JOHN HECHE AGEUKA MBOGO AKIJIBU MASWALI YA WAANDISHI

  Рет қаралды 28,162

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 172
@AbdullahAhmed-t7p6l
@AbdullahAhmed-t7p6l Күн бұрын
John heche great. Head in Tanzania politics way John heche answering questions from locel Tanzania janalist it show John heche is the leader on high level and has the righty to fight on vice charman in chadema political party l love that way has answering all questions from local Tanzania janalist
@AweMagdalena
@AweMagdalena Күн бұрын
Heri Taifa Ambalo Bwana ni Mungu wao wataitwa wana wa upendo
@williamcosmas1986
@williamcosmas1986 Күн бұрын
Dini ikimeza akili ni ugonjwa wa afya ya akili 😢
@BarnabasAmlima-js1df
@BarnabasAmlima-js1df Күн бұрын
Thank you, Heche!
@JosephineKiminjo
@JosephineKiminjo Күн бұрын
❤❤Heche unatisha nasunami uko vizuri mbowe apishe hawezi upepo wa tsunami akaekando
@YasseenArafat
@YasseenArafat Күн бұрын
Tunahitaji siasa ngumu kama hizi kwenye nchi kama hii💪💪💪💪
@jafarimsigwa277
@jafarimsigwa277 Күн бұрын
Yakitokea machafuko utakimbilia wapi?
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Күн бұрын
​@@jafarimsigwa277bora yatokee
@Leo-ngende
@Leo-ngende Күн бұрын
​@@jafarimsigwa277 kwann yatokee machafuko nani wa kuyaleta machafuko? Bila Shaka wanaojiona wao ndio wenye hii nchi ndio wataleta machafuko kwa sababu ya kutokubali maslai ya wananchi kwa miaka hii yote wanayoongoza
@melki-kabalu759
@melki-kabalu759 Күн бұрын
Kabisa..✊🏿✊🏿
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 21 сағат бұрын
​@@jafarimsigwa277Nchi yetu hakuna matukio Wala machafuko yatakayotokea Imani yetu itazidi kudumu
@BenedikitoJohn
@BenedikitoJohn Күн бұрын
Tuna kwenda na lisu pamoja na John heche
@deodatusmugalulamugalula
@deodatusmugalulamugalula Күн бұрын
Ushari wangu kwa Mboe na wenjewakalime mvua zimeishaanza siasa zimewashinda wasiseme sijawaambia.
@khalidmamdadi1072
@khalidmamdadi1072 Күн бұрын
Asante Muheshimiwa Hecheee
@CatherineLekule-l7z
@CatherineLekule-l7z Күн бұрын
Sipati picha CHADEMA inaongozwa na Mwenyekiti:Lisu, Makamu Mwenyekiti:Heche, alaf Katibu: Lema, wote n wabishi na misimamo mbele
@Muhammedramadhan-xl6yg
@Muhammedramadhan-xl6yg Күн бұрын
😂😂atari sana
@agnettakamugisha4984
@agnettakamugisha4984 Күн бұрын
Eti muwape nchi😢
@munibullahmarunda1325
@munibullahmarunda1325 Күн бұрын
Kitawaka aisee
@ErnestiSulle-w9k
@ErnestiSulle-w9k Күн бұрын
Wanastahu Sana, hao unaowadhani ni wapole umewafaidi nini zaidi ya dhuluma kwa miaka mingi.
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 Күн бұрын
hao Unao dhani Ni Wastarabu Umefaidika Na nin Mbwaa weww 😂😂😂​@@agnettakamugisha4984
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob Күн бұрын
Heche kitambo namkubali, huyu Jamaa Ni mkrya kweli
@s2ek634
@s2ek634 Күн бұрын
Upo vizuri sana heche
@evaristosanga471
@evaristosanga471 Күн бұрын
Huyu kama Malema.
@Mtuwawatu1993
@Mtuwawatu1993 Күн бұрын
Ongera sana heche kwa misimamo yako
@Valerianshad
@Valerianshad Күн бұрын
Heche uko vizurii unaoja nzuri 😅😅😅😅😅
@moseskita4251
@moseskita4251 Күн бұрын
Uyu mwamba ni kichwa sana nawapeenda sana
@nestor384
@nestor384 Күн бұрын
The soldier is going to join the hustler Tundu Antipas Lissu Tunataka serious politician kama hawa gilba za SISIEM zinapaswa kufika mwisho We are tired of the stupid politics za Freeman Mbowe na porojo zake
@gabrielsaelie8091
@gabrielsaelie8091 20 сағат бұрын
Mbowe alionekana hayupo makini pale alipoitisha maandamano yale ya kupinga maauji na utekeji wa watu katika jiji la dar es salaam pekee badala ya kuitisha maandamano kila mkoa. Hii ilikuwa kuna ajenda fiche ili kuipunguzia serikali (ccm) stress za kukabiliana nayo. Na ndio maana yalizimwa kirahisi. Utaona ccm ndio wanapendelea aendelee kuwa kiongozi wa chadema kwa kipindi kijacho hususani wakati huu wa uchaguzi mkuu.
@robbyman6213
@robbyman6213 Күн бұрын
HECHE, LISSU, LEMA ✅✅✅
@moseskita4251
@moseskita4251 Күн бұрын
@@robbyman6213 akiongezeka Mwabukusi
@RegnaldDanda-k3i
@RegnaldDanda-k3i Күн бұрын
Ahsante sana baba Heche.
@mcharo255
@mcharo255 Күн бұрын
Ninafurahi sana kuona chadema inatengamaa hivi
@charlesmtangi9046
@charlesmtangi9046 Күн бұрын
Unaongea point sana mkuu naamini mwenyez mungu atakujaali na utashinda tu mkuu sioni mpinzani wako kma ana anaweza kuongea chochote ukimuuliza kwann unagombea zaidi wanataka kuendeleza upigaji tu
@MussaKulanga
@MussaKulanga Күн бұрын
Huyu jamaa ni kiboko sana chadema huyu ndio kiongozi anjua kujibu maswali na kushawishi watu kweli mbowe anastahili ajitoe kabla ya uchaguzi ili alinde heshima
@melejilendakwi3698
@melejilendakwi3698 Күн бұрын
Lissu na heche, 100
@barillalitibulali1565
@barillalitibulali1565 Күн бұрын
Hakika Heche unafurahisha!
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Күн бұрын
Heche ni muhasibu Lissu Mwanasheria tukiwaweka pale magogoni Week sisi ni matajiri tunaweza kuishi bila kufanya kazi miaka 5 tukala tukanywa na tukazurura duniani guys. Tuacheni uzembe wa kufikiri. Tz sio masikini kama sisi tuliozaliwa hapa,ebo!
@melki-kabalu759
@melki-kabalu759 Күн бұрын
Let's goooo Soldiers!!@✊🏿✊🏿 🔥
@hectorgold147
@hectorgold147 Күн бұрын
upo vzr
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Күн бұрын
Mwandishi muuliza maswali toka Jambo rudi darasani.
@hectorgold147
@hectorgold147 Күн бұрын
Asante kwakutuewa
@JoelKilemile
@JoelKilemile Күн бұрын
Muheshimiwa Heche ninakuelewa sana.
@mkanjimamkanjimamkanjima2043
@mkanjimamkanjimamkanjima2043 Күн бұрын
Heche kama Heche nakukubali sana 😂😂 eti ni kweli Mbowe katujenga sasa alitujenga ili iweje 😂😂😂
@kashangakuroka997
@kashangakuroka997 23 сағат бұрын
😂😂😂😂
@paschalmlekwa7173
@paschalmlekwa7173 15 сағат бұрын
😂😂😂😂
@erickbanyenza
@erickbanyenza Күн бұрын
Kambi yumo na mwalimu wangu Chifu Adronicus Kalumuna. Hii ni balaa
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv Күн бұрын
Hili ndo limashine
@danielpaul4108
@danielpaul4108 Күн бұрын
Smart brain
@IGANASCOSMAS
@IGANASCOSMAS Күн бұрын
MUNGU Kwanza siasa zifuate. Imeandikwa Utafuteni Kwanza Ufalme Wa Mbinguni na Mengine yote mtazidishiwa.
@dauddismas1898
@dauddismas1898 18 сағат бұрын
natamani sana chadema mtuoneshe maana halisi ya uchaguzi wa haki ambao siku zote tunatamani kuuona katika taifa letu , jitahidini sana kutuonesha hilo
@adammseven7085
@adammseven7085 Күн бұрын
Heche kumbe wewe ni mtu bwana unastahili kuwa na lisu
@bonifasimichael1320
@bonifasimichael1320 Күн бұрын
Lisu & heche
@laanyunilaizer1666
@laanyunilaizer1666 Күн бұрын
Nilimsikiliza sana Juzi Ntobi na Yericko Wakati wa mdahalo,walisema wapiga kura ni Elfu moja miambili,na karibu Team Lissu wengi hawapo Kwa kuwa walishindwa kwene chaguzi za kanda ,Kwa mtindo huu,hatakama sisi wengine Tunamtaka Lissu na Heche hamwoni kuwa chama kinakwenda kujichaguliwa watu ambao kimsingi siyo chaguo la Watanzania?Mungu Ongoza Uchaguzi huu Haki itendeke
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 Күн бұрын
Uyu Sasa ndo heche naye mjua chuma wajumbe chonde chonde ni lisu na heche
@CLEMENTNDOLE
@CLEMENTNDOLE Күн бұрын
Jamani ingekuwa vizuri mkajibu maswali mnayoulizwa Kwa ufasaha ili tuelewe kulikoni kuweka maelezo mengi yasiyohusika.
@iddkessy
@iddkessy Күн бұрын
Jamaa amekomaa kisiasa
@PapaaMashana
@PapaaMashana Күн бұрын
Mwamba hakiamungu weweheche umepitakuwa makamu wamwenyekiti lisu nimekuombea kwamungu
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 Күн бұрын
Mwandishi kaumbuka kumbe watakaopiga kura wapo humohumo😂
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Күн бұрын
Mbowe,Boni na Wenje walimchukia Lissu alipokataa ile hela ya Abdul,hakuna Abdul nchi hii sio tegemezi ya wazazi na ni mbinafsi kishenzi alafu hana elimu ya ujuzi ni mtumia mbinu za wazazi wake always
@KamugishaSupe
@KamugishaSupe Күн бұрын
Lissu Heche Chadema Iko imala zaidi ya Jana
@bsmonline8482
@bsmonline8482 Күн бұрын
Hii Kichwa bwana ni hatari sana, Cheki anavyopanguo hoja na kujibu Maswali.
@gabrielsaelie8091
@gabrielsaelie8091 20 сағат бұрын
Mbowe alionekana hayupo makini pale alipoitisha maandamano yale ya kupinga maauji na utekeji wa watu katika jiji la dar es salaam pekee badala ya kuitisha maandamano kila mkoa. Hii ilikuwa kuna ajenda fiche ili kuipunguzia serikali (ccm) stress za kukabiliana nayo. Na ndio maana yalizimwa kirahisi. Utaona ccm ndio wanapendelea aendelee kuwa kiongozi wa chadema kwa kipindi kijacho hususani wakati huu wa uchaguzi mkuu.😂
@Lubango-gj3ud
@Lubango-gj3ud 23 сағат бұрын
Hehe, julius 14:32 malema wa Tz.
@deniskaoneka
@deniskaoneka Күн бұрын
Kaka hechee uko vizuli sana
@davidpallangyo114
@davidpallangyo114 Күн бұрын
Akiondoka Mbowe,anayefaa kwa vigezo vyote kuwa Mwenyekiti wa Chadema ni HECHE.
@PetrolBhulugu
@PetrolBhulugu Күн бұрын
Hiyo ni kweri kuhusu mafuta niliona wiliya moja
@RegnaldDanda-k3i
@RegnaldDanda-k3i Күн бұрын
Kama ccm inajielewa isingekuwa mwizi wa kura ,Wala isingetumia Dola ingekuwa hoja kwa hoja
@LesiJama
@LesiJama Күн бұрын
Kijana mwenyewe Nondo kweli kweli ni huyu hapa achana na hawa kina ntobi , yerico na lemburs washenzi kabisa
@gabrielsaelie8091
@gabrielsaelie8091 20 сағат бұрын
Waandishi wote wa habari wote ni pro ccm. Kwa sasa Ccm ndio wanamtaka Mbowe eendelee kuwa mwenyekiti wa Chadema ambaye ni Liberal. Wanamwogopa Lisu maana ni radical mwenye kutaka mabadiliko ya kweli.
@MunirDaniford
@MunirDaniford Күн бұрын
Siasa za ivi ndo nazitaka
@iddkessy
@iddkessy Күн бұрын
Yaan mtu anaongea mpaka unasema hii nchi ingipata viongozi kama Hawa tungefika mbali tuu
@DrDaniel-w5y
@DrDaniel-w5y Күн бұрын
Kabisa yan point to point
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 Күн бұрын
Kabsa yan tukija kupata uongozi wa upinzani Kama hawa mambo ya kipuuzi hayatapita
@melki-kabalu759
@melki-kabalu759 Күн бұрын
Kabisa.. 🔥🔥
@StivinPasco
@StivinPasco Күн бұрын
😂😂😂😂Kaka angu heche 1 nilimx sauti yako 2 umejiwa kunifurahisha na kimbunga na sunami wewe & lissu kula 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Wajumbe mkifanya kosa mtaumiza miyo ya watanzania
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 Күн бұрын
Salute
@alexanderpeter897
@alexanderpeter897 Күн бұрын
Unaweza kuita Tundu Anti-corruption Lissu
@melki-kabalu759
@melki-kabalu759 Күн бұрын
Kabisa..😂😂😂🔥
@boniphacesululu5428
@boniphacesululu5428 Күн бұрын
Hawa waandishi huwaga hawatangaxi habari za chadema ila huwaga wakwanza kuuliza maswali sijui taarifa huwaga wanapeleka wapi au ni walewale
@gidongailo7174
@gidongailo7174 Күн бұрын
Waandishi uchwara, wachonganishi😂😂😂
@JohnMalina-k7o
@JohnMalina-k7o Күн бұрын
CCM wanajielewa kwa woga wakutimia mapolisi na wakurugenzi wa halmashauri kuona haki za wanyonge?
@kabangoamini8431
@kabangoamini8431 Күн бұрын
Mwenyekiti kaisha muachia Risu kwani hata kujinadi hataki
@bsmonline8482
@bsmonline8482 Күн бұрын
Ushindi wa kimagufuli magufuli 99.9%
@melki-kabalu759
@melki-kabalu759 Күн бұрын
Hilarious 😂😂😂✊🏿
@deodatusmugalulamugalula
@deodatusmugalulamugalula Күн бұрын
LISUMANIA
@marieconnect6389
@marieconnect6389 15 сағат бұрын
Heche PLEAAE UTATUUA NA PRESSURE. USITAJE HAYO MAPESA WANAYOVUNA WABUNGE WALIOCHAGULIWA NA WSNANCHI. ROHO ZINAUMA UUUWIIIII.
@zuberikasonso4104
@zuberikasonso4104 19 сағат бұрын
Ndiomana ccm hawataki watu kama hawa waingie bungeni wanajuwa miswada mingi ya serikali itahojiwa sana
@leonardramiye8207
@leonardramiye8207 Күн бұрын
Power
@TrustElbashil
@TrustElbashil Күн бұрын
Waandishi wa habari wote wanafki hao
@amirisaid6341
@amirisaid6341 Күн бұрын
Kwa nini?
@annahalale9083
@annahalale9083 Күн бұрын
Safi Sana Heche.
@JoelKilemile
@JoelKilemile Күн бұрын
Nimeipenda hiyo ya walimu bu shit 😂😂😂😂😂.
@jimmymwita3714
@jimmymwita3714 Күн бұрын
Chuma hicho naogopa wiz mkishinda nakuja kujiunga
@edwardmakonge6951
@edwardmakonge6951 Күн бұрын
nyanda jamani maswali gani hayo?umetumwa?
@PendaelJames
@PendaelJames Күн бұрын
Sjawah kuwa na mashtaka na heche
@OmokeryaMame
@OmokeryaMame Күн бұрын
Heche hakika ww unapaswa kiongoz
@kigesomichael8061
@kigesomichael8061 Күн бұрын
Tnakwenda na lisu na hecho
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 Күн бұрын
Idani jinga jinga
@herbertbathlomeo4650
@herbertbathlomeo4650 Күн бұрын
Kiongozi haswa
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Күн бұрын
Peoples!!!!
@CLEMENTNDOLE
@CLEMENTNDOLE Күн бұрын
Kinachonishangaza ni kwamba, baadhi ya viongozi wa CHADEMA wanadai makamo wa mwenyekiti kuwa hafai kuwa mwenyekiti wa chama. Ataweza vipi kuongoza nchi iwapo ninyi mnadai hawezi tu kuongoza chama?
@joseloya1349
@joseloya1349 Күн бұрын
Big up mh. Heche. Umeongea kukubwa sana. Ila kwa ushauri kiongozi anaekufaa kua juu yako ni Mbowe maana na msikivu. Lisu anapenda kukinukisha mwepesi wa jaziba
@japhetnzunda99
@japhetnzunda99 Күн бұрын
Haya tuache saduku ifanye kazi
@JumanneKigori-fm1nn
@JumanneKigori-fm1nn Күн бұрын
au aongezewe miaka 30 😂😂😂mpaka mwanangu aweze kuwa mwenyekiti ajaye
@mohamedsiaga7651
@mohamedsiaga7651 Күн бұрын
Subirini uchaguzi ufanyike mbona mnawasiwasi team Lisu ?
@yaronaWilliam
@yaronaWilliam Күн бұрын
Nadhani Sasa mabadiliko ndani ya Chadema yataonekana,Lissu na Heche ni viongozi sahihi kwa nyakati hizi ndani ya Chadema, Mbowe apewe heshima yake kwa kazi nzuri aliyofanya abaki na legacy yake, nashauri Mbowe ajitoe ktk hii kinyang'anyiro abaki kuwa mshauri wa chama.
@twahirabasi9765
@twahirabasi9765 Күн бұрын
Mbowe tunakupenda sana, ila please kaa pembeni kwa maslahi mapana ya chama, usiabuse upendo wetu kwako kwa kutaka taasisi ya chama iende down na wewe.
@chrispinmrema9036
@chrispinmrema9036 21 сағат бұрын
Heche akili kubwa
@KhalfanChaula-p7y
@KhalfanChaula-p7y Күн бұрын
Mbowe anabomoa hiki chama alichokijenga nusu ya maisha yake yote
@AnaniaNgota
@AnaniaNgota Күн бұрын
Hatutaki mzunguko wa Hela bila kua na uzalishaji
@melki-kabalu759
@melki-kabalu759 Күн бұрын
Kweli kabisa..✊🏿✊🏿🔥
@JosephMasaba-u2x
@JosephMasaba-u2x Күн бұрын
Baba.mnatufaa.wewe heche.pamoja narisu.mberekwa.bere
@barryrioba3934
@barryrioba3934 Күн бұрын
LISSU HECHE LEMA LISSU HECHE LEMA LISSU HECHE LEMA
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 Күн бұрын
LICHELEMA 😊
@RevocatusKitambi
@RevocatusKitambi Күн бұрын
NAMUOÑA JOHN HECHE AKEPELUSHA BENDELA KUGOMBEA URAIS 2025 KUTOKA KANDA YA ZIWA MKOA MARA KWAO NA MLM NYERERE
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko Күн бұрын
Mbowe ziiiii
@IGANASCOSMAS
@IGANASCOSMAS Күн бұрын
Mmm. Hivi ni keki Gani hiyo inayozungumziwaga na wanasiasa 😂😂.Mbona mi naona watanzania wapi huru jamani wanafanya biashara bila kuzuiliwa, wanalipwa mishahara Yao Tena Kwa wakati, Wanafunzi mikopo wanapewa Tena Kwa wakati. Wafugaji wafuga hawana shida. Hizo shida mnazosema CCM wanazo ni zipi. Mmm!!!! Nimeuliza Kwa uzuri tu.😊😊😊😊
@njanjimlwale
@njanjimlwale Күн бұрын
Umeeleza mengi ndugu, lakini jaribu basi kufiri japo kidogo vip kuhusu waliotekwa, kuuawa, kupotezwa, kupigwa risasi, mishahara duni, halingumu za wananchi, wizi wa kura, ufisadi naoibua CAG kila mm mwaka n.k. unataka tuongozwe kama mbuzi kwa kuswagwa au kama binadamu wenye akili na utashi. Tafakar ndugu haya mambo itakusaidia kujenga hoja vizur
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Күн бұрын
Tutolee ujinga wako hapa.maneno mengi uvundo mtupu.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Күн бұрын
​@@njanjimlwalehongera sana.umemjibu vizuri sana.
@JosefuSwai
@JosefuSwai Күн бұрын
Mbwe tunampenda lakini kwa sasa apunzike
@mohamedkashindi7689
@mohamedkashindi7689 20 сағат бұрын
Akika mbowe akiachia chama chadema ndo kwisha kwake yote ni mbinu ya kukiuwa chama
@leonardramiye8207
@leonardramiye8207 Күн бұрын
Mbowe achia vijana wafanye kazi
@ernestmamuya4458
@ernestmamuya4458 18 сағат бұрын
Heche na lissu wanatosha
@NorbertKagali
@NorbertKagali Күн бұрын
Nyanda hajui kuuliza maswali kwani hata kwenye kipindi chake cha medani za siasa muda mwingi huwa anajuwa muongeaji na si mdodosaji. Pia anapenda ujibu anavyotaka yeye.
@HuseniMsumba
@HuseniMsumba Күн бұрын
MIMI NAMTAKA MBOWE AJITOE AWAACHIE WENGINE NAO WAJARIBU BAHATI YAO,
@SalumuChamkulu
@SalumuChamkulu Күн бұрын
Acha mambo ya kike Wacha watu wapambane kidume apatikane
@philipongenzatv
@philipongenzatv Күн бұрын
Mashine tata hiiiii
@melejilendakwi3698
@melejilendakwi3698 Күн бұрын
Huyu kaka anafaa kuwa hata raisi cz ana uwezo mkubwa sana
@PetrolBhulugu
@PetrolBhulugu Күн бұрын
Upo sawa heche kwani uongozi ni mbowe
@HeriMohamedi-re7xu
@HeriMohamedi-re7xu Күн бұрын
Chadema tulikuwa tunawaamini kumbe ni Wale Wale tundu ni chawa wa kizimkazi yaani watanganyika wamekubali kuwa mateka n'a koloni la Zanzibar mkiambiwa Simba day au yangavday mnajaa barabarani lakini kuhusa ya watu kimya anaupiga mwingi goli moja inauzwa ml5 wtt wenu wanaenda shule kwa miguu km nyingi
@SaidCannal
@SaidCannal Күн бұрын
Huyu mwandishi ana uhakika gani kuwa chadema ilihujumiwa na mtu anayejibu nae anakubali hati waliibiwa kura.. hivi ninyi mnatufanya watz hatuna akili pumbav kabisa
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Күн бұрын
Wenje hafai,Heche unafaa,Lissu anafaa,Mbowe anafaa.Ila Lissu punguza ukali wa maneno.
@bsmonline8482
@bsmonline8482 Күн бұрын
Alaah yaleyale ya kwenye Kampeni. Apunguzeje Ukalu wa Maneno kwenye Mambo Serious
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
🔴#Live DKT SLAA AMLIPUA VIBAYA MBOWE UFUATAGI KATIBA UNAONGOZA KIBABE NA UNAUZA CHAMA
11:38
UNABII WA MWAKA 2025 | PROPHET EDMOUND MYSTIC
1:53:08
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 15 М.
HECHE BUNGENI: "Mtaua Sana, Waambieni Watanzania Ukweli"
10:40
Global TV Online
Рет қаралды 470 М.