NI WEWE MUNGU by Japhet Zabron (SMS SKIZA 5961248 TO 811)

  Рет қаралды 1,798,262

Japhet Zabron

Japhet Zabron

Күн бұрын

Genre : Gospel
Artist :Japhet Zabron
Song : Ni wewe Mungu
Songwriter: Japhet Zabron
Audio :Nsajigwa Mordecai [Morden Music ]
Studio: Creative Sound Studio
Video : HansCana
Cont.
Japhet Zabron Philip
PO Box 56
Kahama Shinyanga Tanzania.
Mob :+255755778378
E-mail: zabron56@gmail.com

Пікірлер: 693
@gervasally6979
@gervasally6979 3 жыл бұрын
Nani anakubaliana na.Mimi wakenya wanaongoza kulike na kucoment nyimbo za Injili za Tanzania..? weka like🙏🏾
@JudyDavid-h6n
@JudyDavid-h6n 24 күн бұрын
napenda sana nyimbo za hawa watu jaman cmu yangu imejaa nyimbo zao tu MUNGU awabariki sana ❣️🌹🌹
@wambohnganga6513
@wambohnganga6513 4 жыл бұрын
Kenyan in gulf piteni na like ya Japhet, sauti tamu and the video iko dope🙏
@loveleen4214
@loveleen4214 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hmnRhaOVgMaWhsk
@sarahadonga6149
@sarahadonga6149 4 жыл бұрын
Tuko ndani kwa mpigo
@damah8431
@damah8431 4 жыл бұрын
Pamoja dada nikiwa🇧🇭🇧🇭
@maureenkwamboka3660
@maureenkwamboka3660 4 жыл бұрын
🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭
@celinejepchumba6483
@celinejepchumba6483 4 жыл бұрын
Egypt 🇪🇬🇰🇪
@CarolineMghoi-z3j
@CarolineMghoi-z3j 3 ай бұрын
Kwa ukweli nyimbo hizi zinaniganga moyo kila kuchao,may God continue to bless you all zablon singers.
@duncanbrian4091
@duncanbrian4091 3 жыл бұрын
This song deserves 10 million views.. can't get over it🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@amanbethod8611
@amanbethod8611 3 жыл бұрын
Good song
@veronicahnjeri6483
@veronicahnjeri6483 2 жыл бұрын
Meee too😘😘😘
@blessedfay
@blessedfay 2 жыл бұрын
Same here
@stacyonyango4886
@stacyonyango4886 Жыл бұрын
We're together
@BrendaGatakaa
@BrendaGatakaa Жыл бұрын
He's under God's grace not worldly power
@hannahhans8380
@hannahhans8380 3 жыл бұрын
Who said Music does not play part in tourism?. I am here. I knew little abt Tanzania. I only know that my cousin went to study in Moshi. He told us Tanzanians cook bananas. We were like thats crazy. Just to learn that its not bananas but matoke or whats the name. Now after falling in love with Zabron Singers I am planning to go buy a house in Tanzania . Retire there . Was confused if I should go to Rwanda but I fell in love with Tanzania. By the way I am from Botswana.
@sarahezekiel3301
@sarahezekiel3301 3 жыл бұрын
Ure mostly welcome
@Ijusthavequestions
@Ijusthavequestions 3 жыл бұрын
Botswana doesn't have their own version of matoke?
@alfaaldo7276
@alfaaldo7276 2 жыл бұрын
Welcome to Tanzania 🇹🇿...the home of kind people
@wapiniwapi
@wapiniwapi 2 жыл бұрын
True
@godwinhakutangwi8328
@godwinhakutangwi8328 2 жыл бұрын
Would love to join you in this expedition hey
@joskyshams4758
@joskyshams4758 4 жыл бұрын
Asante Yesu kwa neema. Wimbo mzuri. Wakenya kujeni hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@loveleen4214
@loveleen4214 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hmnRhaOVgMaWhsk
@husseinchea5524
@husseinchea5524 4 жыл бұрын
Njooni si kujeni 😂
@joskyshams4758
@joskyshams4758 4 жыл бұрын
@@husseinchea5524 kwani nimeongea kizungu?
@husseinchea5524
@husseinchea5524 3 жыл бұрын
@@joskyshams4758 sio kiingereza wala sio kiswahili😂
@joskyshams4758
@joskyshams4758 3 жыл бұрын
@@husseinchea5524 uko na ujinga sana be a man
@emmanuelsasraku6871
@emmanuelsasraku6871 4 жыл бұрын
Napenda part hii: “NINALO OMBI MOJA, niimarishe, uyatumie maisha yangu, heee.. nikakupe na moyo wangu, vitu na mali, nitumie upendavyo”
@loveleen4214
@loveleen4214 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hmnRhaOVgMaWhsk
@juvenalyzacharia5059
@juvenalyzacharia5059 4 жыл бұрын
Nami naipenda nairudia rudia
@biliGuoXiaopang
@biliGuoXiaopang 4 жыл бұрын
Jesus opack, amen
@tumainielia5750
@tumainielia5750 3 жыл бұрын
Naipenda pia sana
@esternaftari4553
@esternaftari4553 3 жыл бұрын
Nami naipenda sana
@sedekiakiza
@sedekiakiza 4 жыл бұрын
Kazi njema saaana ahsee. Kama umeikubl nataka like 💯 now
@agnetamwaighuri736
@agnetamwaighuri736 3 жыл бұрын
Am from Kenya wuiii haki unaimba vizuri nahisi kubarikiwa na nyimbo zako sana Zina ujumbe wa nguvu
@christopherjoshua4168
@christopherjoshua4168 4 жыл бұрын
Ukoseagi mi nahisi unamtangulizaga mungu kiukweli kazi safi kabisa imesimama
@gladnessferdinand2768
@gladnessferdinand2768 3 жыл бұрын
Kwel kabisa
@sarah-hy7gz
@sarah-hy7gz 5 ай бұрын
Nice
@teckie__songsofworship6680
@teckie__songsofworship6680 4 жыл бұрын
Whoever is reading this may God give you happiness, wisdom, health and wealth may He double your prosperity in Jesus name Amen
@japhetzabron1881
@japhetzabron1881 4 жыл бұрын
Amen 🙏🏾
@wycliffemokaya6890
@wycliffemokaya6890 3 жыл бұрын
Amen
@teckie__songsofworship6680
@teckie__songsofworship6680 3 жыл бұрын
@@wycliffemokaya6890 Be blessed abundantly
@velmaomondi1569
@velmaomondi1569 3 жыл бұрын
Amen!!
@nicholasjuveso9845
@nicholasjuveso9845 3 жыл бұрын
Amen and thank you very much
@sethomao8573
@sethomao8573 4 жыл бұрын
Wapi likes za mie kama first viewer
@veronicamalale2153
@veronicamalale2153 4 жыл бұрын
Ameeen Mungu akubariki sana kwa wimbo mzuri
@loveleen4214
@loveleen4214 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hmnRhaOVgMaWhsk
@remigiuschilumba4685
@remigiuschilumba4685 4 жыл бұрын
Huyu kijana ni very humble Mungu akubarikj
@isackabely8078
@isackabely8078 3 жыл бұрын
Japhet ufikke mbali Mimi ni lsack nipo muganza chato ukweli unanibaliki sana
@mrnickmusician7139
@mrnickmusician7139 Жыл бұрын
Amen mtumishi keep it up brother 🇰🇪❤
@potfaluhala9900
@potfaluhala9900 4 жыл бұрын
Barikiwa unapoendelea kutubariki. Wimbo mzuri, unaujumbe mzuri
@meshackntoga1566
@meshackntoga1566 3 жыл бұрын
Huyu ni MUNGUUUUU,,, Safi sana sana Mdogo wetuu, Mungu anakuonesha mistari mizuriii sana, Nakusikiliza zaidi ya kawaida - nipo hapa Dodoma
@sagaikaalphan116
@sagaikaalphan116 4 жыл бұрын
Hakika unatumia vyema Talanta uliyopewa na Bwana Mungu azidi kukubariki zaid na zaid
@evalynkemumamagoma9795
@evalynkemumamagoma9795 3 жыл бұрын
Amina
@josephkuhengs9917
@josephkuhengs9917 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@paulinemuthoni2860
@paulinemuthoni2860 3 жыл бұрын
L
@paulinemuthoni2860
@paulinemuthoni2860 3 жыл бұрын
@@evalynkemumamagoma9795 John
@MagretWanjera-ph1wb
@MagretWanjera-ph1wb 9 ай бұрын
Huu wimbo ni mzuri sana mungu akubariki sijawahi sikia huuwimbo ndio nausikia Leo mungu akubariki sana am from kenya
@silasmwai.3076
@silasmwai.3076 Жыл бұрын
When I listen to this song, I clearly define the steps God has walked with me. God has done more really to make me who I'm . Thanks to Almighty God.
@rosemarymnasa5458
@rosemarymnasa5458 4 жыл бұрын
Wimbo mzur ,saut nzur maneno yenye kumtukuza Mungu,Kweli huyu n Mungu ,,,Watanzania mkuje jmn muone
@brigitharmacha4991
@brigitharmacha4991 4 жыл бұрын
Mungu azidi kuwainua viwango vya juu nikiwa hapa🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲nabarikiwa na nyimbo zenu
@kwizeraelly9261
@kwizeraelly9261 3 жыл бұрын
Naupenda mnavyomtumikia Mungu. Msimwache Yesu kamwe maishani mwenu.
@antoniogangulagangula2948
@antoniogangulagangula2948 2 жыл бұрын
Bom dia queria Louvado seja Deus 🙏 pelo lindo lovori
@njaukate1627
@njaukate1627 4 жыл бұрын
Nani Ka like before watching the video 🔥🔥
@loveleen4214
@loveleen4214 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hmnRhaOVgMaWhsk
@lucyngaske9551
@lucyngaske9551 4 жыл бұрын
Me here
@ruthnthenya9613
@ruthnthenya9613 4 жыл бұрын
Nimebarikiwa kutoka Kenya.
@mnaloogeorge7638
@mnaloogeorge7638 3 жыл бұрын
Jaman hongera nimeipenda sana hii nymbo ina ujumbe mzuri
@shelomaday4633
@shelomaday4633 4 жыл бұрын
Naona Ambwene wa pili na Paul mwai watatu anafwatia hapa,,, barikiwa sana
@gladnessferdinand2768
@gladnessferdinand2768 3 жыл бұрын
Kabisa
@sophiakasana2937
@sophiakasana2937 4 жыл бұрын
Huwa sijuti kumaliza mb kusikiliza zabron Kwani huwa nabarikiwa sana Mungu akutunze
@jaclinefocas4656
@jaclinefocas4656 4 жыл бұрын
Kaka jafety unatisha yaani ubarikiwe zaid ya Sana uko juuu na tunabarkiwa na nyimbo nzur
@sophiakasana2937
@sophiakasana2937 4 жыл бұрын
Kabisa mungu amlinde tu na timu yake
@evalynkemumamagoma9795
@evalynkemumamagoma9795 3 жыл бұрын
Ni Mungu anayeendesha maisha yetu Kwa kila namna.Ubarikiwe sana ndugu Japhet.
@elikanabaariu4008
@elikanabaariu4008 3 жыл бұрын
Barikiwa wimbo mzuri unapedeza tena unamafudisho
@gladwelmboya452
@gladwelmboya452 3 жыл бұрын
Sijawahi choka kuskiza wimbo hii kila asubuhi nikiamka....Thank you Lord. May God bless you Japheth
@chiriijoy9368
@chiriijoy9368 4 жыл бұрын
Am Kenyan but watching from Qatar japhet and ur team much love keep going, u r such a God sent angel
@kennedymuchoki5208
@kennedymuchoki5208 3 жыл бұрын
🇧🇭🇰🇪 Blessing n soothing.
@weldonronoh7482
@weldonronoh7482 3 жыл бұрын
Wauh,a good blessing songs, God bless you all the time
@lastbornnyash
@lastbornnyash 4 жыл бұрын
Fast here from kenya🔥🔥💕nice song
@collinsgutwa283
@collinsgutwa283 4 жыл бұрын
Nilikutangulia bana
@lastbornnyash
@lastbornnyash 4 жыл бұрын
@@collinsgutwa283 OK poa bt siku Pata mtu hapa dear... Ttubarikiwe pamoja dear
@collinsgutwa283
@collinsgutwa283 4 жыл бұрын
@@lastbornnyash Be Blessed too
@eudiaorwa8121
@eudiaorwa8121 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/n4WnZpijhZV9i9E
@queenwere1
@queenwere1 3 жыл бұрын
Ona wakenya na compe' wacheni tu enjoy wimbo 254 🇰🇪😀😀
@charlesnghwaya1619
@charlesnghwaya1619 4 жыл бұрын
Nimekujia pande hii techer unajua mimi take kujifunza kuimba fanya kunifundisha maaana si kwa jumbe hizi mtumishi wa Mungu,!!!!
@barisimoyona4033
@barisimoyona4033 4 жыл бұрын
uko vizuri kaka MUNGU Akubariki sana kikubwa kwako nyimbo zako ni ujumbe tu hakuna papara nimebarikiwa sana
@Gold_of_hope_Tv
@Gold_of_hope_Tv 4 жыл бұрын
Barikiwa na wimbo huuu mzuri jina la Bwana litukuzwe
@samwelmayuki5889
@samwelmayuki5889 4 жыл бұрын
Cheo na Elimu ni Mungu bado hakika
@emmanuelsasraku6871
@emmanuelsasraku6871 4 жыл бұрын
“Uliingilia Kati salama nivuke mpaka nikafika hapa.......pumzi, uhai, huyu ni Mungu.......
@rosenyakundi337
@rosenyakundi337 3 жыл бұрын
Ooh hallelujah mungu akubariki mtumishi a talented man of God wimbo uniniguza sana from kenya twakupenda sana
@NabutuwaBeat
@NabutuwaBeat Жыл бұрын
This song makes 😭😭😭takes me in adeep worship,oh God thank u 4 sending to us Zebron singer's ,he have renewed my salvation.🙏🙏🙏🇺🇬
@BethuelofficialTz
@BethuelofficialTz 4 жыл бұрын
Ni wimbo mzuri Sana.... kam angeimba na yule Dada mkuu wa mkono wake Bwaaanaaaa ingekuwa 🔥 fireeee Otherwise it's very good
@faithodinga1978
@faithodinga1978 Жыл бұрын
From Kenya,I love your songs so much I feel happy and blessed when listening to them keep up with the good work of the Lord.
@milliemiheso4974
@milliemiheso4974 3 жыл бұрын
Ahsante Yesu Umekubali nifike hapa.. Sauti tamu Yenye Kibali! The confidence that is in him..amazng
@alfredjohn5693
@alfredjohn5693 4 жыл бұрын
Unanibariki sana na nyimbo zako mtumishi! Uzidi kubarikiwa 🙏🙏
@angieshiks1516
@angieshiks1516 4 жыл бұрын
The voice matches the cuteness 💞🙈
@guonegreator
@guonegreator 2 жыл бұрын
Waah mkenyA🇰🇪😂😂😂
@nyutwaclassic
@nyutwaclassic 4 жыл бұрын
Tujuwane Tulikuja hapa kwa ajiri ya Directed Hanscana 😄 weka like yako Hapa 🤪🤪
@AdveraMalima
@AdveraMalima 2 ай бұрын
Kazi nzuri kaka❤
@paulojoseph8876
@paulojoseph8876 4 жыл бұрын
Niwatu wachache sana wanaokumbuka mahali mungu amewatoa asante kwakutukumbusha mtumishi
@Purity719
@Purity719 4 жыл бұрын
Asante Yesu kwa wema, neema na fadhili nyingi...Amen. God bless you Japhet.
@loveleen4214
@loveleen4214 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hmnRhaOVgMaWhsk
@blessedfay
@blessedfay 2 жыл бұрын
Ooh i bumped on this song today and i cannot have enough of it. It gives innerlijke peace as we ponder how far God has brought me! From grass to grace. Sending hugs from Belgium/Kenyan
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 3 жыл бұрын
Ulichunga kondoo na mbuzi, ooh kumbe ulikuwa ni mpango wa Mungu uje uchunge kanisa la Mungu. 🙏 Ona sasa tunavyolishwa malisho mzr ya nyimbo zako broo.
@PembaImani
@PembaImani 3 жыл бұрын
What a song! Mungu aendelee kuiinua huduma yako ndugu Japhet maanake ni baraka kubwa kwa hichi kizazi. Much love from Kenya.
@mcagnessmayagila3690
@mcagnessmayagila3690 4 жыл бұрын
Kama kawa Japhet MUNGU akubariki uendelee kutupa vitu vikali
@abigirlchiedzamatondo5858
@abigirlchiedzamatondo5858 2 жыл бұрын
my two year old love this song a lot ...took it from me...and now can do all the hand gestures that Japhet does on this vedio 😊😊😊😊
@happynesselias6891
@happynesselias6891 2 жыл бұрын
Nice brother add more effort
@paulmzule4885
@paulmzule4885 4 жыл бұрын
Yani nyimbo zako safi mnoo, kwenye maombolezo zinahiti, kwenye furaha zinahiti,katika uchovu zinaondoa. Hongera sana kijana
@japhetzabron1881
@japhetzabron1881 4 жыл бұрын
Amen Mr Paul
@marialucas8351
@marialucas8351 4 жыл бұрын
Hunazidi kunibariki sana @Japhet kwa kazi nzuri Mungu azidi kkubariki
@emmanuelsasraku6871
@emmanuelsasraku6871 4 жыл бұрын
JP, asante kwa kutubariki tena kwa wimbo mpya. Hata mimi nilikuwa nachunga ng’ombe na mbuzi.Ni vizuri kukumbuka Mungu alikotutoa, ili tusimdharau mtu awaye yote. Mungu anakupeleka next level.
@loveleen4214
@loveleen4214 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hmnRhaOVgMaWhsk
@marywawira9713
@marywawira9713 Ай бұрын
My favorite song Japheth zarbon my dream is to be a musical a gospel song
@saromemaneno355
@saromemaneno355 4 жыл бұрын
Asanteee yesu kwa fadhiri zakoooo siuwezooo wangu kufika hapa niuwezooo wakooo mungu 🙏🙏🙏🙏👏👏
@rosenyenyembe4698
@rosenyenyembe4698 4 жыл бұрын
Barikiwa mno Japhet,Mungu akupake mafuta mabichi,huduma yako ipate kibali mbele za Mungu na wanadamu
@adamgadieli8839
@adamgadieli8839 4 жыл бұрын
Ujumbe mzur kutoka kwako mtumishi
@methodykyando1364
@methodykyando1364 4 жыл бұрын
Asnte kak kwa ujumbe mzuri kwetu Mungu awe nawe
@noelmwikeve6255
@noelmwikeve6255 4 жыл бұрын
Siku moja nitaimba Wimbo nawe mtumishii unanibariki.
@mamahelen4584
@mamahelen4584 4 жыл бұрын
Praise God for all.mukujage huku Kuna kituuu kipya
@ombenisule3928
@ombenisule3928 3 жыл бұрын
Hakika mungu kakujalia hii ni Tanzania one
@ombenisule3928
@ombenisule3928 3 жыл бұрын
Hakika una kipaji hii ni tz one
@jackmeshack
@jackmeshack 3 жыл бұрын
Mnanibariki ninaposikilza nyimbo zenu mungu awabariki🙏
@perpetuadalei2405
@perpetuadalei2405 4 жыл бұрын
Another blessing,from glory to glory,Asante Mungu kwa ajili ya ujumbe huu ulotupa kupitia mtumishi wako
@samuelmsola9503
@samuelmsola9503 4 жыл бұрын
Cheo na elimu ni mungu bado....nice one God over everything
@burundibwizacetribea995
@burundibwizacetribea995 4 жыл бұрын
Asante sana Japhet kwa kutukumbusha kwamba tulipo toka na tunapo leo, ni kazi ya Mungu
@alisiaalisitides6362
@alisiaalisitides6362 3 жыл бұрын
Ubarikiwe xn mtumishi Mungu akubaliki xna pia nakukubli kaka ur so perfect Mungu awe nawe milele amina
@abbychepkosgei5766
@abbychepkosgei5766 3 жыл бұрын
kwa hakika ni Mungu....wimbo mtamu kabisa
@abelmchenga50
@abelmchenga50 4 жыл бұрын
Unajua kuimba kaka pamoja na mwenzako mungu awabariki
@justinkihongo7254
@justinkihongo7254 4 жыл бұрын
Hongera Sana kaka niliisubiri kwa hamu maana niiliona promo kwa rafiki yako MWITA CHARLES MBWEGA
@loveleen4214
@loveleen4214 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hmnRhaOVgMaWhsk
@sportbundletv4510
@sportbundletv4510 4 жыл бұрын
Yaaani kamavile musaaaaa✍️✍️✍️❤️ Asante yesu kwa wema nazofadhil zako ,,,🙏
@nesielias317
@nesielias317 4 жыл бұрын
Kazi nzuri tunabarikiwa Mungu akuinue zaidi
@happinessatera8041
@happinessatera8041 3 жыл бұрын
Awesome song. Mwaimba poa sana napenda kusikiza na kutazama nyimbo zenu Wanazabron. Mungu aikuze talanta yenu...
@josphinejebichii6882
@josphinejebichii6882 4 жыл бұрын
Nyimbo mzuri Sana Japheth inaguza. Moyo Sana. Endelea kumfanyia Mungu kazi aliyekufisha uliko....#from Kenya with love
@savian1072
@savian1072 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa kazi nzuri
@jonasmziba3081
@jonasmziba3081 4 жыл бұрын
KAKA UMETISHA SANA, MUNGU AENDELEE KUKUTIA MOYO KATIKA KAZI HII
@loveleen4214
@loveleen4214 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hmnRhaOVgMaWhsk
@NyandaMahunga
@NyandaMahunga Ай бұрын
Ubarikiwe sana udhidi kumutumikia MUNGU
@asaphlulandala1018
@asaphlulandala1018 4 жыл бұрын
Kiukweli Kaka zabron kazi zako zanibless sanaaa !! God bless you
@dennismkumbala6477
@dennismkumbala6477 4 жыл бұрын
Bro mungu akubaliki san una nibariki San kwa nyimbo zako hata napotak kushidwa naamin mungu yupo na ndo tegemeo langu sita muacha kamwe
@jmaxyuppie3186
@jmaxyuppie3186 4 жыл бұрын
Uwezo wakuwa hapa, ni Mungu bado. Asante Mungu kwa neema na fadhili zako.
@AmosObanda23Thursday16Nov8am
@AmosObanda23Thursday16Nov8am 4 жыл бұрын
Wimbo mtamu na sauti nzuri, Great, Zabron for your gifted voice from God nourish souls of many. Always humble. God bless you
@sheilarono395
@sheilarono395 3 жыл бұрын
I don't mind such man to teach my kids ways of God I can provide full time
@cheronokorir8357
@cheronokorir8357 3 жыл бұрын
May be not married, application itumwe cheptanyon kama uko single.
@joycepaschal6346
@joycepaschal6346 4 жыл бұрын
Amina sana Mungu aendelee kuwalinda zabroni asante kwa chakula cha kiroho
@bestmedia_tz
@bestmedia_tz 4 жыл бұрын
Unaweza Sana Ndugu yang Mungu Azidi kukuinuwa
@peterandfamily2069
@peterandfamily2069 3 жыл бұрын
anyone listening to these encouraging song in january 2022 ama niko alone?? MAY GOD BLESS YOU
@joycepaschal6346
@joycepaschal6346 4 жыл бұрын
Aisee nimebarikiwa sana Amina kubwa kwako
@mercytuwei4063
@mercytuwei4063 4 жыл бұрын
Congratulations japheee... God bless you for me... watching from kenya county No.10🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@michaelmalisha8088
@michaelmalisha8088 3 жыл бұрын
0llllppp0p0l0lb
@bernardkaite4183
@bernardkaite4183 4 жыл бұрын
Uko amazing sana mungu akuinuwe
@shedrackatanasio9734
@shedrackatanasio9734 4 жыл бұрын
Ameeen mtumish Mungu aendelee kukuweka vwango vya juu zaid
@rosemaryhermanrosemaryherm7574
@rosemaryhermanrosemaryherm7574 2 жыл бұрын
Jaman wimbo unanigusa sana najikuta natoa chozi daaah mungu aendelee kuwatunza
@kelvinaron4086
@kelvinaron4086 4 жыл бұрын
Amen injili njema iliyo tukuka kupitia uimbaji Brother nimebarikiwa sana
@lulukikulu3862
@lulukikulu3862 4 жыл бұрын
Congratulation babaaa wimbo mzury sana, video kali, location nzury, big up babaaa 🙏🙏🙏🙏
@japhetzabron1881
@japhetzabron1881 4 жыл бұрын
Sante Mamaa,pamoja sana
@Migapogospel678
@Migapogospel678 2 ай бұрын
❤❤❤mungu u mwema
@cherutomaina5463
@cherutomaina5463 3 жыл бұрын
Zabron singers you make me feel Iike I'm in paradise,God blessed you
@millicentadhiambo2063
@millicentadhiambo2063 3 жыл бұрын
😭😭😭I can't get enough of you God,,,I can't even thank you enough for the good deeds in my life🙌your mercies reign all Over my life this song is such a blessing
@ramueljuma8165
@ramueljuma8165 2 жыл бұрын
Hallelujah,so powerful indeed
@PenifordUsendele-lu4zq
@PenifordUsendele-lu4zq 8 ай бұрын
MUNGU mwenyezi muumba wa vyote aendelee kuwatumia kwa viwango vingine AMEN
@janethgaudence265
@janethgaudence265 4 жыл бұрын
Hujawahi niangusha best naendelea kubarikiwa na nyimbo zako.hongera Sana
@isackabely8078
@isackabely8078 3 жыл бұрын
Isack Aber. wimbo hakika nimtamu bwana akubaliki
@innomchaga
@innomchaga 4 жыл бұрын
Wimbo mzur sana hakika umenibariki
@catherinenalwa9397
@catherinenalwa9397 2 жыл бұрын
AMINA MAHALI POPOTE MJINI NA KIJIJINI YEYE NI MUNGU.
@blessinglucyofficial1353
@blessinglucyofficial1353 4 жыл бұрын
Kweli na hakika huyu ni Mungu. Fadhili, upendo na rehema zake.💪💪💪
@nachatvonline2996
@nachatvonline2996 4 жыл бұрын
Hongera kazi nzuri
@prisilamahavile2387
@prisilamahavile2387 4 жыл бұрын
Pini lingine, nafarijika na nyimbo zako, Mungu akutangulie
Best Zabron Singers video mix 2023
22:13
Lenny KE
Рет қаралды 257 М.
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
YESU KUMI TIYE CAM MI TIPU
3:59
Alur Catholic World
Рет қаралды 12
Nyimbo za Kuabudu na Maombi
1:00:07
Lucas Kaaya
Рет қаралды 754 М.
JAPHET ZABRON - NAWAKUMBUKA (official video)
5:09
Japhet Zabron
Рет қаралды 1 МЛН
JAPHET ZABRON -SALIMIA WATU (SMS SKIZA 7383860 TO 811)
4:58
Zabron Singers.
Рет қаралды 2,1 МЛН
KISA SINA by Japhet Zabron (Official Video)
5:00
Japhet Zabron
Рет қаралды 104 М.
Erick Smith - Wewe Ni Zaidi (Official Video) Worship Song
16:16
Erick Smith
Рет қаралды 8 МЛН
Estell Nadine Ft Japhet Zabron - Raha Yangu/Natafuta Lugha Nzuri(Official Video)
3:50
Estell Nadine official
Рет қаралды 2,6 МЛН
JAPHET ZABRON - NIACHE NIENDE (official video)
5:25
Japhet Zabron
Рет қаралды 723 М.
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН