SINGLE MAMA: NAKAYA SUMARI AKIELEZEA MAGUMU ALIYOPITIA HADI KUWA SINGLE MAMA

  Рет қаралды 26,676

ZamaradiTV

ZamaradiTV

Күн бұрын

Пікірлер: 225
@Zaoplus
@Zaoplus 2 ай бұрын
Nakaaya My Sister, You are doing an amazing job 👏 and God will surely carry you through…Tafuta therapist Mzuri atakusaidia kuheal na kizuri zaidi Unasali Endelea Kumshirikisha Mungu …Atakuvusha!! Mimi Mwanangu Ana Mwaka Mmoja na Miezi Nimepitia Mengiii ndani ya Kipindi kifupi Ila niwe Mkweli Maombi Yamenivusha Nasikia kupona completely,🙏
@missmannydxb
@missmannydxb 2 ай бұрын
Since the day she stepped her foot on Project Fame, i fell in love with her. I'm your biggest fan ❤all the best Nakaya. Girlllll sing, remember who you are 😍😍😍🥰🥰🥰
@ms_teeonly
@ms_teeonly 2 ай бұрын
Nakaya dah umeniliza sana story yako na motivation uliyonayo iko juu ku inspire wengine, what a mum!, Mungu akupe hitaji la moyo na uendelee kuwa mama bora. You are a muva❤✊🏽👏🏽,
@neemarwamugira1168
@neemarwamugira1168 2 ай бұрын
what a strong woman ,Yesu akupe kusonga mbele na baraka tele
@ninemine3031
@ninemine3031 2 ай бұрын
I really wanna hug her🥺❤️.May God heal you Sis💕
@xxx..........................
@xxx.......................... 2 ай бұрын
Nakaaya, the best way to heal properly ni kuchukua jukumu la kumlea mwanao 100% na uwe proud to do that. Isijefika wakati ukamchukia mtoto sababu ulizaa kwa sababu ya mwanaume. Rudi kwenye nafsi yako umshukuru Mungu kwa kukujalia mtoto. Njia unayopita ikakupe ujasiri na kuongeza juhudi kufanya vizuri. Unaweza kuwa hupigi hatua kubwa kwa sababu moyo wako una hasira, una stress na ubongo wako unafikiria zaidi vituko vya mwanaume badala ya kuchanja mbunga kusonga mbele. Mwache aende. Msahau. Usimkaribishe tena. Usimpe nafasi tena. Usimuongelee tena. Wala usikubali kuletewa habari zake. Hiyo ndio njia ya kupona.
@ivankadaudi8161
@ivankadaudi8161 2 ай бұрын
Hongera sana usiache kumcha mungu usiache kupambana hakuna gumu linalo dumu❤
@floshkitchen3061
@floshkitchen3061 2 ай бұрын
Pole sana kipenzi,wanawake tunapitia mengi,Mungu akusaidie upone ukimuongelea usipate maumivu bali umtumuze Mungu kwa kukutoa hapo.
@cleopapaulmrisho5478
@cleopapaulmrisho5478 2 ай бұрын
A very heart touching story, kilichoniumiza zaidi ni kudharau talent yako na kukutaka uachane nayo na wewe kukubaliana nae, sikulaumu kwa sababu ninajua nguvu ya mapenzi. Huyo ni binadamu wa kawaida kweli...!!???. Yaani tunakosa burudani kutoka kwako kwa sababu ya mpuuzi mmoja asiye na UPENDO, HURUMA wala UTU kiasi cha kukanwa hata na shetani mwenyewe!!!! Keep it up Nakaaya, GOD is good and you will make it
@marciawambui1965
@marciawambui1965 Ай бұрын
Pole sana nakaya,you are gifted singer truly. Sending love from Kenya ❤
@preciouspeter6126
@preciouspeter6126 2 ай бұрын
I see a preacher in you. Mungu akufikishe alipopakusudia kwa utukufu wake.
@shosekomba449
@shosekomba449 2 ай бұрын
Nakaaya asante Kwa kushare your story God bless you sana nimepata nguvu as a single mother too..thanks
@MiriamMoses-h4q
@MiriamMoses-h4q 2 ай бұрын
Am so proud of you hunnie… keep it moving lady😘😘😘
@rehemavickie6521
@rehemavickie6521 2 ай бұрын
Wewe ni mama bora! Karma itamlipa. Wewe ni jasiri! Imara . Nakuombea Munguawape new Dady honestly! Nakupenda ❤
@christinakayombo5595
@christinakayombo5595 2 ай бұрын
Pole sana. Its so touching. Thanks for being honest. Mwenyezi Mungu akupe amani unayohitaji.
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 2 ай бұрын
Aisee mm ni mwanaume lkn nilichokisikia haki ya Mungu sijawahi kujua kweli kama Kuna wanaume tuko hivi kumbe ss wengine twaonewa hatujawahi kuonea mtu pole Dada utapata mtu bora atafuta mateso yote utashangaa ila ninachokuomba kwa kuwa umeamua kuwa wazi Sasa ishia hapo usiendelee kuliwaza Hilo ukiendelea kuliwaza Hilo hutasonga umeamua kusahau sahau kabisa usiangalie nyuma hata kidogo pambana tu kwa utulivu
@eddacharles6573
@eddacharles6573 Ай бұрын
Ushauri mzuri sana
@Mamshika
@Mamshika 2 ай бұрын
Pole mamy i feel your pain wanaume ni wanaumiza a lot of women kwa style tofautitofauti yaan ni wabaya sana I.I remember your song politicians rudia kipaji chako binafs i miss you
@nicolauselias9084
@nicolauselias9084 Ай бұрын
Duh.polee sana mdada mzurii.na hongela sana kwa ujasiri wako .mungu akujariee
@SelinaWilson-b5y
@SelinaWilson-b5y 2 ай бұрын
Ahasante kwa ushuhuda nilishakata tamaaa sana! Mjmi ni single mama wa watoto wa3 nimepita magumu sana ila namshukuru Mungu bdo nahema!
@nathaliakoola2957
@nathaliakoola2957 2 ай бұрын
Its worth shairing ❤ Super woman
@ZeishaFuture
@ZeishaFuture 2 ай бұрын
Bora yako pole mimi nilijibiwa "utakoma utaijua dunia"😢lakini leo napambana Bila ya yeye Alhamdulillah🙏
@Yusuphmbuguni-d6q
@Yusuphmbuguni-d6q 2 ай бұрын
Mungu ndio kila kitu kama Yeye si mzazi wako wala hana uwezo wowote wa kukulaani MUNGU ndiye msemaji wa Mwisho
@missamirajiiddy7077
@missamirajiiddy7077 Ай бұрын
Kesi ya upande mmoja huwezi kuihukumu, na nyinyi wanawake ndio mlivyo kuongea uongo na vichozi vya bongo move meengi
@HamisiForogo
@HamisiForogo 2 ай бұрын
Asante kwa kututia moyo dear mimi pia single mother na bado I still ok napambana na nwanangu mambo yanaenda na MUNGU anasaidia
@gracetheweddingplanner3413
@gracetheweddingplanner3413 2 ай бұрын
Just wanna Hug Her
@marykyamba9042
@marykyamba9042 2 ай бұрын
Amen. Nakupenda sana dear, umeponya nafsi za wengi. Mungu akubariki na akupe haja za moyo wako,ushindi ni hakika. Mungu wabariki single mothers, really passing a lot😢
@tanzaniadigitaltz
@tanzaniadigitaltz 2 ай бұрын
Hongera sana Nakaya kwa ushindi, Keep on trusting God, Mpaka hapo tayari uponyaji unaendeela ndani yako na umeshinda tayari, healing is the process...... slowly but healing in process, Hakikisha Neno la Mungu ni chakula cha roho yako ili uzidi kuendelea kwenda mbele na kufikia hatma Mungu aliyokukusudia.
@SiriNkya-z9m
@SiriNkya-z9m 2 ай бұрын
Nakaya mdogo wangu,sahau,anza na usonge mbele huyo mwanamme ni jini achana nae,mtegemee Mwenyezi Mungu tu utawin
@dinakyoma5977
@dinakyoma5977 2 ай бұрын
Thank God nimepita hapa, so powerful and encouraging. Thanks Nakaaya🙏🏻
@AdelinaBenjamin
@AdelinaBenjamin 2 ай бұрын
U have spoken all my ccta....am in tha shoes bt God is good always🙏
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 2 ай бұрын
You will heal completely Nakaaya In Jesus name 🙏❤❤❤
@aj-gw1rl
@aj-gw1rl 2 ай бұрын
Dah pole sana Nakaaya, mwanaume akikuchukia anakua na roho ya kiunyama unaweza kujiuliza kama ana ubinadamu ndani yake. Ila Mungu hamwachi mja wake❤❤
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 2 ай бұрын
Dada hauko pekeango yaan naona km unayasema maisha yng ya mahusiano.pole
@hadijajaicy2507
@hadijajaicy2507 2 ай бұрын
I see me in her Story sema tu wengine sio maarufu.. ila tunapitia mengi kwenye haya mahusiano
@careen26mrope76
@careen26mrope76 2 ай бұрын
Ku-heal completely inawezekana kipenzi, hakuna tatizo linalodumu milele. Hiyo situation ya ada nakuelewa sana, yap ni kweli inaumiza saaanaaa hasa unapopitia nyakati ngumu halafu ukiona unapopitia magumu unamkumbuka ambaye alikuumiza basi jua bado haujapona, me am a single mom but nimekubali kumove on!! Achilia........achiliaa....achiliaaaa............ilikuwa ili uwe Nakaya anayejitambua lazima upite hapo ulipopita. Mungu alikupitisha sababu alikuamini kuwa utavukaaa........jukumu ulilonalo ni kutengeneza furaha yako na furaha ya mtotooo............usilieeee...........aibu kubwa aliipata Yesu Msalabani tena ilitokana na watu aliowaamini. KUBALI KUENDELEA MBELE, ONA KAMA VILE ULIZAA NA MTU AKAFARIKI....Usimbebe dear!! Inawezekana kuishi maisha yako ikiwa tu umechagua kuwa na amani na kuona kuwa sasaa mimi ndio muhimili mkubwa wa mwanangu. Unaumia kwa kuwa unamuwaza. Utakapoamua kusimama wewe kama wewe utafanikiwa na utashangaa!!! Mwachie Mungu kipenzi. ISHI MAISHA YAKO, SIKU ZOTE MTOTO NI WA MAMA. NATAMANI UTOKE HAPO ULIPO NA INAWEZEKANA. Mtoto ni Baraka siyo laana, ukichukulia kama mkosi hautafurahia umama.....
@YasintaMtavangu
@YasintaMtavangu 2 ай бұрын
Nmeumia Sana Dada mungu Ni mwema pambana wew Ni mwanamke wa nguvu❤
@pceodhc
@pceodhc 2 ай бұрын
May you find a new Dad! Amen! 🎉🙏🏾
@innocentiaMgoyo
@innocentiaMgoyo 2 ай бұрын
Nakaya nimesikiliza mapito yako hadi machozi yamenitoka, nakumbuka wakati umelazwa AICC hospital-private nami nilikuwa nimelazwa hapo, nakumbuka hata rangi ya vitenge ulivyo kuwa umevaa, mshukuru Mwenyezi Mungu kwa kila jambo. Nakupenda sana, wewe bado ni mrembo sana, keep it up❤🎉
@dork8749
@dork8749 2 ай бұрын
Nakaya my sister usife moyo Hayo maisha wamepitia wanawake wengi sana sana sana Wewe bado unanguvu, na mrembo sana tu Muamini Mungu kamwe hatakuacha Utashinda tu dada
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 2 ай бұрын
Mimi usingle mom ulinitenganisha na mama yangu mzazi, yani ni mtu kitu, huna utajua mwenyewe. But here i am moving on, najua 1 day tutakuwa pamoja happily.
@esterkimath1214
@esterkimath1214 2 ай бұрын
He was Narcisistic man .utapata mtu atakae kupenda kwa dhati .Lakini wanawake sio lazima tuolewe tuishi maish yetu
@hadijajaicy2507
@hadijajaicy2507 2 ай бұрын
hii inabidi kuifanyia awareness, hasa kwa wanawake wanaumizwa na kupotezewa kila kitu na watu wenye hii disorder.. yaani kama uchawi vile ha ha ha ha ha ha ha
@jenitharugaika5275
@jenitharugaika5275 2 ай бұрын
Narcissism is real, most people are unaware of this😢
@LuluMalima-j1w
@LuluMalima-j1w 2 ай бұрын
Good advice girl, much love
@annajohn2488
@annajohn2488 2 ай бұрын
Pole sana my dear mshukuru sana mungu na furahia zawadi ya mtoto wako mungu amekupa uyo shetani mungu atampa majibu yake
@charlesmbise2344
@charlesmbise2344 2 ай бұрын
Nakaya Dada yangu uko vizuri unajitambua unajieleza kama kamanda , Mimi kaka nakungeza sana kwa kujitambua mungu atakufungulia milango,mungu akubariki na ukupe wepesi
@RuthCharles-u4j
@RuthCharles-u4j 2 ай бұрын
Am speechless sbb jmn l meet this guy mungu wambinguni nisaidie
@monicahsulley5163
@monicahsulley5163 2 ай бұрын
Weah! Your very smart Nakaya..wachana na huyo narsissist ,,kubali hali inuka pambana tumia hiyo akili mingi uliyonayo naamin kila kitu kitakuwa na utapata kila unachohitaji wewe na mtoto..me nakupenda sana nimefrah kuskia unaimba tena..never give up.
@miriamhaule2656
@miriamhaule2656 Ай бұрын
Forgive yourself, forgive him!!God is here for you! Take heart my dear sisy,,,sending love and hugs for you❤
@QasimShabaan
@QasimShabaan 2 ай бұрын
This is my situation 😞 niko oman napambania watoto wangu bila msaada wa baba yao ila kwa uwezo wa Mungu tutafika inshallah masingle mama tusikate tamaa ipo siku Mungu atatenda kwa nafasi yake 😭😭🙏
@florakimaro-vw7qj
@florakimaro-vw7qj 2 ай бұрын
Ni kweli hawa wanaume wangekuwa na wajibishwa wangejirekebisha wasinge zalisha hovyo wanawake tunapitia ukatili mbaya sasa tunajipa furaha Hila moyo tuna machungu sana mungu atupe riziki single mama wote usiombe ulee mtoto mwenyewe.
@Clipalert-ft2vj
@Clipalert-ft2vj Ай бұрын
unaeza kua kwa hiyo ndoa na iwe ni wewe ndio unalea watoto na mwanaume hashugulikii hata yuko tu mfano wa mwanaume
@tiffanymo9453
@tiffanymo9453 2 ай бұрын
Keep moving ,your the strong woman ccy😘
@RukhaiyaNassir
@RukhaiyaNassir 2 ай бұрын
😭😭😭unanisemea nakaya inaniumiza sna
@rehemabakari986
@rehemabakari986 2 ай бұрын
Mungu amesha kuongoza Nakaya ❤❤
@receptionmediteraneo
@receptionmediteraneo 2 ай бұрын
Nakaya my sister your the best wewe ni shujaa we learn through mistake baby, Mungu wa.mbinguni anaenda kukuinua.kwa.upya kbs kbs maadamu umeamua.kumkabidhi Bwana njia zako na mapito Yako,kila kitu kitakuwa sawa
@merumount5988
@merumount5988 2 ай бұрын
Naakaya as a grown up person..angalia vzr maneno ya watu kwako..wengi ni crocodile tears! sijaona hata mmoja anakuelekeza njia sahihi kutumia kipaji chako..huko ulikotumia kipaji chako ndio umefika hapo..comeback to God n sing for Him!
@naturelle1097
@naturelle1097 2 ай бұрын
Nakaya i feel your pain. Polee sana time will help you to heal and move forward❤most noble thing to do is to forgive him please. You need your sanity.
@RoseRobert-qd6ip
@RoseRobert-qd6ip 2 ай бұрын
Strong woman never give up, congratulations sis
@hubakombe586
@hubakombe586 2 ай бұрын
Pole mamaa.. Hayo yote tumeyapitia na tunasonga mbele. Mungu hawezi kukuacha.. Wataendelea kukuona uki-shine. I have learned to love me first, kujithamini kwanza na ndo sasa naona ni rahisi kusonga mbele
@marthandenuka7903
@marthandenuka7903 2 ай бұрын
I love you Nakaya❤
@EVALINESILVIN-dp5kj
@EVALINESILVIN-dp5kj 2 ай бұрын
Pole sana
@scholamwasi
@scholamwasi 2 ай бұрын
Natamani nikusikilize ila vingeleza vingi bana we ongea ambao atujua tujue bana nakupendabila unanikwanza bana ❤❤
@UpendoJohn-qr5ox
@UpendoJohn-qr5ox 2 ай бұрын
Strong hugs sisy❤.... please forget about the man...but hold your son hand , be proud of you and thanks God for the blessings of the handsome boy..... your strong, beautiful & super woman..... Kindly Leave Him alone forever
@shabanponera2895
@shabanponera2895 2 ай бұрын
Ndoa ni kitu muhimu sana, huyo mwanaume ungemwambia kuhusu ndoa angekimbia mapema mno
@echosoundchannel677
@echosoundchannel677 2 ай бұрын
Hongera sana hy ni hatua kubwa sana ya wewe kuamua kukaa mbali.ila unatakiwa kumuomba Mungu akusaidie uweze ku heal na kuendelea mbele bila yy.Wala usione aibu kwann umezaa na mtu mbea kila mtu ana mtihani wake wakwako ni huo na unaona kupitia huo umekuwa na growth kubwa sana ndani yako.
@faridapeace5112
@faridapeace5112 2 ай бұрын
Wewe nimshindi kua tayali kula raha mpaka unakufa nakuombea mema sis 😘😘
@sofiarugoye7929
@sofiarugoye7929 2 ай бұрын
Hata minilijua najiuliza huyu dada Yuko wapi,kwenye mains set yangu,nilidhani Ana mme washoka nafamilia nzuri Sana,pole Sana dada Mungu nimwema
@agneskighenda3795
@agneskighenda3795 2 ай бұрын
Pole sana Naakaya!
@roselinasandi6509
@roselinasandi6509 2 ай бұрын
Pole sana na hongera kwa kusimama tena,tusiziignore red flags
@pendothomas7258
@pendothomas7258 2 ай бұрын
The issue of bullying 😢😢
@imakulatabakarysumaye9235
@imakulatabakarysumaye9235 2 ай бұрын
Pole sana dada
@dativachuwa3566
@dativachuwa3566 2 ай бұрын
Ahsante kwa ushauri dada
@elizabethalex6138
@elizabethalex6138 Ай бұрын
How I wish Raisi KIKWETE amuone 😢she will be in another step as she wishes God do your will if it pleases you
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 2 ай бұрын
Achana nae kabisa,Kai akikua atamtafuta mwenyewe babaake, forget him♥️♥️♥️
@annacanykaybravo8772
@annacanykaybravo8772 2 ай бұрын
Hatafti km ataftat ili one tu km ndio huyo kid learn and understand kila kitu
@TinaMwasekaga
@TinaMwasekaga 2 ай бұрын
Tupo wengi,, Mungu ni mwema tusikate tamaa❤
@mariamgodson1290
@mariamgodson1290 2 ай бұрын
Mungu atusaidieee jamani kina mama wotee tunapitia mengi😢
@verodmrealuty790
@verodmrealuty790 2 ай бұрын
My dear keep going chat was a chapter not a story just put it behind you and go on with your things
@VeronicaSalvertory
@VeronicaSalvertory 2 ай бұрын
Ni kweli kabisa wanaume aina hii wapo hata baba watoto wangu Yuko hivyo. Nimechelewa Sana kuchukua maamuzi ya kumuacha. NaleA watoto watatu peke yangu na baba Yao yupo . Hana habari kabisa
@jamilaabdallah9866
@jamilaabdallah9866 2 ай бұрын
Tupo wengi mpenzi
@makaaya_3449
@makaaya_3449 2 ай бұрын
ure strong woman dear ,just let it go siyo rahisi basi block everything zinazohusiana na yeye songa mbele I have been there dear You can do it .kila mwanadamu ameumbwa kukosea kikubwa kubali na usonge mbele
@merumount5988
@merumount5988 2 ай бұрын
This s not a good advice..wewe una uhakika nakaya ataishi na mtoto siku zote? Sote hatujui kesho itakuwa nini, jenga mahusiano mazuri na watu including baba wa mtoto km unampenda mtoto na unapenda afanikiwe..msimpotoshe nakaya kushikilia uchungu ambao hautamsaidia chochote..
@YasintaMtavangu
@YasintaMtavangu 2 ай бұрын
Pole Dada ucjal pambana kwaajl ya mwanao
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 2 ай бұрын
Katika single mothers niliowahi kuwasikiliza,wewe ndio umeongea ukweli,I just ❤ you Kaya.may God keeps you going, sending love, prayers and hugs ❤❤❤in Jesus name 🙏
@neemakawogo5479
@neemakawogo5479 2 ай бұрын
Just like my story
@DeboraSamhenda
@DeboraSamhenda 2 ай бұрын
God akusaidie sana akuponye moyo
@nasiwasumari3830
@nasiwasumari3830 2 ай бұрын
Dear Nakaaya, Ulikua mpango wa Mungu Kai aje hapa duniani. Na ilikua aje kupitia huyo baba yake. Usishangae wala kujuta ilikuaje ulidanganyika. Kuna mambo ambayo ni ya kiroho. Mwenyezi Mungu ana kazi na Kai.
@annachubwa
@annachubwa 2 ай бұрын
Naelewa sana unachokizungumza dada yangu
@rosemanase9663
@rosemanase9663 2 ай бұрын
Laiti nchi hii wanawake tuliachiwa watoto kwa kejeli tungesikilizwa kweli. Jamani mimi nilichwa na mtoto mdogo na kazi yangu akahakikisha amehiaribu nikaanza sifuri. Kama Kuna namna naweza kusikilizwa naomba hiyo nafasi pengine Kuna mwanamke atapona kwa story yangu. Pole wadada wenzangu sio rahisi ila MUNGU anatusaidia. Zamaradi naomba unisikilize naitwa Rose nipo Moshi
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 2 ай бұрын
Ivi kwnn wanaume tz wako ivi wanapenda bweteka wakiona mwanamke unapesa yeye hawez atakukuongezea ata mia why!??
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 2 ай бұрын
Kweli tuna zaraliwa sanaaa ,ila Mungu yuko na sisi daima
@msusekingori2323
@msusekingori2323 2 ай бұрын
Big up mpambanaji mshukuru Mungu hukufunga nae pingu za maisha he was just boyfriend angekuwa mume ungeteseka zaidi maana ungekuwa kifungoni
@finaurio3249
@finaurio3249 2 ай бұрын
I'm Tanzanian, and honestly, I hate how my fellows bully each other on social media. It hurts. Sometimes, you even wonder if they ever have anything else to do or if that's a career
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 2 ай бұрын
Mambo, sijakuona mda Arusha uko wapi? Love❤ ni mefurahi Sana kukuona
@Lababyyy20
@Lababyyy20 2 ай бұрын
🙌NAKAYA
@rosemunisi818
@rosemunisi818 2 ай бұрын
Fight for your son Darling, sahau uyo mwanaume
@sofiarugoye7929
@sofiarugoye7929 2 ай бұрын
Waweke Sheria mwanaume akimchezea mwanamke apewe adhabu Kali,waachekuchezea watoto wa watu
@mariamgodson1290
@mariamgodson1290 2 ай бұрын
Hii inaumizaaaa sanaaa jamani 😢
@lucymtui8680
@lucymtui8680 2 ай бұрын
❤real🎉🎉
@sophiaremmy6326
@sophiaremmy6326 2 ай бұрын
Hugs sis ❤❤❤❤
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 2 ай бұрын
Ndio maana simlaumu diamond platnumz,hatujui baba yake alikuwa anamfanyia nini mama yake
@JumaNyanda-kz3ib
@JumaNyanda-kz3ib 2 ай бұрын
Ni kweli giloo ww uko smart xana tangu mdogo ulikosea xana kuwa na hiyo mtu,
@elidaburton8737
@elidaburton8737 2 ай бұрын
80% like my story 😢😢
@tricynicolaus6780
@tricynicolaus6780 2 ай бұрын
Duu painfull story
@magrethmathayo2800
@magrethmathayo2800 2 ай бұрын
pole kipenzi basi inatosha usiwahi mrudia tena 😢😢😢
@Magdalene-er2ur
@Magdalene-er2ur 2 ай бұрын
Mungu akupe haja ya Moyo wako
@lucymtui8680
@lucymtui8680 2 ай бұрын
Mungu yu mwemaa 🙏🙏
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 2 ай бұрын
Maisha nisafari yenye kila Aina yamitihani ,haijalish Nani wala Nani, kikubwa nikujikaza kuishi wewe km wewe,,endelea kusimama , nawengine wajifunze ,mimi sijawahi kuachwa ila yakinichosha naacha ,hata km haijalishi ,hatuwez kukwepa kupendana ,ila tusikubali kuumizwa ,pole sana ,niwengi yameshatukuta mengi
ANAPOISHI BABU WA TIK TOK/ NAISHI KWETU  NA MMBWA/NINA MIAKA 60
48:35
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 83 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 275 #shorts
00:29
MZUNGU KANIZALISHA KISHA KAKIMBIA KISA DAWA ZA KULEVYA NAJUTA SANA
35:17
UKWELI ULIOFICHIKA NA IRENE UWOYA EPSD1
25:14
Irene Uwoya
Рет қаралды 100 М.
Nakaya   Mr  Politician
5:24
omosh law
Рет қаралды 219 М.
Salama Na Idris Ep 8 | TROOPER Part 1
33:07
YahStoneTown
Рет қаралды 313 М.