No video

JE, MWANAMKE HARUSIWI KUFUNDISHA KANISANI?

  Рет қаралды 2,191

FUATA BIBLIA

FUATA BIBLIA

3 жыл бұрын

Facebook: / fuata2017
Facebook. / ikuu-1004985816251495
Sikiliza Fundisho yote hapa.................................................................................................
Google podcasts: podcasts.googl...
Apple Podcast:
podcasts.apple...
Soundcloud: / user-529110866

Пікірлер: 20
@fuatabibliaikuongoze5921
@fuatabibliaikuongoze5921 Ай бұрын
Sikilizeni fundisho hii kwa urefu hapa: soundcloud.com/user-529110866/mafundisho-kuhusu-1-timotheo-212?si=b34643a9f8c44d1e8b4b3d6d4ad44c41&
@simookndirangu5821
@simookndirangu5821 Жыл бұрын
Yahweh atupe roho mtakatifu tuelewe maandiko na tusiwapoteshe watu, maelezo yako katika Timotheo na Akorintho hayana msingi... Sababu ya Paul kuwakataza wanawake ilikua nyingine tafauti na maelezo yako na Hawafai kabisaa kuhubiiri
@Annsikoboy-ut8bs
@Annsikoboy-ut8bs Жыл бұрын
Huyu ni mwongo
@adarashidi8178
@adarashidi8178 Жыл бұрын
Amen nimeelewa Sasa kuhusu mwanamuke kuhuburia MUNGU akubariki sana mchungaji
@gracewilfred7276
@gracewilfred7276 2 жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@irankundaaudrykhalfan2388
@irankundaaudrykhalfan2388 Жыл бұрын
Inaonekana unaongea usichokijua.eti Paulo ndio alikataza wanawake kusema kanisani🤣🤣🤣
@Annsikoboy-ut8bs
@Annsikoboy-ut8bs Жыл бұрын
Huyu ni mkorofi
@josephmwawaso1538
@josephmwawaso1538 Жыл бұрын
Sasa mwanamke kisimani utasemaje yeye pia alihubiri?baada yakupatana na yesu ama Mariam
@josephmwawaso1538
@josephmwawaso1538 Жыл бұрын
Onyesha mwanamke aliyehubiri Old na new testament bila kutumia maneno yako
@fuatabibliaikuongoze5921
@fuatabibliaikuongoze5921 Жыл бұрын
Tunawashukuru nyote wasikilizaji wa kipindi hiki. Tunampango wa kutowa fundisho ndefu kuhusu "JE, MWANAMKE HARUSIWI KUFUNDISHA KANISANI "
@josephmwawaso1538
@josephmwawaso1538 Жыл бұрын
Yoyote atakae engezea ataengezewa mapigo na yoyote atakae punguza yeye naye jina lake litaondolewa kwa kitabu Cha uzima cha mwana kondoo😊
@josephmwawaso1538
@josephmwawaso1538 Жыл бұрын
Kutangaza na kuhubiri ni vitu viwili tofauti
@Annsikoboy-ut8bs
@Annsikoboy-ut8bs Жыл бұрын
Huyu anaelewa anachosoma kweli? Kanisani hakusimami mwanamke. Hao akina Prisca walifundisha na kueleza manyumbani yaani makaazini sio kanisani!!!! Huyu yualewa kweli?
@fuatabibliaikuongoze5921
@fuatabibliaikuongoze5921 Жыл бұрын
Tunawashukuru nyote wasikilizaji wa kipindi hiki. Tunampango wa kutowa fundisho ndefu kuhusu "JE, MWANAMKE HARUSIWI KUFUNDISHA KANISANI "
@Annsikoboy-ut8bs
@Annsikoboy-ut8bs 11 ай бұрын
Ibakie hivyo kama ilivyoandikwa. Hakuna maoni ya mtu. Hiyo ni Torati sio Paulo. Ni sheria ya MUNGU kwa watu wote sio kwa Wakorintho tu!!!!!
@mwasa_tv
@mwasa_tv Жыл бұрын
acheni kupotosha watu fuata bibilia inavyosema mchungaji uyu
@hellen9056
@hellen9056 Ай бұрын
He Jamani hii ni ajabu unasoma kabisa katazo na wewe unalikanusha hapo hapo ivi shetani ameeahonga shi ngapi?
@fuatabibliaikuongoze5921
@fuatabibliaikuongoze5921 Ай бұрын
Tunawashukuru nyote wasikilizaji wa kipindi hiki. Tunampango wa kutowa fundisho ndefu kuhusu "JE, MWANAMKE HARUSIWI KUFUNDISHA KANISANI "
@fuatabibliaikuongoze5921
@fuatabibliaikuongoze5921 Ай бұрын
Sikiliza fundisho yote hapa: soundcloud.com/user-529110866/mafundisho-kuhusu-1-timotheo-212?si=b34643a9f8c44d1e8b4b3d6d4ad44c41&
@TeamWayTechGospelTv
@TeamWayTechGospelTv Жыл бұрын
Soma biblia na uelewa, usipotoshe mtu
Je! Mwanamke anaruhusiwa kufundisha kuhubiri kanisani?  Majibu haya apa.
9:21
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 2,3 М.
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 9 МЛН
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
00:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 10 МЛН
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 11 МЛН
JE MWANAMKE ANAWEZA KUWA MCHUNGAJI??
36:26
TUBUNI NA KUIAMINI INJILI ( TUKUI )
Рет қаралды 3,8 М.
PASTOR DANIEL MGOGO : KWANINI NDOA NYINGI ZINA VUNJIKA?
9:16
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 11 М.
Wanawake Kuhudumu Kanisani
51:52
Evangelist Amon Mukangara
Рет қаралды 932
Dr. Chris Mauki : Hakikisheni Mmeyazungumza Haya Kabla Ya Kuoana
11:10
MWANAMKE NAFAA KUA MCHUCHAJI?
15:49
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 3,6 М.
Wanawake Katika Ukristo
17:00
Koinonia Education
Рет қаралды 623