A Man of the People's Hon . John Heche. People's POWER 💐💪🏾💪🏾❤️🔥🔥🔥
@anordiobadia.nycsong8123Күн бұрын
Hongera sana kamanda mimi niko na wewe 100%
@HaruniHaruni-w3iКүн бұрын
Nimefurahi kukuona Kwa mara nyingine mwenyez mungu akutunze
@admaumsengi423022 сағат бұрын
Nilichokuwa ninakisubiri kimetimia Mungu ni mwaminifu Asante sana Heche kusikia kilio cha Watanzania
@fredrickmwakalinga6390Күн бұрын
Huyu jamaa Heche namkubali kinoma sana
@BernardMwakipesile-nq5zeКүн бұрын
Naipenda speech yako umetambua uwepo was viongozi waandamizi
@lucianmapunda648Күн бұрын
Salute sana makamanda wapenda mabadiliko, tupo na nyie
@emanueljohn-xy7jeКүн бұрын
Uko sawa kamanda wetu heche
@jdanny497Күн бұрын
Kweli kabisa kamanda
@marieconnect638911 сағат бұрын
No reform no election...... Safi sana
@AbdullahAhmed-t7p6lКүн бұрын
Voice love by so many Tanzania people John heche resecher righty politics in Tanzania people mindset Tanzania people understand joghn heche vary clear John heche fighting for vice national charman is the right pasinol tundulisu national chareman heche vice charman will be good ground put pressure on ccm leadership we love wisdom heche use on this conference no attack freeman mbowe for now freeman mbowe has to rest let tundulisu hold top position we love him respect him for building chadema for long time by now let freeman mbowe be head of advice part
@EngelbertMakoyeКүн бұрын
Hao wote ni wavurugaji TU hakuna kitu hapo !
@MACHAGGECHACHAКүн бұрын
Very poor English Si ungeandika Kiswahili. Hii inaonyesha ujinga wako hadharani. Aibu.!!!!
@AbdullahAhmed-t7p6l14 сағат бұрын
@EngelbertMakoye wewe ni mfumo wa chama tawala unakula kuku utakubalianaje na chama chochote cha upinzani nchiji waharibu ugali wako
@GideonMwalusambaКүн бұрын
Kk nakupenda upo vizur sn mungu akutunze
@MukamaRobert-k8bКүн бұрын
Safi sana kamanda lissu lema hehe tupo pamoja sana
Hotuba makini Sana Hongereni Chadema This Man is Very Resourceful People for the Position
@RodenMgataКүн бұрын
Lisu heche mambo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥✌️✌️✌️✌️✌️✌️
@EmanuelJohn-o3dКүн бұрын
vizury heche mungu awatanguliye
@ElinaMbura-h7wКүн бұрын
Lissu, Heche, Lema,,Tunawahitaji hawa miamba kuwa viongozi wetu na c wengine,,Kama una akili timamu huwezi kuwabeza viongozi hawa ni watu makini sana,,,
@alfredmichael7364Күн бұрын
Great leader!!!!!
@YosiaHamisiКүн бұрын
Hapo sawaa.. Tutaelewana tuu
@elizabethmwalongo1839Күн бұрын
Wajumbe niwasihi mkachague Heshima Mkiweka Tamaa Mtalia kilio na asiwepo wa kuwapangusa machozi ayo
@SabinahMbomaКүн бұрын
Niliku miss sana kamanda
@BarnabasAmlima-js1dfКүн бұрын
Thank you, God!
@marieconnect638911 сағат бұрын
Yeeeeeees bwana Heche. Kura umepata.
@JamesMagomaКүн бұрын
LISSU forever
@husseynzooh1979Күн бұрын
Lissu, Heche ✌️🔥
@StevenFumbi21 сағат бұрын
That is good speech from honor Heche
@zuwenaabdallah7748Күн бұрын
Yaan nampendaga heche jaman❤😅
@kabhikachambala3392Күн бұрын
Mimi nadhani HECHE alipaswa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi. Jamaa anajua kushambulia
@alikadamon9264Күн бұрын
Asante kamanda
@ZakariaMhanga-iz8ip8 сағат бұрын
Mwamba heche ✌️✌️✌️✌️✌️✌️
@josephmatiko480515 сағат бұрын
Safiiiiii, Tata, hapo ndio utamu wa shujaaa, anapoongea😊
@SilveryMasaluКүн бұрын
Hii siku nilikuwa naisubiri sana nayo ni Heche day
@simonakonaay4802Күн бұрын
Barikiwe
@lowasamollel9852Күн бұрын
Lisu akikutana na Heche nifire 🙌🔥
@daviddsouza735Күн бұрын
Dah unamaanisha ni moto ee?
@lowasamollel9852Күн бұрын
@daviddsouza735 😂 wewe unaonaje
@marieconnect638911 сағат бұрын
'Lissu anastahi kuwa kiongozi wa chama chetu kwa sasa` hapo nimekuelewa vizuri sana mheshimiwa Heche.
@ChifuMwakatobe-o8xКүн бұрын
Kazi ipo
@phillipmasungwa7365Күн бұрын
BIG UP HECHE TUPO PAMOJA.
@giftkalenge418Күн бұрын
yerico Nyerere nilikuwa namuamini Sasa simuamini tena
@liberatusjames5835Күн бұрын
Safi kamanda
@alfredmnzava329521 сағат бұрын
Mungu lisaidie hili Taifa
@MegaAbby1010Күн бұрын
Big up. Unafaa kamanda
@RastaMany-p8x22 сағат бұрын
Asante kiingozi heche tulisubili kauli yko we na lisu ndio wazarendo sio mbowe mwizi
@Tanzaniayangu-g8vКүн бұрын
Asante sana mheshimiwa Heche, safu yenu itakuwa ya majembe matupu, ambayo yatalivusha taifa katika kipindi kigumu cha wanyonyaji wa kijani.. ni muda wa maneno na vitendo, katiba mpya, muundo mpya wa tume huru ya uchaguzi.
@ExodusMarcStanley22 сағат бұрын
Naiona chadema mpya❤
@Teddy-z4i16 сағат бұрын
Ccm mjipangeeeeeeee kuna lisu kuna heche kuna lemaaaa vyuma ivi havitishwi Wala aviogopiiiiiiiii
@FrankKwanama-lo6fjКүн бұрын
Kwakweli chadema mkibugi ktk uchaguzi wa tarehe 21 mtakuwa mmekwisha, John Heche + Lisu = Chadema ya kuamsha popo!
@MathewNathan-yb2bzКүн бұрын
Heche namkubali sana tena anafaa sana kuwa makamu mwenyekiti
@nashonjoel20Күн бұрын
Hongera sana kaka HECHE kwa maamuzi sahihi.
@babuuwakitaa1302Күн бұрын
Liiiiisu
@rizikiPeter-v6m15 сағат бұрын
Wakurya nawapenda sana huwa wanamsimamo
@sautikuu212Күн бұрын
Heche ni moja ya brain za maana na kutegemewa chadema.
@PeterchipembaКүн бұрын
Mbowe mda umemkataa,,na mda ukikukataa lazima utumie nguvu nyingi sana kuwaongoza watu,,
@malackedson7706Күн бұрын
Safi
@marieconnect638911 сағат бұрын
Nimekupenda bure bwana Heche
@MariamDillaКүн бұрын
When we lose our Fear they lose their Power ❤️💐💐🔥🔥💪🏾💪🏾 Ni wkt wa mabadiliko ndani ya CHADEMA lkn ndani ya TAASISI pia. Mpe Salam Mh. Wenje
@Zanzibar-e4hКүн бұрын
Chadema mahodari ya kujisifu lakini finishing poor.ccm hawaondoki kwa maneno nyie chadema tatizo lenu mna undani.lissu pekee mwenye msimamo ndomana ccm mgonvi wao lissu
@Mrsalt-z9mКүн бұрын
Kweli
@RwechungulaBegumisaКүн бұрын
Heche kama Heche Nakupenda Sana,
@HAIPPA_PLC9 сағат бұрын
Heche ajengwe Kuwa Moja ya Future Presidential Candidates wa Chadema
@PeterJonathan-c8kКүн бұрын
Ndiyo makamu mwnyekit tunayekutaka, kiu yangu siku moja gombea nafasi ya urais inakufaa
@marieconnect638911 сағат бұрын
Wape ukweli hao wapiga kura. Wasichague matumbo yao kwa sasa wakasau kesho yao. Kesho yao iko mikononi.mwa watanzania wote wapi ya kura ya mwisho hata wsiokuwa na chama wamo. Wawasikilize.
@SilveryMasaluКүн бұрын
Heche okoa taifa ikibidi hata ighalimu maisha yako
@AgustinoCharlesfungoКүн бұрын
Mh nenda wewe
@morathraphael2066Күн бұрын
Wabongo
@RenatusMatungwa-o7cКүн бұрын
Safi sana Heche
@KambaMbovuКүн бұрын
Mmebeba matumaini yetu wa Tanzania
@marieconnect638911 сағат бұрын
Na tuchukue kodi stahiki za makampuni makubwa ya uchimbaji wa madini yetu kwa maendeleo ya taifa letu. Hakuna kuwaogopa wala kuwapa access ya kuchoka madini yetu kwa bure. Tuseme no no noooo.
@Tanzaniayangu-g8vКүн бұрын
Hotuba heavy yenye kudumisha umoja wa chama na kuondoa makundi ndani ya chama. Tundu Lissu, John Heche ndizo Sauti za mamlaka kwa Tanzania kwasasa, hata viongozi wakuu wa ccm wanajua, sema hawa viongozi wa ccm huwa hawataki mambo yao mabaya yawekwe hadharani, tunaomba mtuvushe, taifa lipo kwenye mkwamo wa maadili..yaani wala rushwa ndo waheshimiwa, na ndo wanaonekana wako sahihi kwa ulaji rushwa wao.
@FelisterNdegelekiКүн бұрын
Kaka heche umetisha sana maji na mafuta yamejitenga
@batweledward538123 сағат бұрын
Mwamba nakukubali sana
@NgacheMarkКүн бұрын
Wenje apikwe tu
@marieconnect638911 сағат бұрын
Viongozi wachaguliwe na wananchi ili wawajibike kwa wananchi
@SilveryMasaluКүн бұрын
Lissu +Heche=Fire
@TeddyCyprian-o1sКүн бұрын
Hatima ya chadema nitalehe 21 tuombe wajumbe mutuletee viongo wanaotaka mabadiliko siyo wanao tuingiza kwenye uchaguzi wa hovyo
@fatumahassanduale470110 сағат бұрын
Tunastahili Tues na viongozi wenye msimamo lissu na heche watatuvusha Kwa uhakika, people s!!!
@edwardmakonge6951Күн бұрын
Tunawategemea sana lisu na hechee ,kulleta mabadiliko nchini.
@LushidulaJidamawiКүн бұрын
Katika taifa heche ndio muzalendo pekee alie baki anauzalendo kaama magufuli
@informationmwambela6065Күн бұрын
Jamaaa for sure anajiamini!!!
@jessemwanga1728Күн бұрын
Binafsi nakuombeya sana MAKAM ajaye
@MussaAbdi-n9gКүн бұрын
hakika John unatisha tunataka watu Kama wewe siyo matusi na kejeli
@Lubango-gj3udКүн бұрын
Leo Heche umemifurahisha sama umekonga moyo wangu, tunahitaji CHADEMA ya namna hii
@simonmagembe7416Күн бұрын
Heche unafaa kuwa Rais , unaakisi uhalisia sana wa maisha ya watu
@bilid4128Күн бұрын
Point to note "Tusiuziane uwoga"
@kubwelarumulika1037Күн бұрын
Nilisoma comment moja ya mtu kule Instagram kwamba huyu jamaa kaongea vizuri, anapika kwanza akisubiri wageni ndiyo aje kumsikiliza imenifanya nisikilize speech nzima. Huyu jamaa anajua kujenga hoja halafu anajiamini...
@ibrahimomari2458Күн бұрын
Usemayo ni kweli...Lisu atabaki kuwa mpiganaji imara sana wa wakati wote wa CHADEMA..na Mbowe ni kiongozi bora na imara sana wa wakati wote wa CHADEMA... Dhamana ya chama kwa sasa inahitaji zaidi akili na busara ma sio mihemko na hamasa...
@MathewNathan-yb2bzКүн бұрын
Hongera sana.umeongea point sana.
@success-onlyКүн бұрын
Acha kupotoka
@ibrahimomari2458Күн бұрын
@@success-only mpaka uwe na akil ndio utaelewa kilichoandikwa...
@cyprianshayo4044Күн бұрын
Mbona umekonda
@neemamangushi818710 сағат бұрын
Sio jambo lako😅
@PaschalBoi-z8h13 сағат бұрын
Heche awe makamu mwenykt na lisu awe mwenykt tutafika pazuri
@ProsperMsemwa-g8nКүн бұрын
❤❤
@SilveryMasaluКүн бұрын
Heche Heche Heche
@deodatusmugalulamugalulaКүн бұрын
Hapa Lisu kule Heche chadema itakuwa moto sana
@enezermwafrica7443Күн бұрын
Baba yetu Free man mbowe tunakupenda sana lkn tunakuomba kwa heshima umuachie Tundu lissu Uenyekiti
@mwitamhono6499Күн бұрын
Lisu heche hapo sawa
@lifeonearth94Күн бұрын
Sasa hii akili ya huyu mtu ndo CHADEMA nilokuwa naijua mimi, sio Chadema ya sasa isiyo na dira
@nicholausmsaru17016 сағат бұрын
Good man Nyeupe nyeupe blue blue
@nicholausmsaru17016 сағат бұрын
Hapo bwana ndo Tarime hakuna kuficha ficha apo
@MarioTV255Күн бұрын
Heche😂😂😂😂
@MariamDillaКүн бұрын
Huyu ni kiongozi Makini na mjuzi mkubwa wa mambo ktk uwanja wa siasa. Ana akili kubwa na uwezo wake na mtazamo wake dhidi ya CHADEMA hakuna mtu aweza kuwa na mashaka nao. People's POWER.
@japhethcharles579123 сағат бұрын
Namkubali Sana huyu MURA
@AlbethMwakatumbulaКүн бұрын
Tunawaona wanampinga Mbowe tu kwa sana ndio wanaorushwa zaidi ina maana upande wa Mbowe hawapo?
@alexanderpeter897Күн бұрын
Hakika tunatamani kuona Chadema inafanya mabadiliko makubwa, uongozi uliomaliza unapaswa kujivunia kwa kuwalea na kutengeneza hivi VICHWA MAKINI. Tafadhali tuwape nafasi ili chama kisonge mbele