Ninabarikiwa na kutiwa nguvu jamani Mungu akutumie zaidi hakika Si wewe Bali Kristo aliyendani yako
@ibratpascal422511 ай бұрын
Nimebarikiwa sana na uhu wimbo Jastin Asifiwe Mungu akutumie zaidi katika viwango vya juu zaid
@magrethmbilinyi82912 ай бұрын
Umenirejeshea DAMU MPYA ASANTE YESU
@madlynenyambu96982 ай бұрын
Vijana wadogo wanamwimbia Mungu wa kweli kwa nguvu, ustadi , furaha na mioyo yao yote. Napenda jinsi drummer anvyopiga kwa moyo wake woooote... Kwa kweli neno linatimia kwamba anawwandikia vijana kwa kuwa wana nguvu. Nawapenda sana Jastin na Imani Eric....Mungu awainue zaidi kwa utukufu wake....Awatumie for your generation. Karama ya Roho mtakatifu juu yenu ni kubwa and very precious. I pray for you from Kenya ❤❤
@victorchami96144 ай бұрын
AMEN. NIMESIKILIZA NIKAJIKUTA NACHEZA HUKU NAOMBA NA KUNENA.. UBARIKIWE SANA
@esthermliga487511 ай бұрын
Ninasema Asante Bwana Kwa yote uliyonitendea!! Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu Kwa huduma nzuri, Mungu azidi kuwainua ktk viwango vya juu zaidi!!
@aaronswai30926 ай бұрын
Ee BWANA mbariki mtumishi wako, Jastine Asifiwe, Amina
@richardbunne72211 ай бұрын
Yesu akutunze na kukuinua Mtu wa Mungu
@elishamusa243711 ай бұрын
Hongera Sana, Kazi ni njema, Nasema asanteee Yesu😊
@juliusomamo5866 ай бұрын
Huu sio wimbo tu Bali ni nguvu za mungu ,may God of heaven bless you good people I love you
@neemaabdallah34288 ай бұрын
Bwana ninayo Furaha kwa yote uliyonitendea ninasema Asante Baba❤ favourite song ubarikiwe justine Asifiwe
@tegemeareuben761811 ай бұрын
Ninakuona Mbali minister I'm so proud of you ubarikiwe sana ukawe heri
@brownsebastianmwibi564711 ай бұрын
Wimbo mtamu sana, nimeusikiliza tena na tena na tena. Jastin ubarikiwe, kundi lote la wana wa Asafu libarikiwe.
@edwinelias855411 ай бұрын
Bwana ninayo furaha Majeshi majeshii
@barakaboazi59382 ай бұрын
Barikiwa mnapatikana wap
@BarakaMarko-d4z3 ай бұрын
I so blessed in the name of Jesus
@kaponda00111 ай бұрын
BWANA ninayo furaha
@zephaniapaul95923 ай бұрын
MUNGU azidi kukutunza na kukupa neema na kibari mbele za uso wake 🙏
@UpendoMathayo-mt7wk11 ай бұрын
Ubarikiwe sana Jastine , ninayo furaha najua muujiza wangu unakuja
@jossyngumbi191611 ай бұрын
Justin na Mungu akuinue saidi Ameen ❤❤👏🏻👏🏻👏🏻sifa kwa Yesu Ameen
@Pastor-Paul-Lugendo11 ай бұрын
Ninasema Asante Baba Ninasema Asante Baba, 🔥 🔥 🔥
@GloryJaphet-uy6qw9 ай бұрын
Ninasema asante Bwana ❤❤😢umenilinda na magonjwa umeilinda family yangu nakushukulu Kwa mengi sana oooh halleluya asnte asante Bwana anlsnte Bwana❤Mungu akubariki mtumishi wa Mungu nimejikuta mpaka 😢😢 nimejikuta nimwenye fraha ya ajabu mnoo baada ya kusikia huu wimbo thanks my dear God
BWANA amefanya mambo mengi mazuri na hiyo ndiyo furaha yetu 🎉
@ShekleFundi11 ай бұрын
Kwa Yesu raha sana,,nmebarikiwa sana
@chambilady139711 ай бұрын
ninayo furaha 😊😊😊🔥🔥🔥
@AnnOtieno-k3n14 күн бұрын
AMINA
@allanmganyizi689511 ай бұрын
Ninasemaaaaaaaa.......Asante Bwanaaa....
@AnzelimJulius-sh2qm11 ай бұрын
Kazi yako ni njema Mungu akytumie zaidi
@emanuelavaleriani864611 ай бұрын
Ninayo furaha kwa kulinda nchi yetu Ya Tanzania na kulibda viongozi wetu wa nchi.
@saranyongole116111 ай бұрын
Bwana ninayofuraha sanaaaaaa
@SarahIrakoze-c6v11 ай бұрын
Ninani aliye andika wimbo huyo🎉🎉jamani nyimbo hiyo inanibariki sana
@miriamchaula9531Ай бұрын
NAUPENDA SANA HUU WIMBO MUNGU NI MWEMA SANA YESU MIMI NINA KUPENDA KAMA MUNGU WAIONA HII SMS NI MANENO TOKA NDANI YA MOYO WANGU ❤
@jeromevundwe808Ай бұрын
Am of the best songs in Tanzania
@emanuelavaleriani864611 ай бұрын
Ninayo furaha kwa kunipa uhai
@jescarerneus262111 ай бұрын
Ninasema Ahsante Bwana
@ndihagatigervas20511 ай бұрын
Ubarikiwe sana,, mtumishi na Mungu akakuinue zaidi!!
@Janeth_Eric_Shoo197211 ай бұрын
Bwana ninayo furaha Ninasema Asante Bwana 🙏❤
@YonaMwansasu11 ай бұрын
Hakika Bwana sina manen mengi zaidi ya kusema Asante Mungu akabariki wa wimbo wa majira
@stevenmkasimongwa209011 ай бұрын
BWANA Ninayo furaha kwa yote uliyonitendea, nasema asante. Past Jastine and his team 🔥🔥😊😊
@Lissaaminiel11 ай бұрын
YESU akubariki mtumishi wa MUNGU Jastin wimbo mzuri mnooooo
@lameckchahoa341011 ай бұрын
Oooh Halleluuuyah God bless you Man of God
@ZawadiJoseph-f7d8 ай бұрын
Bwana ninayo furaaa kwayote uliyo ñtendea🙌🙌🙌🙌🙌🙌😭🙌🙌 Barikiwa Sana mtumishi kwa wimbo mzuriii Mungu azidi kukuinua
@AnnaReuben-tx5hg11 ай бұрын
Ninayo fraha kwa yote uliyonitendea Bwana 😢🙏
@rehemasanga-zb4yt10 ай бұрын
Nabarikiwa na huduma yako Mungu akuinue katika viwango vya juu
@silvatv82947 ай бұрын
Bwana Ninayofuraha kwa yote Umenitendea Bwanaa ...Ninasema Asante 🎉
@patricknjue7911 ай бұрын
Kuna Dada hapo mbele anadance kwa nguvu zaidi. Abarikiwe sana.
@Roby_Anky11 ай бұрын
Bwana Bwana Bwanaaaaaaa🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@kelvinemmanuel-wg9rs11 ай бұрын
AM LATE BUT MUNGU AZIDI KUKUONGEZA, NA WATU WOTE WAJIBARIKIE KWA HUDUMA YAKO KAKA BE BLESSED NA BARIKIWA MIMI KWANZA MAANA NAKUPENDA KAKA RESPECT KWA KWELI MUNGU ANA KIFAA
@Rebecaraphael-u7h8 ай бұрын
Ninasema Asante, maana ninayofuraua barikiwe sana mwana wa MUNGU
@joycekalufando32693 ай бұрын
Gloire à Jésus pour ce cantique 🇨🇩
@DianaTesha-iz4pb11 ай бұрын
Halleluyah Nabarikiwa na wewe jasusi la mbinguni❤❤
@gwakisamwakilema11 ай бұрын
Wimbo uko na nguvu kubwa ya Mungu na Nafurahi kuiona ibada ndani ya wimbo huu...
@BeatriceVahaye-e1i7 ай бұрын
Ninasema Asante Bwana❤❤❤❤
@SelemanKwababa11 ай бұрын
Furaha ninayo kwakwer
@TimilaiGuga11 ай бұрын
Aiii broo uinuliwe mnoo umekuwa baraka kwangu all the time it's ma prayer MUNGU akuweke mnoo ilikuabisha ulimwengu wa giza
@jastinasifiwe487711 ай бұрын
Amen amen
@arnoldbenedict389411 ай бұрын
Kweli Bwana ametupa furaha,hatuna budi kusema Asante Yesu.❤❤❤ Hongera Sana Mtu wa Mungu,Kerubi
@BensonInternational11 ай бұрын
Bwana Mimi ninayo furaha sanaaaa🙌🙌🙌🙌🔥🔥
@nguvuyamaonomedia11 ай бұрын
Hongera Sana Pastor Jastin Asifiwe
@devothashipande475711 ай бұрын
🔥🔥 Mwalimu Justine Asifiwe, Mungu azidi kukuinua
@BarnabaMwandenuka11 ай бұрын
Ubarikiwe sana kaka
@SimionAbel-p6i11 ай бұрын
BARIKIWA MTUMISHI WA BWANA
@ufufuonauzimakitui11 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉Hongera sana Kenya🇰🇪 Tunabarikiwa
@gasonbogrias364711 ай бұрын
Safi 🔥🔥🔥🔥
@masihikalokora1711 ай бұрын
Hongera Mungu akuongezee mafuta yake ya kiungu upaeeee juu sana
@pintymelodytz91311 ай бұрын
Ndugu Yangu 🙌🙌🙌🙌🔥
@Pastortorati11 ай бұрын
Huyu ndiye Jastin wa ndani hakika
@mwakabengah11 ай бұрын
Hongera bro iko vizur❤
@UpendoMwakyusa-hp6lg11 ай бұрын
Hallelujah hakika ninayofura Kwa yote uliyonitendea
@obadiakalinga998511 ай бұрын
AmeniiiAmen 🙏
@pastormoseschami720811 ай бұрын
Hongera sana Jastin, nakuona mbali sana kwenye tansia ya uimbaji, hongera mno, karibu nchi ya ahadi Tabora
@kayumbasosthenes359611 ай бұрын
Bwaaana ninasema
@mpemwalupogo11 ай бұрын
Bwana ninayo furaha Kwa yote ulio nitendea ,,libarikiwe jina la Bwana
@juliethmariki17438 ай бұрын
Amen
@ministergildav394411 ай бұрын
Am waiting... from powerful man of GOD
@mariandunguru53111 ай бұрын
Nimebarikiwa kupitia huu wimbo
@originalcindy938711 ай бұрын
Asante Bwana Yesu,kwa yote umenitendea.
@DorcasSumbi11 ай бұрын
Mbarikiwe saana ❤❤❤
@derricksingila42633 ай бұрын
Just Awesome. God bless
@shukranimwamlima783211 ай бұрын
Be blessed kijnaa
@LUPIMO_TV11 ай бұрын
Blessed More Kamanda 🤝
@EsauTosh11 ай бұрын
Napenda uduma Yako kaka mungu akupee neema zaidi more love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@jastinasifiwe487711 ай бұрын
Glory to God glory to God
@dannienimrod871311 ай бұрын
Wimbo mzuri sana 🔥 Minister @ImaniEricShoo amenisurprise,kumbe sio muimbaji tu, pia ni mchezaji mzuri sana wa keys. Ubarikiwe MD na Team yako!
@lizzyfelix881911 ай бұрын
Kazi nzuri ❤Mmpendeza pia
@EvanceChevensky-oj7de11 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉woow
@vicentjoseph688811 ай бұрын
Notification on
@JanethGwajima-tp2np10 ай бұрын
Mungu akubariki sanaa Mwanangu nimebarikiwa sanaa na huu wimbo