Lissu Ajibu Mapigo Hoja za Wenje, 'Sakata la Abdul' : 'Anafanya Udalali'

  Рет қаралды 92,170

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Пікірлер: 336
@NuruNurudin
@NuruNurudin 17 күн бұрын
Wewe ni jemedari sana tundu na mungu akulinde.
@Chemba67
@Chemba67 18 күн бұрын
Lissu ni msafi na anafaa kuongoza . Ataleta uhai na kurudisha matumaini ya upinzani ktk siasa za Tanzania.
@edisonpeter3894
@edisonpeter3894 18 күн бұрын
Kuongoza NOOOO
@mohamedhamismagoraonlinetv459
@mohamedhamismagoraonlinetv459 18 күн бұрын
Lissu hana busara hafai
@robertmhikwa8174
@robertmhikwa8174 18 күн бұрын
​@@mohamedhamismagoraonlinetv459kwani busara ni kunyamazia UONGO wa kusingiziwa? kusema ukweli hadharani ni kukoswa busara?
@SaraJinalangu
@SaraJinalangu 18 күн бұрын
​@@mohamedhamismagoraonlinetv459 Busara kwenye mambo ya hovyo etyi
@Mrsalt-z9m
@Mrsalt-z9m 18 күн бұрын
Busara ni kufumbia maovu au​@@mohamedhamismagoraonlinetv459
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale 17 күн бұрын
muongo anaonekana tu ata ktk kuzungumza kwake, wenje kuwa na japo aibu juu ya kauli zako bro!!!
@ZakayoSanga-ge4jr
@ZakayoSanga-ge4jr 18 күн бұрын
Giza nanuru avikaipamoja,mti wenye matunda ndio unaepongwa mawe,lisu hanunuliki,Wala haongeki,
@edisonpeter3894
@edisonpeter3894 18 күн бұрын
Ananunulika vizuri tu. Alìtuuza enzi za makinikia
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 18 күн бұрын
​@@edisonpeter3894Yale makinikia yaliishia wapi? Tuna kesi kila kona,tunalipa matrillioni kwa kushindwa kutumia akili timamu za wakina Lissu😮
@edisonpeter3894
@edisonpeter3894 18 күн бұрын
@Joe-tr2vk bora kuwa na kesi kuliko kuacha wizi. Jpm kafa na mipango yake mmebaki wezi. Kuleni xx muda wenu.
@personpeter2221
@personpeter2221 18 күн бұрын
Hajapewa pesa
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 18 күн бұрын
@@edisonpeter3894 Kafa katuachia kesi na madeni kibao walipa kodi tunaumia kwa kupenda kwake kutumia nguvu bila akili. Dunia ya sasa inahitaji akili nyingi
@eliuskivuyo6521
@eliuskivuyo6521 13 күн бұрын
Wanaojitahidi kupambana na Lissu atatoboa kweli kama risasi zilidunda
@BensonMpete
@BensonMpete 18 күн бұрын
😂😂😂dalali wenje aibu yako
@GiftAbduly
@GiftAbduly 18 күн бұрын
Mm nilijua tu wenje n muongo hata jibu yake ya maswali tuh anarukaruka na lakn pia malizen taufat zenu msivunje chama na kukiharibu kisa maneno madogo madogo
@zachariajustine873
@zachariajustine873 16 күн бұрын
Tundu Lissu ni mmoja tu hii nchi 😊😊😊😊,
@storytownTv
@storytownTv 3 күн бұрын
Lissu apew tu na uraisi ..🎉
@munamichael1129
@munamichael1129 13 күн бұрын
Kumkabili lisu ukiwa na hoja dhaifu dhaifu kama hizi za wenje utapata shida sana
@evancelyimo7527
@evancelyimo7527 18 күн бұрын
Hakuna aibu kubwa kama jitu baba kuongea uongo wenje unajizaraulisha ni bora ukae kimya
@noahpaulo3845
@noahpaulo3845 8 күн бұрын
Njaa
@fadhilhemed8518
@fadhilhemed8518 4 күн бұрын
Ikiwa lisu anachosema ni sahihi basi watz hatuna serikali bali kikundi cha wapigaji inakuwaje malipo kama haya yanapitia kwa mtoto wa raisi maana yake nini hakuna uongozi.
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 5 сағат бұрын
Hayajapita kwa mtoto ndio maana hata mtoto hajui kama imelipwa au hajalipwa
@wechemakambo2182
@wechemakambo2182 18 күн бұрын
Wenje bado ana shida ila kajikomba kwa Abdul wa Mama....Ila Lissu shida anayoipata ni Kumsikiliza Abdul wa Mama na kumkumbatia ilhali alishamtilia mashaka awali kutumwa na mamaye kuongoza ujumbe wa Tanzania nchini Uganda?
@MagdalenaNyakitale
@MagdalenaNyakitale 18 күн бұрын
mmesnza kujikunguta utafikiri mmeumwa na kunguni urafi wenu wenje ngoja msingida awafichue mmemchokoza wenyewe mkome
@abuusufian6506
@abuusufian6506 18 күн бұрын
😅😂
@pascalnicolaus6986
@pascalnicolaus6986 16 күн бұрын
Wenje boya sanaaaa hata kwa saut ni mwongo hundred percent
@hajimakarabai4700
@hajimakarabai4700 18 күн бұрын
Lisu upo juu❤
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 18 күн бұрын
Mwandishi wewe uko vizuri
@KhanSaheb-t8j
@KhanSaheb-t8j 18 күн бұрын
Oyoooooo wataje wote lisu tuwajue waliopewa mpunga
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 18 күн бұрын
Lissu hajawah kusema Uwongo ktk hili Taifa
@aaa64sa13
@aaa64sa13 17 күн бұрын
Amna mtu aliye kamilika.
@kazimotomaswi9700
@kazimotomaswi9700 9 күн бұрын
Ndio shida yetu wapo wazalendo ila sio huyu
@AlphaMagomba
@AlphaMagomba 10 күн бұрын
Kamanda nakubali sana kwa ushujaa wako namna unavyojibu maswali na kusimamia hoja, hili upate mafanikio lazima upite kwenye misukosuko na changamoto,hakika ushindi upo mbele
@ibrahimbaila7764
@ibrahimbaila7764 18 күн бұрын
Sasa yeye Abdul ninani kwenye madai ya kiserikali . Jeh Abduli nimlipa bill za serikali? Shida ya Lisu amenyooka sana . Ndomaana apendwi kwakua yupo kama Rais Hayati magufuli
@rajabukipara3008
@rajabukipara3008 18 күн бұрын
Na Kwa nn Alimpa Documents Kam Sio Mtu wa Serikal😂
@aaa64sa13
@aaa64sa13 17 күн бұрын
Jaribu kuskiza kila upande bila kuegemea upande mmoja. Wana Siasa wote ulimwenguni Amna mkweli. Siasa ni mchezo mchafu sana na kufaulu lazma ukubaliane na masharti yake Ya... kiwemo Urongo Ufisadi na Ulaghai. Upo???
@kazimotomaswi9700
@kazimotomaswi9700 9 күн бұрын
No!! Magufuri uwezi kumfananisha na Lissu lisu ni dalali kbs anataka utajiri sio haki.
@AdrianMallya-l4h
@AdrianMallya-l4h 7 күн бұрын
Sasa tumeshajua ukweli hamna upinzaji Tanzania. Hii compromise ya Cdm ccm raisi na mtoto wa raisi ni ushahidi tosha kuwa siasa za bongo ni usanii tu na kuwahadaa watanzania
@advocatepetermbogoro1192
@advocatepetermbogoro1192 7 күн бұрын
Usimfananishe Magufuli na huu uchafu
@salehthesword
@salehthesword 14 күн бұрын
Lissu tuombe radhi Madalali. Kwani kuwa dalali kuna ubaya gani? Hakuna hela ina raha kama ya udalali.
@Michael_Msanzya
@Michael_Msanzya 5 күн бұрын
sisi kama madalali hatujapenda hahaa
@onesmomasala-rg2wd
@onesmomasala-rg2wd 15 сағат бұрын
Kaka lissu nakuamini sana unasema ukweli kabisa kaka simama imara
@RodgersNyagani
@RodgersNyagani 16 күн бұрын
wenje we tulia ,we ni Bwana mdogo tu
@joachimngereja7608
@joachimngereja7608 16 күн бұрын
Wenje ni aibu sana kwako
@SinarahaNtaraha
@SinarahaNtaraha 18 күн бұрын
Mzee wa kumbukumbu lisu hawezekaniki
@KhanSaheb-t8j
@KhanSaheb-t8j 18 күн бұрын
Huyu jamaa ni.kichwa
@abn8331
@abn8331 Күн бұрын
Kwahiyo haya yote sababu yake ni Lisu kugombea au??,aingetia nia ya kugombea haya yote yasingekuwepo?,Tunajufunza nini hapa?
@hamismkude553
@hamismkude553 9 сағат бұрын
Mm naona Hawa wote ni waongo sema lissu kWa sababu mwanasheria anajua kujibu maswali
@SixMakocho-g8e
@SixMakocho-g8e 6 күн бұрын
Lisu ni balaa tunakupenda watanzania❤
@edisonmaliva1719
@edisonmaliva1719 5 сағат бұрын
Hv abdul ana miaka mingapi? Tutafute hela wakuu!
@Kombs-cr2mj
@Kombs-cr2mj 2 күн бұрын
Kweli CCM ni ma master wamejua kuwavuruga 😅😅😅😅 mnagombana kama maboya ujinga wenu mnaanika nje yaaan mmecjezewa chezo la hatari kama mmarekan anavyowapiganisha koreans
@ntegrity277
@ntegrity277 8 күн бұрын
WENJE AMEJICHANGANYA KWA LISSU, HUYO NI MWANASHRIA NA WAKILI MAHIRI! A VERY SMART MAN! UKIINGIA ANGA ZA LISSU UWE SMART! HIYO NI DICTIONARY BROTHER! LISSU IS A VERY SMART GUY
@noahpaulo3845
@noahpaulo3845 8 күн бұрын
Lisu achana na majitu yasiyo kufaa kwenye vitahii bola ubaki pekeyako kwenye vita hii mungu ndio atakutangulia
@MuhamedHassan-l5u
@MuhamedHassan-l5u 18 күн бұрын
Mtatoa siri wenyewe
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 16 күн бұрын
Lisu hua ni muwazi, ndo shida😂😂😂, wamemchokoza😂😂. Ngoja awachane, ili wapoteane kabisa. Ndo mjue hakuna upinzani hapa
@EmmyHassanHosseni
@EmmyHassanHosseni 12 күн бұрын
Mwenye Picha ya Abdul tafadhali. Wengine hatumjui kwa sura 🙏
@HoseaKalenga
@HoseaKalenga 2 күн бұрын
Mwenyekit umemaliza wanataka kukuchafua tu hakuna hoja kwa wenje 17:28
@georgeasalla8542
@georgeasalla8542 2 күн бұрын
Wenje usiangushe Rorya
@KenedyThabiti
@KenedyThabiti 6 күн бұрын
Naomba usimtukane lissu nawaomba sasa ndugu zangu
@RizzikMsingiri
@RizzikMsingiri 13 күн бұрын
Chama kinakwenda na maji
@CharlesTarimo-s6f
@CharlesTarimo-s6f 23 сағат бұрын
Akuna mwansheri mkweli . Wote walagai tu
@yohanandila8386
@yohanandila8386 16 күн бұрын
Unamuuliza Abdul kama nani kwenye serikali hii?
@fastonsambo-du4rd
@fastonsambo-du4rd 3 күн бұрын
Wenje hajitambui kabisa ni msaliti na ni mchonganishi mkubwa.Anaweza kuua chama ni mtu hatari sana kwa chama
@mussamoureen4136
@mussamoureen4136 17 күн бұрын
Lissu kaongopa. Kasema eti wenje alisema walienda kwake october. Sio kweli wenje alisema november
@saidomary4950
@saidomary4950 4 күн бұрын
Asante Lissu wee ni shujaaa
@MasindaTarimo
@MasindaTarimo Күн бұрын
Tundu ni mkweli na ndie anafaa kuwa mwkt wa chadema taifa ila huyu wenje ni dalali promax
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 Күн бұрын
Abdul na malipo ya lisu anahusiana vp?je anacheo chochote serikalin?naomba kuelewesha
@CharlesKuandika
@CharlesKuandika 18 күн бұрын
Lisu ndio kiongozi pekee anayeweza kung'oa wadhalimu nchi hii. Naamini atakuwa kiongozi mkuuu wa nchi hii wakati fulani
@HoseaKalenga
@HoseaKalenga 2 күн бұрын
Wenje Ana tafuta nn kwa lisu mbona haelewek
@SilveryMasalu
@SilveryMasalu 11 күн бұрын
Zito Kabwe, Chacha Wangwe, Cessil Mwambe Fredrich Sumaye na sasa Tundu Lissu kugusa tu form ya uenyekiti taifa shida inaanza kuna nini katika chama hiki Chadema?
@DonaldSwai
@DonaldSwai 17 күн бұрын
Jamani viongozi kuweni Na m 5:41
@RichardLyamuya
@RichardLyamuya 16 күн бұрын
Acheni kumsingizia.Abdul.Tundu.uwe na adabu .
@JudicaShoo-x9n
@JudicaShoo-x9n 17 сағат бұрын
Mtasema yote
@ordafabian5172
@ordafabian5172 4 күн бұрын
Kwahio mnamuuliza abduli malipo ya lissu, pumbavu hamfai kua viongozi wewe na mbowe, ni zamu ya lisu na heche
@kamalofanuel8120
@kamalofanuel8120 13 күн бұрын
Rais marehém Ali Hasan mwinyi aliachia Mke wake kuongoza serikali japo watu humsifu. Lakini alifanya serikali kukosa pesa wananchi ndio wakawa na pesa... Leo Rais Samia anaachia mtoto wake aingilie serikali hii inauma sana....na iko kwa viongozi waislam ...Mwinyi.mtoto wake ndo mtawala zanzibar...kikwete.Ridhiwani...Sasa Samia. ..Abdul ...
@SalumSaid-r7p
@SalumSaid-r7p 4 күн бұрын
Laana zinawarejea sasa, baada ya kumsema mama wa watu na amekaa kimya, mnaanza kulana wenyewe kwa wenyewe sasa. Amakweli malipo ni duniani😂😂😂😂😂
@ImanLimanyile-w6f
@ImanLimanyile-w6f 16 күн бұрын
Tundu Lissu ❤❤❤❤❤
@mathayowasulo569
@mathayowasulo569 7 күн бұрын
Je umelipwa madai yako
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 18 күн бұрын
Kwa kweli MADAI ya wenje yanadhihiri na ukweli mtupu,lisu hakuna alicho kanusha lisu kama amekiri kumkabidhi Abdul documents zake ,hata kama ni mm mtu unamdai na ukatokea mchongo lazima ninge mpeleka.
@vicentpeter7372
@vicentpeter7372 18 күн бұрын
Lisu 🔥
@S.Chilunda
@S.Chilunda 5 күн бұрын
Uongeaji wako wenje ziro, elewa kua lisu mwanasheria anachoongea point huyu lisu
@robertlinuma6051
@robertlinuma6051 3 күн бұрын
Wenje n mshenz sana .hafai kwa chochote
@zuberimpelemba7678
@zuberimpelemba7678 16 күн бұрын
Hiki ni chama kweli?
@annambwilo5101
@annambwilo5101 6 күн бұрын
Swali zuri
@solomonsaitabau4461
@solomonsaitabau4461 17 күн бұрын
mla rushwa huwa hawezi kujiteteta
@saidomary4950
@saidomary4950 4 күн бұрын
Dah chadema hii inaitaji wewe Lissu kuvuka hapa
@clemenceparokola
@clemenceparokola 18 күн бұрын
Lisu ilitakiwa awe padre maana huwa anachukia uongo hupenda ukweli na haki
@LumumbaFarhani
@LumumbaFarhani 5 күн бұрын
Function flani ipi isiyojulikana? Ukijiuliza Abdul anahusika nini na fedha za serikali unakosa majibu.... 😂😂😂
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 13 күн бұрын
Chadema wakizingua tengeneza chama chako
@OscarChitawala
@OscarChitawala 8 күн бұрын
Lissu MUNGU ana malengo na wew hakika wew ni mw/kt ujao
@TNgwale-eu3xl
@TNgwale-eu3xl 4 күн бұрын
Huyu Wenje hata ukiangalia anavyoongea: lugha yake na body language yake anaongea kama mtu wa kijiweni/dalali wa kijiweni kabisa
@gregorymnyika991
@gregorymnyika991 5 күн бұрын
Huyu mzee wenje hana fact,Abdullah unamdai pesa kama nani wakati hakudhurumiwa na familia ya kina abdul ni completely falsification
@mage5371
@mage5371 18 күн бұрын
Jameni inatosha msianikane hivo ñinyi mshafikia leval ya undugu. Sitiri Siri zenu
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 14 күн бұрын
Taasisi nyingi haziendelewi kwa sabab watu wanajazwa na chuki,Hila,ubinafas na umimi
@lutegomakoyeluhahula361
@lutegomakoyeluhahula361 4 күн бұрын
Ipo siku mtaongea ukweli.mtakapoacha kutafuta mchawi nje ya chama chenu,kwa kuamini ccm ndio mchawi wenu,ndipo uhai wa chama chenu utaimarika. Nyie endeleeni ktfta sifa mitandaoni,mkidhani ndio suluhisho,kumbukeni ccm,hana ujinga kama huo.mattzo na migogoro yao huishia ndani kwa ndani.wakitoka nje aaa,wako wamoja kaabisa.mwanachama awayeyote kwa ngazi yoyote,akizingua anakipata cha moto na hata kutimuliwa kabisa.kutoogopana na kutoheshimiana kwenu ndani ya chama,ndio angamio la CHADEMA. mtaniambia.niko paleeeee nasubiri NIGASHAGA NALILYA NYAMA YA KAGULYATI.
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 18 күн бұрын
UMESEMA UKWELI, ANAWATENGENEZEA WATU MAZINGIRA YA KUPEWA HELA ILI NAYEYE APATE
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 18 күн бұрын
Wenje unasikia huyo ni dume wamajibu.
@KhanSaheb-t8j
@KhanSaheb-t8j 18 күн бұрын
Hapa bila ya shaka wenje ni muongo
@jewelmabhenga4742
@jewelmabhenga4742 18 күн бұрын
Lissu will fix it
@LouisKibwana
@LouisKibwana 7 күн бұрын
Sis wenye akili tunajua baada ya Lissu kuongea mtu aliempeleka kwake Abdul ili ahongwe ndio amepagawa na anaonekana dhahir kama mambo mengi ammetunga na mengine anayapinduapindua siku zote uongo hujitenga
@advocatepetermbogoro1192
@advocatepetermbogoro1192 7 күн бұрын
Lisu ni muongomuongo sana. Kila kitu kinaonekana. Unatunga uongo kwasababu unatafuta uenyekiti. Hufai kuwa kiongozi kwa kutuhumu kila kitu.
@vicentpeter7372
@vicentpeter7372 3 күн бұрын
Hata uku mtaani madalali wa vyumba ni wajanja sana😅 dalali ni dalali tu
@magamboguje8152
@magamboguje8152 3 күн бұрын
😅😅😅😅🎉🎉
@JaliaBahat
@JaliaBahat 9 күн бұрын
Usijage ukafanya siri na tundulisu anakuumbua
@Michael_Msanzya
@Michael_Msanzya 5 күн бұрын
hahaa TAL kwenye siri za michongo sio mtu wa kumuamini kabisa
@onesmomasala-rg2wd
@onesmomasala-rg2wd 15 сағат бұрын
Aa umenifulahisha sana lissu huyu
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 14 күн бұрын
Safi Lissu
@JoachimMenansMazyeta-wb1lm
@JoachimMenansMazyeta-wb1lm 7 күн бұрын
Ni fact!
@SweetBertMlinda-bq7mp
@SweetBertMlinda-bq7mp 6 күн бұрын
Ndo mana nyie kuwapa nchi bado mnooo, mtaendelea kusugua bench
@jeremiahngoka4980
@jeremiahngoka4980 16 күн бұрын
Huyu maneno mengi sana tu.Dalali mkuu tu huyu
@ThobiasMganga-x9l
@ThobiasMganga-x9l 4 күн бұрын
Nani anayesema ukweli?
@FrankSospeter-o3q
@FrankSospeter-o3q 18 күн бұрын
Lipa deni
@JumanneKigori-fm1nn
@JumanneKigori-fm1nn 18 күн бұрын
😂😂😂sh ngapi rafiki
@PinelMlay
@PinelMlay 18 күн бұрын
Mujifunze kwa wenzenu wa CCM ni aibu sana
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 18 күн бұрын
Wajifunze wizi wa mali za umma?
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale 17 күн бұрын
@PinelMlay wajifunze nn huko?!
@MaxonSelestine
@MaxonSelestine 5 күн бұрын
Daàh! Mungu ndio anajua zaidi lakini Lissu wewe mtu haswaa
@joeaub2185
@joeaub2185 13 күн бұрын
Lisu hata angekuwa ccm ningempa kura yangu👍👍
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 5 күн бұрын
Hawa jamaa hawaaminiki. Watanzania tufungue macho hawa jamaa watatuuza.
@pascalnicolaus6986
@pascalnicolaus6986 16 күн бұрын
Respect to you Lisu
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 5 күн бұрын
huyu jamaa anadanganya.mnawezaje kwenda kwa mtoto wa wa rais kudai malipo mkiwa kama chama kinacho jielewa.kwamba n wahuni
@alexmlwisa4932
@alexmlwisa4932 5 күн бұрын
Nilimsikiliza wenje kwenye Radio anaonekana ni tapeli maana hata namba ya simu ya abduli anasema hanaaaa
@juliusandrew39
@juliusandrew39 3 күн бұрын
body language ya wenje haijifichi kabisa juu ya uongo wake,
@JogookichaaJr
@JogookichaaJr 14 күн бұрын
Lissu hamna kitu wenje hamna kitu mbowe hamna kitu chadema wote ni wehu tu 😅😅😂
@JumanneKigori-fm1nn
@JumanneKigori-fm1nn 13 күн бұрын
Jogookichaa hili jina linakufaa linaendana na matendo yako
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE 3 күн бұрын
sasa jitu lenyewe baba Yako Anaitwa eti kichaa sasa wewe litoto unaanzaje kuwa na akili😂😂😂jinga la mwisho.
@josephmusagasa
@josephmusagasa 10 күн бұрын
Wenje aisee,hivi kweli na elimu yako hiyo degree kweli kabisa, huyo Abdul anahusikaje na kuweza kulipa pesa kwa Lissu? Au huyo Abdul ni mhasibu mkuu wa serikali? Wenje kulikoni? Mbona kuna uchagizi hapa mbele yetu sasa mnaanza vijembe? Acheni hizo mnaaibisha usomi wenu, please please
@DamasAmos-ue2gh
@DamasAmos-ue2gh 18 күн бұрын
Wenje ni muongo anajipende keza kwahabuduli lichawe lahabuduli
@dennisungonella205
@dennisungonella205 16 күн бұрын
Hiyo function mbona haitajwi?😂😂
@davidkilolelo525
@davidkilolelo525 11 күн бұрын
Lisu nimmoja tu Tanzania hii
@boniphaceyohana-p8l
@boniphaceyohana-p8l 15 күн бұрын
this politics is totally dramatic in nature,therefore you fail to decide who is right. #lets remain to the side of mwalimu jk nyerere,its enough🇹🇿🙏
Tundu Lissu: "Hakuna tena kuimbiana mambo ya maridhiano  yasiyokuwepo"
32:08
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
Tundu Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena
28:12
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН