ABDUL NONDO AMHOJI KAMANDA MULIRO KUTEKWA KWAKE''HUWEZI KUNILAZIMISHA NIENDE POLISI,PINGU ZA KWENU''

  Рет қаралды 12,765

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 92
@JoseHadzabe
@JoseHadzabe 16 күн бұрын
Mungu ingilia kati Nchi yangu,Fanya jambo Mungu tujibu Watanzania yunaomba utusaidie
@solomtz7049
@solomtz7049 16 күн бұрын
Acha ujinga maswala ya kuomba mungu wakati unao viongoxi ndio wanasimamia hayo maswala….mungu hawezi kumsaidia mtu asiyejisaidia acha kukimbilia kwa mungu wakati mmeshinfwa kuandamana kukomesha hayo mambo……mkiambiwa kuandamana mnakaa kwenye vibanda vyenu
@unjuinkuganda1991
@unjuinkuganda1991 15 күн бұрын
USIMUOMBE SAMIA KITU UNAJISUMBUA KAKA
@AmanaHassan-cy4fi
@AmanaHassan-cy4fi 16 күн бұрын
Doggo unalihutubiaa Taifa..."Ndg Watanzania" Teh teh teeeh... Kufaa kwa Mwenda zake bhanaa...
@BadiFakibadi
@BadiFakibadi 16 күн бұрын
Vyombo vya dora vinausika Kwa 90 tisini ukitaka kujua wanapotoa matamko hayana mashiko kikubwa ukijua unataka kutekwa jitete hadi uone tone radamu ramwisho rinadondoka .
@ladislausriwa7768
@ladislausriwa7768 16 күн бұрын
Umeitwa kwa busara chukua mwanasheria wako nenda sio kila kitu ni siasa na kiki. Hatimaye utakamatwa na kufikishwa polisi unakokataa kwenda kwa hiari na busara.
@annasitaziakamtewe
@annasitaziakamtewe 16 күн бұрын
Kamanda murilo huyo yuda wa nchi hii.
@annasitaziakamtewe
@annasitaziakamtewe 16 күн бұрын
Huyo shangazi unayesema aunde tume wakati yeye ndo mtuhumiwa namba Moja.
@JamilaJumanne-u7q
@JamilaJumanne-u7q 7 күн бұрын
😊
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 16 күн бұрын
NAOGOPA KUCOMMENT NISIJE DAKWA NA MIMI 😂😂
@SandaliKhalifa
@SandaliKhalifa 16 күн бұрын
Jamani kwa mungu akuna siasa nyie wenye mamlaka jiangalieni san
@Amisiabdallah-t4n
@Amisiabdallah-t4n 16 күн бұрын
Hicho kimuriro ni kida kikuu cha ccm
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 16 күн бұрын
Kupata ukweli ina hitajika uchunguzi kwa kina anaye tekwa ana nini na ananguvu gani
@Mpendahaki
@Mpendahaki 15 күн бұрын
Nchi imeoza kabisa.ukimkosoa tu yule chawa wa machawa unatekwa.
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 16 күн бұрын
Tume ya nini? Huyo usemae aombwe aunde tume,kwani yy kama rais hajui kinachoendelea? Kama hajui,kazi imemshinda-kwani kwa kauli moja tu' Sitaki kusikia utekaji nchi mwetu,utekaji unakoma jana wala sio leo!!
@KenedySeraphine
@KenedySeraphine 16 күн бұрын
Mi naulizwa kujiteka sio kosa kisheria?
@solomtz7049
@solomtz7049 16 күн бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@BonifaceBonala-w9j
@BonifaceBonala-w9j 16 күн бұрын
London nimekuerewa Polish wanahusika na usieende.polisi wauwaji na maagizo kutoka juuu kwa mama abduli tunajua wanainchi tunasubiri kiripuke tripe kisasi kwa viongozi wetu
@annasitaziakamtewe
@annasitaziakamtewe 16 күн бұрын
Wanaobeza wanaotekwa na kwamba wanajiteka ninyi ndo watekaji na Wana hao maharamia wanaotekwa.
@eliassabbath2480
@eliassabbath2480 16 күн бұрын
Wahuni sana wapimzani wa nchii hiii
@kibwetere1418
@kibwetere1418 16 күн бұрын
Undugu kwa sasa umekwisha binadamu wamebadilika sana wamekuwa kama wanyama
@harounmaarufu3241
@harounmaarufu3241 16 күн бұрын
Mimi nimeishachukia
@MikereMio
@MikereMio 14 күн бұрын
Bozi wako kabwe sie mpambe wa samia , anasemaje juu ya kutekwa kwako
@profs.a5412
@profs.a5412 16 күн бұрын
Unawapa mapendekezo hata watekaji?? 😢
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 16 күн бұрын
Waulize chadema aacha utekaji maana waliotaka kumteka talimo waliokuwa nichadema mmoja wao alikuwa amevaa nguo ya chadema
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 16 күн бұрын
Matako yako
@MrossoBarth
@MrossoBarth 16 күн бұрын
Lissu alisema nani anayeteka?
@hamisidd8124
@hamisidd8124 15 күн бұрын
Acheni kujiteka alafu munadanganya watanzania wewe tumekuzoea
@WiliamMlama-my2ib
@WiliamMlama-my2ib 16 күн бұрын
Siasa za maji taka
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 16 күн бұрын
Panya kweli hii
@PiusAloyce-kr7uk
@PiusAloyce-kr7uk 16 күн бұрын
panya mwenyew
@Yusuphrevocatus-g3v
@Yusuphrevocatus-g3v 16 күн бұрын
si ulisema wali kukataza usizungumzie swala hilo kwenye media.. nakukumbusha tu maana tumeumbiwa kusahau
@salyali7807
@salyali7807 15 күн бұрын
Hakuna ataeishi milele na hao wanaoteka wana siku yao itayokua chungu kuliko wanavowafanyia wananchi
@RamadhanAthuman-d4c
@RamadhanAthuman-d4c 16 күн бұрын
Nyinyi mliwazarau chadema Sasa kimewapata na nyinyi hapo safi Sasa
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 16 күн бұрын
Nani aliyempiga risasi Tundu Lissu? Mpaka leo hakuna jibu tangu 2017!! Tatizo hapo mwanzo tulidhani haya mambo hayatuhusu wengine, sasa mambo yamekithiri, mpaka askari nae anatekwa. Let's be serious with the matter. Achekae halijamkuta!
@KenedySeraphine
@KenedySeraphine 16 күн бұрын
Hata kama matukio ni ya kutemgeneza kisheria ni halali?
@JoelJoel-xu7lj
@JoelJoel-xu7lj 16 күн бұрын
Kosa lipi dogo mnatekana nyie kwa nyie
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 16 күн бұрын
Ww nichadema watekaji hovyo unasela
@HamisHussein-h5h
@HamisHussein-h5h 16 күн бұрын
Mpaka sikumoja mtu aperekwe kwa mparange ndio mtaturia
@JabirJabir-r5g
@JabirJabir-r5g 16 күн бұрын
Acha ujinga.
@harounmaarufu3241
@harounmaarufu3241 16 күн бұрын
Abdul usipate tabu hap wanaolanisha na kiuteka iko siku watakitana na ghadhabu za mqenyezi mungu
@JoelJoel-xu7lj
@JoelJoel-xu7lj 16 күн бұрын
Kafanye kazi zako wewe mnatekana nyie kwa nyie
@salyali7807
@salyali7807 15 күн бұрын
Namuomba Allah akuonyeshe wewe na familia yako uonje uchungu wakutekwa ... laanatullah
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 16 күн бұрын
Abiduli Nondo amechagua kiniteka ili apate umaarufu japo chadema wanateka
@AnthonyChaula-d8l
@AnthonyChaula-d8l 16 күн бұрын
Ww ni tahira
@salyali7807
@salyali7807 15 күн бұрын
​@@AnthonyChaula-d8lHuyu ni zaidi ya tahira... lakini pumbavu likipumbaa basi pumbaa nalo
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 16 күн бұрын
Ningekuwa Mimi saiv Nondo ungekuwa magereza
@ShesheKaoneka
@ShesheKaoneka 16 күн бұрын
Wewe huna lolote usipoteze muda wako tafuta kazi ya kufanya.
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 16 күн бұрын
Wewe unajiteka pumbavu wewe
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 16 күн бұрын
Umezoea kujiteka,inawezekana ulituma waigizaji
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 16 күн бұрын
Wewe unahusika na kuteka watu
@GiliardLugala
@GiliardLugala 16 күн бұрын
Huna lolote wewe si uliwahi jiteka ukaenda iringa. Mpuuzi mmoja wewe
@salyali7807
@salyali7807 15 күн бұрын
Namuomba Allah akuonyeshe wewe na familia yako ujue uchungu wake ... laanatullah
@eliassabbath2480
@eliassabbath2480 16 күн бұрын
Matapeli waongo nyie
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 16 күн бұрын
Kumekucha
@mussaelias3535
@mussaelias3535 16 күн бұрын
Kijamaa kiongo hiki kina tafuta umaarufu masikini umaarufu kwenye siasa ww huwezi hata mvuto kisiasa huna bro tafuta umaarufu sehemu nyingine
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 16 күн бұрын
Nikweli umaarufu sio
@gabrielmahala9848
@gabrielmahala9848 16 күн бұрын
Kwa hiyo anaongea uongo, mnatuona watanzania ni wajinga? Kwa sasa tunaona kila kitu kabla hajaongea tunajua kuna utekaji
@gabrielmahala9848
@gabrielmahala9848 16 күн бұрын
Wewe ndio muongo
@paultavin3114
@paultavin3114 16 күн бұрын
Unataka hadi mtu apatikane ame uwawa ndiyo uamini
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 16 күн бұрын
Mbwa wewe ukisema umetekwa ukakutwa kwadem wako iringa halafu Leo tikuamini?
@BadiFakibadi
@BadiFakibadi 16 күн бұрын
Wewe kenge
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 16 күн бұрын
Nondo tafuta chakufanya
@salyali7807
@salyali7807 15 күн бұрын
Ulitaka Akuunge wewe kula damu za watanzania ... laanatullah
@Hassang3z
@Hassang3z 16 күн бұрын
Mnatekana wenyewe mjinga
@hongerakimbwala8650
@hongerakimbwala8650 16 күн бұрын
Hayakukuta ndugu
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 16 күн бұрын
Nondo nimjinga Sana , anataka waseme wakat yy akisema ametekwa kumbe Yuko kwadem iringa
@salyali7807
@salyali7807 15 күн бұрын
Namuomba Allah akuonyeshe wewe na familia yako uonje uchungu wake ... laanatullah
@Mrs0marsaid
@Mrs0marsaid 16 күн бұрын
Polisi wamekua ndio watekaji wakistafu wanakua majambazi sababu ni jambo la kawaida tu linakua baadae kwao. Serekali hii kweli chukua chako mapema
@nejamsalo9287
@nejamsalo9287 16 күн бұрын
Natamani nione video inayokuonesha umetupwa koko😂beach ukiwa na hizo pingu baada ya kuzinduka
@salyali7807
@salyali7807 15 күн бұрын
Hasbiyallah waneemal wakeel
@JosefuSwai
@JosefuSwai 16 күн бұрын
Acha kelele wewe nyau
@salyali7807
@salyali7807 15 күн бұрын
Namuomba Allah yakufike kwako na familia yako uonje uchungu ...laanatullah
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 16 күн бұрын
Yaani umeandikiwa hotuba , unasoma! Du, nani kakwandikia?
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 16 күн бұрын
Bwege wewe usitudumbue nashukuru watanzania wamegundua kuwa Nondo ananiteka
@salyali7807
@salyali7807 15 күн бұрын
Laanatullah
@malkavoice2570
@malkavoice2570 16 күн бұрын
Nondo bhana,unadhani Raisi hawajui watekaji na wauaji hadi ajisumbue kuunda tume. Kila kitu walishasema upinzani wote hasa Chadema. Raisi amebariki haya na ndiomana Lissu hataki tena busara za kinafiki
@annasitaziakamtewe
@annasitaziakamtewe 16 күн бұрын
Anaye waambia wanaharakati ni wahuni ni nguruwe.
@daudymlauletv8489
@daudymlauletv8489 16 күн бұрын
Jamaa huyu ni muongo sana kalijiteka kenyewe
@StivinPasco
@StivinPasco 16 күн бұрын
Duuu coment yako imenifanya nitamani kujua unaishi wapi ???
@AnthonyChaula-d8l
@AnthonyChaula-d8l 16 күн бұрын
Watu kama nyie sijui kichwani ni matahira yaani sijui
@daudymlauletv8489
@daudymlauletv8489 15 күн бұрын
@AnthonyChaula-d8l kwaiyo ulivyo zwazwa unaamini kalitekwa
@AnthonyChaula-d8l
@AnthonyChaula-d8l 15 күн бұрын
Bro unakera ujue so unafikiri SASA alijifanyeje? Shida ya wa TZ waliowengi ni mambumbu Itawachezea hii CCM hihi mpaka kizazi cha nne kwa sababu ya kutokujitambua
@HabibuMajala
@HabibuMajala 16 күн бұрын
huo muda unaupoteza utajaujutia bora ungebeba jembe uende shambani walau utavuna hata chakula wewe unatafuta umaarufu tu
@salyali7807
@salyali7807 15 күн бұрын
Hivi ndivo tulivotawaliwa kiakili katafute jembe ukalime usijali kesho yake na vizazi vijavo vitaendelea kutafuta jembe ... utumwa mbaya ni intellectual inadumaza akili za waja
@Mrmohadi.OFFICIAL
@Mrmohadi.OFFICIAL 16 күн бұрын
Sasa wanao teka ndo wanao takiwa kutulinda sasa kama hao ndo watekaji nani ata tulinda cha msingi jilinde mwenyewe wakija kichwa kichwa kufa nao
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 16 күн бұрын
Mjinga wewe endelea kujiteka
@salyali7807
@salyali7807 15 күн бұрын
Laanatullah
@NDEWARA
@NDEWARA 16 күн бұрын
Upuuzi mtupu. Unasoma uliyoandikiwa???
@salyali7807
@salyali7807 15 күн бұрын
So what?
@DICKSONTimoth-xk7rj
@DICKSONTimoth-xk7rj 16 күн бұрын
Acha uwongo
Luhya Nation, Tell Ruto the truth
16:09
Herman Manyora
Рет қаралды 12 М.
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
PURE GASLIGHT: Why Ruto's Mulembe Tour has Failed!
53:21
Herman Manyora
Рет қаралды 32 М.
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН