JE MAULIDI IPO KWENYE DINI | KWANI KUNA UBAYA GANI Sheikh Ali Bahero

  Рет қаралды 22,262

Abdulkareem Simba

Abdulkareem Simba

Күн бұрын

Пікірлер: 145
@kitosio
@kitosio Жыл бұрын
Mashekhe ALLAH AWALIPE KILA NEEMA KWA KUISIMAMIA DINI YA ALLAH KWA NGUVU ZOTE. MPAKA KIAMA BIDAA HAITASHINDA. NA WAWE NA HOJA SIKU YA KIAMA KWA KUIFANYA BIDAA KUWA DINI, HII NI ISHARA KUWA WAO WANAJUWA ZAIDI KULIKO MASAHABA WALIOINGIA VITANI.
@ayauii
@ayauii Жыл бұрын
Bahero hongera kwakufanya bidii kutuilimisha asante allah atakulipa.allah turuzuku ilmu yenye manufaa sisi na vizazi vyetu❤❤❤❤
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Жыл бұрын
Allah akujazeni kheri. Uislamu mwepesi, turejee kwenye kitabu cha Allah SWT na sunna za Mtume SAW.
@abubakarjamalulleyl
@abubakarjamalulleyl Жыл бұрын
Ndugu Abdulkareem jaribu kufanya uunguana kama mwenye kuangazia mas'ala ya dini basi kaa na mashekhe wa upande wa pili pia usikizishe msimamo wao juu ya jambo hili, na ujue ikiwa haya waloyasema Hawa si la sawa basi na wewe umechangia katika kuyaeneza. Shukran
@shukranjazzakhaallahukheir1897
@shukranjazzakhaallahukheir1897 Жыл бұрын
MashaAllah tabarakaAllahu
@ابومعاذاحمدناصر
@ابومعاذاحمدناصر Жыл бұрын
Mashekh allah akulipeni kheri
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 Жыл бұрын
MashaAllah shukraan sana ❤ Allah awalipe jannah
@RamaRashid-t4h
@RamaRashid-t4h Жыл бұрын
Sio kila kitu alisicho kifanya mtume tusifanye hapana kuna vitu mtume hakuvifanya mbona sis tuna vifanya bahero nenda ukasome tanga au kenya tena uksome sana ww bado upo nyuma 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@MuhammedBalkiss
@MuhammedBalkiss Жыл бұрын
Alhammdulillah mashaallah
@jasminmohamed6145
@jasminmohamed6145 Жыл бұрын
ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM
@JohnOleramato-oc6it
@JohnOleramato-oc6it 7 ай бұрын
kweli sheck manake nashangaa kuusu maulidi
@salumrashidabdullashmely2558
@salumrashidabdullashmely2558 Жыл бұрын
Allah akuvize kwa maneno yako hayawani mkubwa we
@abdallahkilesho3940
@abdallahkilesho3940 Жыл бұрын
Muislam hafai kimtukana meniwe
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 Жыл бұрын
MAULID HAYANA UBAYA NA BARAKA KUBWA ALHAMDULILLAH.
@twahirburhan3726
@twahirburhan3726 Жыл бұрын
Jazaaka llaahu kheir
@KasimuMaingila
@KasimuMaingila Жыл бұрын
ما أحل الله في كتابه فهو حلال ، وما حرم فهو حرام ، وما سكت عنه فهو عافية ، فاقبلوا من الله العافية ، فإن الله لم يكن نسيا ، ثم تلا هذه الآية ( وما كان ربك نسيا ) " هذا الحديث صححه الشيخ الألباني رحمه الله في السلسلة الصحيحة 5 صفحة رقم 325 , mashekh zangu vp kuhusu hii hadthi
@medimisi6930
@medimisi6930 Жыл бұрын
fumeambiwa tujiepushe na bidaaa, na ww hii hadithi vp, na atakae anzisha jambo jipya atarudishiwa mwenyewe na hadithi hii vp
@samirrubeya2379
@samirrubeya2379 Жыл бұрын
Music he kutupa elimu..Mungu awape swiha njema.
@sheikhrajab6429
@sheikhrajab6429 Жыл бұрын
Tuekee full video tupate kunufaika zaidi
@salumrashidabdullashmely2558
@salumrashidabdullashmely2558 Жыл бұрын
Haea wasenge sana wallah
@harunaramadhanimzule
@harunaramadhanimzule Жыл бұрын
Subhaanallah ww mbona wasema maneno machafu kias hicho
@abubakarbakari7042
@abubakarbakari7042 Жыл бұрын
Sasa shida ni kila mukipinga maulidi yanazidi siafadhali mukae kimya muishukurie mungu
@ayauii
@ayauii Жыл бұрын
Maskin mtu kama hajasoma dini inasikitisha sana.tusome kisha tuseme.bora ungenyamaza ukasikiza update faida kama kusema Wala hujasoma dini .kasome ujue dini yako
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@ayauii kama kinachokatazwa kingekuwa hakifai basi watu wangeacha. Lakini Allah sw amesema *#WARAFAANA LAKA DHIKRAKA"#. YAA TUTSLINYANYUA JUU JINA LAKO EWE MUHAMMAD UTAJWE KWA MAKUNDI MBINGUNI NA MALAIKA NA DUNIANI KWA MAKUNDI UTAJWE. sasa maskini ya Mungu hamliwezi ZHIZBULLAHI (JESHI LA MUNGU), kwaio maulid itazidi na kama huamini basi utakufa kwa uchungu ila sio kufa maulid. Maulid ya kifa ujue ni kiama hiko na maangamizo.
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Kwahiyo unataka wakae kimya ili Mungu atuukumu wote wevipi kwahiyo unafulahia kwakuongezeka wanaopingana na mtume muhaamadi swalalahu alahi wasalam.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@hanifatanzania7258 tunafurahia kuongezeka wapenzi wa Mtume saw kila kukicha. Wewe bakia na ukafiri wako ukidhani ndio haqi
@yusufsaid8911
@yusufsaid8911 Жыл бұрын
WATU WANAPINGA USHOGA NA UNAZIDI NDIO KAMA MAULIDI YANAZIDI KWA SABABU WATU HAWANA ILMU KAMA WEWE NA KUDANGANYA DANGANYA TU
@hutiswalehe2444
@hutiswalehe2444 Жыл бұрын
Mcropoke tu hapaa
@KhadijaShauri
@KhadijaShauri Жыл бұрын
Maulid ww usidanganye BN watu hapo maulidi siiddi sisi kilasiku tunasoma maulidi okyyy
@A.m8
@A.m8 Жыл бұрын
Maudili lini? Ikiwa kisoma na mumeichukuw kwa nani misingi iyo??
@abubakarhussein2186
@abubakarhussein2186 Жыл бұрын
Jahili hilooo baheroooo
@AbduliSeleman
@AbduliSeleman 7 ай бұрын
Ww nmwanamke
@KambiRamadhan-gu4ko
@KambiRamadhan-gu4ko Жыл бұрын
Mashallah kikao cha kheri kabisa ila kuna dalili yoyote kuwa enzi za mtume vikao vyake huvianza kwa kusoma Quran mana nyie hapo mmesema mulianza na Quran.
@MauroZaratte-r4r
@MauroZaratte-r4r 4 ай бұрын
Hawa mawahabi zinna, riba na pombe ni bora kwao kuliko maulid
@Auf-uh3jq
@Auf-uh3jq Жыл бұрын
Sasa huyu afungisha watu saum afungulisha watu swaum bila mwezi mwamuliza kuhusu Maulid mashekhe wengine nyinyi hatuwaelewi Huyu Bahero hatuambii kitu tukamsikiza kwanza awache istihzai na dini
@nurdiniabdillahi3558
@nurdiniabdillahi3558 Жыл бұрын
Kweli mazuzu.vingapi.unavifanya akufanyika wakati wa.mtume pia maswahaba wajafanya munavijua
@HemedSerious
@HemedSerious 5 ай бұрын
Hawa jamaa ni waongo, Yani kila mweny akili lazima awashangae , ukweli ni kwamba Hawa masheikh wetu si wapingaji wa bidaa Bali ni wapingaji wa maulidi kama ni wapingaji wa bidaa wasinge Baki na hoja ya maulidi kila siku wakt zipo bidaa nyngi ambazo na wanazifanya kila mwaka kama hyo maulidi, na huenda wao wakawa na bidaa nyngi kuliko watu wa maulidi
@USTAZZAGHAWIYUSTAZZAGHAWIY
@USTAZZAGHAWIYUSTAZZAGHAWIY Жыл бұрын
إنكار احتفال بميلاد النبي صلى الله عليه وآله وسلم كمحاولة سد الشمس بالمغبرة
@ابومعاذاحمدناصر
@ابومعاذاحمدناصر Жыл бұрын
Musivungike moyo linganieni hata kama wanaendelea kufanya
@yaizfamily6615
@yaizfamily6615 Жыл бұрын
Asalaam aleikum warahmatullahi wabarakatu. Naiusia nafsi yangu na kuwausia ndugu zangu wote waislam kumugopa Allah S.W na kujua kua kila tunalolifanya kwa wazi au kwa faragha bali linaandikwa na tutaulizwa ktk hili siku ya kiama. Tuwe makini sana na kuandika comment yoyote ile ktk social media tutaulizwa na Allah. Tutafute elimu ya dini iliyosahihi kwani elimu hio iko mpka sasa hakuna shaka ktk hilo. Maulidi ni sherehe ya kuzaliwa kwa mtume s.a.w kama tunavyojua wote, hakuna dalili zozote kua hii sherehe ilikua ikifanywa na mtume saw, maswahaba na waliowafuta baada yao. Uzushi ktk dini ni jambo la hatari sana na tuwe makini ktk hili. Kuna sunnah nyingi sana za mtume saw tunahitaji kuzifuata tuache hili jambo lisilothibitika, tufuate yale yalithibiti Insha Allah.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Na mimi nakuhusia pia, kusoma juzuu moja kila siku ya taraweh na mashindano ya Qur-an tutaulizwa siku ya kiama kuwa jee alifanya Mtume saw au maswahaba?
@naimasheikh3055
@naimasheikh3055 Жыл бұрын
Na kusoma qunuti ndefu katika swala ya taraweh ambayo hakusoma mtume wala swahaba wala tabiina pia ni bidaa na pia utaulizwa kesho na Allah
@hamzamwaya463
@hamzamwaya463 Жыл бұрын
Kwa maelezo yako na swali lako bwana hilal khalfan, yaonesha unashabikia suala la maulid kama kwama unataka kutwambia unafanya mashindano na yule anaefanya mashindano ya Quran na huyu anaesoma juzuu ktk taraweh, Ama kweli kupenda wakat mwingine inaweza ikawa kama vile ukikichukia kitu fulan, Bimana hutaangalia uhalisia wa jambo ispokuwa utaangalia nani kasema, Badala ya kuangalia nini kimesemwa. Ndg. Yangu, Suala la Maulid lisikujenge UPOFU wa kias hicho haliyakuwa Mashekh kila uchao wanakubainishia haki tena kwa dalili. Kumbuka siku zote baatwil hutangulia, Haki huja baadae. Usiishi kwa mazoea ya kwamba, Mimi nimezoea hivi, Je kwa hoja ipi? Au unapoambiwa kuwa asil ya jambo hilo ni Mashia, Je wakubali kuwa mshia? Au wadhani Shia ni uislam sio? Usikubali kuwa mtumwa wa kifikra, Hebu tia azma ya kuwasikiliza mashekhe wa kisalaf, Huenda Allah akakupa hidaya ya kutambua haki na baatwil. Acha fikra za Mimi na shekh wangu tu, hata kama akizungumza kimakosa. Kuwa huru ili upokee kilicho haki
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@hamzamwaya463 WEWE NDIO USIKUBALI UTUMWA WA KIFIKRA. ASILI YA MAMBO YOTE NI HALALI ISIPOKUWA YALIOKHARAMISHWA. NIAMBIE WEWE, KWENYE MAULID KILICHOKHARAMISHWA NI LIPI NA KIPI?, NDIO SUALI LILILOMTOA BACHU MIKOJO KWENYE KITI CHA WATU. SINA USHABIKI, FUATA HAQQI. kama bachu aliotegemewa kutoa hoja kupinga maulid KAJIKOJOLEA, mimi na wewe tunahukumu nini jambo ambalo wanachuoni wamelipitisha?.
@KambiRamadhan-gu4ko
@KambiRamadhan-gu4ko Жыл бұрын
@@naimasheikh3055 Tatizo hata huyo shia mwenyewe alieanzisha maulidi kwa mujibu wasemavyo hawamjui. Nirushie namba yako mwalim nikurushie huyo mshia utajua kwamba hakua mbumbumbu bali alikuwa sufi wa nguvu.
@sadiqselengu4197
@sadiqselengu4197 Жыл бұрын
Hakuna ushahidi mlouleta kuwa jambo halifai bali ni maneno matupu tu
@ABUUALLY-j7k
@ABUUALLY-j7k Жыл бұрын
Kufanyika na kutofanyika wakati wa mtume hiyoo hojaa ni mbovuu haina mashikoo tafuteni sababu nyengine ya kuyaponda maulidi
@neemamohamed5926
@neemamohamed5926 Жыл бұрын
Wanasingizia wanamlenda sana Mtume kwa kumswalia sana Hali ya kuwa Sunna zake zinawashinda hata ndogo tu ya kufuga ndevu wanashindwa
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 Жыл бұрын
Kama maulidi bidaa Toyota. Landcruser je..
@LeeySeedorf
@LeeySeedorf Жыл бұрын
Maulidi ya kukata viuno kike kwa kiume kwa pamoja hayafai.ninavyoona maulidi ya kijibinduabindua na unenguaji wa kuzungusha viuno hadharani hayafai.
@hutiswalehe2444
@hutiswalehe2444 Жыл бұрын
Mtaongea mpk mtakufa kwa hasadi zilizowajaa kuhusu mtume wetu,bahero umebaki fuvu tu kwa kumpiga vita mtume umri wako wote,mtakufa na hasad maulidi hayana neno kabisaa
@SuleimanShambi
@SuleimanShambi Жыл бұрын
Nenda ukasome uache kutukana masheikh na ukisefu wako wa elimu
@hutiswalehe2444
@hutiswalehe2444 Жыл бұрын
@@SuleimanShambi kuna shekhe hapoo??
@HemedSerious
@HemedSerious 5 ай бұрын
Nnacho kiona mm mlitakiwa kupinga jina tu, lkn ibada zinazofanywa ndani ya maulidi zote zilifanywa na mtume na masahaba, km nyinyi sio waongo mlitakiwa mseme ni n ibada ipi wanayofanya kwny kikao Cha maulidi haikufanywa na mtume au masahaba? Ukweli ni kwamba nynyi mnahangaika na kupinga jina (MAULID) na sio ibada zifanywazo kwenye maulidi. Na kwa hoja hiyo ya jina bas ata nynyi mtakua wa kwanza kwenda motoni kwa uzushi kwa hoja zifuatazo. 1. Nynyi mnafanya makongamano ya mbali mbali ya kiislam mtume na masahaba hawakufanya mfano makongamano ya Ramadan nk. 2. Mashindano ya kur an hakufanya mtume na masahaba hadi waliondoka duniani hayo ni machache tu. Mwsho tatazo lenu nyny masheikh si wakweli ktk kupinga bida'a bali mnapinga msizozipenda na mnazozipenda mnazifagilia , huo pia ni uzushi.... Hadi leo hakuna wahabi anaweza kuthibitisha wapi matume au masahaba walifanya mashindano ya kur ani mbona nyny tunawaona tena kwenye viwanja vya mipira kike kiume, na kwann siku zote hampingi hili? Semeni ukweli acheni kuwapelekesha watu wenye akili pungufu, acheni unafiki mkikusudia kupinga bidaa iyendeeni kila bidaa na sio kuchagua bidaa mkaziandaa na bidaa zenu mkazipaisha, UNAFIKI SASA BASI 2.
@abdikadirshariif5311
@abdikadirshariif5311 Жыл бұрын
Sasa towheed 3 zimetoka wapi?
@AminaHibraim-me6cu
@AminaHibraim-me6cu Жыл бұрын
Watu wanaona ugumu w funga siku alozaliw mtume j3 wanashelekea kwa vyakula. Kichwa chini miguu juu hadith imegeuzwa. Allah atuongoze
@khalifaahmed5232
@khalifaahmed5232 Жыл бұрын
Tatizo kubwa sanaaaa likiopo sio kua hili bida hili sunnah tatizo linalotutatixa wengi nipale tunapoona watu wanasema Kila ambacho hakikuwepo wakat wa mtume ni uzushi na ni upotevu Kisha watu haohao Wana Yao ambao hayakuwepo na wanafanya Bila kujali na wanaliita sunnah apo ndio tatizo kubwa xaidi ambao waislamu wengi mpk leo twashangazwa nalo na yako mengi sanaaaa Ila cjui shida iko wapi huku liwe Sawa huku liwe upotevu hili gonjwa haliwezi kuisha mpk kiama sababu ya ivo tuuu
@khalifaahmed5232
@khalifaahmed5232 Жыл бұрын
Tukiwa waadilifu kielimu tuchukue hukmu ya Kila ambacho hakikuwepo wakat wa mtume ni bidaa tukitoweni jee ni mangapi tutayaharamisha ndani ya Dini na jee wanavyuoni walokubali Kila jipya ambao halikuenda kinyume na Dini nisawa kufanywa jee tutawapa hukmu Gani Hawa wanavyuoni???? Tunaomba suala kama hili pia kuzungumziwa ndio tupate elimika xaidi
@khalifaahmed5232
@khalifaahmed5232 Жыл бұрын
Tunaomba mwenye hii channel atufikishie haya masuala mawili kwa sheikh Bahero ndio tuweze kujua xaidi sababu tutatatizana pande mbili sababu ya masuala kama haya na tunazozana na kukoseana heshma waislamu
@nassleydady5783
@nassleydady5783 Жыл бұрын
Mm ninacho kiona watu wengi wameshindwa kufaham bidaa ni ipi mfano saiv utamsikia mt anasema km kila jambo ambalo lilikua halipo nibidaa mbna wanaopinga bidaa wao wanapanda gar na enz za mtume (saw) ilikua hazipo? Jibu nikwamba bidaa sio kila kinacho kuja t au kutengenezwa bali bidaa ni kuongeza au kupunguza kitu kwenye dini mfano maulid hii wasoma maulid wanaitakid ni dini na wanalipwa na Allah (sw) kile wanacho kifany wakat hakuna maulid kwenye dini haijafundishwa ila magar nguo, viatu , miti, nyumba n.k hivi co dini hakuna mt anajenga lakin anategemea alipwe na allah
@tanzaniaonmzamiloon8627
@tanzaniaonmzamiloon8627 Жыл бұрын
@@nassleydady5783 sasa nikuulize kitu kwanini tusilipwe wakati yanayosomwa ni mambo ya dini kama kusoma Quran kulinganiana kumswalia mtume mahammadi s a w dufu inapigwa na kuimba niambie kipi tunachakifanya kwenye maulid hakipo kt ya nilivyokutajia kipi kwenu ndo Bidaa ambacho mtume mahammadi s a w hakufundisha
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@nassleydady5783 KWAIO MTU AKIJENGA MSIKITI AKAWEKA MAFENI, HATEGEMEI KULIPWA NA ALLAH SW AKIEKA MAFENI MSIKITINI?, JEE MTUME SAW ALIFANYA?. WANAOTENGENEZA TUPU ZA BANDIA KUTOA SHAHAWA ZAO, NANI KAFUNDISHA?. MTUME SAW ALIPOSEMA, "KULLU BIDA'ATU DHALALA" , HAKUSEMA VITU VINAVYOTENGEZWA KAMA NYUMBA HAZINGII, HAYO MANENO YA MIUNDOBINU HAINGII AU VYAKULA HAVINGII KWENYE DINI AU BIDA'A MMETOA WAPI?.,
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 Жыл бұрын
Kama maulid bidaa kutukana je...
@sheikhfadhilaljahdhamy6751
@sheikhfadhilaljahdhamy6751 3 ай бұрын
Maswahaba hawako tena ni khalifa wanne hawako tena uongozi wetu ni mtume, mwaswaba na na kizazi cha mtume s.a.w عن زيد بن ثابت، قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: "إني تارك فيكم خليفتين: كتاب الله، حبل ممدود ما بين السماء والأرض، أو ما بين السماء إلى الأرض، وعترتي أهل بيتي، وإنهما لن يتفرقا حتى يردا علي الحوض " أخرجه أحمد في مسنده
@HemedSerious
@HemedSerious 5 ай бұрын
Hao wanaokusifuni nyny ni watu wavivu wa kusoma lkn km leo watasoma watajua km nyny huenda mkawa ndio mna bidaa nyngi na mbovu zaidi ttzo lenu mnaiyandama bidaa ya maulid huku nyny mna mamilioni ya bidaa hadi ndi ndani ya swala kabisa wala hakuna shida 😂😂😂, UKWELI NI KWAMBA MNA CHUKI NA MAULID, na sio bidaa. Sheikh bahero hem tuambie ni lini mtume Muhammad saw. au mashahaba walienda kwenye viwanja vya mpira wakafanya mashindano ya kur an? Wakatafutwa majaji, zikaandaliwa pesa au dhahabu washindi wakapewa kuanzia wa kwanza na kuendelea? Jibu ilo suali na yoyte ajibu km anaweza......😂😂😂😂 Bahero ulitakiwa kusema mm bidaa ya maulid siipendi lkn Nyengne kama kawaida...,..
@rushu1232
@rushu1232 Жыл бұрын
Birthday ni siku mmoja tena tareikh ile ile uliozaliwa sasa maulidi na burda zasomwa kila alkhamis na ijumaa na mfungo sita yasomwa kila siku sasa hiyo ni Birthday kuweni na inswaf.
@hutiswalehe2444
@hutiswalehe2444 Жыл бұрын
Tuelezeni ni nini taarifu ya maulid ili tuangalie ni baya au c baya??
@soudhussein7396
@soudhussein7396 Жыл бұрын
Maulid haina ukweli wala ushahidi.
@yusuphkibira8930
@yusuphkibira8930 Жыл бұрын
Endeleeni tu kuzusha lakini siku hiyo kila ibada itaulizwa hata wakristo wanajiona wako sahihi lakini hawana ushahidi wala sehem ya kuuiga. Sasa nanyi pia mtasema siku hiyo kiigizo ni nani?
@kassimmgwami
@kassimmgwami Жыл бұрын
Kwani unapoenda Makkah kuhiji kwa kupanda ndege,mtume katika uhai wake aliwahi kupanda ndege?.Vp mbona leo hii mnapanda ndege,acheni kuleta vurugu kwenye uislam,kama kweli nendeni mkawape da'awah wakristo waje kwenye dini ya Allah,acheni vurugu nyinyi.
@characharayusufu2939
@characharayusufu2939 Жыл бұрын
kwani kinawauma nini kama hamsomi sinyie nyamazeni dini sio yenu kwani mnachuki gani viumbe nyinyi au mpo kazini semeni watu wajue kama ni vibaraka vya hao wasio lala kwajili ya kufarakanisha waislamu na tunayajua yote hayo kwa taarifa yenu
@nassirmasoud2545
@nassirmasoud2545 Жыл бұрын
Na kueka sherehe ya mashindano ya hifdhil qur ani mtumi au maswahaba wameeka?hta hyo athari ilikuepo?mutachoka sana.wameshindwa wakuru dhenyu itakua inyi😊
@nassleydady5783
@nassleydady5783 Жыл бұрын
Ww ss unaleta tarab kweny din
@wakwetu2444
@wakwetu2444 Жыл бұрын
Hakuna ubaya kumsifu mtume. Binaadamu wa. Kawaida anasifiwa itakuwa mtume wetu.
@alawisoud665
@alawisoud665 Жыл бұрын
Kila kitu kina utaratibu wake, Pengine njia wanayotumia hao sio sahihi ndio maana wanapigwa vita.
@mksekulu-jo1sh
@mksekulu-jo1sh Жыл бұрын
@@alawisoud665 ipo wewe unaona si sahihi ina dhabi
@allyelbusaid9888
@allyelbusaid9888 Жыл бұрын
Kutofanyika jambo wakati wa mtume sio dalili ya kutojuzu jambo.. Kinachoangaliwa jambo hilo linaenda kinyume na hukmu za kisheria..!? Hatuachi hatuachi maulid
@eidallyeidally5093
@eidallyeidally5093 Жыл бұрын
Ukitoa mawaz toa namifano ya mambo yanayofanywa kama bahero alivyosema maulid hayakupatika kuliko kusema tu yakua wanavyuon ushawahi kujiuliza kwann mtume aliutahadharisha ummah na uzushi naniupi ikiwa kila jambo watu wakaloliona liko sawa basi linafaa
@khalifaahmed5232
@khalifaahmed5232 Жыл бұрын
Wanavyuoni walokubali ku jambo llte jipya ambalo halitaenda kinyume na misingi ya Dini basi lipo Sawa na ahlu ilmu wakilichambua sio yyte alilete katika wanavyuoni walounga mkono kauli iyo mmoja ni Imam shafii, Imam nawawi, Imam baihaqi, Imam suyuti, Iman sakhawi na wengneo wengi Sanaa na neno bidaa wanavyuoni wamelichambua cha urefu Sanaa Ila ummah wetu wa fitna wanchukua kauli moja ya wanavyuoni na kuipa hukmu
@khalifaahmed5232
@khalifaahmed5232 Жыл бұрын
Wanavyuoni walokubali ku jambo llte jipya ambalo halitaenda kinyume na misingi ya Dini basi lipo Sawa na ahlu ilmu wakilichambua sio yyte alilete katika wanavyuoni walounga mkono kauli iyo mmoja ni Imam shafii, Imam nawawi, Imam baihaqi, Imam suyuti, Iman sakhawi na wengneo wengi Sanaa na neno bidaa wanavyuoni wamelichambua cha urefu Sanaa Ila ummah wetu wa fitna wanchukua kauli moja ya wanavyuoni na kuipa hukmu
@khalifaahmed5232
@khalifaahmed5232 Жыл бұрын
Na nakupa na mambo ambao wao kina Bahero wanaunga mkono na hayakuwepo karne Tatu bora 1.wakat wa karne Tatu bora tauheed ilkua moja tuu karne ya nane tawheed iligawanywa vipande vitatu na ndio Kuna wanavyuoni wengn hawaungi mkono kugawanywa kwa tauheed akiweko ibn taymiah 2. Khutba za ijumaa karne 3 bora zilkua za Kiarabu na kulikuwa na kabila tofauti ka kina Imam Muslim niwafursi kina bilad mahabasha lkn hakuna alokuja na rai Kila mmoja atoe kwa lugha yake Ila karne ya saba ndio ilikuja rai iyo na wengn wanavyuoni wakaunga wengn wakakataa 3. Kueka kunut katika Ramadhan kwenye swala ya taraweh ilo pia ilikuja karne hizi zetu na ndio Albani anapinga wazwaz kua ni bidaa na mengn mengi Ila mbona hayaonekana bidaaaaaa??????? Apo ndio twatatizika Sasa na ikiwa ni uwadilifu basi watu watoe yote Bila ubaguzi wwte ht iwe ni mwanachuoni Gani kaunga lkn liwe halikuwepo litolewa swali ni jee itawezekana hiloo au tutaendelea na mizizoo yetuuuu????
@sharaful-anaam138
@sharaful-anaam138 Жыл бұрын
Mawahabi munafurahisha sana kwani mukinyamaza mutapungukiwa nn mushasema tushakusikieni nyamazeni tena maana kila mukisema naona maulidi yanasomwa kwa kasi na wafuasi wanaongezeka mambo ya kuongea yapo mengi pumzikeni na hilo tunajua munaumia lkn poleni
@shuaibsaid515
@shuaibsaid515 Жыл бұрын
Siajabu hata wawe wengi ukweli use usemwe kama wakati wa nabii Nuh miaka 950 awalingania watu kwenye ibada ya Allah na waliomkubali hawakufika 100 kwa miaka yote hiyo. Dozi itaendelea😂😂😂
@ابومعاذاحمدناصر
@ابومعاذاحمدناصر Жыл бұрын
Kwahio ovu likifanya ndo tuache kuamrishana ???
@Mohamsa78
@Mohamsa78 Жыл бұрын
Uzushi ni maulidi pekee?? Hili ndilo lawakera nuru ya Allah haitozimika wanaohuisha mazazi ya ndio ahlul sunnah kweli Allah awaongoze
@KheriMuhidin-vb3cv
@KheriMuhidin-vb3cv Жыл бұрын
mbona nyie munashindanisha quran kipindi cha mtume kupitia maswahaba walifanya mashindano ya qurani?
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
KUNA JAAHIL MMOJA KA COMMENT ETI MTUME صلى الله عليه وسلم ALISHEREKEA MAULIDI!! NAMBA BIEBER KEFLI,!ACHANA UJINGA WATU KUMZULIA MTUME NA MASWAHABA WAKE!! AU UKIANGALIE SEHEMU YA KUKAA KTK MOTO WA JAHANNAM!!!
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Maswaha hawakumsifu mtume s a tena na mashairi wakimtungia mtume nyinyi mawahabi mahasidi wa mtume s a w sisi tutasoma maulid tutamswalia mtume pasukeni
@mksekulu-jo1sh
@mksekulu-jo1sh Жыл бұрын
Kwani nini maana ya maulid,?
@othmanjumaaly
@othmanjumaaly Жыл бұрын
Nynyi kazi yenu ndo iyoo kutoa hukumu maana mnajiona nynyi kma munaenda peponi kazi ya kuhukumu muachieni M/Mungu masivuke mipakaa
@yusufntamila541
@yusufntamila541 Жыл бұрын
IKIWA DIRA NI MTUME JE MTUME ALIKUJA NA TAWHID 3..? UKIJIBU HII WAHABI LAZIMA UJINYEE
@KasimuMaingila
@KasimuMaingila Жыл бұрын
Vp kuhusu misk ya roho
@Mswahili-12
@Mswahili-12 Жыл бұрын
INSHU SIYO KUMSIFU MTUME, INSHU MUNAMSIFU KWA NJIA ZIPI? MAYAHUDI WAMEINGIZA HUO MCHEZO WA MAULID NA NINYI MUMEUCHUKUA MUNAISHI NAO, KWA KIFUPI TU MAULID NI BIDA'A NA KILA BIDA'A KATIKA DINI NI MOTONI. TUSHIKAMANE NA QUR'AN NA SUNNAH TU NA HUO NDIO UISLAM.
@othmanjumaaly
@othmanjumaaly Жыл бұрын
Sawa je ww unaenda peponi
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Жыл бұрын
Kambla ya kupinga maulid ebu mtueleze nini maana ya maulid??
@abdulkhalfan8586
@abdulkhalfan8586 Жыл бұрын
MAWAHABI HAMUNA KAZI YA KUFANYA NENDENI MUKATOME
@hamzamwaya463
@hamzamwaya463 Жыл бұрын
Pengine umetamka neno MAWAHABI kama ni kudogosha au kumbeza. Hebu nenda ukamsome vizur huyo Abdul Wahab
@mohamedabdullah8858
@mohamedabdullah8858 Жыл бұрын
Mbna kwa tataweeh hamumfuati saayidna Omar wacheni uzushii wenu mtapinga mpaka mufee na maulid itasomwa poleni
@omarmohammad1528
@omarmohammad1528 Жыл бұрын
Soma
@HamimNassoro
@HamimNassoro Жыл бұрын
Shekh simwelewi anaposema kuwa halikupatikana kwa walio tangulia huoni kuwa ni uongo wa wazi kwani wew bahero na IBN taymiya Nani alietangulia wakati yey anasema lafaa?
@abdulkareemsimba
@abdulkareemsimba Жыл бұрын
Ibni taimiya yupi kaka mashekhe wenyu wana liimba hilo kuwa potosha nyie bali ibn taimiya asema kama lau yeye ata soma maulidi basi yeye ata kua kafiri
@thuweinmassoud9062
@thuweinmassoud9062 2 ай бұрын
​@@abdulkareemsimba leng ni kubwa ni kumsalia mtume ikiwa wew utakaa na kuleta sifa za mtume kwa kumsalia bc ni bora kila mtu afuate mafhumu alio ridhika nayo . sabab hili jambo liko na ikhtilafu
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Жыл бұрын
Twarika ni njia Suuf n mme a wa suuf Sasa hawa watu huwa wanawaabudy mababu zao wa zaman Hata kama mzee amekosea ameenda kınyume na Mtume SAW wao wajo tyar kumfuata babu yao kuacha sunna Huku usuufin( Uturukş) ktk swala mambo bidaaaa kibaoooo utasikia nakshbanf alifanta hiv cjuı derwish fulan n.k Elimu za hadith hawana au wanazkımbua maana hawazıwez wanataka raha raha tu
@RayRey-b4x
@RayRey-b4x Жыл бұрын
UHAKIKA wa mambo bahero nikuwa mtume hakutaki sio wewe humtaki mtume na dalili nikuwa wewe na family yako hamuelewani na mtume hapendi wenye kukata arhaami ndio maana mtume hakutaki pima nikuambiao wewe huna radhi za wazee wako بل الانسان عل نفسه بصيرة tia akili umry wako waisha ata ujuha muepuse sheitwani
@rushu1232
@rushu1232 Жыл бұрын
Kielimu kila kitu ni mubah halali isipokua kilicho haramishwa au lilokatazwa sasa ndani ya maulid kuna lipi lililo katazwa ama masaala kua Mtumi hakufanya haijakua haram sababu kuna mengi tunayo yafanya sote na Mtumi hakufanya.
@ABUUALLY-j7k
@ABUUALLY-j7k Жыл бұрын
Wewe sheikh acha kusema uwongoo kwahiyo unataka kunambia kila alichokifanya mtume wewe unakifanya? Au kuna mambo mangapi unayafanya ambapoo mtume hakuyafanya wala maswahaba ! Ongeaa ukweli acha kuchezeaa akili za watu ! Mambo mengi yamezushwa kwenye dini ila kama shekh alozusha mnamkubali munazuwa ni ijtihada yake ila akifanya mwengine munazuwa ni bidaaa 😂😂 acheni ubinafsii
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 Жыл бұрын
Majahil wako mabaa mariba
@ayauii
@ayauii Жыл бұрын
Tusomeni tuijue haqi kama kina bahero .tusiwe majahil na ufidhuli mwingi wakati vichwa vitupuu .mtihani wadunuani ukiwa jahil .mtu anapisema kweli unamuona mjinga. kumbe ww ndio mjinga kichwa hakina kitu
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Na imetosha kuwa mjinga kwa kila linalosemwa ukaamini bila dalili. Jee kufurahi kuzaliwa kwa Mtume saw ni kharamu?
@Mohamsa78
@Mohamsa78 Жыл бұрын
Wewe bahero chenda chenda za nini kwani wachukizwa mtume akisherehekewa na kukumbushana mazazi yake? Kuna mangapi maovu hamuyapingi haya ya kheri ndio mwayapinga? Kwani unayoyafanya wewe leo ndio alioyafanya mtume na maswahaba zake?
@ZyidSeleman
@ZyidSeleman Жыл бұрын
Waloleta maulid nikama toi kwa mtoto pia nikama masunni na mashule yadili dini si mchezo nyie
@jumamohamed628
@jumamohamed628 Жыл бұрын
Sheikh Bahero upingaji wako wa Maulidi na tetesi zako na Mashekhe wenzako wa Lamu hazihusiani na dini,muna chuki zenu binafsi mumezificha na kupatilizana kwa madai ya Bidaa ma Sunnah,ugomvi wenu sio Maulidi,huyu kuna Mashekhe wa Maulidi huwakubali na kuwafanya marafiki sanaa na kuna Mashekhe wa Maulidi wao na yeye ni pamba na moto
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Intakillah
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Sasa ww bahero una ilimu gani yani wanazuoni hawajui wanacho kifanya nyinyi mawahabi wapotofu ndio mwajua bidaa tu
@MrNoNonsenseYes
@MrNoNonsenseYes Жыл бұрын
Wanazuoni gani haswa zaidi ya masufi na mashia, waabudu makaburi na kubashiriana pepo wenyewe kwa wenyewe, utawaskia mtu fulani ni walii, hu9 uwalii alipewa na nani ukiuliza, jawabu ni ooh vilikuwa vikawa nwisho wa kwisha uwa hakuna la msingi,
@ابومعاذاحمدناصر
@ابومعاذاحمدناصر Жыл бұрын
Kaabudie makaburi uko
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
@@ابومعاذاحمدناصر sisi twamuabudu Allah ww wasema twabudu makaburi basi siku yakiyama mbele ya Allah utoe ushahidi insha Allah
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
MBONA NYIE MAWAHABI MNATUULIZA SISI TUNAOSOMA MAULID HALAFU MNAJIJIBU NYIE?, KWANINI MSITUITE KAMA HAMTAKI FITNA?!. ATHARI ZIPO NYINGI ZA KUSHEHEREEKEA MAZAZI YA MTUME SAW KWA MTUME MWENYEWE KAFANYA NA MASWAHABA WAMEFANYA, MTUITE BASI!
@giltaemi4017
@giltaemi4017 Жыл бұрын
Muongo wewe. Na uongo wako wa kumsingizia mtume mwisho wake motoni usipotubia. Hiyo kwa mujibu wa maneno ya mtume. Muongo sana wewe wamsingizia mtume watu kama nyinyi ndo mnaoharibu Heshima ya mtume na heshima ya maswahaba. Ambayo wapemewa na Allah. Maulidi ianzishwe na Mashia leo iwe kafanya mtume. Au husomi unaropoka ropoka tuuu. Kua na haya basi kumsingizia mtume na maswahaba.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@giltaemi4017 toa dalili, acha mihemuka na kukurupuka. Kama hujui basi wewe ndio hujui. Miongoni mwa mashia ni baadhi ya maswahaba na walichomwa moto na Sayyid na Ally kw. Kwaio kwanza hujui ulisemalo. Mtu muongo ni nani baina ya mimi na wewe? JAWABU. NAORODHESHA UONGO WAKO NDANI YA COMMENT YAKO MOJA KAMA IFUATAVYO. :- 1) UMESEMA KUWA MASHIA NDIO WAMEANZISHA MAULID. LAKINI. SHEKH JAAFAR BARZANJI ALIKUWA NI AHLU SUNNA WA MADH HABI YA IMAM SHAFY NA ALIKUWA IMAMU MKUU WA MSIKITI MKUU KWA MUDA WA MIAKA 20 NA NI MUFTI WA MADHEHEBU YA SHAFY. JEE NI SHIA GANI ALIOANZISHA MAULID NA LINI KAANZISHA?!. 2) UNASEMA MTUME SAW HAKUWAHI KUFURAHIA(SHEREHEKEA) SIKU YAKE YA KUZALIWA, LAKINI MTUME SAW ALIPOULIZWA KWANINI UNAFUNGA IJUMAA TATU, MTUME SAW AKAJIBU "# YAUMU ULIDTU, YAANI BIRTHDAY YANGU" (SIKU YA KUZALIWA). KWAIO MTUME MWENYEWE ALIITUKUZA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA HAKUISHIA KUFUNGA TUU, ALISOMA QUR-AN, SADAKA NA MAMBO YOTE YA KHERI NA MTUME SAW HAKUWA MWENYE KUGHAFILIKA. NA WAFUASI WAKE HATUTA GHAFILIKA KATIKA KUMKUMBUKA NA KUMTAJA NA KUMSIFU SIKU AMBAYO MWENYEWE ALIITUKUZA. KWAIO WEWE KUSEMA MTUME SAW TUNAMSINGIZIA NAFKIRI NI UONGO WA PILI UNAONGEA. 3) UMESEMA KUWA MTUME SAW AMESEMA, KUMSINGIZIA MTUME SAW NI KWENDA MOTONI. HAYO MANENO NI YA UONGO NA MTUME SAW HAKUSEMA HIVYO BALI ALISEMA "# MWENYE KUMSINGIZIA MTUME SAW MUTAAMIDA (KWA MAKUSUDI) AMEJIANDALIA MAKAZI YAKE MOTONI" # KWAIO NENO # MAKSUDI "# UMELIPUNGUZA KATIKA HADITHI YA MTUME SAW NA UKALIONDOA KWA SHAHAWA ZAKO ZA KIDUNIA. BILA SHAKA, HADITHI UNAIJUA NA UMELIONDOA KWA MAKUSUDI NA BILA SHAKA UMEMSINGIZIA MTUME SAW UONGO KWA MAKUSUDI NA JIANDALIE MAK ADAKA FINNAR. ☝️KWA COMMENT YAKO MOJA TU UMENIZULIA MIMI UONGO, NA UMEMZULIA MTUME SAW UONGO. AHUKUMU MWENYE AKILI. JEE HUO UONGO ULIO NITUPIA MIMI, UMEKURUDI KIASI GANI. NA SHERIA YA DINI IMETOSHA WEWE KUHUKUMIWA MUONGO KWA KUMUITA MUONGO MTU BILA DALILI. ✋. PAMBANA NA HALI YAKO KWANZA MAANA MOTO WAKO UMEUCHOCHEA HUKO AKHERA.
@sadiqselengu4197
@sadiqselengu4197 Жыл бұрын
​@@giltaemi4017kumbe wewe ndio mikononi mwako unagawa pepo na moto.. Hongera sana braza
@giltaemi4017
@giltaemi4017 Жыл бұрын
@@sadiqselengu4197 Unatafuta pa kujitetea tuuu. Lakini ungekua mkweli na unakusudia kuelimisha jamiii ungeniuliza kama nina dalili ya kua ukimzushia mtume unaenda motoni....??? Lakini kwakua usha elewa kua Mashia wameanzisha hayo maulidi. Na watu wa maulidi wanainasbisha hiyo maulidi na mtume. Wanamzushia mtume. Sasa usitafute pa tokea hapa huna nafasi. Nimesema kwa mujibu wa maneno ya mtume ukifa na uzushi jiandalie makazi motoni. Ungekua mkweli ungehoji kua nipe dalili. Lakini kwakua wajua dalili ipo sasa watafuta pa kutokea na kunizushia uongo. Sioni ajabu maana ni kawaida ya Mashia, masufi, Matwariqa kumzushia mtume kwenu ni ibada sasa sishangai hata ukiongea UONGO kwenye comment. Na hali kua kitu kiko wazi
@moahmed7588
@moahmed7588 Жыл бұрын
Wanaosoma maulid hawajasema kama maulid ni katika misingi ya dini. Wasiosoma maulid ndio wanawasemea wanaosoma hivyo
@giltaemi4017
@giltaemi4017 Жыл бұрын
Fatilia masheikh wenu ndo utajua usiropoke ropoke tuuu kama umelipwa kusema uongo na kuchafua dini safi ya Allah.
@omarymuungwana1347
@omarymuungwana1347 Жыл бұрын
pandezakwetu watu walikua wakisoma maulid kumsalia mtume katika sherehe mawahabi vuluguzao yakaachwa leo watu shereh wanaweza miziki na kuziganya kinyume na maa mrisho hilo haliwakeli wamenyamaza kimya sasa din inapelekwa wapi kifup mimi naona kunawatu niwaislam lakini wanaupigavita uislamu unapofifia wapo kimya wanafurahia
@giltaemi4017
@giltaemi4017 Жыл бұрын
@@omarymuungwana1347 Ndugu yangu mtu anapopiga mziki moja kwa moja anajua kua anafanya kitendo kibaya anafanya haramu. Lakini huenda ipo siku ataona kua anachokifanya ni haramu akatubia. Lakini mtu wa bidaa anafanya bidaa na kuiegemesha katika dini kwahiyo watu wanakua wanajua ni dini kumbe ni madhambi. Hatari yake nikua mtu wa bidaa hatubiii kwakua anajua ndio uislamu. Lakini mfanya haramu anajua ni haramu anaeza tubia. Ndo maana Bidaa ni mbaya kuliko hata haramu. Maneno ya wanazuoni hayo sio yangu.
@nassleydady5783
@nassleydady5783 Жыл бұрын
@@omarymuungwana1347 ulicho kisema nisawa ila hata mtume( saw) alipigana na ushirikina yani alipambania dini ila wezi na vibaka walikuwepo utaona alikemea t ila hakutumia nguvu kama kumshirikisga Allah nikiwa na mana kuchezea dini ndio mbaya ndio mana mashekh wanapinga maulid ila kuna watu wasani wa mizik ila hawatumii nguv
@MAPETEE
@MAPETEE Жыл бұрын
Sija ona watu wajinga kuliko mawahabi
@giltaemi4017
@giltaemi4017 Жыл бұрын
Bora kua mjinga kuliko kua mpumbavu mjinga anaelimika je we mpumbavu. Hata uambiwe ukweli kwakua mpumbavu huwezi kubali. Allah awaongoze na awaondoe katika ujinga na upumbavu.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@giltaemi4017 mjinga kwa lugha nyengine kakusanya upumbavu. Ujinga wa bahero vs mufti wa makka (barzanji). Wapi utapokea elimu Kati ya mjinga na mufti wa dunia?
@giltaemi4017
@giltaemi4017 Жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 Mjinga hawezi kua mpumbavu ushihidi soma suratul hud aya kuanzia ya 45 hadi 47. Ndo utajua nini maana ya Ujinga. Sio kukurupuka tuuu bila elimu. Naomba ushahidi wako pia kwamba ujinga umekusanya upumbavu. Kama hauna jifunze kuongea vitu vyenye una ushahidi navyo. Usiee kama watu wa maulidi kuzusha na kuongea uongo ni kawaida kabisa kwao.
@characharayusufu2939
@characharayusufu2939 Жыл бұрын
kwani kinawauma nini kama hamsomi sinyie nyamazeni dini sio yenu kwani mnachuki gani viumbe nyinyi au mpo kazini semeni watu wajue kama ni vibaraka vya hao wasio lala kwajili ya kufarakanisha waislamu na tunayajua yote hayo kwa taarifa yenu
Majibu Sahihi Dhidi ya Sheikh Ali Bahero | Part 2
11:58
ALI FAZA
Рет қаралды 20 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 9 МЛН
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2,1 МЛН
Thank you Santa
00:13
Nadir Show
Рет қаралды 36 МЛН
SWALA YA ISHAI BY SHK.ALI ABUBAKAR MASJID YUSUF CHAANI MIGADINI
12:35
ANSWAR STUDIO
Рет қаралды 3,5 М.
MASHEIKH HAWA WAWILI WANAMNASIHI MUHAMMAD BAHERO NASA MZURI MNO
11:27
Sheikh Muhammad Bahero
Рет қаралды 13 М.
JE KUSOMA  MAULID NI BIDAH AU NIREHMA -SHEIKH OTHMAN MAALIM-SEHEMU 01
15:01
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 9 МЛН