je majini ni ndugu za waislamu?

  Рет қаралды 14,312

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

Күн бұрын

je majini ni ndugu za waislamu?

Пікірлер: 112
@leydaihal9332
@leydaihal9332 2 жыл бұрын
Mwalimu wangu ndacha nimekupata vizuri mungu akubariki sana.
@CherieDeDieu
@CherieDeDieu Жыл бұрын
Mungu akubariki Ndugu Ndacha kwa kazi yako nzuri. Neno lake Yesu litasimama! Shetani ameshindwa katika jina la Yesu Kristo! Kila goti litapigwa na kila ulimi litakiri kwamba Yesu Kristo ni Bwana, kwa ufukufu wa Mungu Baba. 😊
@louisejeanne1760
@louisejeanne1760 2 жыл бұрын
Kwa kazi hii mwalimu Ndacha ulikuwa mtu wakukaa sehemu ya heshima sana kuliko hawa manabii wasasaivi.Mungu akuinuwe mwalimu na kukulinda
@navokisembo
@navokisembo 2 жыл бұрын
Huyu mwalimu wa kiislamu yaani anakimbia maswali anajibu vitu hata havihusiki duh hajielewi.
@jobmethusellahke4345
@jobmethusellahke4345 2 жыл бұрын
Mjadala mboga sana kwa mwalimu wangu Ndacha
@WAISLAMUNIWAPINGAKRISTU-yz7pd
@WAISLAMUNIWAPINGAKRISTU-yz7pd 6 ай бұрын
Kweli pastor Ndacha anaongozwa na Roho Mtakatifu!!
@moseshandsam1865
@moseshandsam1865 2 жыл бұрын
Thanks ndacha kwa elmu nzuuuri wafunze sir ndacha 🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭 we are watching 👀👀👀👀👀
@KoomeNzima-lp4ql
@KoomeNzima-lp4ql Жыл бұрын
Amen
@ignasmalema8354
@ignasmalema8354 2 жыл бұрын
Wapige kwa maandiko tu mwalimu Ndacha ,wanajifanya hawaelewi, lakini wanaelwa na maneno yako yanawachoma
@realtom6199
@realtom6199 2 жыл бұрын
i don't understand your language oooo but man of God, God richly bless you
@stemlute
@stemlute Жыл бұрын
Islam is a forced religion, the followers are not free to think, tafathali acha kutumia kiarabu wafuasi hawaelewi
@paulduke6712
@paulduke6712 2 жыл бұрын
Waisilamu wamepatikana
@stemlute
@stemlute Жыл бұрын
Huyu shekhe haelewi ukristo kweli, ukristo ni baada ya yesu, mifano yote yake ni ya torati, waliomkubali Yesu, wakabatizwa ndio wakristu. majini walikubali Quran sababu ni kitabu Cha Mungu wao ibilisi
@isharabangaya5455
@isharabangaya5455 Жыл бұрын
I'm Congolese, I'm watching you son of God, may God keep protect you,u always talk the truth,unajuwa sikuizi watu Wana chukiya ukweli Zaidi ya uongoo,
@RECOLONIZE_RIGHT
@RECOLONIZE_RIGHT Жыл бұрын
shehe ameanikwa aka kauka
@justineomweno4917
@justineomweno4917 2 жыл бұрын
Kila time kuomba watu pesa waa uislam ni tabu tu
@gideonlangat5035
@gideonlangat5035 2 жыл бұрын
Roho mtakatifu ya uslamu -ni majini..
@zamirumbwambo3834
@zamirumbwambo3834 2 жыл бұрын
Mtumishi wa mungu mungu akubariki sana
@casaica2993
@casaica2993 2 жыл бұрын
kimeeleweka vizuri waislamu na majini ni brothers
@adlainekamonya-ic2kq
@adlainekamonya-ic2kq Жыл бұрын
waislamu wamehurumisha😅😅😅😂😂😂😂😂
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
This world 🌎 is never balance Never trust someone too much by the end you will find a strong 💪abig Earthquake
@ashadiramo
@ashadiramo Жыл бұрын
Nyny ndio mko dunia ingine mmepofka.😢 Laiti mngelijua mngeslimu nawapia
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
Wewe unayeabudu jiwe jeusi unalipi la kuwafundisha watu wa kitabu,tusilimu ili tuabudu na majini?
@munyokimakau.
@munyokimakau. Жыл бұрын
Waisilamu wanahubiri badala ya kutoa haya za bibilia ama qoran eti wakristo tunasema shetani toka kila sunday....wapi kwa bibilia inasema ivyo Asante dacha nigepata number yako nigeku m-pesa 200 saa hii
@mepo1795
@mepo1795 2 жыл бұрын
Sidano ya mwalimu ndacha imewaingia waisilam mpaka mwalimu wao ametabataba kweli
@themessage3508
@themessage3508 2 жыл бұрын
Hakika MUNGU YUPO NDANDI YETU
@samuelmweipongwe140
@samuelmweipongwe140 2 жыл бұрын
Nimeupenda sana huu mjadala kwa sababu una undugu ndani yake, ucheshi pamoja na mafundisho. Mungu awabariki sana ndugu zangu, katika nyinyi tunajua mbichi na mbivu.
@leydaihal9332
@leydaihal9332 2 жыл бұрын
Hahaaa nimekwama hapo kwa majini nichotwe eti salamu wanasalimia majini na hawamuoni.
@navokisembo
@navokisembo 2 жыл бұрын
Mwalimu Ndacha waeleze hao wauslamu ukweli. Yeah waislamu wanasali na majini. Kweli waislamu hawana hoja kabisaaaa. Wanarukaruka tuu.
@mwoso
@mwoso Жыл бұрын
Nasi tumekutuma. Wanaosema ni khadija na padre waliopanga utume wa Muhammed.
@tomasmwangi1943
@tomasmwangi1943 2 жыл бұрын
Thanks ndacha
@ignasmalema8354
@ignasmalema8354 2 жыл бұрын
Shekhe acha matusi toa hoja
@abubakarfidele9553
@abubakarfidele9553 2 жыл бұрын
Burundi say's Big up doctor dacha,WE ARE cool teach
@ndikumanainnnocent7796
@ndikumanainnnocent7796 2 жыл бұрын
Asalam alykum www sheikh wetu usicoki kufundisha haki
@FridayMwassa
@FridayMwassa 5 күн бұрын
Atafundisha nini wakati yeye ndiyo anafundishwa
@khalidabu5259
@khalidabu5259 2 жыл бұрын
Mtumishi dacha hizi miadhara zinakenjeli sana kwasababu ya matusi
@athumanmpagama6259
@athumanmpagama6259 2 жыл бұрын
MBARIKIWE SANA WATUMISHI
@johnnyamache2943
@johnnyamache2943 2 жыл бұрын
@maggy I'm so happy when ndacha teachers this
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
It's only a matter of time ⏲️and we shall join him to push up the work of the Lord
@johnnyamache2943
@johnnyamache2943 2 жыл бұрын
@@margaretmargaret5744 i love this
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
@@johnnyamache2943 I do get it..
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
@@johnnyamache2943 But when Ndacha try to turn my faith upside down calmly I will definitely deal with him
@johnnyamache2943
@johnnyamache2943 2 жыл бұрын
@@margaretmargaret5744 thanks so much
@ndikumanainnnocent7796
@ndikumanainnnocent7796 2 жыл бұрын
usicoki sheikh wetu njo level ya irimu yawo wanafundisha kanisani iyo nimusiba awuno kiriyo
@johnnyamache2943
@johnnyamache2943 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
No matter how far the river is I will return home with water it's only a matter of time
@davidmnyela2459
@davidmnyela2459 2 жыл бұрын
Mwalimu wa waislam hawezi Changisha pesa bila kuendelea na Mada anajikuta mjanja kumbe mada imemwelemea
@user-wf3vy4jt3e
@user-wf3vy4jt3e 2 жыл бұрын
Ukweli gani nyinyi wenyewe mwaishi nao kanisani kilasiku mwayatoa na hayatoki
@davidmnyela2459
@davidmnyela2459 2 жыл бұрын
@@user-wf3vy4jt3e leta la kwako kanisani uone kama hayatoki😀😀😀
@user-wf3vy4jt3e
@user-wf3vy4jt3e 2 жыл бұрын
@@davidmnyela2459 tokea yesu alipo paa mbinguni kila jumapili wakristo mwatoa mapepo kanisani hisabu ni mwaka wangapi sai mwayato na hayaishi hili langu ndio utaliweza...langu lasubiri yesu arudi nyinyi wengine ni propaganda tu kanisani
@muhammedsuleiman2137
@muhammedsuleiman2137 2 жыл бұрын
Wako majini waislam na makafiri lakini hakuna jini mkristo maana ukristo cio dini ya Mungu . Majini hawajui ukristo ila wanajuwa uislam na walioukataa uislam wamekuwa makafiri mojakwamoja wala hawafuati dini za kupangwa na wanadamu hahahahahahahaha mit wanyama na ndege na wadudu woote wanamjuwa Allah muumba wao lakini hawamjuwi yesu wala ukristo .paulo ..muanzilishi wa ukristo
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 2 жыл бұрын
We kafiri majini ni wachafu na Hawana husiano na Mungu
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 2 жыл бұрын
Majini ni viumbe walio laaniwa na MUNGU
@muhammedsuleiman2137
@muhammedsuleiman2137 2 жыл бұрын
@@fredrickgitonga1972 inawezekana sana lakini c Mungu aliumba mbingu saba ardhi sana na vilivyomo . Yeye anasema ameumba watu na majini ili wamuabudu ukiacha kumuabudu yeye ndio unaingia katika laana . Ukiskia usafi ujuwe kinyume chame ni usafi na ukskia pepo wachafu ujuwe na wasafi wapo ..sasa wewe lete andiko majini wote wamelaaniwa
@navokisembo
@navokisembo 2 жыл бұрын
@@muhammedsuleiman2137 majini ni malaika wadogo wa Lucifer sasa wanasalije na ninyi? Mungu alishamlaanj Lucifer sasa unadalije nao? Jitafakarj
@muhammedsuleiman2137
@muhammedsuleiman2137 2 жыл бұрын
@@navokisembo kwa imani yako lakini kwa uislam hajalaaniwa kila afuatae amri za Mungu maana Mungu hamzulumu yoyote mpaka ajizulumu mwenyewe so iblis alipewa fursa akaikataa na jini yoyote au binaadamu akimkana Mungu amejipoteza mwenyewe ..amejilaani mwenyewe.kisha Mungu nae ndio anamlaani . Unauliza tunasali vipi na majini , wewe umewahi kumuona jini? Umewahi kumshika jini kwa mkono? Lakini kwa mujibu wa ukristo laana cio kitu kibaya maana yesu alifanywa kuwa laana.
muhadhara Eastleigh 12 street sheikh sharif Zaki WhatsApp +254795525324
1:26:08
Sheikh Sharif Zaki Official
Рет қаралды 514
BRUNI STAR KIJANA MDOGO LAKINI SAUTI BALAA  AKIWA NDANI YA NDANI YA NYUMBA
20:16
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 19 МЛН
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 13 МЛН
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17
Je Majini ni Dini gani? Sheikh Mbogo Tz Vs Mch Ndacha Kenga
54:25
DAAWA ONLINE TV
Рет қаралды 6 М.
wajibiwa maswali yao
32:11
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 53 М.
I Was Drawn To Islam  | Jamila Wanjiru #revertedtoislam
29:46
The Daawah Centre Foundation Kenya
Рет қаралды 2,9 М.
ELIMU BILA MALIPO - BIASHARA YA UFUGAJI WA KUKU
28:36
Gangana Info Channel
Рет қаралды 169 М.
EASTLEGH ST.TERESA DAY 1
1:41:42
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 6 М.
Mashetani ni waislamu, Mwalimu wa kiislamu amekubali
52:57
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 56 М.
je Paulo ni mtume wa Mungu?
1:36:19
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 6 М.
MASWALI NA MAJIBU- NDACHA NAKURU
1:06:53
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 144 М.
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 19 МЛН