MPINA ACHARUKA VIKALI, "WANAMSIFIA RAIS KUFICHA MAOVU, ETI NANI KAMA MAMA/ WEZI WAKUBWA"

  Рет қаралды 13,943

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 61
@ProphetM-c9o
@ProphetM-c9o 14 күн бұрын
Mpina yupo vizuri sana isipokuwa katika Nchi iliyokumbatia ufisadi hawezi kuonekana kama mtu mzuri.
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 10 күн бұрын
Sawaa Mpina yupo vizuri..sasaa alaumiwe mtoa pesaa,au mchagua wakandarasi?
@akonaayako7185
@akonaayako7185 14 күн бұрын
Wabungge wengine waige mfano wa Mh Mpina.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 13 күн бұрын
Wabunge waliopo ni wa kupiga meza tu
@mackjonathan1005
@mackjonathan1005 13 күн бұрын
Jamaa yupo kwa wananchi sio hao wengine
@benedictsenya
@benedictsenya 12 күн бұрын
Wote mkurugenzi ,Meidara na Sheba wapelekwe kwenye Sheria bila kumungunya maneno .
@RastaMany-p8x
@RastaMany-p8x 13 күн бұрын
Zinasubiliwa kupigwa kaka mpina akikuchukia binadamu sio mungu we u afanya kazi ya mungu ubalikiwe
@Lubango-gj3ud
@Lubango-gj3ud 13 күн бұрын
Mpina utahangaika sana maama Chama chako ndiyo utaratibu wake huo, upigaji kwa sana!
@mackjonathan1005
@mackjonathan1005 13 күн бұрын
Siku zote mtu ukiwa kwa wananchi lzm wakuchukie lkn watambue kuwa hata hizo pesa wanazo kula bila hata huruma pesa za maskin mungu atalipa hapa hapa duniani.
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 12 күн бұрын
Uchawa umeharibu hii nchi, uchawa wameupenyeza mpaka kwa bodaboda
@butorichard3971
@butorichard3971 14 күн бұрын
Kama wamekiuka Sheria wapelekwe mahakamani. Tunakuaminia mh. Mpina
@ENOCKFUMBUKA-d3r
@ENOCKFUMBUKA-d3r 13 күн бұрын
Mama anafuga wezi amenities.
@shahidmaftouh1141
@shahidmaftouh1141 14 күн бұрын
Jembe la Makufufi Mpina oyeeee 😅
@JosefuSwai
@JosefuSwai 13 күн бұрын
Hujui kuandika kilaza
@nestor384
@nestor384 13 күн бұрын
Ningekuwa Rais siwezi acha kutoa kipaumbele kwa brain kama hii ya Luhaga Joelson Mpina
@ENOCKFUMBUKA-d3r
@ENOCKFUMBUKA-d3r 13 күн бұрын
Amukeni Mama anafuga wezi.
@japhetnzunda99
@japhetnzunda99 14 күн бұрын
Mpina njo mfanye kazi na lisu inchi hii muipeleke kasi mkuu
@CharlesSomeke-p8m
@CharlesSomeke-p8m 14 күн бұрын
Mpina na lisu hawataendana
@FULSABY
@FULSABY 14 күн бұрын
Lisu ana Nini hasa
@CharlesSomeke-p8m
@CharlesSomeke-p8m 14 күн бұрын
@@FULSABY msukuma na myiramba wapi na wapi
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 13 күн бұрын
​@@FULSABY Mungu ndiye Muumbaji, sisi wengine ni mtazamo tu. Lisu ni binadamu sawa na wengine hakuna Malaika hapa. Wote ngulu mbili. Pua zikieelekea udongo.
@mackjonathan1005
@mackjonathan1005 13 күн бұрын
Ni wabungr wachache wano weza kufanya iki kitu tena kuyasema hadharan.
@VolvoMwamakula-ci2we
@VolvoMwamakula-ci2we 13 күн бұрын
Mpina na Makonda ndo viongozi waliobakia ndani ya chama cha ccm wako safi sn ivo tu
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 12 күн бұрын
Makonda siyo
@NkwabiMasanja
@NkwabiMasanja 13 күн бұрын
Njooo kwa lisuuuuu heche uku uko kuna vziwi tup
@jeremiahblazio4781
@jeremiahblazio4781 13 күн бұрын
Labda Heche, kwa upande wangu lisu sijawahi kumwamini kabisa
@jerome3143
@jerome3143 13 күн бұрын
Kaka shida katiba inawalinda majizi
@RevocatusKitambi
@RevocatusKitambi 13 күн бұрын
Mpina nipeni iyo kaz mm lokofundi ila nina uzoefu wa ujenzi wa majengo MAKUBWA na madogo,kwa uzoefu wa miaka 22 nazani inatosha kuwafanyia kaz yenu kwa haraka na ufanisi.wekeni pesa mezani niwafanyie kazi yenu.
@HENRYNa-l5y
@HENRYNa-l5y 14 күн бұрын
Kaka Mpina ndio maana tunataka serikali inayo ng'ata sio hii ya CCM, upinzani uwe mkali ccm ipige kazi coz wanalala tuh
@susananyasani6526
@susananyasani6526 14 күн бұрын
Mami nigalikuwa Rais wa Nchi ningetembelea Miradi yote inayojengwa Nchini Tansania sababu Watendaji wa Serikali hakuna waminifu jawabu wizi
@vickytorry100
@vickytorry100 13 күн бұрын
Hakuna haja ya kutembelea, wangekuwa wanafukuzwa kazi huu mchezo ungeisha
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 13 күн бұрын
Kazi za mbunge ama diwani ni kutumikia waliomchagua sio kwenda kutetea collective responsibility za kipigaji. Mbunge ama diwani kurudi bungeni ni ridhaa ya wananchi wake aliowapigania sio wajumbe waliomchukia kwa kuwa mkweli anapodai maendeleo ya watu wake . Vyama vya siasa vilijue hilo. Mbunge ama diwani asiyetenda kulingana na waliomtuma wajumbe wa vyama vya siasa msikubali kumrudisha kwa rushwa kugombea mtapata shida kumnadi ktk chaguzi. Kumekuwa na tabia za waheshimiwa fulani kujisahau na kutokurudi majimboni mwao lakini utashangaa watapitishwa kugombea tena. Mtapata shida kuwanadi kwa wananchi wake bureee.
@FintanMkeshi
@FintanMkeshi 13 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@RastaMany-p8x
@RastaMany-p8x 13 күн бұрын
We ni mzarendo tuna kujua ila mungu akupe ulinzi na afya njema
@ga2revocatus91
@ga2revocatus91 14 күн бұрын
Mpina mita5 Tena sanua sanua Wezi hao
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 14 күн бұрын
Hii ndio Tanzania ya mama
@badimfinanga
@badimfinanga 13 күн бұрын
Mama anahusika vipi?Acheni maneno ya uchochezi
@richardnganya2311
@richardnganya2311 13 күн бұрын
​@@badimfinanga mbona ingekuwa ufungyzi hapo ungesikia pongezi kwa mama kwa kutupatia mradi huu.. hapo vipi ?
@petermasanilo732
@petermasanilo732 13 күн бұрын
Awaajibishe hao wapiga dili​@@badimfinanga
@RastaMany-p8x
@RastaMany-p8x 13 күн бұрын
Ayo madudu ni mengi nchini kk tuombe mungu mafundi wa mchongo hao wana stairi azabu kari cnaaa
@EtiminSadallah
@EtiminSadallah 14 күн бұрын
Hivi Tanzania pana nini kuhusu miladi ndio haya makonda anayo pambananayo hapo mtamwona mpina mbaya wasukuma wako vizuli kiuongozi
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 12 күн бұрын
Hata watanzania tunaumiasana tunapo onawatendajiborrasana kama hao na nivijana badowadogo eti ndiyo wanasagiziwa kuwa wantonvuwa nizamu wazushi namambomengi ya ajabu yasiuona uhalisia wahuyomuhusika je hayo malengo yahapakzitu aukazi iendelee hizokaulimbiu lazima iende nauhalisiawakazi..
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza 14 күн бұрын
Hivi hawa jamaa wanathubutu vp kupiga hela ndani ya Jimbo na Mbunge wake akiwa Mpina? Jamani Mpina siyo wa mchezomchezo, Mimi niseme MMEYAKANYAGA. Mimi niko paleeeeeeeee,
@mackjonathan1005
@mackjonathan1005 13 күн бұрын
Mpina plus risu plus heche, hakika hii inchi itanyooka yaan hii ichi ni tajili, ila ss tunakufa na umasikin hii kitu jmn kwa mtu ambae anakaa na kufikilia unaweza kulia kabisa watu wanaenjoy hii inchi wengine tunabaki kupiga makofi. Sio bure tumelaniwa kabisa.
@petermasanilo732
@petermasanilo732 13 күн бұрын
Plus Makonda pia😂
@KilungudaSaguda
@KilungudaSaguda 13 күн бұрын
Mama tunakuombea
@AbdulmalikFredrick
@AbdulmalikFredrick 13 күн бұрын
Akuna Cha kumuiga aende chadema Atuachie mueshimiwa laisi wangu mpendwa Samia suluhuhasani
@jeremiahblazio4781
@jeremiahblazio4781 13 күн бұрын
Sijakuelewa Mzee baba unataka kusema hiki kinachosemwa na mpina hakupaswa kusema
@petermasanilo732
@petermasanilo732 13 күн бұрын
Kwa hiyo unataka kutuambia raise Samia anapenda mafisadi?
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 14 күн бұрын
Pesa zipo zinapigiwa hesabu zipotee😂😂
@kibwanasuleiman263
@kibwanasuleiman263 14 күн бұрын
Naani atatea nafsi Roho za wavuvi ?
@AnossyMbonekela-sb6ol
@AnossyMbonekela-sb6ol 14 күн бұрын
Mbona msingi umechimbwa Je, Kuna Mkataba au Mkataba utafuta baada ya kazi kuanza kama inavyofanyika kwenye maeneo mengine
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 14 күн бұрын
Na taasisi ya Takukuru ipo haya yanafanyika Kuna haja kweli ya kuwa na taasisi hii kweli? Nadhani hii taasisi ipo kwa ajiri ya kufanya mipango ya kutengeneza rushes so vinginevyo upuuzi Kama huu unafanyika wao wapi kimya bila kuchukua hatua!
@ENOCKFUMBUKA-d3r
@ENOCKFUMBUKA-d3r 13 күн бұрын
Amukeni Mama anafuga wezi.
@FintanMkeshi
@FintanMkeshi 13 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@FintanMkeshi
@FintanMkeshi 13 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@FintanMkeshi
@FintanMkeshi 13 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@FintanMkeshi
@FintanMkeshi 13 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
JANUARY MAKAMBA ATEMA CHECHE KUHUSU KUGOMBEA URAIS
3:36
DAY 2 NEWS
Рет қаралды 101 М.
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН