No video

NUKTA 19 ALIZOTOA SH MUHAMMAD BACHU NA JINSI ZILIVYO JIBIWA NA SH SABAS ALKUBRAA

  Рет қаралды 99,753

AL MUBAJJAL TV

AL MUBAJJAL TV

Күн бұрын

#Tafadhali_gusa_SUBSCRIBE_ilikupata_mazuri_yajayo

Пікірлер: 655
@mishiali1574
@mishiali1574 Жыл бұрын
Mohammad bachu shukran kwa elmu yako Allah akuzidishie
@muhibbualii4580
@muhibbualii4580 Жыл бұрын
Masikitiko watu Wanamsifu mtu anayejiita mwenda wazimu na mropokaji
@salimmohamed6223
@salimmohamed6223 11 ай бұрын
Assalam Aleikum shk wetu Mohamed Bachu..ulipokuja Mombasa wakakufanyia vitimbi na ujanja Masheikh wa twarika naomba utafute siku live ..uwaelimishe umma urongo ulioko kwenye barzanji
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 Жыл бұрын
Tumeelewa haq sheikh bashu Allah akuhifadhi, sitaki tena maulidi
@tamashamagoma2941
@tamashamagoma2941 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi Muhammad Bachu
@AishaSaidi-vv5do
@AishaSaidi-vv5do 11 ай бұрын
Nakuelewa sana shekhe bachu mungu akupe Kila hitajila moyo wako
@qhatramohamed7006
@qhatramohamed7006 Жыл бұрын
Mashaa-Allah Allah akuhifadhi sheikh Muhammad nasoor bachu
@user-nh2wt4yd7w
@user-nh2wt4yd7w 11 ай бұрын
Mashallah Allah akuhifadhi sheikh Muhammad bachu
@AhmedAli-ur3uc
@AhmedAli-ur3uc Жыл бұрын
Nilijuwaaaaa mwanzo hawaaa ropooooooo hawamuweziiiiiii shekhe bachuuuu uko vizuriii Mashallaah
@user-ch4vp9oj7e
@user-ch4vp9oj7e Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@ravneetakbarkhan9534
@ravneetakbarkhan9534 Жыл бұрын
Baraka llah sheikh Mohammed bachu, umenyoosha vizuri sana.mash'allah
@Mina-rb8kx
@Mina-rb8kx 11 ай бұрын
Allah akuhifdh sheikh Muhammad bachu Amiin
@muhammadsheyba282
@muhammadsheyba282 11 ай бұрын
Ashaogeshwa na kijana wa ligi ya daraja la 3 AIBU kubwa Na wafuasi ni watu majuha ambao hawakumaliza hata Juzuu Amma
@user-bk8ps2vy3z
@user-bk8ps2vy3z Жыл бұрын
Masha Allah mungu akuzidishie ilimu
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 16 күн бұрын
Sheikh Sabas Al Kubra ameotoa elimu kubwa sanaaa, hakika Allah akuhifadhi sheikh
@fadhiliharuna3934
@fadhiliharuna3934 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi shekh Bacho
@sameersaid5058
@sameersaid5058 Жыл бұрын
Duh Muhammed Nasor Allah akuhifadhi na Allah asinifishe mpaka nihydhurie mawaidha yako. Life. ALLAH akupe kila unachohitaji ili uzidi kutufundisha. Ameen 🤲
@husseinbachwa8372
@husseinbachwa8372 Жыл бұрын
Akika namimi nimepata kubaini kuwa Maulid ni uzushi urojaa Shiriki kwakweli Allah atuzidishie Elim ya kujua haki kuwa ni haki na atujarie kuzifuata..
@user-zu4nn5lc7f
@user-zu4nn5lc7f Жыл бұрын
بارك الله فيك يا شيخ ابن الشيخ
@iddimohamed254
@iddimohamed254 Жыл бұрын
Mashallah,hawa hawamuezi sheik bachu hata wakiungana....tunataka mwalimu wa sabas (diwani)atoe majibu.
@mruppercut7985
@mruppercut7985 11 ай бұрын
Mohamed Bachu, ALLAH akuhifadhi wanangu wakudiriki wasome kupitia kinywa chako.. baaraka llahu fiika
@sempaysensey6486
@sempaysensey6486 Жыл бұрын
Kuanzia Leo Allah niongoze Mimi na waislam wenzangu nimeelewa maulidi hayana mashiko
@user-ce1sp6tu2m
@user-ce1sp6tu2m 2 ай бұрын
Alhamdulilah shekhe nakuelewa.sana
@user-zs4vo7hs1h
@user-zs4vo7hs1h Жыл бұрын
Allah akuhifadhi
@user-xw9om3mv7y
@user-xw9om3mv7y Жыл бұрын
Muhammad bachu muonee huruma please hakuwezi uyoo kibonge majoho
@cholosadi4352
@cholosadi4352 Жыл бұрын
Majoho🤭🤣
@jaylan-bz4dg
@jaylan-bz4dg Жыл бұрын
Unafika mbali usiseme hivyo kijana Tyr umefanya Kosa jitahidi kuomba radhi endapo mwenyewe hajapitia tu comment yako tyri una kinyama mdomoni
@ramiyam-lr8bv1um2g
@ramiyam-lr8bv1um2g 4 ай бұрын
Masha Allah il kua na hikma zaid
@bakarijuma8697
@bakarijuma8697 Жыл бұрын
MAASHAALLAH shee Muhammad Allah akuhifadhi
@user-lg3iy3ee9r
@user-lg3iy3ee9r 11 ай бұрын
Mohamad nacho Allah akuhifadhi
@allyfundi6405
@allyfundi6405 Жыл бұрын
Sabbas Allah akulinde huwez ielewa baranji Kam Elmu ya fanni huna bachu kibri ndo linasumbua Hana kitu kichwani mchanga mtupu
@hajikatanje5961
@hajikatanje5961 10 ай бұрын
Wewe pia huelewi bacho ameuliza na maswali alio uliza dalili zake walizotoa wapi huyo shekhe wako anatoa uchambuzi wakiligha kwa hiyo wewe umelewa nini au umemuelewa katoa dalili gani kwenye hadithi au qurani
@user-sg2yj1of4t
@user-sg2yj1of4t Жыл бұрын
Allah atuifadhi sote
@mubaarakmakiin8748
@mubaarakmakiin8748 Жыл бұрын
Mashallah kwanza niseme mimi nimeangalia video hii sio kwa ushabiki bali kupata elim zaidi Sabasi yuko vizuri katika fani ya lugha Alhamdulillah ila kwa hoja hawezi kuzipangua bila ya yeye kutoa maneno ya kujilinda zaidi na bachu nimjuzi Alhamdulillah ila ana kaujana zaidi Kubwa elim imefika naimani wapo wale walio kama mimi
@swalehemusakiluwa9405
@swalehemusakiluwa9405 Жыл бұрын
Lakini hajajibu hoja hata moja hata huo ubeti aliochambua kwa maana hiyo alioitoa bado atahitajika kutoa ushahidi ili hayo maneno yasiwe ya uongo. Nakusudia maneno yako kwamba tafsiri ya beti ni Ilimhudhuria mama yake usiku wa kuzaliwa kwake sharafu ya Asia na mariamu,, Alete dalili inayothibitisha haya
@abdukhan4718
@abdukhan4718 Жыл бұрын
*kaka mimi nimesikiliza na nikaona kuna vitu 2 vikubwa* 1)Wanaotafsiri kwa kutumia Msimamo wao wa Akida basi barzanji ina uongo 2)Wanaotafsiri kwa kutumia utalaamu wao Lugha.. Basi barzanji haina uongo..... NB.. Mashairi hayawezi kutafsiriwa kwa lugha tu yakawaida.. KWAMFANO... v Hollow heads torture me with ignorance, v Blind eyes harass me with darkness, v Deaf ears tire me with silence, v Dumb voices deafen me.... HILI SHAIRI UKILIFSIRI UNAVOTAKA WW HUTOPATA MAANA HATA SIKU MOJA... LAZIMA WATALAMUNWA LUGHA WAKUFAFANULIE
@swalehemusakiluwa9405
@swalehemusakiluwa9405 Жыл бұрын
@@abdukhan4718 hata ukitafsiri kwa mujibu wa kanuni za lugha kutahitajika kuleta ushahidi kuthibitisha kilichotokea wakati huo Kwa mfano huyo sheikh sabas hiyo beti alioitaja kakosoa kwamba kilichohudhuria ni sharafu na wala sio Asia na mariamu bado atahitajika kuleta ushahidi kuyathibitisha hayo akikosa ushahidi ndio ataambiwa huo ni uongo
@mubaarakmakiin8748
@mubaarakmakiin8748 Жыл бұрын
@@swalehemusakiluwa9405 kwakweli inatupasa kuomba Allah atupe miyo wa kukubali ukweli pale tuusikiapo maana ningum kubadili msimamo wako ispokuwa mpaka taufiq ya allah
@shamisahmed4806
@shamisahmed4806 Жыл бұрын
​@@abdukhan4718..Maulid ni maandiko ya kilugha zaidi kuliko akida...!! Lugha ya kiarabu ni bahar kubwa inataka uwe mtaalam wa kweli ndio utaweza kupiga Mbizi!!
@kaykastro9302
@kaykastro9302 Жыл бұрын
Ustadh Mohammed bacho" Mashallah Mungu akuhifadhi na Akuzidishie elmu. Ameen. Sasa huyu ustadh makoja amesoma barzanji maisha yake yote sasa asema "Mush maakul" kuwa ni imposible kukishambua kitabu anakisoma na kukifata maisha yake yote 😂😂😂😂😂😂😂. Alhamdulillah kwa Ustadh Mohammed kufikisha ukweli sehemu nyingi duniani leo. Allah Atakulipa kwa mingi Mema. Ameen
@nassorokusyoka
@nassorokusyoka Жыл бұрын
Sub hanallah. HIYO ni bid'a
@SeaPower-pu1mq
@SeaPower-pu1mq Жыл бұрын
Shekh Muhammad Allah akulinde Kiukwel unatutoa matongo
@fahadtimimy9413
@fahadtimimy9413 Жыл бұрын
Sheikh bachu Allah akulinde
@user-we5se2bb6l
@user-we5se2bb6l 11 ай бұрын
Maashallah allah akudumishe hapo hapo kwenyeukweli
@user-bm4pi8dd3o
@user-bm4pi8dd3o Жыл бұрын
MAA shaa allaah siku zote haqi itabaki kuwa juu tu vyovyote vili itakavyo kua allaah akuhifadhi Muhammad bachu
@AA-yr7sr
@AA-yr7sr Жыл бұрын
Shukran Sheikh Muhammad Bach nimepata elimu kutoka kwako daah sasa nimekuelewa barazanji ni kitabu mtihan sana duuuu
@dalilahathman5406
@dalilahathman5406 10 ай бұрын
Tungeomba sheikh bachu atuelimishe sisi. Ili tufahamu tuepukane na bidah Wale ambao wanahaja ya kujuwa watajuwa hawataki huwezi kuwaongoza wewe May Allah bless you
@saidjumaabdalla1789
@saidjumaabdalla1789 Жыл бұрын
Mashaallah mungu akuhifadhi sheh muhammad nassor bachu
@arifashur5313
@arifashur5313 Жыл бұрын
Masha Allah ❤❤❤❤
@arifashur5313
@arifashur5313 Жыл бұрын
Niikweli
@hamisimwagarashi9501
@hamisimwagarashi9501 Жыл бұрын
ALLAH ATUPE MWISHO MWEMA
@nasraabdallah
@nasraabdallah Жыл бұрын
Mwamba uyuapaa bachu mtoto🦁🦁🦁
@amransaid6018
@amransaid6018 Жыл бұрын
😂
@maulidmnukwa3171
@maulidmnukwa3171 Жыл бұрын
Binafsi sio mfuasi wa mambo ya maulid, lkn kuna vitu nahisi havikuwa sawa katika huu munaqasha 1. Muda nahisi ulikuwa finyu japo watu walitamani Uwe mwingi 2. Baranji ni kitabu chá fani Za ushairi hivyo wahusika wote ingependeza kuwa na maarifa katika fani Za aarudhwi 3. Wahusika wamekuwa na muono usiofanana kwenye kijadili jambo hili mmoja anatumia kanuni za kiaqida na mwengine anatumia kanuni za lugha zaidi kufafanua makusudio ya muandishi wa barazanji.. Ushauri wangu: Niqash ismamiwe na watu waliokusanya fani nyingi ikiwemo Za kilugha na kisheria na muda uongezwe kwa wakati mwengine
@swalehemusakiluwa9405
@swalehemusakiluwa9405 Жыл бұрын
Yani hata tukikubaliana na sabas bado atahitajika kuleta dalili juu ya huko kuhudhuriwa na sharafu hiyo
@maulidmnukwa3171
@maulidmnukwa3171 Жыл бұрын
@@swalehemusakiluwa9405 ndio hilo nnalolisema ndio maana mtu Kama Sheikh qaasim mafuta katika minaqasha Kama hii huwa anafaida nyingi saana kwasababu amekusanya fani nyingi kiasi ambacho anaweza kuyaswarif mambo hata kwa mujibu wa hizo fununu na watu wa lugha Waka kaa chini
@swalehemusakiluwa9405
@swalehemusakiluwa9405 Жыл бұрын
@@maulidmnukwa3171 hakika Qasim mafuta katika fani yupo vizuri mno
@SaidshariffShariff
@SaidshariffShariff Жыл бұрын
Ndio mana haeleweki walikuwa wakitungie pluuz wapige na piano watutumbuize
@user-ur4sf5dz1x
@user-ur4sf5dz1x Жыл бұрын
We nan umkosoe mwanawachuoni huo Kajitaidi kwa uwezo wake mpka anatunga kitabu cha mashairi ambacho ni hicho barazanj Tunga chako japo cha karatasi 10 ndo mkijadili bhanaa acheni izo na makafiri nao wafanye nn jamaniii😭😭😭
@user-ig2td7kk6c
@user-ig2td7kk6c Ай бұрын
شكرن جزيرا
@fardosfardosmohamedhallim6985
@fardosfardosmohamedhallim6985 Жыл бұрын
Mashallah Ibnu bachu
@MohamedMatata-iu9mm
@MohamedMatata-iu9mm Жыл бұрын
ALLAHMDULILAH BINIIMATI ELLM FI ISLAM .HII INAONYESHA HAKIKA YA UWISLAM NIDIN YA ELM NA BAYANA NA YAHOJA HAKUNA UJANJA UJANJA ALLAH AWAHIFADHI WOTE WALIO ANDAA MUNAQASHA NA WALIO SHIRIKI NA SSI ALLAH ATUONGEZEE ELIM.ALHAMDULILAH BINIIMATI ISLAAM .
@officialmutrahlg2484
@officialmutrahlg2484 Жыл бұрын
Sheikh Allah akulinde comment yako imejaa busara mashallah ❤ nimefurahi kuyasoma maneno yako mazur yalio jaa busara Allah akuongoze katika kheri
@abdulhaleemrashidmarjan8607
@abdulhaleemrashidmarjan8607 Жыл бұрын
Sawasawa ustadh sabbas alkubrah mungu akupe kila la kheri
@selemanealmasse6276
@selemanealmasse6276 Жыл бұрын
yale yale! wenzeto pia huwaga wanakimbilia kusema, ''uwelewa au imani ndgo'' wakishindwa kutetea hoja zao. utasikia, ''hawezi kuelewa mpaka uwe na roho ntakatifu'' kkkkkkk. ukweli ukifika uongo wajitenga. allah akuhifadhi sheikh Muhammad Bacho.
@abdulabdulathumani5992
@abdulabdulathumani5992 Жыл бұрын
Wote wanahoja zao
@yussufykhamis5845
@yussufykhamis5845 Жыл бұрын
Nassor Bachu ana porojo. Kiarabu hajui vizuri anatafsiri km mtu wa kawaida sio km mtu mwenye elimu. Baranzi kimesheheni elimu ya lugha
@anwarahmed3267
@anwarahmed3267 11 ай бұрын
Tarehe 24/9/23 Msa kenya.wale wote wanatilia maulid nabii shaka na kupotosha ummah kwa chuki zao zakibinafsi dhidi ya Bwana mtumi Muhammad(S.W) inshaAllah hio siku hakki itasimama kwa uwezo wa Allah aingushe hii ngome ya upotovu na imani zao za kugawanya waisilamu,inshaAllah kila mmoja atashuhudia ili iwe manufaa kwa waislamu wote.
@abdilahijuma3373
@abdilahijuma3373 Жыл бұрын
Tatizo nimekuja kugundua humu watu wengi mmejibu bila kuwa na elimu mko kishabiki sasa watu tupige goti tusome lugha sanaaah Insha’Allah
@matadxbreezy791
@matadxbreezy791 11 ай бұрын
Swadiq
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 Жыл бұрын
Sabas na nduguye hawataweza kujibu abadan maswali hayo zaidi yabkusema majazi na majahazi na hapo wapo kiubishi tu. Ni kama yule jamaa alikuwa mbishi sana na alipokuwa na mwenzie wakaona kitu kinatingisha mti. Mwenzake mwenye elimu akasema yule ni kunguru. Yule mbishi kama akina Sabas akasema huyo ni mbuzi mara mwenye elimu akamwambia twende mpaka karibu aakamuona ni kunguru lakin mbishi huyo akasema bado ni mbuzi. Mwemye elimu akasema tazama narusha jiwe halafu utaona anapaa aliposhika jiwe tu kunguru akapaa. Mbishi akasema "hata kama kapaa ni mbuzi tu" na hasa ndio Sabas na Yuusuf na hapa umedhihiri kabisa ubishi wao ambao hauna mashiko anawababaisha wasojua mudhwaafu, jarri na mengineyo kujifanya wanajua kiarabu ili kuzuga
@halimaosmanmahando7793
@halimaosmanmahando7793 Жыл бұрын
Ukweli nimeusikia sitaki moulidi tena 🙏
@AliyIbrahimMohammed
@AliyIbrahimMohammed Жыл бұрын
Amiin..
@user-ng4pr2zo8i
@user-ng4pr2zo8i Жыл бұрын
شكرا
@DawsonKiwia-qt6zf
@DawsonKiwia-qt6zf Жыл бұрын
Mtume saw amesema nimekuachieni vitu 2 qur'ani na khadithi mkishikamana navyo hamtapotea. Je wapi kasema pia watu wa sheria?
@abdulshah918
@abdulshah918 Жыл бұрын
Bachu mimi mbona nimekuelewa? Allhamdulliah mungu akulinde
@athmandaba1420
@athmandaba1420 Жыл бұрын
Maa sha ALLAH....ndio wengine wamepata taarifa kuhusu kupinga kwako barzanji,wanakutaka kwa munaa qasha!...ukweli upo waje wajitetee nasi tujuwe haqq!!!!
@abuhafs4774
@abuhafs4774 Жыл бұрын
Kitu nlicho kisoma hapa kwa masufi au watetezi wa maulidi ya baraza la nje nikua SABASI amekuja kujionesha ujuzi wake wa lugha kwenye fani ya nahau na balagha lkn ELIMU IMANI NA AKIDA na KUJIBU HOJA hana kitu ni mtupu wallaahi
@abdulmapunda156
@abdulmapunda156 Жыл бұрын
Sheikh Bachu umewanyosha vizuri ,hakuna hoja iliyojibiwa ni ujanja ujanja tu
@RamadhanMakame-ke4cf
@RamadhanMakame-ke4cf Жыл бұрын
Waislam barazanji haitafsiriwi kwa maoni ya ushabiki tu hata wakristo hujenga hoja kwenye kuraan jee nao tutawafuata ni vyema tukashikamana kuliko kuubomoa uislam wetu nyinyi mashekhe mtaenda kujibu mbele ya mungu kwa mifarakano mnayoileta kwa waislamu
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Жыл бұрын
Mfarakano gani huounaouzungumzia hujuwi haya mambo yametugharimu maisha kuwa magumu kwa sababu ya michango ya maulidi huko vijiji watu wanalazimishwa kutoa kwa ajili ya kusoma maulidi 😅😅😅
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 10 ай бұрын
Kwa kweli barzanji ni elimu bahari imetumika. Mpaka uwe msomi sana utaelewa
@babinhoelninho5416
@babinhoelninho5416 Жыл бұрын
Wacheni hoja kama makristo kusema Isa ni mwana wa mungu au mungu.sabas hakujibu hoja
@prochesernest5439
@prochesernest5439 Жыл бұрын
Wewe majini yamekupanda kichwa hunaingizaje wakristo hapo kwenye matakataka yenu?
@dil8566
@dil8566 Жыл бұрын
@@prochesernest5439 nyie kwani mnafata ushahidi zaidi kila mtu ananyiamulia kufanya basina kuzingatia maneno ya m.mungu na mtume
@user-ov7pj3sm7x
@user-ov7pj3sm7x Жыл бұрын
Allah atuifadhii jamn haki mwenye macho aiyone
@bishingwemaxime3655
@bishingwemaxime3655 Жыл бұрын
Huyu sheikh sabas alkubra yuko vizuri mashallah
@grexrabon9938
@grexrabon9938 Жыл бұрын
Sabasi anakimbilia kuporoja kwenye lugha wakati vitu viko wazii
@amuraneibrahim2776
@amuraneibrahim2776 Жыл бұрын
Sabasi nini jameni kua Muhammad bachu huyu sabas mtu wad a tu
@user-lz3cc1pe6x
@user-lz3cc1pe6x Жыл бұрын
toka leo sitaki maulidi tena kweli mtoto wa bachu
@complex7582
@complex7582 Жыл бұрын
Mungu akufanyie wepesi,Maulidi no uzushi
@muhamadyabubakary6750
@muhamadyabubakary6750 Жыл бұрын
Pamoja sana
@allyombele
@allyombele Жыл бұрын
Nakuhurumiya Ila ni kuto fahamu pole
@user-my7nn7ny3h
@user-my7nn7ny3h Жыл бұрын
Fanya usome ndugu yangu usiskize tuh fanya bahthi mwenyewe
@zakacheka8761
@zakacheka8761 Жыл бұрын
Asante sana
@user-sk3rl9wh6n
@user-sk3rl9wh6n Жыл бұрын
Mashaa allah shekhe sabas amezama Sana Allah amuifadh
@ibrahimsuleyman9465
@ibrahimsuleyman9465 Жыл бұрын
Hakuna alichozama, acheni kutetea ujinga!
@ibrahimsuleyman9465
@ibrahimsuleyman9465 Жыл бұрын
Unataka athibishe uwongo wa barzanji wakati unaonekana dhahiri
@muhamadyabubakary6750
@muhamadyabubakary6750 Жыл бұрын
Allah amuongoze shekh sabas amepotea
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 16 күн бұрын
Kila ninavyomsikiliza sheikh Sabas, napata elimu kubwa sanaaaaaa
@alwatanalgilgilan-y3078
@alwatanalgilgilan-y3078 Жыл бұрын
Sabbas nenda ukasome kwa dogo huyoo, atakuumbua. Humuweziiii abadan. Cc tuliokuwa hatujasoma tumeelewa vya kutoshaa. Jafar ameyapata wapi maneno hayo??? Au ndio majazy???
@swalehbakari2667
@swalehbakari2667 Жыл бұрын
😂😂😂
@HarunaHeri-rl6yn
@HarunaHeri-rl6yn Жыл бұрын
Nimekubali mhamad bach
@shamisahmed4806
@shamisahmed4806 Жыл бұрын
Umemuelewa Bachu kwa sbb yeye katafsiri tu kiarabu cha mashairi ya Barzanji lkn huyu Sabas yeye anafafanua kwa fani ya lugha ndio mana humuelewi!! Mfano wake ni kama kumpa Paper ya mtihani wa chuo kikuu mtoto wa darasa la pili...ndio mana humuelewi!
@maimunashariffathman2073
@maimunashariffathman2073 11 ай бұрын
Bachu usittumiwe kwa kua una ujasiri Nenda nasome zaidi , maana ujasiri plus ilmu ya kisawa sawa hua jambo jema sana Ndugu yetu katika uislam tunakusihi sana urudi ukasome zaidi
@alawiashrack8482
@alawiashrack8482 Жыл бұрын
Marhabaaa shekh sabbas uyo sw sw na ziro hn ilmu huyoo anajua hamluu maana yke ni kuzaa nakwambieni umoo hmn kituuu
@khalfanmaabick6795
@khalfanmaabick6795 Жыл бұрын
NIMEKUBALI SABASI NI BONGE LA SHEIKH NAMPENDA SN KUANZIA LEO HUYU SHEIKH ANAONGEA ANALOLIFAHAMU
@yazidurashidi8443
@yazidurashidi8443 Жыл бұрын
Sasa umemkubali kwa lipi ikiwa hata swali aliloulizwa hajajibu au nyie mkionq mtu anataja vinahwu pale ndo mnamwona anajua sana kaambiwa lete dalili ya kuja kwa asia na maryam yeye anasema ulokuja ni utukufu sio asia na maryam .sawa ulokuja ni utukufu wa asia na maryam .hiyo dalili ya kuja utufu wa asia na maryam iko wapi sasa kwasababu hata kama ulokuja ni utukufu bado swali liko palepale. Akili za kuambiwa changanya na zako
@fathiyamohame6919
@fathiyamohame6919 Жыл бұрын
Mash allah keykh bachu
@selemanisalumusalumumarko1274
@selemanisalumusalumumarko1274 Жыл бұрын
Jamani kuanzia leo nimekoma staki tena maulid maana du tumedhalilika leo hatujajibu hoja ya bacho ila bacho punguza kidogo ujana
@AliyIbrahimMohammed
@AliyIbrahimMohammed Жыл бұрын
Maa Shaa Allah,,,,, Allah atuongoze
@AishaHamisi-tl9ek
@AishaHamisi-tl9ek Жыл бұрын
Mzee wa majazi na majahazi
@SaidiNkhomee
@SaidiNkhomee Жыл бұрын
Assalam alaykum warahmatullah
@SaidiNkhomee
@SaidiNkhomee Жыл бұрын
Mzm ukhty Aisha
@JumaOmar-lj9yh
@JumaOmar-lj9yh Жыл бұрын
Mtihani mkubwa huu Yeye Jafary barazanji aliambiwa na nani hayo
@rashidmasunzu9998
@rashidmasunzu9998 Жыл бұрын
Mtihani mkubwa Sana so jafari nå anapokea wahyi????
@rashidmasunzu9998
@rashidmasunzu9998 Жыл бұрын
Jafari barazanji nae anapokea wahyi auuu???
@abubakarmwasumilwe7070
@abubakarmwasumilwe7070 Жыл бұрын
Bachu wallah mie npo Mkowa wa mbeya ila nakuelewaga vzr ustadhi wng
@zawiaissa8912
@zawiaissa8912 Жыл бұрын
sabas hapo huna unjanja unakataa nawakati kitabu kakisoma hapo acheni maulidi hamtaki mnapenda kula sana
@ebenezerchurchsupremetv9490
@ebenezerchurchsupremetv9490 Жыл бұрын
😂😂😂
@ahmadmadaai1357
@ahmadmadaai1357 Жыл бұрын
Mtt Wa bachu bado sn uje nikusomeshe barzanji ni mufti huwez kushinda na hoja zke hajakosea Huna elimu ya kumrekebisha Barzanji ht sku moja km muongo tunga ht karatas moja tu tukuon km Utaweza Allah atakuongoza huwez kuwa walii km humpend mtum saw
@rahimumustafa587
@rahimumustafa587 Жыл бұрын
Majoh yabure2 umeva aybu
@mabubakar1076
@mabubakar1076 Жыл бұрын
AMR ya ALLAH ISHAKUJA???.
@swalehahmad8947
@swalehahmad8947 Жыл бұрын
MASKINI MUHAMMAD BACHU SHARTI ULOIWEKA YA KUTAKA NA KULAZIMISHA HADITHI SWAHIHI KATIKA MAMBO YA SEERA NA MAGHAAZY NA MANAAQIB UMEJIFEDHEHESHA UJINGA WAKO UMEJITOKEZA DHAAHIR SHAAHIR
@allylongochy5204
@allylongochy5204 Жыл бұрын
Allah akbar
@user-bm7bq5xl2u
@user-bm7bq5xl2u Жыл бұрын
Swadakta ya sheiku muhamad nasoro bachu kikogo wa ahlusuna
@MwamediMahobela
@MwamediMahobela Жыл бұрын
Maulidi hatutaki tenaaaaaaaaaaaaaa hamna hoja
@muhamadyabubakary6750
@muhamadyabubakary6750 Жыл бұрын
Maulid na ukafiri wawazi siku ya maulidi ndo mabinti weng utiwa mimba maan maulid zenyewe usiku kwa nn hafanyi mchana?? Maulidi ni njia ya kumua hasi Allah
@MwamediMahobela
@MwamediMahobela Жыл бұрын
Kwakweli shekhe sabasi mm natoka kigoma umetuabisha ukujibu hata hoja moja unatoa maelezo ambayo hayana dalili sijui kwa nn nawakati ww ulisema utazitafuna hoja Kama njogu imekua kinyume sasa unajikanyaga
@ebenezerchurchsupremetv9490
@ebenezerchurchsupremetv9490 Жыл бұрын
😂😂😂
@user-lg3iy3ee9r
@user-lg3iy3ee9r 11 ай бұрын
Hiyo ndo kawaida ya masufi kujifanya wanajua sana lugha ili walete kubabaisha lakin haki iko wazi
@athumanmtavangu4411
@athumanmtavangu4411 Жыл бұрын
Majoho Hana zaidi ya kanuni za nahau
@ShafiAthmani-bu6hq
@ShafiAthmani-bu6hq Жыл бұрын
Nikweli watu nivipofu hata jua munaita nyota Saba's acha porojo kupoteza waja wa Allah bachu Yuko vizuri ktk kutetea haki
@SonySony-ns3ix
@SonySony-ns3ix Жыл бұрын
Duh apo ngoma ni mzito mmoja anauliza maswali kwa kile kilichopo mwengine anajibu undaniwake zaid lile swali yaan apo ilikua wapange itumike njia 1 tu ya kuuliza na kujibu kwasbb shk sabas anachambua zaid kwa kutumia majazi ila ss ambao hatujui hatumuelewi tunamuona kama hatoi majawabu kumbe ni mambo ya wakubwa yaan mashk wabobezi
@yazidurashidi8443
@yazidurashidi8443 Жыл бұрын
Hakuja jambo la wakubwa pale hvyo ulivyo ona ndo ilivyo hajajibu swali .kaambiwa lete hoja ya kuja kwa asia na maryam yeye akasema alokuja sio asia na maryam. Umekuja utukufu wao. Sawa umekuja utukufu wao hiyo dalili ya kuja utukufu wao iko wapi maana angesema unaokuja ni utukufu wao kwa dalili fulani tungesema naam lakini hakuna dalili zaidi ya kuzunguka tu na baadhi ya wajinga wakiona anazunguka sana na mudhwaafu ndo wanaona anatoa vitu .ndugu yangu akili ya kuambiwa changanya na yako
@muhamadyabubakary6750
@muhamadyabubakary6750 Жыл бұрын
Ukwel unapo kufikia bora yetu ni kuufata kuanzia leo sitaki maulidi tena !!
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Жыл бұрын
MashaAllah
@omarmwabege
@omarmwabege Жыл бұрын
Maa shaa Allah. Allah azidi kufungua kifua chako kwa Iman.
@abuubakarihussein2664
@abuubakarihussein2664 Жыл бұрын
Ndio qadari yake Allah amekujalia khali basi nimda wakufuata Uislamu
@mafiatv5479
@mafiatv5479 Жыл бұрын
shauri yako
@mafiatv5479
@mafiatv5479 Жыл бұрын
mbn kila mkiambiwa mwezi mfate muandamo na hao hao mashekh zenu hambadiliki? acha up uuzi
@shaurmachano47
@shaurmachano47 Жыл бұрын
WAISLAMU TUACHENI MAMBO HAYA TUTAZIDI KUVUNJA UMOJA WETU
@nasarsulaiman9549
@nasarsulaiman9549 Жыл бұрын
ukisikiliza kwa makini sabas umechanganyikiwa kielimu hapo hamna majaaz sikiliza barzanji vizuru
@muhidinmawe-vz7dh
@muhidinmawe-vz7dh 11 ай бұрын
Mmmh tumefikia pakubwa sana waslam
@itsmelatz
@itsmelatz Жыл бұрын
Al ilm nuur pepo ni ya Yule alotamka kalma ya laila ailallah muhammad rassulullah
@LailatSleyoum-ex6rb
@LailatSleyoum-ex6rb Жыл бұрын
Mnataka kukosowa lakini elimu na hekma ya ufundishaji hamna nimesikia neno uongo mara mia na jazba nyingi hiki ndio tunachowazidi sisi mnaotuita suhfi maana tumejaaliwa busara na hekma nyinyi endeleeni na jazba na matusi Mungu pekee ndio anajuwa alie sahihi ila jazba hazituingii sisi tuliosomeshwa na wenye busara
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 Жыл бұрын
Bachu mm nakukubali sana ila haya mambo yanahitaji elimu kubwa kwasababu maulidi ni shairi na shairi ilinakua linamafumbo mengi ili kulichambua elimu itumike# mm Bado cjaamini kama maulid ni Haram cjapata hija za kutosha #
@ginyarisaid1201
@ginyarisaid1201 Жыл бұрын
Midahalo ya kidini ya kiislamu, huu ni upuuzi - kuna mambo yakufanya yakulingania katika dini na sio vita hii
@migwa100
@migwa100 Жыл бұрын
Asc wandugu zangu wakislamu tufuate njia ilio nyoka ukweli umebainika bas tuache kujitete pasipo haqi. Umeulizwa suali jibu tu acha bwebwe zakwijitetea
@ramazanimoshi8233
@ramazanimoshi8233 Жыл бұрын
Mimi sio shabiki jamani ikiwa ameshindwa kuvunja hoja na mimi sirudi tena maulidini, haqqi imeonekana kua kwenye maulid kunauongo
@idrisamara6510
@idrisamara6510 Жыл бұрын
Allah akuzidishie Imani na upole na uongofu
@muhamadyabubakary6750
@muhamadyabubakary6750 Жыл бұрын
Allah akbar karb ndug kwny sunna
@salimaziz9858
@salimaziz9858 Жыл бұрын
Jamaaa hajajibu hata moja
@maisarirajab4846
@maisarirajab4846 Жыл бұрын
Ww hujajibu hoja ata moja unaporoja tu ungemjibu angalau hoja moja
@muftiahmadimahmudulemba1918
@muftiahmadimahmudulemba1918 Жыл бұрын
Shaykhu Sabasi mtume anasema kuizumzia elimu kwa watu wasinayo (wasio ijua) nikupoteza elimu bure tu fani hizo hawataki kusoma ila wasomi wanakuelewa
@BinBadru
@BinBadru Жыл бұрын
Maulid uzishi na si ibada ktk uislamu
MDAHALO, USHIRIKINA NDANI YA BARAZANJI UKWELI WABAINIKA TANGA
1:11:24
AL MUBAJJAL TV
Рет қаралды 46 М.
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 4,3 МЛН
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 48 МЛН
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 12 МЛН
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 41 МЛН
MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY | SEHEMU YA TANO |Muhammad Bachu
42:09
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 43 М.
Muhammad bachu sio salafi bali ni mropokaji tu by sheikh Abu Ume'yr Adam Khamiss Allah amuhifadhi
10:41
Abu Muhsin Minani Abdoullah As'salafiyyu
Рет қаралды 37 М.
MUHAMMEDI BACHU KITANZINI NA USTADH SAIDI MAMBURUI MUNAKASHA BARZANJ
1:31:53
MAMBO YALIYOZUSHWA KATIKA MAZISHI SHEKHE NASSORO BACHU
56:06
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 13 М.
MISIMAMO YA MASHEIKH  DHIDI YA USHIA KUNAKO MANENO YA SHEIKH MZIWANDA
28:05
MAJIBU KWA YUSSUF DIWANI || SEHEMU YA PILI || Muhammad Bachu || 2023.
51:25
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 48 М.
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 4,3 МЛН