұрын
Kila jambo huwa na kusudi lake
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 17 МЛН
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 12 МЛН
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,4 МЛН
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 13 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 588 М.
JOSEPH MBILINYI USO KWA USO NA TULIA WAPEANA MAKAVU LIVE MBEYA PACHIMBIKA
19:56
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 17 МЛН