Wakina dada tufanye kazi kwa bidii kupate pesa zetu. Mambo ya kumchuna buzi ulipitwa na wakati, na mimi mzuri pia hiyo imeisha, kilicho baki Mimi natafuta kwa Jasho langu❤ na Mungu atabariki kazi ya mikono yangu. MALI ulizo zikita ni vigumu sana kuzimiliki. Kuna watoto wa Mengi pale Jaclin
@ruqaiamohammed3452 ай бұрын
Ndo tunaamin ule msemo wa kuwa wadada wanaolewa na wazee huwa wanafata mali huyu Jack lzm kutakua na mali anazo baada ya kuolewa na Meng lkn bado ataka mali alizomkuta nazo meng daah hiz ni dhambi za waz waz 🙌🏿🙌🏿
@Maryc2G2 ай бұрын
@@ruqaiamohammed345 kweli kabisa
@chusseboywcb28082 ай бұрын
Wanawake wakibongo mungu anawaona mnaolewa ili mpate urithi 😢😢😢poleni sanaaa
@MamaLio4752 ай бұрын
Sio urisi ni URITHI(urithi)
@chusseboywcb28082 ай бұрын
@@MamaLio475 nimebadilisha mwalim ila mnatua wanaume ili mrithi mali
@mkasijuma89702 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂@@chusseboywcb2808
@trecygohy78472 ай бұрын
@@chusseboywcb2808 una ushahidi gani ambayo unayo kwamba wanawake wanawauwa waume wao ili wapate urithi ?
@chusseboywcb28082 ай бұрын
@@trecygohy7847 ninao tena mkubwa tena mwanaume ukiwa napesa basi ww kufa ninje nje nyumba nyingi zenye mageti wanaume wamekufa wamebaki wakike TU
@HappyShirima-k9t2 ай бұрын
Jack wew ndo uliemuua mzee mengi
@MS.independent89342 ай бұрын
Muogope MUNGU ww kwani uli'kuwepo? Uli shuhudia mauwaji hayo unayo mtu humu ?
@KassimAlly-xp4dz2 ай бұрын
Ww ndo wa kuwanza kwenye hii kesi
@hafsalucky10882 ай бұрын
Nafurahi sn kuona shauri linatupwa mbali❤ Mana Jack alifikiri mzee kufa amewini, Fanya kazi upate mali zako, Unatudhalilisha wanawake wenzio! Pumbaa...
@homeandaway28112 ай бұрын
Kwa Kiswahili cha mtaani Jacky KAANGUKIA PUA TENA!😂 Wengine mjifunze kitu mapemaaaa.Msipende shortcut za utajiri na kudhulumu watoto mliowakuta.
@Maryc2G2 ай бұрын
@@homeandaway2811 kweli no shortcut ktk maisha, tafuta chako na utatamba nacho, kungangania mali za watu kuna madhala mengi.
@josephkiwale3742 ай бұрын
Wachagga niwatu poa xana,nawanapenda haki hususani kwa wajane,xema dada jack atakuwa anamatatizo kiukwl
@mwankunjatyson2 ай бұрын
Shida yake anataka ndio awe bimkubwa akati watoto wa bimkubwa wapo yeye alipopewa kama bimdogo atulie tu
@yuahahmad66512 ай бұрын
Nunatoana roho yarabiii kwa Mali alizoachwa....
@godblesshudson15642 ай бұрын
Angekuwa anampenda angempa akiwa hai.
@jumakapilima72952 ай бұрын
Unadhani kuwa hakumpa chochote?
@godblesshudson15642 ай бұрын
@@jumakapilima7295 sasa KWANini hatosheki
@tumainimwaifunga38842 ай бұрын
Kusema ukweli, angekubariana na ndugu atachopewa aridhike nacho. Mali imetafutwa na Mengi na mke wa kwanza.halafu yeye achukue mali zote? Hapana hapana
@mrishojoseph79872 ай бұрын
Umeongea kwa uchungu sana kama vile mwanafamilia 😂😂
@zebedayokatamaduni96762 ай бұрын
Umeongea ukweli Ikiwa alimkuta mengi akiwa na mali hawezi kudai mali maana alizokuta iko hivyo kisheria Lakini anaweza akapewa kiasi fulani ili aweze kuishi vizuri kabisa na watoto
@sharifabahar99052 ай бұрын
😂😂😂😂unazaa na mzee unajuwa anakufa unapata mali kumbe ujui story ya mali imetoka wapi Jack acha tamaa
@michelinemapendo66522 ай бұрын
😂😂😂khaaaaaa
@michelinemapendo66522 ай бұрын
Kwanini atuliyi na muzungu wake nasikiya kaolewa😂😂😂
@faidhamyovela1792 ай бұрын
Wadada na hela hivii yan
@YusufDuale-eq4kl2 ай бұрын
Afanye kazi jmn
@MsAggie52 ай бұрын
Jack haoni kama hai make sense Baba aache mali zote kwa wanae tu na hao wwngine asiwaachie chochote? Kibinadamu tu, angekubali mali agawiwe kama mtu asiyeacha wosia, tamaa ya nini? Mwenyewe ameziacha hata nanyi mtaziacha ..........
@christinewomanoffaith54792 ай бұрын
Mpuuzi san huyu dada
@WaziriRamadhan-ML2 ай бұрын
Upo sahihi sn
@homeandaway28112 ай бұрын
@christinewomanoffaith5479 Ni mpuuzi sijapata kuona,uroho wa mali utamtoa roho, asicheze na jasho la watu. Marehemu mama wa watoto wakubwa naye ana jasho lake humo tena walianzia mbali na mzee, hata kama walipotengana aligawiwa bado wanae wana haki hapo. Jack uzuri wa sura hekima 0.
@SalmaAthuman-hp3en2 ай бұрын
Mmh hapo ndo unapokosa mwana na maji ya moto kwa tamaa
@chapter27192 ай бұрын
Hamnaga mali za bure wala urithi maybe upewe zawadi basi
@godblesshudson15642 ай бұрын
Kama alikua anampenda angempa akiwa hai
@nadiaamisha29582 ай бұрын
Kusema ukweli jack tulia inataosha sasa🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️my wako kashaenda we tafuta babu mwingine maisha yaendelee
@BerthaModest2 ай бұрын
😂😂mwingin tena aendelee na kaz atachoka
@nadiaamisha29582 ай бұрын
@@BerthaModest hataki kuamini kama mzee alimuachia mapacha na nyumba 1 tu🤣🤣🤣🤣😭
@Thatgurl-l8n2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@homeandaway28112 ай бұрын
Jack na dadake wana roho chafu sana, eti huo wosia ulisema msimamizi wa mali ni dadake Jack 😅😅😅😅 MAVIIII😅😅😅 wachaga watawatoa jasho mpaka maji mtaita MMA.Mlimhijack mzee hadi mkuu wa foundation yake akawekwa dadake Jack. Mkajua mmemaliza NYOOOOOOO. Unadhani Mzee alikuwa mjinga.
@TumainiSawee2 ай бұрын
😂😂😂😂 embu nisaidie kuliamboa hili jinga eti anashinda na wachaga wenye mali zao tangu tangu gafla tuu unasema ni zako 😂😂😂😂
@christinewomanoffaith54792 ай бұрын
Huyu jaq ana roho mbaya Hivi ww upewe maki zote km nani? Hujui kuna mke wa ndoa aliyeanza nae? Ur so selfish
@mamachris68112 ай бұрын
Mwana kuli find,Mwana kuli gate 😮
@Maryc2G2 ай бұрын
@@christinewomanoffaith5479 wanapenda vya bule sana,
@mussakimaro55882 ай бұрын
Kwanza wakristo hawanaga wake wawili mke ni mmoja
@MaaneML2 ай бұрын
Asante Sana Mungu. Yaani kweli unagushi wosia ili kufilisi utajiri wa familia uliotengenezwa kwa miaka na mke wa ndoa na watoto. Yaani nyie gold diggers muwe na huruma. Asanteni Sana mahakimu na majaji wote. Pia mwanasheria wa familia ya marehemu Mengi.
@bakarially2532 ай бұрын
Yani kweli Allah atujalie mwisho mwema yani unakuwa tajiri kama Mengi kisha unakufa huku nyuma yako watu wanagombania mali zako subhuhana Allah. Alishindwa kugawa mali na kutoa taarifa mapema wakati wa uhai wake ona sasa
@neemayatosha16182 ай бұрын
Baba wa watu alishagawa mali zake alipoachana na mkewe miaka kama ishirini nyuma,wala hakuna tatizo shida ni huyu bibie kaja kumsainisha mzee wosia wake mpya anaoutaka yeye ili achukue mpaka makampuni watoto wa watu waliosaidiana na baba yao kuyajenga. Huyu dada tamaa ndo zimemponza.....
@Fgldesigns2 ай бұрын
Hata hawagombanii ila huyu mwanamke ndo anang'ang'ania mali za watu
@esterkimath12142 ай бұрын
Wachaga tunajali sana wayoto wetu ukiona familia haijakubali kwenye mirathi ujue dada yetu hakuwa mwaminifu kwa Mengi
@KoleYasini2 ай бұрын
Akili mbovu tamaa za dunia..
@florencemeza65402 ай бұрын
Jack ni mchawi haiwezekani
@geofreyj.19862 ай бұрын
Jacqueline atafte sponsor mwingine 😅😅
@michelinemapendo66522 ай бұрын
Nasikiya kaolewa Dubayi na muzungu siyo😂😂😂😂
@Maryc2G2 ай бұрын
@@geofreyj.1986 yes the right word. Atafute sponsor mwingine hilo deal limeshindikana.
@petrowashale18912 ай бұрын
Yeye angetaka memaa , angekaa na ndugu wakakubaliana akapewa kiasi hiyo ingesaidia hata watoto zake kwa kudumisha undugu.. maana bado wadogo na yeye kwa tamaa anatengenezaa vita..
@GrceLaurentkaboigora2 ай бұрын
Mungu anaumba, binadamu tunaua!!!!
@ashurajengela39262 ай бұрын
Nyie dada mkeka wake umechanika vibaya uyu yani mali zote apewe yeye kama nani mpuuzi kabisa uyu 😂😂😂😂😂
Sema sijui kwanini ...walisema mwili pekee ndio urudi mavumbini...ilitakiwa Kila ulichokitafta uende nacho kudadeki..." Mi namindigi...mtu anakufa alafu vyeti vyake tu vinabakishwa duniani...Sasa vinabaki kufanya nini??.. Kila kilicho changu inatakiwa niende nacho...sema tu basi...ukifa huwezi kudai😅😅😅
@njoostudio_2 ай бұрын
Mke wa kwanza popote ulipo na utapoona huu ujumbe huu..!!! Pls uandikiane kabisa mali sitaki ugomvi na kunisumbua nikiwa nimepumzika kwenye nyumba ya milele..!!! Pls ulinitoa mbali una fungu na una Damu yangu Yaishe kwa Faida ya kesho
@stevkaliona41072 ай бұрын
Bad sad😭😭😭😭😭😭😭😭
@GladnessSamson-xk2ii2 ай бұрын
SnS nawafuatilia sana! Mbona n kama mlisema kashinda Jack?
@swahiliwithZita2 ай бұрын
Jacky angemove on tu kwa amani mbona watoto wapo safe jamani
@hafsalucky10882 ай бұрын
Tamaa inamponza.
@GeorgeAkasha-zx2rj2 ай бұрын
R.I.P mzee Mengi ni icon ya taifa serikali haiwezi kubali mali iende kwa mtu atayeshindwa kusimamia iwe kwa mvua au kwa jua.Jac angetulia tu hata kama ana haki zote kama anavyodai yeye.
@TumainiSawee2 ай бұрын
Yaana eti huyu Muha anataka kuwazidi akili wachaga 😂😂kajipange tena daà nimekosa hata cha kuandika mimi 😂😂😂 jinga kweli wewe
@Fgldesigns2 ай бұрын
Hivi huyu dada ameshindwa hata kutumia akili za kuzaliwa? Angejituliza tuu na aache kutunia watoto kama ngao mwishowe wakose upendo kwa ndugu zao, urithishwe mali zote kama nani hata haiingii akilini
@mfalmekaitaba24252 ай бұрын
Huyu dada alitakiwa awe mpole hili wamgawie anachostahili na siyo anachotaka
@sarahgaula22202 ай бұрын
Yaani uko sahihi sana
@hkaniugu2 ай бұрын
Sio fair kwa wanae, anyway angepotezea tu
@AsdDsa-fi5qk2 ай бұрын
Jmn s afanye kaz ndio amefiwa lkn mmmh haoni queen masanja
@SefuHabibu-sn8cx2 ай бұрын
Hawa watu wana rohi mbya sana mwenye mali zake kafa nyie shida nini kesi haiishi sijui yapoje haya mamtu
@MsAggie52 ай бұрын
Nani sasa kati ya hao
@christinewomanoffaith54792 ай бұрын
Hapa mwenye roho mbaya ni Jaq Mpuuzi huyu
@homeandaway28112 ай бұрын
Jack na dadake wana roho chafu sana, wanashauriana ujinga
@OnesmoEphrata2 ай бұрын
Mengi alikuwa na mke wa ndoa huyo ni mchepuko tuu aache ujinga huyu dada umaskini wake usiwe sababu ya kupata utajiri Kwa lazima mengi alikuwa na mke wake Kwa Sasa yupo naye pembembeni yake ktk nyumba zao za milele hayo mengineyo ni ubatili mtupu
@christinewomanoffaith54792 ай бұрын
Kabisa hili lipuuzi sn
@vibetz99912 ай бұрын
Mission Failed
@GrceLaurentkaboigora2 ай бұрын
Ana Mali nyingi Kigoma ajitulize
@AishaNgoyi-vi2kuАй бұрын
Yaan wanawakeee wengi n wauzaji ila anakaa kwa mwanaume kw nembo ya ndoa au mapenzi ila kuhs upenda kaka zangu baba zangu sahauni najua watakasirika
@BimHamdi2 ай бұрын
Hio ndio faida ya kuolewa na wazee kwa ajili ya mali ungekua na kijana mwezako labda yasimgekua hayo mambo ya tumbo la pili
@jeremiahcharles60272 ай бұрын
Kutafut pessa zako dah,,,ubnadam Kaz sana,,,, kwn shida Nini ,,,,huu muda AANZE kutafuta chake mwenyewe, na SI kwa njia hiyo,,,
@SaumuSaidi-z2v2 ай бұрын
Umeolewa ukakuta mali za watu kwa hiyo
@roudhamahmoud7632 ай бұрын
Pole jaklin kqmq mengi aliqndika mwachiye mungu atajibu pokeya ulichopewa mwacheni mzee apumzike tena imetosha 😢😢😢😢
@rebbywealth98692 ай бұрын
Alishindwa kuchuna akiwa hai.... akwende na ujinga wake
@joycelinelyimo-fenske87452 ай бұрын
Hata kama angeachiwa huyo Jack. Zingekuwa zimeisha sasa hivi Hajui kazi, hajazoea kazi, na hajui Mali inaendeshwaje ili ibaki kuwa Mali. Simple.
@veryboyplatnumz35062 ай бұрын
Wachaga sio wajinga mengi atakua nyuma ya hii kushindwa ya huyu dada
@hamadsheni89972 ай бұрын
Wakirsto hawana ndoa mbili.
@mataypanga52622 ай бұрын
Ni mpango wa binadamu tu kuwa mke au wake wengi au mwanamke kuwa na mwaume zaidi ya mmoja😂@@hamadsheni8997
@naturelle10972 ай бұрын
I wish ange ccm
@mwajabukalage78242 ай бұрын
Mm naona jack apimwe akili
@FredrickMatiku-xf2uk2 ай бұрын
Apooh atoboiiii chezea wachagaaaa aje adate😂 na mimi ni billionaire pia nitakufa mwakani aje aridhi😂 mali zangu tu
@JokhaSaid-e1c2 ай бұрын
Jaji wenyewe ni wanawake na wanawake comment Wendi ni wanawake jibe umelipata wivu
@Mkundi-o7v2 ай бұрын
Akauze
@samehewaliokukoseya26052 ай бұрын
Nipesa ngapi kwadolla iyo gari? Naitaji
@josephk902 ай бұрын
Around $13,000 ila hapo kuna faida ya muuzaji i think unawsza kupata under such amount.
@samehewaliokukoseya26052 ай бұрын
@@josephk90 I need
@ramamabrok25232 ай бұрын
😳
@AsdDsa-fi5qk2 ай бұрын
Na kama alimuuwa mungu hata muacha salama ili apate mali unawapata wap ujasir wakugombea mali hana ata huzuni
@hajjiomary23832 ай бұрын
Alitakiwa kumwambia mzee ampe chake mapema na wala asingejingiza kwenye makec
@adamkapolo88172 ай бұрын
Mwenyewe amekufa nyie mpaka leo mnagombania mali so selfish
@fatmamussa61342 ай бұрын
Iyo ndio shida ya kuwa kwenye mahusiano kwa sababu ya pesa kutwa uishi mahamani. Una kwenda kufunga ndoa na babu mwenye Maisha yake na Familia juu ukitegemea wewe ndio uwe msimamizi wa Mali ambazo umezikuta Nani mjinga akwachie kubali matokeo Anza upya lidhika na utakachopewa.
@DivNg272 ай бұрын
Halafu huyo wakili wako alishindwa kukushauri vzuri..hivi ile Hukum aliyoitoa yule Mwamba Mlyambina unaichomoaje kwa mfano...Lile Dude linaandika Balaa...😂,muda mwingi linatumia kusoma na kuandika Tu.😂
@mwishehe2 ай бұрын
mahusiano yamekuwa yakitafsiriwa kama biashara miaka yetu hii, na sababu kubwa ni kama uvivu umetamalaki
@jacksonngusi41222 ай бұрын
Uyo jackline mwizi anataka mali zote ziwe zake watoto kwa mke mkubwa wasipate kitu hakuna hila mbaya kama io mbwa huyo
@christinewomanoffaith54792 ай бұрын
Kabisa
@juliussamson61432 ай бұрын
dada alikua na plan ya kutoboa ila sio mbaya atapata chochote kitu sio mbaya
@DivNg272 ай бұрын
Huyu Jack atakua na matatzo ya akili...na Roho mbaya ndio imepelekea awe hivyo...hivi kweli hutaki kabisa watoto uliowakuta na kwa Mume wako wapate chochote kweli??tena uliwakuta wakiwa nao wanazisimamia hizo Mali..
@leokamil62842 ай бұрын
Fundisho kwa wengineo wavamizi wa mali za watu
@johnmalembo64642 ай бұрын
Unachonganisha watoto wako na familia ya mengi
@MS.independent89342 ай бұрын
Acheni MUNGU afanye kazi yake maana yeye ndie anaejuwa zaidi kuhusu waja wakee na ku'husu kifo icho
@Nihadshighadi2 ай бұрын
Huyu nae vp,mbona ana nguvu si atafte pesa zake,mwanzo mke mkubwa asimpe hata peni
@msabahaali7582 ай бұрын
tatzo maki yote iwe yy na wanawe 2 io ndio issues
@ashminaabdulla89462 ай бұрын
Mmmh bora tuwe na hawa tunofanana nao kipato mkaa wa 1000 tunapika 😂😂😂😂duh
@MohamedAli-rl8cl2 ай бұрын
Sura sio roho, sura sio utamu. Sura pekee ni kama mboga za jalalani. Nzuri machoni lakini si njema kwa afya. Sheitwani mkubwa
@Aisha-qd2rg2 ай бұрын
mimi kama ningekua jac ningekubali tu wachukue kisha kile kidogo watakachonipa nitashukur ifike mahali huyu dada ashukuru hata kidogo wanachpa jaman ukute mali wamechuma wengine wewe uje kujiandikisha ni kweli?? Kwanini husia usiandikwe mbele ya mwanasheria na familia zote mbili kwa ushahid kamili watu wataamnij km mzee ndio aliandik ??
@kevooo-k7j2 ай бұрын
Aache ujinga alijipeleka kuzitaka mali now kaangukia chogo
@sund25532 ай бұрын
Shida alianz vibaya kutaka potion kubwa kuzid watoto wa marehemu angechukua kidogo wachag huend wangemuonea hrm wakamuongezea tatiz alianz kama nataka kuwadhurumu.Tamaa ime mponza
@TuyageComcast2 ай бұрын
Uyu murembo akaenda wapi,,,nakumbuka uyu dada aliongoza bongo flover kwa urumbe na talent yakee,,,,na kwa sasa tangu saa iyi hakuna mwenye asha vunja record yake,,,Tanzania sio kwa uremboo wala sio kwa kuimbaa hakuna kama yeye
@worldhappiness11812 ай бұрын
Mali ni hatari sana, kwan wosia unasema achukue mali zote ama sehem tu, by the way sifatilii kesi yao, ila kama wosia mali zote chukue Mke, hapo kuna utata. 😅😅 impossible.
@patriciacarlo72362 ай бұрын
Wamachame mali zao haziendi kibwege
@GrceLaurentkaboigora2 ай бұрын
Lizika na uwaji
@ShemsaKiobya-x8h2 ай бұрын
Siyuko na mzungu bado wanataka Mali zote za mzee mengi wachuke yeye na watoto wake tu msimamizi dada,wachaga hawachezewi na walichokitafuta wewe
@DM_152 ай бұрын
Si bado binti tuu anatakamali za nini atafute zake
@gypsummzuri_tz2 ай бұрын
DUUUH MALI ZOTE😁😁😁😁😁
@kachabisnea88152 ай бұрын
Huyu demu ni mwezi hata akili ana
@user-umutabazi0012 ай бұрын
Awa Wanawake wanahakili MBOVU xanaaaa kiukweli, hivi mungu alipo waumba ALITIA viungo vingi ao? Hahahahaaaa Kama baba yak njooo Angekua amefariki alafu akafanyiwa hivyoooo ANGEJIAIKIAJ🥹⁉️
@Babyzay1782 ай бұрын
Mange Kimambi 😂😂😂typing ------
@Mzayanine2 ай бұрын
Hii ni aibu
@Agath452 ай бұрын
Yaan hapo ni wamgawie wenyewe bila hivyo hizo kesi atashidwa kila siku
@Mzayanine2 ай бұрын
Jack ni muda sasa umfate bakhressa huwezi kosa kote
@khadejakhadeja97132 ай бұрын
Bora tafuta chako mapema.
@jeremiahmsemwa83232 ай бұрын
Mali hizi sio mchezo
@adolphmwangoje28872 ай бұрын
Wachaga hawana roho nzuri mengi kamchezea mdada wawatu saiz wanamtupa
@ShemsaKiobya-x8h2 ай бұрын
Punguza tamaa lizika
@EdwinJohn-vo8uf2 ай бұрын
Hizi mali sio sio powa lazima zimtoe mtu roho
@christinewomanoffaith54792 ай бұрын
Jaq mpuuzi
@thabitdaudi98152 ай бұрын
Hii inaleta wasiwasi sana kuhusu kifo cha yule mzee kama ni kwel of natural causes or is staged murder. Why clinging this much onto his wealth
@jacksongidione-yo8vg2 ай бұрын
😂
@evelynemugeni23692 ай бұрын
Kwanini uyo mumuwe hakumpa mali za watoto wakati wa uhai wake?
@FreeGod3682 ай бұрын
Yeye anataka zote amiliki😂😂😂 ni ajabu sana
@Muharram-c5n2 ай бұрын
Mpumbavu sana,kwa kufsnya hivyo atatengeneza mahusiano mabaya kati yake,watoto wake na kaka zao@@FreeGod368