YERICKO NYERERE AMRARUA VIKALI TUNDU LISSU " HUMUWEZI MBOWE WEWE"

  Рет қаралды 16,958

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 215
@MwakaHappy
@MwakaHappy 17 күн бұрын
Tundu lisu apewebmauwa yaku🎉🎉 hakuna kuchomoa fom
@omarinyahegs4539
@omarinyahegs4539 18 күн бұрын
Mh Chawa wa Mbowe Yeriko Nyerere
@stevesungura6789
@stevesungura6789 18 күн бұрын
Lusu atashinda, mpuuzi kweli
@amos878
@amos878 18 күн бұрын
Maccm yakikushangilia ujue sio bure 😂😂
@IgnatioJonathan
@IgnatioJonathan 18 күн бұрын
Sasa leo unampinga lisu kugombea mlitaka mbowe agombee mwenyewe
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 18 күн бұрын
Mwenyekiti akiwa Mbowe sawa na mwenyekiti akiwa Lissu sawa.wote wanafaa.
@Michaelalbanus
@Michaelalbanus 18 күн бұрын
Tundu lisu mwamba wetu
@ruttades745
@ruttades745 18 күн бұрын
Hakika...asante Yeriko.I salute you
@josephatkajange8714
@josephatkajange8714 15 күн бұрын
You are nothing my dear!
@amirimsuya9531
@amirimsuya9531 18 күн бұрын
Lissu atatupeleka chaka hatufai hata kidogo
@bsmonline8482
@bsmonline8482 17 күн бұрын
Andaaa Mdahalo wa Lisu na Mbowe ili tujue kati ya Lisu na Mbowe nani zaidi. Odemba tuandalie Mdahalo.
@DavidDanken-uf7kp
@DavidDanken-uf7kp 18 күн бұрын
Et Nyerere 😅😅😅😅 ayaa bana majina, ko we na makongolo Nan mkubwa!
@Allyiddsud
@Allyiddsud 18 күн бұрын
Yeriko upo vizuri. Mbowe ❤❤❤❤❤ 5 tena
@SophiaFelichesm
@SophiaFelichesm 18 күн бұрын
Tunahitaji mabadiliko.twende na lisu
@SophiaFelichesm
@SophiaFelichesm 18 күн бұрын
Iweje mwogope akiongozaaaa
@SeifOmary-x1z
@SeifOmary-x1z 18 күн бұрын
Hivi mwalimu Nyerere naye alikua tajiri au mandera
@ahmedalkiyum7592
@ahmedalkiyum7592 18 күн бұрын
Kisha mbowe ana ongea sanaa na kunguruma bila mafanikio😮
@OS-pf6op
@OS-pf6op 16 күн бұрын
Lissu yupo juu na ndio Joshua wetu. Musa apumzike!
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 18 күн бұрын
Yeriko wewe mbowe Ni mtoto mwenzio .,ametawala miaka yote hiyo haliziki tu,mda huu nu utawala wa tundu lisu
@FestoLalata
@FestoLalata 18 күн бұрын
Huo nikweli mtupu hayo ndio maisha ya Mbowe,Mungu asaidie Mbowe
@frankcharles3980
@frankcharles3980 18 күн бұрын
Viva lisu Viva lisu viva lisu yeliko nyerere unajiharibia heshima yako umekua chawa sasa
@chihoma-m4f
@chihoma-m4f 18 күн бұрын
kaogea ukweli mshikaji apoteza sn mali
@SophiaFelichesm
@SophiaFelichesm 18 күн бұрын
Umeshindwa kuongelea kigamboni na kuisimaia huna sera yeriko hata kdg😢😢😢😢😢
@SophiaFelichesm
@SophiaFelichesm 18 күн бұрын
Maridhiano ni kufifisha umskini yeriko
@AhmedYusuph-g3f
@AhmedYusuph-g3f 18 күн бұрын
Yeriko ni chawa wa mbowe
@wilifredmollel9690
@wilifredmollel9690 18 күн бұрын
Chadema mpeni Mbowe kura atawavusha ni mpenda amani
@HoseaKigembe
@HoseaKigembe 18 күн бұрын
Hapo nimeelewa somo!
@MoshNtabwenke
@MoshNtabwenke 18 күн бұрын
Hongera yako na Mimi pia
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 10 күн бұрын
KWEL KABISA
@MzeeKagambo
@MzeeKagambo 18 күн бұрын
Jericko Umeongea Sahihi UKWELI MTUPU
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 18 күн бұрын
Mpaka sasa Chedema kuwepo ni mwamba Mboye wakati wengine wamejikimbiza
@ndimuelias6183
@ndimuelias6183 18 күн бұрын
Yeriko hata mtoto wa chekechea huwezi mdanganya
@deodathsilayo3639
@deodathsilayo3639 18 күн бұрын
Lisu anapiga kelele sasa iv ila akishika kiongoz wa chama baada ya miez tuu atakua Hana pesa na wanao msapot watamkimbia na Hana marafiki matajiri hafai na hafai tena
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 18 күн бұрын
Pesa sumu ya demokrasia. Nchini Zito Hana pesa mbona ACT inashika Kasi.
@PiusMdoe
@PiusMdoe 18 күн бұрын
Kuongoza chama lazima uwe na pesa!shame.
@ruttades745
@ruttades745 18 күн бұрын
Mimi namkubali sana Lisu lakini ni mtu mwenye nadharia sana kupitia mdomoni kwake na hivi keshapata uhakika wa makazi huko nje naogopa sana asije kutuchuuza....imekuwa mapema mno kumsema vibaya mbowe ...mbele yake kila mtu ni mbaya....kuna shida
@nassorally-xi6zh
@nassorally-xi6zh 18 күн бұрын
Lisu anatufaa
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 18 күн бұрын
Yerico, nampenda sana Mbowe, ila kwa namna unavyom'beba! Siombei baya kwa CHADEMA na kwa Taifa, lakini kwa hali hiyo, Mh Mbowe akifa ndiyo basi tena?? Hapana! CHADEMA iwepo, idumu, na iwe na nguvu hii, hata nikifa mimi, ukifa wewe Yerico, akifa Lissu au akifa Mbowe.
@laupetpet7779
@laupetpet7779 18 күн бұрын
Tunamtaka Tundulisu
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 17 күн бұрын
Mbowe ana hekima kuliko Tundulisu mropokaji tu
@PoliteJustine-s9z
@PoliteJustine-s9z 17 күн бұрын
Mikono yako iliyo andka hapa inaropoka sana
@ISAACSHABANI-h1y
@ISAACSHABANI-h1y 17 күн бұрын
Wew tunakujua ni ccm acha kutoa maoni yoyote
@deosebastian1687
@deosebastian1687 17 күн бұрын
Yereko una akili nyingi sna bro,
@EvodiusChikawe
@EvodiusChikawe 18 күн бұрын
Wewe ni mjinga sana
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 18 күн бұрын
Lissu atashinda kwa kishindo mtandaoni,Mbowe atashinda kwenye sanduku la kura.
@monicamwita7865
@monicamwita7865 18 күн бұрын
Ni kweli. Ila ukweli lisu anathema.
@josephlorri431
@josephlorri431 18 күн бұрын
Subiri matusi toka kwa team lissu.. ila umesema kweli.. wakishindwa kwa debe,atahama kumfuata mchungaji P msigwa
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 18 күн бұрын
Yeriko 😂😂😂tumewashika pabaya rudishen pesa za abdul
@AthumaniMzimbiri
@AthumaniMzimbiri 18 күн бұрын
Tu ndu ni mropokaji mmoja tu
@Michaelalbanus
@Michaelalbanus 18 күн бұрын
Nyerere acha wehu
@gidongailo7174
@gidongailo7174 18 күн бұрын
Huyu sio Nyerere, kumbuka alishaonywa aachane na jina la wenyewe
@brksamwel
@brksamwel 18 күн бұрын
Yaani mtu ambaye mlitaka awe Rais halafu leo mnasema hafai kuwa mwenyekiti wa chama? Hopeless kabisa...kwahiyo chama ni zaidi ya nchi
@ZakayoSanga-ge4jr
@ZakayoSanga-ge4jr 18 күн бұрын
Mboe mdawako umekwisha
@EdwardLutema-ez7yq
@EdwardLutema-ez7yq 14 күн бұрын
Mwamba tuvushe hatutaki kuongozwa na kichaa mitano tena
@ivanrobert3071
@ivanrobert3071 18 күн бұрын
Huyo chawa wa Mzee wa kulamba asali aka Museven au Nkurunzinza wa machame ashakuwa chizi wala hawez kutueleza chochote
@eliudinjoka8698
@eliudinjoka8698 18 күн бұрын
Yeriko wewe ni chawa tuu
@HappyKate-jv6ge
@HappyKate-jv6ge 18 күн бұрын
Yeriko ni chawa tu yeye Kwa akili yake finyu anamaanisha kwamba bila mbowe hakuna Chadema huyu ni wa hovyo
@JacobNzowa-e2f
@JacobNzowa-e2f 18 күн бұрын
Kwann mlimpa nyadhifa mtu mnaye ona hafai acha kutudanganya tupe fact zenye dira inayonyesha successful ambazo mboye ame Fanya ,,
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 18 күн бұрын
We jeriko. Ni mlevi. Wa gongo kakojoe ulale
@mpeligwamoyo4254
@mpeligwamoyo4254 18 күн бұрын
Lissu is every thing
@simonsadala2386
@simonsadala2386 18 күн бұрын
Yeriko Nyerere you are very bright like Mwl Nyerere umegusa kila Kona Wana Chadema kazi kwenu mkiue chama chenu Kwa kumchagua LISSU au Mbowe awaongoze Kwa miaka 5 mingine
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 17 күн бұрын
Kuna watu inaonekana hawaoni vizuri na hawana vision! Sababu mbowe ashaongoza miaka mingi ila ndio yale yale ila lissu bado hajaongoza uenyekiti ila msimamo wake na ukakamavu wake!!!! Lissu anafaa sana kuliko mbowe hii haina mjadala
@EmmanuelJeremiah-r2s
@EmmanuelJeremiah-r2s 18 күн бұрын
Chawa katka ubora wake
@MichaelMshihiri-zm4mk
@MichaelMshihiri-zm4mk 17 күн бұрын
Nilikuwa namuelewa yerico lkn Leo namuona ziro kabisa
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 18 күн бұрын
MBOWE inatosha sasa
@StevenMgaya-h9l
@StevenMgaya-h9l 18 күн бұрын
Huyu chawa tu, mbowe hatakiwi kabisa kwasasa kugombea uwenyekiti
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 18 күн бұрын
Hakuna miamba miwili hapo! Hapo ni mwamba mmoja tu ambaye ni Mbowe huyo Lissu ni kinia ndope tu! Hana jipya kwa Mbowe
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 18 күн бұрын
Taarabu anaijua sana Lisu maana kutwa ni taarabu mitandaoni
@ElvisMillanzi
@ElvisMillanzi 18 күн бұрын
Mbowe hafai kwa sasa
@gidongailo7174
@gidongailo7174 18 күн бұрын
Tundu Lissu hamuwezi Mbowe kama ambavyo Mbowe hawezi kufanya chochote chenye maana kwa CHADEMA zaidi ya kukiuza chama kwa CCM
@mathayodaniel812
@mathayodaniel812 18 күн бұрын
Yeriko acha kuwa chawa wa mbowe tunataka lisu basi
@joyceharris2093
@joyceharris2093 18 күн бұрын
Yeliko umechambua vizuri tumekuelewa. Lisu hafai kuwa mwenyekiti
@melch3097
@melch3097 18 күн бұрын
Ni nampenda sana lisu,lkn hafai, lisu akishinda ndio mwisho wachadema
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 18 күн бұрын
Sio kweli
@masumbukomaganga438
@masumbukomaganga438 18 күн бұрын
Kumbe uelewa wa tericko ni mdogo sana arudi shule mana amejicholesha kabisa kuwa yeye ni mbumbumbu
@ChancellorFelix-vm5yp
@ChancellorFelix-vm5yp 18 күн бұрын
Mbowe must go Wala rushwa kama mbowe wanaua chama Yericko acha kuumiza chama kwakutetea ugar wako chama n watu mkfanya ujinga wakutosikiza wanachama chama kmeshaanza kupoteza mvuto Kwa wananch kwaiyo endelea kumtetea mbowe mbaka na kava la chama kama ilivo Lipumba na chama chale alikua king'ang'aniz kama Mbowe xaiz Hana mvuto na ccm hata Haina time nao sababu hawana ushawishi Kwa wananch
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 18 күн бұрын
Lissu hafai kua mwenyekiti mtoa siri za chama 😂😂😂
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 18 күн бұрын
Hana sifa ya KUWA kiongozi kwanza ni MWONGO na hana chujio 😢😢😢😢😢
@abdullahmuhammadKambona
@abdullahmuhammadKambona 16 күн бұрын
Huyo yeriko ni chawa TU wa MPIGA DILI mbowe,,,,ashakatiwa chake au labda ukabila wa kichaga
@benardkinde8496
@benardkinde8496 18 күн бұрын
Lisu kilicho mpeleka kugombea uenyekiti taifa ni hasila baada ya kuona anaweza kukosa umakamu na nafasi ya kugombea ulaisi ndani ya chadema lisu hafai kuwa mwenyekiti taifa anaanza kuwagawa viongozi wezake sasa hivi je akiwa mwenyekiti wewe fikilia kama kunajambo la kuuliza utamsikia lisu akisema kamlize heche na msigwa hawezi kusema kamlize sugu au munyika
@ElinaMbura-h7w
@ElinaMbura-h7w 18 күн бұрын
Lissu c mtu wa kumbeza hata kidogo kwa mtu mwenye akili timam huyo katumwa n chawa tu Kama bon yai anajali tumbo lake
@ndimuelias6183
@ndimuelias6183 18 күн бұрын
Tundu lissu tunamtaka atukomboe
@winfredcanaan582
@winfredcanaan582 18 күн бұрын
Asante Yericko 👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿
@bsmonline8482
@bsmonline8482 17 күн бұрын
Sisi ni Lisu hatutaki upuuzi, Huyo kwanza hata hana uwezo wa kumsema Lisu mdogo sana.
@geraldluiso6792
@geraldluiso6792 18 күн бұрын
Kama unaongoza chama miaka 20 mpaka Sasa chama kimeshakufa (CDM 1%) CCM 99%✓ mpaka Sasa hivi mbadala wa mbowe hamna 2025 (CDM 0%) na CCM 100%✓. ❤ Mwenyekiti 😢anazikwa na CDM yake 2025. 2 %ACT wazalendo 2025.
@EvodiusChikawe
@EvodiusChikawe 18 күн бұрын
Wewe ni mpumbavu
@allenndimbo520
@allenndimbo520 18 күн бұрын
Kwahiyo mlipo mleta agombee uraisi ilikuwaje kama hawezi kuwa mwenyekiti pia ni mwongo,mbona mlitaka awe raisi? Kwamaana hiyo ninyi ni wababaishaji sio? Na hayo mbona ham kusema wakati akigombea u makamu Tatizo ni u wenyekiti na hakuna jingine Na mnasema mbowe mnamkumbatia kwasababu ya pesa Haya akifa ghafla na chama kimekufa.... Huyo Mbowe aendelee kusaidia akiwa nje tujuwe yeye ni mwana mageuzi
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf 18 күн бұрын
Tutaenda na tundu risu
@laupetpet7779
@laupetpet7779 18 күн бұрын
Mbowe hatumtaki kabisa
@anicethjonathan2846
@anicethjonathan2846 18 күн бұрын
Asante Mungu sijawahi kununua Hata vitabu vyake…maana nilidhani una akili kumbe bure kabisa…!
@mathayodaniel812
@mathayodaniel812 18 күн бұрын
Lisu anatufaa sana acha kutudanganya lisu ndiyo anatufaa huyu no shetani wetu hafai kabisa
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 18 күн бұрын
Akili kubwa sana yawezekana kweli acha apigwe kwenye sanduku akosei vyote na kibuli chake
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 18 күн бұрын
Walimuweka Lisu kugombea irais walijua hawezi shinda kwa Mwamba Magu.
@kingmsanya3524
@kingmsanya3524 18 күн бұрын
Sasa leo ndiyo na muelewa makonda
@mussanestory-j4g
@mussanestory-j4g 18 күн бұрын
Hata usemeje, MBOWE hatumtaki tu, aachie ngazi
@khalidmamdadi1072
@khalidmamdadi1072 18 күн бұрын
Lisu oyeeee
@NyolobiNkalango-ve8ns
@NyolobiNkalango-ve8ns 18 күн бұрын
Chawa na uchawa wake kaamua kushuka misitali basi kama hawezi jambo lolote ingia wewe lakini Mbowe apumzike hiyo ndiyo habari ya mjini,hatuwezi kuwa chama kinachopigania democracy huku chenyewe hakina democracy kuongozwa na mtu mumoja kwa zaidi ya miaka(20)haiwezi kuwa democracy sanasana ni matumbo yenu tu ndiyo yanayotusumbua.
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 17 күн бұрын
Kama hatumikii nafasi anazopewa na anakuwa na ushawishi mkubwa ivyo basi uyo ndo anaitajika kuwa mwenyekiti wetu make akitumikia kwa asilimia,30tu basi tunachukua nchi mapema sana!!
@joseph-fc6ry
@joseph-fc6ry 18 күн бұрын
jasus umenena vema ila kuna watu wanajitoa ufaamu
@omarymakina8930
@omarymakina8930 18 күн бұрын
Mjaadili hoja siyo watu
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 18 күн бұрын
Lisu asubiri kidogo kama cdm tunauchungu Mbowe ndiye mwarobaini wake
@tosh7671
@tosh7671 18 күн бұрын
Yeriko wewe ni msenge tu. Huyo mbowe ana kipi atafanya ndani ya miaka mitano ambacho ameshindwa ndani ya miaka 21. Msanii mzuri ni yule anayeshuka kwenye steji akiwa bado anashangiliwa sio usubiri kurushiwa chupa
@lonelysanga9328
@lonelysanga9328 18 күн бұрын
Yericko sio mchambuzi wa masuala ya kisiasa bali ni chawa,kabisa hatambui hata uwepo wa demokrasia
@wilifredmollel9690
@wilifredmollel9690 18 күн бұрын
hafai kua mwenyekiti hata dk 1
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 18 күн бұрын
Mtoaji wa hoja hizi ikiwa hazikupingwa kwa hoja,basi atakuwa amefanikiwa kuwavutia wanachama wa Chadema kuwamua nani awe mwenye kiti.
@EdwardKalunga-b8y
@EdwardKalunga-b8y 18 күн бұрын
Yeriko uko vizuri sana
@EdwardUrassa-xc6gz
@EdwardUrassa-xc6gz 18 күн бұрын
Nakuelewa sana Yeriko uko vzr
@gebbyreuben7216
@gebbyreuben7216 18 күн бұрын
Tumekuelewa Yeriko mbowe anafaaa
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 18 күн бұрын
Philipo Mwita. Huwezi tavuna mtu utaitwa muuaji😅
@boneventuremweya3673
@boneventuremweya3673 18 күн бұрын
Yeriko unatumika na chama cha dola yahani SISIEMU,LISU ndo mkombozi!
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 18 күн бұрын
Sina shaka na ushindi wa kamanda Lissu humu mtandaoni japo kwenye sanduku la kura ataibuka mshindi Mbowe
@AthumaniMzimbiri
@AthumaniMzimbiri 18 күн бұрын
Tundulisu Hana lolote. Muhuni mmoja
@AmosChristian-e4x
@AmosChristian-e4x 18 күн бұрын
Wewe mwongo
@Sirtbreaker
@Sirtbreaker 18 күн бұрын
Ina maana kila anaye gombea uenyekiti na Mh. Mbowe hafai?
@lawimichaelwerewere7619
@lawimichaelwerewere7619 18 күн бұрын
Wewe yeriko umetumiwa kwa njaa tu. Ila ukweli unaujua mbowe amefika mwisho Hana maono Tena amwachie lisu.... wewe ni chawa tu na huitakii chadema mema
@yaronaWilliam
@yaronaWilliam 18 күн бұрын
Yeye yerico akili zake ndo hazitoshi.
@ahmedalkiyum7592
@ahmedalkiyum7592 18 күн бұрын
Tatizo hutuba ya mbowe alisema kuwa anataka angalau atimize miaka 25 sijuw katika chama kama mzee yule wa mwanzo sasa hapo inaonesha kuwa anataka tu kutimiza miaka
Tundu Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena
28:12
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
Tundu Lissu: "Hakuna tena kuimbiana mambo ya maridhiano  yasiyokuwepo"
32:08
MBOWE ATOLEA Lissu UVIVU mbele ya BAVICHA, AMCHANA Liveee!!!
22:14
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 3,2 М.
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН