WAWAPIGIA SIMU WAJUMBE KUWAOMBA WAMPIGIE KURA MBOWE KUWA MWENYEKITI WA CHAMA MUHULA MWENGINE..

  Рет қаралды 35,387

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 332
@BongoCryptos
@BongoCryptos 14 күн бұрын
Mbowe ameyatimba😂 gonga like kama tuko pamoja.
@jamaliddiin9357
@jamaliddiin9357 14 күн бұрын
Ana haha kakaliwa kooni
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 14 күн бұрын
Lisuuuuuuu❤❤❤ sasa
@audifacejosephat7071
@audifacejosephat7071 14 күн бұрын
Hahahaaaa mbowe atatoka tu hamna namna mwaka huu ameyavaga kwa lissu😂
@suleimanh1826
@suleimanh1826 14 күн бұрын
Tatizo humjui vizuri mbowe wewe
@michaeljames403
@michaeljames403 14 күн бұрын
Ni Lissu huyu huyu ama ni mwingine?. Kama ni huyu basi mtajuta mkataa chema pabaya panamuita
@SaraJinalangu
@SaraJinalangu 14 күн бұрын
Hakuna lolote yaani kwa hiyo huyo Mbowe atakaa milele sio hebu kwanza tunahitaji mabadiriko​@@michaeljames403
@rogersiddy
@rogersiddy 11 күн бұрын
​@@suleimanh1826Sasa tutamjua vzr chaguzi hizi mda😂😂😂😂🙌
@YohanaMasebo
@YohanaMasebo 14 күн бұрын
Mbowe must go
@FrankKwanama-lo6fj
@FrankKwanama-lo6fj 14 күн бұрын
Kama mambo ni hayo ya team Mbowe hawafai kuiongoza chadema!
@roypeters9829
@roypeters9829 14 күн бұрын
Hahaaaa😅😅😅😅 watu wa mbowe mmeliwa..
@EvaristMwanisawa
@EvaristMwanisawa 14 күн бұрын
0:00 0:00
@wilfredmbussa4930
@wilfredmbussa4930 14 күн бұрын
Nimecheka yule wa Kanda ya Victoria 😂😂😂😂
@RenatusMatungwa-o7c
@RenatusMatungwa-o7c 13 күн бұрын
Anakwambia hasirudie kupiga simu tena victoria😂
@MariamDilla
@MariamDilla 14 күн бұрын
Hon. Mbowe must step aside wkt wa sasa ni wakati wa Mh. Tundu A Lissu na mh. John Heche ❤
@MariamDilla
@MariamDilla 14 күн бұрын
Upepo wa Kisuli suli wa mh. Tundu A Lissu unaitisha timu Mbowe.... People's POWER 🔥🔥🔥🔥
@DeborahIvan-qj5jz
@DeborahIvan-qj5jz 13 күн бұрын
Heche amesema hii ya lissu ni mafuriko😅😅
@Benj722
@Benj722 13 күн бұрын
Yaani Yule dada wa kwanza anaomba kura kakataliwa ananza kukoroma 😂😂😂
@ZakazDoctor-u8s
@ZakazDoctor-u8s 13 күн бұрын
Must go mbowe
@NgendandumweAlouise
@NgendandumweAlouise 14 күн бұрын
Hata ccm wanamuunga mkono mbowe ili waelendelee kuiburuza chadema
@CragyMsuyer
@CragyMsuyer 14 күн бұрын
True😊
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 14 күн бұрын
Mbowe," boxer la kijani" uliloazima kwa Abduli halikutoshi na litakuumbua!!
@MariamDilla
@MariamDilla 14 күн бұрын
Jamani jamani OGOPA technology..... Tundu A Lissu anatisha 🔥🔥🔥💪🏾💪🏾💪🏾👏👏❤️❤️🇹🇿
@rogersiddy
@rogersiddy 11 күн бұрын
Dada hana hoja anapumulia gesi povu linamtoka tu😂😂😂😂😂🙌
@BarakaOchuu
@BarakaOchuu 14 күн бұрын
Jambo tv bigup
@driss4957
@driss4957 14 күн бұрын
KIBAYA CHAJIUZA KIBOVU. HAJITEMBEZA,SHENZI SANA.MBOWE ANATUMIKA NA MFU.O KUCHELEWESHA MABADILIKO.....KWA MASLAHI YAKE NA BIASHARA ZAKE BINAFSI...
@francischacha6561
@francischacha6561 14 күн бұрын
Amejichanganya kwa Daniel mkurya😂😂😂😂😂😂
@jacksonmalechera3424
@jacksonmalechera3424 14 күн бұрын
Duu Mbowe Must GO
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 14 күн бұрын
Aiseee museven na timu Yako mtatuuua mbavu😂😂😂😂 eti TUNAOMBA kura
@rogersiddy
@rogersiddy 11 күн бұрын
😂😂😂😂😂🙌
@HENRYNa-l5y
@HENRYNa-l5y 14 күн бұрын
😂😂😂😂😂 haooooooh haoooooh 😅😅😅😅 mbowe umeliwa
@CharlsMlaki
@CharlsMlaki 14 күн бұрын
Mboye hana haya
@ottomap-u2i
@ottomap-u2i 14 күн бұрын
Hakuna neno halipendi mbowe kama kusikia mbowe must go😂😂
@driss4957
@driss4957 14 күн бұрын
Hao Mademu wa Mswati hao...
@malikimrisho7844
@malikimrisho7844 10 күн бұрын
MBOWE hoiiiiiiiiii namkiiba kura nyinyi team mbowe nyinyi 😂😂😂😂
@StivinPasco
@StivinPasco 14 күн бұрын
TULETEEN TUNDU LISSU VS HECHE
@JacksonMwaisumo-x1u
@JacksonMwaisumo-x1u 11 күн бұрын
Ahaaaa dah kama ni kweli ni baraha
@reubenmakalla745
@reubenmakalla745 13 күн бұрын
Huyo dada wa hovyo sana. Huwezi kusema Mbowe kakaa miaka 20 uongozini na Lisu kakaa uongozini.
@SaimonWiliam
@SaimonWiliam 13 күн бұрын
Kama box lotaongea kwa nini unahangaika kupiga cm?
@kibwetere1418
@kibwetere1418 14 күн бұрын
Awamu hii mboe kazi anayo
@ElinaMbura-h7w
@ElinaMbura-h7w 13 күн бұрын
Safi sana Lissu ndo mwenyekiti wetu mbowe must go
@RichardBituro-x9g
@RichardBituro-x9g 14 күн бұрын
🦁🦁🦁🦁🦁🦁nguo zinawabanaaaaaaaa
@dorahy1579
@dorahy1579 14 күн бұрын
Hakuna Ubaya hata mimi nitampigia Mbowe. Nipigie mimi kama huyo baba hataki kumpigia Mbowe. Mpashe vizuri baba huyo. Wote wawili ni dreva na makanga. Asante dada mtu. Mzee nyamaza Mbiwe juu.
@josephjohn2114
@josephjohn2114 13 күн бұрын
Hana jipya
@dorahy1579
@dorahy1579 13 күн бұрын
@ nani hana jipya, na mwenye jipya ni nani?
@RenatusMatungwa-o7c
@RenatusMatungwa-o7c 13 күн бұрын
Mazezeta ndo wanaweza kumchagua Mbowe
@dorahy1579
@dorahy1579 13 күн бұрын
@ mazezeta wanaweza kuchanga Tundu Lissu. Wenye akili timamu watamvhsngua Mbowe.
@salama1113
@salama1113 14 күн бұрын
Sasa kama box litaamuwa sasa simu zann😂😂😂😂
@kaitabaendrew8199
@kaitabaendrew8199 14 күн бұрын
Mbowe must go😊
@AMOAM_49
@AMOAM_49 14 күн бұрын
TUNDU LISSU wapelekee "Mchakamchaka" ...... 😂
@rogersiddy
@rogersiddy 11 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂🙌
@ANGELUSLIJUJA
@ANGELUSLIJUJA 13 күн бұрын
CHAMA WAMEKIALIBU SANA WKUBWA TOKA MWAKA 2017 NDIO MAANA SISITULIJIUDHULU MAPEMA TULIONA HAYA TUKAITWA WASALITI MAKA KUTEKWA KUBOMOLEWA NYUMBA ZETU NA KUWEKEZA POROPAGADA NYINGI KWASABABU TU YAKUSEMA UKWELI CHAMA KIMELIWA SANA HICHO
@AmosMalakyese-dc9qr
@AmosMalakyese-dc9qr 7 күн бұрын
Yaani Mbowe ameamua kutumia udhaifu wa wanaume au?? Maana wanaopiga simu ni warembo tu!! Hahahahaaaa
@RenatusMatungwa-o7c
@RenatusMatungwa-o7c 13 күн бұрын
Dah team Mbowe wanatia huruma
@Mkombozi255
@Mkombozi255 14 күн бұрын
Nimecheka kifala sana 😂😂wajumbe wamechoka na porojo 😅😅
@johnmwakipesile9046
@johnmwakipesile9046 14 күн бұрын
Huyu Dada wa kwanza Ukabila ndo unamponza 🤣🤣🤣🤣
@yekoniajulius7340
@yekoniajulius7340 14 күн бұрын
Sio kwakupiga simu , hahahaha kwanini Safari hii simu! , 2025 Mambo ni mengi sana.
@PeterIdd-d3c
@PeterIdd-d3c 14 күн бұрын
Mbowe anaungwa mkono na wanawake tuuu😂😂😂
@HamisiOmaryHussein-jp5pt
@HamisiOmaryHussein-jp5pt 14 күн бұрын
Huyo mwanamke hovyo analazimisha mbowe awe mwenyekiti 😅chama wachaga 😅
@annakullaya7678
@annakullaya7678 5 күн бұрын
Na kiu ya kupiga kura naipigaje ifike hapo mlimani jmn,,,, Naomba maelekezo
@Marjeby
@Marjeby 14 күн бұрын
Mbona hiyo sauti ya Dr Tulia jaman
@LoiteyoAmakoMako
@LoiteyoAmakoMako 14 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂tulia anataka mbowe ashinde
@gerowadamwandika669
@gerowadamwandika669 11 күн бұрын
Koma wewe, Dr. Tulia hawezi kuingilia upuuzi wenu , pambaneni na Hali yenu .
@HijaSaid-t6c
@HijaSaid-t6c 14 күн бұрын
Huyu Chawa ni wahovyo sana, umeambiwa Kibaya kinajitambiza,
@MwambaJimwamba
@MwambaJimwamba 13 күн бұрын
Huyu dada ana hekima sana. Huyo jamaa hana akili hata kidogo. Ame panick kinoma huyo pimbi
@elianguvila1859
@elianguvila1859 11 күн бұрын
Huyu ni lisu uongo umetengenezwa kiki za kumharibia mbowe
@dorahy1579
@dorahy1579 13 күн бұрын
Mwenye Kiti Naibu Mwenye Kiti kwaherini. Kwanza Naibu Mwenye Kiti siyo Mwana Siasa, hata Siasa haijui kichwa , tumbo wala mkia Aende , hajui Siasa kabisa,
@saidbawazir2879
@saidbawazir2879 14 күн бұрын
Safi sana ndio kampeni inavyotaka sio kumchafuwa mwenzio na kujifanya ww msafi wakati unachambia tissue haifai
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 14 күн бұрын
Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wa chama cha siasa cha CHADEMA ili nchi iendelee kuwa na Amani.
@deluxermahyono5290
@deluxermahyono5290 11 күн бұрын
Kumbafu ww
@Thevineyard9889
@Thevineyard9889 14 күн бұрын
Huyo sio Rachel (katibu BAWACHA - Ilala). Hiyo sauti ni ya Tulia Ackson!
@MiriamKhalid-z6o
@MiriamKhalid-z6o 14 күн бұрын
Kweli kama ni sauti yake daaa,!
@yusufjuma1814
@yusufjuma1814 14 күн бұрын
Hahahahaha hiyo ni kweli kqbisa
@MiriamKhalid-z6o
@MiriamKhalid-z6o 14 күн бұрын
@@yusufjuma1814 sijui anavyofanya ansjisikije
@JosephineKabuka
@JosephineKabuka 11 күн бұрын
Hizo pesa zitawatokea puani! Must go!
@mailacamillius
@mailacamillius 14 күн бұрын
Kadada hakajui chochote, hakana ushawishi, mbali ya sauti nzuri aliyobarikiwa 😂, hana uwezo wa ushawishi.....kanasimamia kanamtaka mbowe halafu kamepiga kumuombea kura....kanamuudhi mpiga kura badala ya kum'bembeleza. 😂😂😂.
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 13 күн бұрын
Unaomba kula kwa ukali
@josephjohn2114
@josephjohn2114 13 күн бұрын
kuna jitu Litakufa 2025
@YohanaMorisi-u9d
@YohanaMorisi-u9d 14 күн бұрын
Mpaka muuwane wenyewe 😂😂😂
@johnalex9542
@johnalex9542 13 күн бұрын
CHAMA HIKI UHUNI MTUPU-MWISHOWE MTAANIKANA MUKIWA UCHI WA MNYAMA-UONGOZI NI BUSARA NA IMANI-KWA UHUNI HUU-POLENI SANA
@petsmore9955
@petsmore9955 10 күн бұрын
Mitano tena kwa mbowe.!! Acheni ujinga. Huyo dada yuko sawa kabisa . Unayejibu wewe nilichawa kabisa!
@barryrioba3934
@barryrioba3934 14 күн бұрын
KIKWETE Aliwahi Kusema "ni heri Dr SLAA ashinde uraisi kuliko kumwacha LISSU ashinde ubunge"!! Na Kiukweli LISSU Alipoingia Bungeni WAZIRI MKUU PINDA NA MWANASHERIA MKUU JAJI WEREMA Walitokwa Jasho Na Kivumbi Cha LISSU.🤣🤣 Sasa Kipindi Hiki MBOWE ATATAPIKA MBEGE ZOTE Alizokunywa Tangu Utotoni Huko Machame Kilimanjaro.🤣🤣🤣
@erickbanyenza
@erickbanyenza 14 күн бұрын
Samia mwenyewe kamuona Simba kule Zanzibar kamuita "Lissu"
@JacksonMbites
@JacksonMbites 14 күн бұрын
AIBU KUBWA KWA MBOWE
@AmosMalakyese-dc9qr
@AmosMalakyese-dc9qr 7 күн бұрын
Waomba kura wote hawana hoja ya maana nadhani wanasukumwa na upepo wa hela za abduli
@ACLESSJABRINE
@ACLESSJABRINE 14 күн бұрын
Lissu atashinda 💯% mbowe atatangazwa 💯% hivyo mshindi ni Lissu ila Mwenyekiti ni Mbowe
@sumbulan
@sumbulan 14 күн бұрын
Mimi hapa
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 11 күн бұрын
Mimi hao wagawa rushwa naomba mnipe bilioni moja nimpigie huyo mbowe lakini pasipo billion moja nampigia Lisu
@kaitabaendrew8199
@kaitabaendrew8199 14 күн бұрын
Hahaa wamekoma
@RastaMany-p8x
@RastaMany-p8x 13 күн бұрын
Mbowe takataka mwizi2 karibu chama ila acha kupiga mayowe time eill tel uyu dada ana sauti ya mgao chawa wa mbowe lisu apingwi 4rever ata iwe mvua jua lisu 4 heche🇹🇿✌️✌️✌️✌️✌️❤️🚣‍♀️🚣‍♀️🚣‍♀️🚣🚣‍♀️🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣
@GoodTeck90
@GoodTeck90 13 күн бұрын
Hiyo ni sauti ya Tulia Ackson
@KarolMwikola
@KarolMwikola 13 күн бұрын
Hana jipya anapoteza muds
@gadielmungure9711
@gadielmungure9711 13 күн бұрын
Wajumbe watakaomnyima Mbowe kura wampe Lisu watakuwa akili mbovu siyo akili salama na macho Yao ni vipofu hayaoni. Lisu atauwa Chama kama Mrema na NCCR na TLP
@NungulaRais
@NungulaRais 14 күн бұрын
Mm hakipatia nakura halfu namchinjria mbal
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 13 күн бұрын
Huyo wa dar ni kama wazambia,wanazaliwa ndola wanakulia ndola,wanafia ndola😂😂😂😂😂😂
@AbdulmalikFredrick
@AbdulmalikFredrick 13 күн бұрын
Ccm oyeeeeeeeeeeeeeeee Mama samia mitano tena
@dorahy1579
@dorahy1579 13 күн бұрын
Afadhali umemjibu vizuri, sasa hivi kuna simu za mkono au mambo online. Mbowe ni muungwana, ni mstaraabu, kwa kweli umemjibu huyu mzee imara kabisa.
@UpendoKakata
@UpendoKakata 10 күн бұрын
Kwani kuomba kula nikosa Kuna kukubaliwa na kukataliwa
@giztony2009
@giztony2009 14 күн бұрын
Habari zote zinazotokana na jambo tv siziamini kabisa maana zte zinamtetea lisuu
@Teacher_01
@Teacher_01 13 күн бұрын
Lisuuuuuuuu umepita baba.kesho naomba conference na waandishi waabar
@yonamwakyusa-rr8fy
@yonamwakyusa-rr8fy 13 күн бұрын
Hiyo rafudhi ya huyo dada wa kwanza kama una D mbili unajua tu lazima atakuwa upande gani🤣🤣
@CharlesMuna-k6n
@CharlesMuna-k6n 13 күн бұрын
Tulia huyooo😅😅😅😅
@yovinampale4873
@yovinampale4873 13 күн бұрын
Tanzania kuna ujanja uliopitiliza. Hawa wote ni kundi la Lisu. Wanafanya hivi ili ionekane ni kundi la Mbowe wanafanya kampeni. 😂😂😂
@ellymwanga1335
@ellymwanga1335 14 күн бұрын
Acheni comedy bana 😂😂😂😂😂😂 watanganyika bana
@festokemibala5832
@festokemibala5832 13 күн бұрын
Comedy
@AmosiSosopi
@AmosiSosopi 10 күн бұрын
Mbowe pumzika kwa heshima
@khalidmamdadi1072
@khalidmamdadi1072 14 күн бұрын
Safari hii Lisu amewatoa jasho😂😂😂😂
@edwardkitali-dd6fm
@edwardkitali-dd6fm 13 күн бұрын
Pumzika Mzee utakufa bure, hii ni saa ya lisu huwez kuzuia
@KarolMwikola
@KarolMwikola 13 күн бұрын
Alikuwa peke Yake
@HamisiOmaryHussein-jp5pt
@HamisiOmaryHussein-jp5pt 14 күн бұрын
Hao wanapima maji Kwa mguu wakijua hakubaliki wataiba Kura
@michaelmagwaza-bc6mk
@michaelmagwaza-bc6mk 14 күн бұрын
Mbowe amesahau nini anachokitaka kwa miaka mitano tena, mimi nashauri Mbowe ajiondoe tu amuachie Mheshimiwa Lisu.
@musamuhazi6627
@musamuhazi6627 14 күн бұрын
Bowe must go
@ahmedmukolwe43
@ahmedmukolwe43 11 күн бұрын
Chadema wote wapumbavu na wapuuzi very useless. CCM tano tena
@odhiambojames8578
@odhiambojames8578 13 күн бұрын
Ile kauli ya wajumbe ni watu wabaya ndo hii sasa
@RamadhanimanjonjoManjonjo
@RamadhanimanjonjoManjonjo 14 күн бұрын
Waomba kula wote ni vilaza wachumia matumbo pasipo kuangalia maslai ya Taifa
@MiriamKhalid-z6o
@MiriamKhalid-z6o 14 күн бұрын
Hii sauti Ina ukakasi hii ni ccm
@victorernest7702
@victorernest7702 6 күн бұрын
Tuanenda na lisuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
@HamisiOmaryHussein-jp5pt
@HamisiOmaryHussein-jp5pt 14 күн бұрын
Kura zinaombwa ukumbini siyo simu 😅mbowe anahaha Disco joker Mbowe Hotels 😅watoto wa 2000 hamjui Kula CHUMA HICHO
@Nite-zd8il
@Nite-zd8il 14 күн бұрын
Hawa wanaigiza tu hakuna kitu. Timu Lisu wanahangaika
@LunaniloKibiki
@LunaniloKibiki 10 күн бұрын
Hako kapuuzi kama Hilo Jimbo la ukonga hamna kitu Kazi kuuza kura tu .Hakuna Kazi wanafanya Jimbo hoi hata mikutano hawafanyi mbowe ameshindwa hawezi kuiondoa CCM madarakani Bora apumzike Kwa heshima
@geey7893
@geey7893 14 күн бұрын
Chadema kuna wakati walkua wanajiona perfect sana Kumbe ni Kichaka cha Ujinga na upumbavu.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 14 күн бұрын
Huyu dada kutoka kanda ya pwani ni kilaza wa kutosha na bahati mbaya sana hisa yake ya akili imefikia ukomo.
@halikumbeyemsiwayinga9482
@halikumbeyemsiwayinga9482 14 күн бұрын
Hawa SIO Wanachama WA CDM HAWA NI MATAPELI TU😂
@Dr.ForexTz
@Dr.ForexTz 14 күн бұрын
Si wametaja majina na vyeo vyao na sauti zao hazijachezewa
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 14 күн бұрын
Wangekuwa matapeli wasingetaja majina na vyeo vyao.
@kwisa4899
@kwisa4899 14 күн бұрын
Wasikilize kwa umakini wanapofanya utabulisho
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 14 күн бұрын
Siyo matapeli
@T_Darius
@T_Darius 14 күн бұрын
Acha bangi we mbuzi
@simonmagembe7416
@simonmagembe7416 13 күн бұрын
Mungu fundi Leo Mbowe ndo anabangaiza kweli?
@AisseAli-t1t
@AisseAli-t1t 13 күн бұрын
Kama kweli upinzani ndio huu wanaeza kuipinga serekali sababu hii moja huyu mbowe hataki kuachia uongozi je akiwa ndio rais jamhuri wa muungano wa Tanzania 🇹🇿 atafia madarakani huyu mbowe ni dikteta mbaya sana wakina zito waliwafukuza chama kidikteta nina shaka upinzani wetu
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
"Sina chuki hata moja na Lissu, hata nikikutana naye nitamkumbatia"
20:30
PURE GASLIGHT: Why Ruto's Mulembe Tour has Failed!
53:21
Herman Manyora
Рет қаралды 39 М.
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI  USIKU, 26 JAN 2025
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,6 М.
Luhya Nation, Tell Ruto the truth
16:09
Herman Manyora
Рет қаралды 34 М.
Tundu Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena
28:12