Hili somo ni zuri sana binafsi baada ya kujifunza kwako ukweli huu na kuprove katika Neno la Mungu nikaanza kuliishi Neno na sasa nina miaka 3 naishi katika Afya ya Kiungu yani siwezi kuumwa wala kuwa mgonjwa mana Neno linaishi ndani yangu kupitia Roho mtakatifu.
@ndamugobaivan13 жыл бұрын
Uponyaji wa kiungu ni somo adimu na adhimu. Tunalihitaji sana sana.
@ndamugobaivan13 жыл бұрын
Mwili wa Kristo una thamani sana kiasi kwamba hauwezi ku survive kwa kutegemea wazo binafsi la kiongozi wa dini au mtu baki tu.
@roziehospitality69043 жыл бұрын
Ahsante sana Baba Waache wafe na presha ZAO Wafe na magonjwa YAO. Yesu alishachukua magonjwa YANGU mimi ni nani niendelee kujimilikisha magonjwa
@pastorlilian30243 жыл бұрын
Tunajua kile Yesu amefanya kupitia KAZI yake kamilifu ya msalaba! Asante sana Daddy
@danieltingide41873 жыл бұрын
Amen sana baba
@jofredaniel86203 жыл бұрын
barikiwa sana mtumishi
@nicholausmwangomo44183 жыл бұрын
Jamaa unaifundisha injili kwa lugha laini hadi unaeleweka kuishi neno na kulitekeleza inahitaji utii kwa kweli
@augenmagabila30813 жыл бұрын
Kaka ni kweli.
@mosasmwailene16263 жыл бұрын
Hawa kujui mtoto wa kihaya pamoja na yesu wako sema kweli tupone mungu akubaliki saana mzee 🙏🙏🙏
@frdsylvester743 жыл бұрын
Ubarkiwe baba kwa neno zuri
@mugishomwenda42653 жыл бұрын
Ameeeena mtumishi shujaaa
@jenithajuvenary28023 жыл бұрын
Kwa kupigwa kweke sisi tuliponwa..asante sana grand pa. .
@edengospeltv43953 жыл бұрын
Powerful message
@christianmwasakogo55793 жыл бұрын
Hao maaskofu wamefilisika imani hamna kitu mimi ningekuwa mshirika wao ningeondoka na ntashangaa watu wanaoendelea kuwaamini tena
@alexsanga13193 жыл бұрын
ubatikiwe sana mtumishi wa mungu, nimekuelewa sana
@emanueljoshua62283 жыл бұрын
Kipimo cha imani ni kwenye mapito magumu. Wakati huu wakrsto na wenye imani na mungu wetu wa mbinguni tutajulikana. Hapa ndio dunia itambue kuwa wa kwanza atakua wa mwisho na wa mwisho atakua wa kwanza. Na njia ya mbinguni ni nyembamba nayo imesonga. NAO WAPITAO NI WACHACHE.
@mosasmwailene16263 жыл бұрын
Naam acha tuenderee kupaa tutaona wenye imani ya kumpenda yesu 🙏🙏🙏
@zitashio79203 жыл бұрын
Amen
@geraldleger57933 жыл бұрын
Asante COVID tumewajua viongozi wa DINI na wa KIROHO.
@johnshauri34293 жыл бұрын
Je hao wanoa umwa hawana imani ?
@devothasimbi10553 жыл бұрын
Hakumainisha hivyo imani inategemea baina ya binadamu na mtu.
@marialadslaus73873 жыл бұрын
Pole ndg mchungaji we ndie utaongoza kwa kuumwa hoi kitandan